uteuzi tume ya utumishi

2
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: [email protected] m Wesi!e : """. ikulu.go.!# $a%: 255-22-211&425 '(E)*+E T ) $$*/E, )T0TE )E, 1 30(0/ 30 0 ( 0+, 114 +0( E) )0700 . Tan#ania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: UTEUZI KATIKA TUME YA UTUMISHI WA UMMA NA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI (CMA) ___________________________________ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Tume ya Utumishi wa Umma na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA! Katika uteuzi huo, Rais amemteua Mhe. DKT. STEPHEN JAMES BWANA, Ja"i Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma na BWANA EDRISSA R. MAURA , kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA, #w! Mavura ni $ai%u Kati%u Mkuu Mstaafu! &am%am%a na uteuzi huu, Rais amewateua Makamishna katika Tume hizo, am%a'o Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma ni (i B!"#" $e%&'e D. YAMBESI , Kati%u Mkuu, )*si ya Rais, Mene"imenti ya Utumishi wa Umma! (ii A h" Y. F. MBILA , Kati%u Tawala wa Mkoa mstaafu! (iii B!"#" M'e#* M!" *+ ALLY , Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma iliyomaliza mu+a wake! (iv B*-* A *e H. NYONDO , Mkurugenzi wa Maa+ili mstaafu! (v B*-* S" %+e S. MOLLEL , Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu mstaafu, )*si ya M+hi%iti na Mkaguzi Mkuu wa esa%u za &erikali (vi B*-* E/e 0#e ITANISA , Kati%u Tawala wa Mkoa mstaafu! A* h" M"1"+*2h#" !" T +e 0" U2 h*2h* #" U"+ 3* (CMA) #*: (i B!"#" P" He&-e&4 K*#e+e " , Kamishna wa Kazi, Wizara ya Kazi na A"ira (ii B!"#" M"4h*"2 B"3* K"- # ' & , Mkurugenzi wa Uen+esha"i &era, )*si ya Rais, Mene"imenti ya Utumishi wa Umma!

Upload: natalie-hill

Post on 07-Oct-2015

349 views

Category:

Documents


0 download

DESCRIPTION

UTEUZI TUME YA UTUMISHI

TRANSCRIPT

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: [email protected]: www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425

PRESIDENTS OFFICE, STATE HOUSE,

1 BARACK OBAMA ROAD,

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIYAH: UTEUZI KATIKA TUME YA UTUMISHI WA UMMA NA

TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI (CMA)___________________________________Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Tume ya Utumishi wa Umma na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA).

Katika uteuzi huo, Rais amemteua Mhe. DKT. STEPHEN JAMES BWANA, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma na BWANA EDRISSA R. MAVURA, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Bw. Mavura ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu.

Sambamba na uteuzi huu, Rais amewateua Makamishna katika Tume hizo, ambapo Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma ni:(i)Bwana George D. YAMBESI, Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

(ii)Alhaj Y. F. MBILA, Katibu Tawala wa Mkoa mstaafu.

(iii)Bwana Mgeni Mwalimu ALLY, Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma iliyomaliza muda wake.

(iv)Bibi Adieu H. NYONDO, Mkurugenzi wa Maadili mstaafu.

(v)Bibi Salome S. MOLLEL, Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu mstaafu, Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

(vi)Bibi Evelyne ITANISA, Katibu Tawala wa Mkoa mstaafu.

Aidha Makamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) ni:

(i)Bwana Paul Herbert Kinemela, Kamishna wa Kazi, Wizara ya Kazi na Ajira

(ii)Bwana Mathias Bazi Kabunduguru, Mkurugenzi wa Uendeshaji Sera, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

(iii)Bwana Njaa Ramadhani Kibwana, Naibu Katibu Mkuu, Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU).

(iv)Bwana Jones Kyaruzi Majura, Naibu Katibu Mkuu, Chama Cha Wafanyakazi wa Sekta ya Biashara na Viwanda (TUICO).

(v)Bwana Jaffari Ally Omari, Mwanasheria Kiwanda cha Sukari TPC, na Kamishna wa Tume iliyomaliza muda wake.

(vi)Bibi Suzane Charles Ndomba, Afisa Sheria wa ATE na Wakili wa Mahakama Kuu.

Uteuzi huu umeanza tarehe 23 Februari, 2015.Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.

26 Februari, 2015