02.d - charlie pele

5
likizo imeisha! vijana wangu hawatakaa nyumbani fwaa! unajua, meneja hafai kuchelewa... lakini baba... boss alisema ataniita. ofisi yetu inahama... unaenda wapi?! badala ya kuwa hardworking uwe meneja kama bratha yako kila wakati ni mpira mpira tu! mwagilia shamba maji. shika bucket!!! kwanza huyo coach kabila yao ni ile mbaya... 14

Upload: well-told-story

Post on 26-Mar-2016

266 views

Category:

Documents


0 download

DESCRIPTION

Chapta 2 - Charlie Pele

TRANSCRIPT

Page 1: 02.d - Charlie Pele

likizo imeisha!vijana wangu

hawatakaa nyumbani fwaa!

unajua,meneja hafaikuchelewa...

lakinibaba...

boss alisemaataniita. ofisi

yetu inahama...

unaenda wapi?! badala ya kuwahardworking uwe meneja

kama bratha yako kilawakati ni mpira mpira tu!

mwagilia shamba maji. shika bucket!!!kwanza huyo coach kabila yao ni ile

mbaya...

14

Page 2: 02.d - Charlie Pele

charlie fanyahii, charliefanya ile!!

hebu nifanye tizi,inaonekana sita-

make prako ya ball...

maisha ninooma!

buda anafikiri mimi ni meneja lakininafanya kibarua kaa watchie!

mshahara si poa, mwakamzima nime-save only 2

thao... sitaki kurudi.afadhali kulima!

aa, cheki vile shamba ya coach

iko poa!

cheki vile yetu ni mbaya,lazima iwe coach wanatumia

uganga ndio wako poa...

lakini ... coach piaako na ka-daughter

kapoa!

sasa taabu! ni aje?mna do?

shhh!usiambiefathey!

15

Page 3: 02.d - Charlie Pele

PELE 3

hakuna... ni charlie anapelekamaji kwa shamba...

na ndoo?

come niwa-show!

sisihutumiahii pump!

unaweka kwa mto... alafummoja ana-pump, mwingine

akinyunyizia.ni rahisi sana!

elfu nnepekee!

tuchekiane!

asante sana!

kanakaa poa!

we nyamaza!

si tu-buy hiyo pumpna zile 2 thao?

hazitoshi! nasina shamba ya kutumia hiyo

pump!

tutatoa wapi 2 thao?

nimejua! nimlimiecoach anilipe, alafunipate dooh za pump

kwa shamba ya kukodisha!

16

Page 4: 02.d - Charlie Pele

PELE 4

wiki imepita.haurudi ofisi?

ee...nimeongezewa

leave miezimbili...

miezi mbili imepita.hurudi kazini?

boss alisemaatanipigia...

fatheyatakulipa

vipoa.

kazi ilikuwamob pia naimejilipa.

taabu, mbogazako ziko poa!

mwezi ujaonitavuna...

huyu taabu miezi tatunyumbani! kwani

alifutwa kazi? hapaiko kitu.

17

Page 5: 02.d - Charlie Pele

Tumia MoneyMaker Pump kuongeza mapato yako kila mweziWakulima wengi Kenya na Africa wameendelea ku-benefit kwa kutumia KickStart MoneyMaker Hip Pump kama Daniel Karanja Njenga na mke wake Nancy Gathoni walivyogundua. Daniel alipoteza mali na makao yao wakati wa post election violence, na kuwa IDPs. Daniel aliona hii pump kwa promotion ya KickStart na akaona ni poa kuitumia ili kulima.

Daniel alifanya vibarua, Ili kupata dooh ya pump. Hii pump sio nzito, ni rahisi kutumia, affordable na hu-operate manually. Daniel aliweza kulima wakati wa kiangazi. Hii pump inaweza kunyunyizia maji kwa shamba la 1 ¼ acres. Maisha ya Daniel yameimarika na ana-plan ku-expand shamba lake ili ku-manage family yake.

Shujaaz mwezi huu inapeana 2 MoneyMaker Hip Pumps na 1 Super MoneyMaker Pump. 3 FREE kwa lucky readers wetu!!

Tuma SMS ikiwa na PUMP, JINA LAKO, na kujibu swali ifuatayo kwa 3008:

MoneyMaker Hip Pump katika Imarisha Kilimo Promotion inauzwa pesa ngapi pamoja na pipes mbili?

Hii compe itaisha April 24th 2010; Washindi wa hii compe wata announce-iwa kwa Daily Nation

Staff and employees of WTS and Kickstart International are not qualified to enter this competition

Family • Life • Success

Imarisha Kilimo Promotion! Hadi 30th June 2010 KickStart itapeana 10 meters pipe FREE ya kuingiza maji kwa kila MoneyMaker pump utakayonunua! Kwa hivyo, nunua MoneyMaker Hip Pump kwa Kshs. 4,009 badala ya Kshs. 4,709 ikiwa na pipe ya kuingiza maji na ingine ya kutoa maji. Nunua Super MoneyMaker Pump kwa Kshs. 8,750 badala ya Kshs. 9,450 ikiwa na pipe ya kuingiza maji na ingine ya kutoa maji. Nunua pump yako leo au upige 0725 790050 kujua KickStart Authorised MoneyMaker Pump dealer aliye karibu nawe!

Shinda

Pump!

WAAZI, WEEKENDI TUTA-PAAAARTY!

NKT! CHUXX MBABA TENA! VIPI WASUPAA,

MNA-COMEGIG YA LEO?

LAZIMA, LAKINI SIO NA WEWE

MARIAKIM, TUINGIE ILE NGANYA YA beste yangu!

sasa mresh, UTATOKEA ILE GIG YA youth-fest?

KAMA UTALIPIA!

MARIAKIM

AAWMARIA!

nilijua tu! unalimakwa hao wachawi!

rudi town!!!baba... mimi huendatown. lakini kuuza

mboga... natengeneza pesa nyingi kulikonikiwa watchie...

kweli. nilidanganya...sasa maisha yangu nihapa kama mkulima.

sasaulinionyeshamoney makerpump... nawezakununua yangu!

nitakusaidiaku-pump...

watchman?

BCLB

NO

. 001

565

18