10.d - charlie pele

6
...seed poa... ...seed poa... ...seed poa... ...seed poa... ...seed mbaya... ...seed mbaya... ...seed mbaya... ...seed mbaya... hii kazi inachosha! Phew! na hao vijana wangu wako wapi nikihitaji usaidizi? Daddy! mambo?!? uta-plant gani na tutakula gani??? una-sort seeds??? hii ni pile ya seed poa??? unafanya??? na ile ni pile ya seed mbaya??? Mgeni wa ajabu 25

Upload: well-told-story

Post on 16-Mar-2016

261 views

Category:

Documents


3 download

DESCRIPTION

Chapta 10 - Charlie Pele: Mgeni wa Ajabu

TRANSCRIPT

Page 1: 10.d - Charlie Pele

Thanks sana m

a-youth

s kwa

advice yenu po

a. Musa a

tabambika

kujua

mnam-suppo

rt. Ukich

eki MP am

a leade

r

yeyote aki-b

ehave kwa nj

ia haiku

baliki,

m-report kwa ka

cc -

Kenya Anti-Corruption Commission

...seed poa... ...seed

poa...

...seed poa...

...seed poa...

...seed mbaya...

...seed mbaya...

...seed mbaya...

...seed mbaya...

hii kazi inachosha!

Phew!

na hao vijana wangu wako wapi nikihitaji

usaidizi?

Daddy! mambo?!?

uta-plant gani na tutakula gani???

una-sort seeds???

hii ni pile ya seed poa???

unafanya???

na ile ni pile ya seed

mbaya???

Beatrice G. Musa remember dat we have only 2

tribes in Kenya 1. Rich. 2. Poor. Why hurt ur fellow

Kenyan who is of d same tribe as u?

Helen Teresia M. Nikiongezea kidogo, pia kupigia

police simu kiplani. Ndio wa save watu on time.

Nipoa kua na number za simu za police station /

Chief’s office near u.

Timothy Timo M. Weh 2na nja ya ma big fish wa

post election alafu huyu MP analeta mouth ya hate

speech. Weh, Musa huyu mse apelekwe mbele mara

pap na nyinyi majaji mkiletewa mse ka huya akuna

ati kesi kuahirishwa kama kuna stong evidence

omito mara pap.

Mgeni wa ajabu

25

Page 2: 10.d - Charlie Pele

eh?

siwezi waste seed poa shambani! Hizo ndizo

tunakula!

nitapanda hizo seed

mbaya shambani...

kweli seed mbaya kama hizi zinaweza kumea kitu

safi?

sauti hiyo inatoka huku...

26

Page 3: 10.d - Charlie Pele

eh?

siwezi waste seed poa shambani! Hizo ndizo

tunakula!

nitapanda hizo seed

mbaya shambani...

kweli seed mbaya kama hizi zinaweza kumea kitu

safi?

sauti hiyo inatoka huku...

tunaikula lini?

charlie pele! umetokezea

wapi?!?! hii siikuli!mahindi hii hapa ndiyo naitumia shambani!

tangu zamani sana, imekuwa muhimu

kutumia mimea nzuri ku-plant tena, ili

mimea zako shambani ziendelee vyema.

wacha niifunike isiguzwe na ma-hawks. naenda ku-harvest sorghum

kutoka sehemu nyingine ya shamba.

nilikuambiaje? hawa majirani

hawaelewi mambo...

nadhani kuna mwizi shambani!

LO!

27

Page 4: 10.d - Charlie Pele

ndiyo huyo...

oho! nimemmulika

mwizi!

ahm... ahem... pole kwa kukuamsha... urm... unajua, mahindi yako

ni nzuuuuuri sana, ehm...

nilikuwa nimekuja

kui-admire tu! iko smartest!

iko juu tu sana....

si tuisherekee pamoja, labda kamA "midnight

snack"???

lakini niliwaambia, siikuli! naipanda

shambani!

wajinga tu ndio hupanda seed

mzuri badala ya kuila! sawa basi!

kaa nayo!

aki wewe!

28

Page 5: 10.d - Charlie Pele

charlie huyo ni wewe?

nilikuambia nini juu ya kurukaruka

usiku?

fafa!

pole kwa kukushtua!

sema!

...lakini nimekuja kukuonya.

...vile unavyochagua mbegu zako za

kutumia shambani...

...unavyolea mtoto ndivyo

anavyoendelea maishani. na

shamba yako si tofauti.

unajua...

ukichagua sorghum mbaya ya

kupanda, kila generation itaendelea na shida

iliyotangulia.

nimeona generations nyingi

za wakulima ambapo watu

hawaelewi umuhimu wa kuganga

yajayo.

29

Page 6: 10.d - Charlie Pele

ona shamba yako...

...na ya jirani

wako...

...kumbuka yote niliyokwambia...

zake zitakaa miaka mingi...

...ili watoto wako wasife njaa...

JANA ALiKUWA ANAPANGA KU-PLANT SEED MBAYA LAKiNi LEO AMECHUKUA SEEDS POA

YA UJi NA KUZiPANDA SHAMBANi...

Chagua mbegu poa utapata mavuno poa!Ulijua unaweza pata seed kutoka kwa mmea? Ni poa! Chagua

mimea few iliyo-healthy kwa shamba itakayokupatia seeds za kupanda

next season!

Mark mimea utakayotumia kupata mbegu za kupanda kwa kufunga cloth kidogo kwa stem. Hii itakusaidia kujua hiyo plant ni ya ku-produce mbegu na itavunwa separate na mimea ingine.

Ngojea plant yako itoe maua na pods au mbegu. Hii itakuwa possible kama area ni ya baridi especially kwa sukuma wiki. Seeds zako zitakuwa za quality poa kama hutazi-harvest leaves au part yeyote kabla ya wakati wa kuvuna. Funika seeds za mimea uliyochagua na gunia ili seeds zizikuliwe na ndege.

Vuna mimea uliyo-select ili upate seeds za kupanda kama iko tayari.

Safisha mbegu kwa kutoa dust, mabaki ya mimea na vitu vingine, kisha ukaushe na ku-grade mbegu kabla ya kuzi-store.

Kabla ya ku-store mbegu, i-test kama ita-germinate kwa kuweka seeds chache kwa cotton wool safi iliyo na maji. Ziki-germinate, jua seeds zako ziko poa za kupanda.

Toa seeds zile: zimeoza zime-change rangi zilizo diseased. zilizovunjika za aina tofauti na

mbegu zingine.

Chagua seeds zile: za size moja hazijaharibiwa na

VarietyChagua variety ya seeds zilizo marketable na

zilizo resistant kwa diseases na wadudu.

Unaona? Ni rahisi sana! Jaribu na kisha u-share na DJ B matokeo

kwa kutumia sms on 3008 au kwa facebook fanpage ya DJ Boyie ili

tuwe ngangare kama vijana!

insects kwa shamba. with thanks to CABI for their help & advice.30