25.d - charlie pele
DESCRIPTION
25.d - Charlie Pele : Maji ni HakiTRANSCRIPT
fathe! tumefika! lakini
ai, hii mlima inaniumiza! nipe maji
tafadhali...
taabu, ndio huyo kaka wako na jamii yake wanaingia kusherehekea ndoa yako...
bobo! ingia, ingia, tutatuma charlie kuchota maji...
amekuja na jamii
yake yote!
charlie!
wachana na hiyo mpira ya uchafu uende kuchota maji!
lakini, mbuyu, niko na game hii afte, na nikienda
kuchota maji nitachelewa!
labda haukunielewa, hiyo haikuwa swali! enda utuletee
maji!
MAJI
NI HAKI
SHUJAAZ_C25.indd 26 16/02/2012 18:17
nikikimbia, labda naweza kurudi in time
kucheza second half
ya match yetu!
walai!sifiki!
ah! ndio hiyo
waterhole!
haiya, mbona huzuni?
kuna shida gani hapa?
pump imevunjika! na hatuna usaidizi...
tutafanya nini sasa?
kuna well tofauti mbali kidogo na
hapa... twendeni huko basi!
27
SHUJAAZ_C25.indd 27 16/02/2012 18:17
njia ndio hii...
tumefika!aaaah! Sasa hii
mlolongo! tutakuwa hapa hadi
kesho!yei!
28
SHUJAAZ_C25.indd 28 16/02/2012 18:17
AlA! charlie anarudi
nyumbani usiku???
Kumbuka, W.H.O. ina-recommend kila mtu anafaa kuwa na access
ya maji less than a km kutoka nyumba yake.
pump ya hapa ilikuwa imevunjika... ...puff... tukaenda
mbali na kulikuwa na watu wengi kwa well...
hahaha! yenyewe, hata sisi pale mjini tuna shida ya
maji.
lakini, hujui kwamba ni haki yako
kuwa na supply ya maji
yenye si shida?
huff...
puff...
...ndio hii maji yenyu...
charlie??? sasa ndio unafika?
umechelewa!!!
ei!WATOTO! wacheni kuruka-ruka kwa nyumba!
chicks za
pink!
mama watoto!
maji imefika! tupikie chai!
na uoshe
nyumba pia!
nioshe nyumba na hii maji
kidogo???
wacha niulize dj B juu ya hizi haki kuhusu
maji...29
SHUJAAZ_C25.indd 29 16/02/2012 18:17
Kila mtu yuko na haki ya ku-complain kwa district water officer juu ya shida ya maji.
Kama bado unaona
haujahudumiwa, enda kwa
Local Water Service Board. sasa, hadithi
yetu inaendelea sokoni...
...na sasa nataka
kuwakumbusha tu, juu ya yote nitawafanyia mkinipa kura
zenyu na kunichagua
tena.
...mali!
na maji?!
Matunda itatoka wapi bila maji? ...Tunajua
Haki zetu kila mtu anafaa kuwa na maji kilometer moja kutoka nyumba yao!
...na hiyo si hali ya mambo
wakati huu! utatuletea maji???
...masomo!
...mavazi!
...matunda!
maji!no water, no votes!
naam!
hakuna kura, bila
maji!
2030
SHUJAAZ_C25.indd 30 16/02/2012 18:17
Pia unaweza complain kwa Local Water
Service Providers, hata kama ni kampuni
private.
KUWA SHUJAA!
Ni haki yako ku request information juu ya issues
za ku-kosa maji.DON’T ACCEPT SECOND BEST –
TAKE ACTION!
Kama kuna shida ya maji area yenu;CHUKUA ACTION!
kama pump ime-spoil, au unaona funds hazitumiki vipoa:
1
WASREB CONTACTS:Tel: 254(0)202733559/61
Email: [email protected]: www.wasreb.go.ke
4Kama umefuata hii
process yote na haujashughulikiwa, unaweza andikia WASREB na ucheki website yao u-download
complaint form.
Kama badounaona haujahudumiwa, tuma au enda kwa Local
Water Service Board ya area yenu, kuna kadhaa
Kenya.
3
Mkumbuke pia ku-elect leaders
wale wanaleta maendeleo ya area yenu na si ku-make ma-promises tupu!
Ukiona bado complaints zako
hazisikizwi, enda kwa District Water Officer
u-raise issue yako.
2
CHUKUA ACTION,
5
Tuandikie kwa FButuambie juu ya
experiences zako hile time ulicomplain juu
ya maji.
31
SHUJAAZ_C25.indd 31 16/02/2012 18:17