21.c - charlie pele
DESCRIPTION
Chapta 21– Charlie Pele: Matata Part 2TRANSCRIPT
sawa, dj b,
asante sana!
...ati mmeambiwa
aje? ninangojea kuitwa kwa
o.c.s...
sasa taabu unainigia
shida kama hizi juu ya msichana
mwenye hata si wa kabila
yetu???
Ama ni-give up? Msinisahau nikitupwa
ndani!
taabu usife moyo!
dj b alini-show kila mtu yuko innocent hadi
a-proviwe kuwa guilty!
ji-defend na sheria!
sawa, taabu,
unaweza kuingia...
hapo mbeleni... polisi anayeitwa matata, mwenye anampenda purity,
alimpiga taabu juu ya kum-slice dem.
taabu akaenda kujaza p-3 form za kumstaki matata...
lakini kwa vile mshtakiwa alikuwa ofisa, kesi
ikapelekwa kwa o.c.s....
18
MATATA II
uhm... ninavyoelewa,
matata alimpiga huyu taabu juu ya msichana...
Sipendi kupata ripoti
ambazo zinaharibu
jina ya Polisi!
taabu, nipe ripoti
yako...
tulikuwa nyumbani
wakati matata aligonga mlango
akatutisha...
eh...er...em...
Bwana OCS, Kabla usikie
uongo za huyu kijana, wacha
nijitetee. Naona anajaribu
kunichafulia jina...
ala! hata
maneno anatumia zinanitoa
kama mnyama...
unajua, mimi ni polisi wa maana! nimetoka
pale nairobi! nilipatiwa
promotion lakini nikachagua kurudi huku,
home kwangu, ndio niwakilishe
hapa!
hii kazi ni maisha
yangu!
Huyu kijana ni suspect!
Usichukulie maneno
yake seriously...
ni mwongo, jambazi
tupu!
matata...
...kwanza, umpe muda wake wa
kuongea...
na kama hauna evidence ya
kumstaki, huwezi kumsumbua, hata
kama yeye ni suspect...
19
woi! akina taabu
wamekaa huku police station! Wamefungwa
ndani!!!
sasa tutawatoa aje? unajua hawa polisi
hawana muda wa kutuskiza?
hiyo sio
kweli!
Kazi ya polisi ni kusaidia
wananchi!
Kabisa! Hata mimi nimeskia hizo
story!
charlie, wacha
utoto...
hawa polisi wanatumia
sheria kuonea watu wa
kabila tofauti na yao!
Wanakamata vijana wetu
bure!
Afadhali tulipe hiyo
bond!
ehe! tuchange pesa
watuachie vijana wetu!
ah, baba charlie,
mahindi za hii season imemea mzuri!
sheria inatumiwa
kutunyanyasa!lakini sheria ikitusahau, tunaweza
kutumia pesa kurudisha utu wetu...
toa ndugu, toa
dada...
20
sasa, hii kesi haina muelekeo...
Testimony zenu
hazieleweki! Siwaamini...
Nimeamua nichukue hatua kali kwenu wote kwa
sababu mnaniharibia
wakati!
lakini, bwana o.c.s., tunaye
witness mwenye anaweza
kutuelezea yaliyotendeka...
nipe ruhusa ya kumuita...
...purity.
purity! mpenzi
wangu...
ambia hawa watu vile huyu
kijana anajaribu kututenganisha...
OCS
Kwa upande wangu...
ni kweli namjua
Matata. Lakini tuliachana
kitambo sana.
Sasa amekuja kwa kina Taabu,
mwenye ni boyfriend wangu akam-threaten. amempiga vibaya akampiga vibaya! Matata anataka Taabu aniache!
Aka-warn Taabu ati asikuje
kujaza P3 hapa!
purity! wacha
kudanganya OCS hivyo! Unadhani
atakuamini?!
MATATA!
nimeskia ya
kutosha...
matata, you are
suspended.
...snif...purity...
...mbona unanitupa
hivi......
na kwa nyinyi wawili,
mmefanya vizuri kutumia sheria
kuji-defend hata kama mlikuwa
mnasumbuliwa na huyu mrui
hapa...
sheria iko hapa
kuwalinda, muijue na muitumie...
22
...56 bob peke
yake?!?! 56 bob haiwezi saidia paka
kutoka jela!
56 bob si pesa yote mnayo! tuko wengi hapa! aki nyinyi
wa...
...wa... ...haiya, ni
taabu!
taabu, mlitoka
jela aje???
hatukuwa jela!
tulijaza forms na tukaenda
mbele ya o.c.s kumshtaki
yule matata...
Ni poa mjue kuwa sio polisi wote ni wabaya! Lazima
tujifunze sheria ndio tuweze kuji-defend!
Wacha ni-show DJ B vile advise yake imetu-help.
Kweli ukijua rights zako, sheria inakuchunga.
Bonga na wasee wa KITUO CHA SHERIA
upate info zaidijuu ya sheria vile
ina-work!
KITUO CHA SHERIAThe Centre for Legal Empowerment
P.O.BOX 7483-00300 NRBTEL:254-0203874191MOBILE:0734 874221/OR 0727 773991EMAIL:[email protected]
NILIJUA RIGHTS ZANGU
NIKAPATA JUSTICE!
Kuna time msee flani alinipiga vibaya. Mara hiyo hiyo nikaenda na witnesses na nikapeleka report kwa makarau. Kwa police station,
niliandika statement very clear, na wakanipa P3. Nilienda na P3 hosi na daktari akaijaza na
nika-treat-iwa.
Nilijua rights zangu na sikuchoka kufuatilia hadi
nika-get justice. Kumbuka, the truth always comes out.
Usiogope sheria. Sheria iko hapa kuku-protect!
Baada ya hiyo, nilirudi kwa police na huyo msee akashikwa na nikaamua ku-settle hiyo noma nje
ya court. Mwishowe, ilibidi hawa wasee wanilipe kwa damage yenye waliniletea.
sms3008p3
TUMA
SMS KWA 3008 NA VIEW
S ZAKO UKIANZA NA NENO P3
JINA: SIMON OSORO
aka ‘SYMO’
AGE: 27BASE: UGUNJA
23