mwongozo wa kupanga masomo ya sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. mpango huu uko...

13
Rasilimali Farahasa Rasilimali Maamuzi Wakala wa Elimu wa Texas Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na Baadaye Pamoja na habari kuhusu Mpango Msingi wa Sekondari Maelezo jumla Manufaa Hatua Orodha ya uaguzi

Upload: others

Post on 29-Feb-2020

39 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

Rasilimali

Farahasa

Rasilimali

Maamuzi

Wakala wa Elimu wa Texas

Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na Baadaye

Pamoja na habari kuhusu

Mpango Msingi wa Sekondari

Maelezo

jumla

Manufaa

Hatua

Orodha ya

uaguzi

Page 2: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

Wakala wa Elimu wa Texas

Mwongozo wa vifaa vya Mahafali

Mpango wa Mahafali – Faharasa

Daraja ya Kwanza ya Kufuzu- Manufaa

Shahada ya Sekondari ya Texas- Hatua

Mapendekezo - Maamuzi

Mpango wa Mahafali – Orodha ya ukaguzi

Taarifa – Rasilimali za Chuo Kikuu

Taarifa – Rasilimali za Nguvu Kazi

Mpango wa Mahafali - Farasaha

Page 3: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

Mwongozo wa vifaa vya Mahafali ya Wakala wa Elimu wa Texas

Mpango wa Mahafali – Maelezo ya jumla

Mpango Msingi wa Sekondari Mpango Msingi wa Sekondari ulio na mapendekezo ni mpango nyumbufu unaowezesha wanafunzi kuendeleza masomo yao. Ni mpango wa mahafali chaguo msingi kwa wanafunzi walioingia sekondari katika mwaka wa shule 2014-15 au baadaye.

Mpango huu uko na hadi sehemu nne:

• Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada ya sekondari ya Texas

• Chaguo ya * mapendekezo matano inayowezesha wanafunzi kuzingatia msururu wa kozi zinazohusiana

• Aina ya utendaji wa juu uitwao Daraja Mahsusi ya Mafanikio

• Uungamaji wa Utendaji unaokumbuka mafanikio ya kipekee katika sehemu mahsusi **

Mahitaji ya wakfu (alama 22) ni pamoja na:

Kiingereza (alama 4) • Kiingereza I • Kiingereza II• Kiingereza III • Kozi ya Kiingereza cha juu

Hisabati (alama 3) • Aljebra I • Jeometri • Kozi ya Hisibati ya juu

Sayansi (alama 3) • Bayologia • Fizikia na Kemia Jumuishi au Kozi ya Sayansi ya juu

• Kozi ya Sayansi ya juu

Masomo ya Kijamii (alama 3) • Historia ya Dunia au Jiografia ya Dunia • Serikali ya Marekani (nusu alama)

• Historia ya Marekani • Uchumi (nusu alama)

Lugha Kando ya Kiingereza (alama 2) • Alama 2 kwa lugha sawa au

• Alama 2 kutoka kwa Sayansi ya Tarakilishi I, II, III

Elimu ya Viungo (alama 1) Sanaa Kamili (alama 1) Chaguo (alama 5)

Kuzungumza: Kiwango cha Ustadi Kilichothibitishwa

Mapendekezo Jumla ya alama zilizo na mapendekezo 26

Maboresho Aidha, mwanafunzi anaweza kupata Daraja ya Kwanza ya Kufuzu na/au Ungamo la Utendaji kwa kazi bora.

Lazima Daraja ya Kwanza ya Kufuzu ituzwe ili kukubaliwa katika chuo kikuu cha umma cha Texas chini ya

sheria ya asimilia kumi bora ya kiingilio otomatiki.

Daraja ya Kwanza ya Kufuzu

• Mahitaji ya Mpango wa Wakfu

• Alama 4 katika hisabati ikiwemo Ajebra II

• Alama 4 katika sayansi

• angalau pendekezo moja

Sehemu za Uungamaji wa Utendaji**

• kozi za alama mbili

• Kuongea, kusoma na kuandika katika lugha mbili

• PSAT, ACT ASPIRE®, SAT or ACT • Uwekaji wa Juu au Mitihani ya kimataifa ya Shahada ya awali

• kupata leseni au cheti kinachokubalika cha jimbo, kitaifa au kimataifa cha biashara au kiwanda

*Mwanafunzi anayeinga gredi ya 9 lazima aonyeshe pendekezo analopanga.

Mwanafunzi anaweza kubadilisha au kuongeza pendekezo wakati wowote.

Mwanafunzi anaweza kuhitimu bila kupata pendekezo ikiwa, baada ya mwaka wake wa pili mzazi wake ataweka saini fomu kumpa kibali mwanafunzi kusaza pendekezo linalohitajika. BR16-130-03

Page 4: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

Mwongozo wa vifaa vya Mahafali za Wakala wa Elimu wa Texas

Daraja ya Kwanza ya Kufuzu– Manufaa

Maamuzi ni azma ya uchaguzi Kazi nyingi bora zaidi zinazopatikana sasa na baadaye zinahitaji elimu na

mafunzo zaidi ya stashahada ya sekondari. Uwe unaazimia kufuatilia cheti

cha utashi mkuu cha kiwanda nguvu kazi kutoka kwa chuo cha jamii au

kiufundi au shahada ya asili ya miaka minne kutoka kwa chuo kikuu,

maamuzi utakayofanya sekondari yataazimia uchaguzi wako wa baadaye.

Ili ujitayarisha vyema sasa kwa mpito wa elimu ya baada ya sekondari au

mafunzo bora ya nguvu kazi, kuchagua na kwenda kwa madarasa sahihi

ni muhimu. Hatua ya mashuhuri ya mafanikio itahakikisha matayarisho

bora ya mustakabali wako.

Cheti

Chuo cha Vfundi

Umuhimu wake — Manufaa

Daraja ya Kwanza ya Kufuzu hufungua ulimwengu wa nafasi za elimu na kazi kwako zaidi ya sekondari. Daraja ya

Kwanza ya Kufuzu:

• Itakuwezesha kushindania asilimia kumi bora ya viingilio otomatiki vinavyostahili katika chuo kikuu chochote cha umma cha Texas; •Itakuweka miongoni mwa wale shanjari na ruzuku* ya TEXAS kukusaidia kulipia masomo na karo; na •Kuhakikisha unapewa nafasi ya kwanza katika vyuo na vyuo vikuu vinavyochaguliwa zaidi.

Inamaanisha nini *Lazima uwe unastahiki kifedha

Daraja ya Kwanza ya Kufuzu inahitaji hisabati na sayansi zaidi kuliko Mpango Msingi wa Sekondari.

Daraja ya Kwanza ya Kufuzu inahitaji:

• Jumla ya alama nne katika hisabati ikiwemo aljebra II; •Jumla ya alama nne katika sayansi; na •Hitimisho fanisi la pendekezo katika sehemu unayochagua.

Mafao

•Nafasi ya kupata pendekezo katika sehemu unayochagua

• Chaguo zaidi katika vyuo na vyuo vikuu • Chaguo zaidi katika usaidizi wa kifedha

• Utayarisho mwafaka kwa mafunzo ya kozi ya kiwango cha chuo katika vyuo au vyuo vikuu vya jamii/kiufundi

• Nafasi ya kujiunga mara moja na madarasa yanayohusika na sehemu yako ya masomo • Msingi thabiti kumaliza kwa ufanisi cheti cha kiwanda nguvu kazi au shahada ya chuo

Texas Education Agency®

tea.texas.gov thecb.state.tx.us twc.state.tx.us BR16-130-03

Page 5: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

Mwongozo wa vifaa vya Mahafali ya Wakala wa Elimu wa Texas

Stashahada ya Sekondari ya Texas– Hatua

Daraja ya Kwanza ya Kufuzu Alama 26 • Aljebra II Inahitajka • Inastahiki kwa asilimia kumi bora ya viingilio otomatiki katika vyuo vya umma vya Texas

Alama 22 kwa Mpango Msingi wa Sekondari

Mahitaji ya Pendekezo Moja (ikiwemo alama 4 katika Hisabati na Sayansi na chaguo 2 zaidi)

STEM Biashara & Viwanda

Huduma kwa

Umma

Sanaa na Sayansi ya Jamii

Masomo ya

Nyanja Mbalimbali

Tembelea mshauri wako kujua mengi kuhusu uchaguzi wako.

Wanafunzi wanaweza kupata zaidi ya pendekezo moja.

Wakala wa Elimu wa Texas • Bodi ya Kuratibu Elimu ya Juu ya Texas • Tume ya Nguvu Kazi ya Texas

BR16-130-03

Page 6: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

Mwongozo wa vifaa vya Mahafali ya Wakala wa Elimu wa Texas Mapendekezo – Uchaguzi

Mapendekezo Wanafunzi wanaweza kupata pendekezo moja au zaidi kama sehemu ya mahitaji yao ya kuhitimu.

Mapendekezo yanajumuisha msururu wa kozi zinazohusiana zilizowekwa kwa makundi pamoja kulingana na pendeleo au

kundi la ujuzi. Hupatia mwanafunzi maarifa ya ndani ya sehemu ya somo.

Wanafunzi lazima wachague pendekezo* katika daraja ya tisa. Wilaya na mikataba haihitajiki kuidhinisha mapendekezo yote.

Kama pendekezo moja tu ndilo limeidhinishwa, lazima liwe ni la masomo ya nyanja mbalimbali.

Wanafunzi hupata pendekezo kwa kumaliza mahitaji ya mtaala kwa pendekezo, ikiwemo alama 4 katika hisabati na sayansi

na alama za chaguo mbili zaidi.

Wanafunzi wanaweza kuchagua kutoka kwa sehemu 5 za mapendekezo

Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) • Kozi za kazi na kiufundi (CTE) zinahusiana na STEM • Sayansi ya Tarakilishi

• Hisabati • Sayansi

• Muungano usiozidi aina mbili zilizoodhoreshwa hapo juu

Biashara na viwanda (mojawapo ya zifuatazo au muungano wa sehemu)

• Muungano usiozidi aina mbili zilizoodhoreshwa hao juu

• Programu Tumizi za Teknolojia

• Usanifu na Ujenzi • Usafirishaji, Usambazaji na mipango yake

• Sanaa, Teknolojia ya Sikizi/Filamu na Mawasiliano • Chaguo ya Kiingereza katika:

• Usimamizi wa Biashara na Utawala • matangazo ya uandishi habari wa juu

• Fedha • uandishi habari wa juu

• Upaji na Utalii • Uzalishaji • mjadala

• Teknolojia Habari • Masoko • Usemaji

Huduma kwa Umma (mojawapo ya zifuatazo)

• Huduma za Binadamu • Sayansi ya Afya • Sheria • Usalama kwa Umma

• Marekebisho na Usalama

• Elimu na Mafunzo

• Utawala wa Serikali na Umma • Mafunzo ya Wanajeshi Wadogo wa Risavu (JROTC)

Sanaa na sayansi za jamii (mojawapo ya zifuatazo) • Hatua 2 zote katika lugha mbili zaidi ya Kiingereza (LOTE)

• Hatua 4 katika LOTE

• Kozi kutoka sehemu moja au mbili (muziki, tamthilia, sanaa, densi) katika sanaa • Chaguo ya Kiingereza lisilo katika Biashara na Viwanda

• Masomo ya Kijamii • Lugha ya Ishara ya Marekani (ASL)

Masomo ya nidhamu mbalimbali (mojawapo ya zifuatazo) • Kozi 4 kutoka kwa sehemu zingine za mapendekezo

• Alama 4 katika kila sehemu ya somo la msingi ikiwemo Kiingereza IV na Kemia na/au Fizikia

• Alama 4 ya Uwekaji wa juu, Shahada ya awali ya Kimataifa au alama mbili zilizochaguliwa kutoka kwa

Kiingereza, hisabati, sayansi, masomo ya kijamii, uchumi, LOTE au Sanaa.

* Tembelea mshauri wako kujua mengi kuhusu uchaguzi wako. Wanafunzi wanaweza kupata zaidi ya pendekezo moja.

BR16-130-03

Page 7: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

®

Mwongozo wavifaa vya Mahafali ya Wakala wa Elimu wa Texas

Mpango wa Mahafali– Orodha ya Ukaguzi

Daraja la Nane Kagua uchaguzi unaopeanwa chini ya Mpango Msingi wa Sekondari na Mapendekezo ili kuamua Kuhusu mustakabali wako wa njia ya elimu. Chagua pendekezo linalofikiana vyema na uchaguzi wako binafsi na somo kuu unalopanga kulifanya katika chuo Tambua kuwa mahitaji mengi ya kiingilio cha chuo ni pamoja na kozi kuu kamavu ambazo ni pamoja na

Aljebra II, kozi za Sayansi ya juu na Lugha zaidi na Kiingereza.

Daraja la 9/10 Fuatilia alama zote za sekondari; hakikisha unafikia Chunguza mapendeleo na kuchukua mafao

mahitaji yote ya kienyeji na serikali. ya Siku ya fursa za Kazi.

Chukua kozi za alama mbili au za Uwekaji wa Juu ikiwezekana ili kupata alama ya chuo ukiwa bado sekondari.

Weka orodha ya tuzo, medali na shughuli zaidi

ya masomo kwa udhamini na maombi ya vyuo.

Tafiti kuhusu vyuo na vyuo vikuu ungependa

kwenda. Angalia viingilio na mahitaji na muda

unaotakikana.

Tembelea usiku wa vyuo zinazofanywa na

sekondari yako. Ongea na wawakilishi wa

shule kuhusu msaada wa fedha unaopatikana.

Fanya jaribio la awali la kuhitimu udhamini

(PSAT) katika mwaka wako wa kwa mazoezi

katika mwaka mwako mdogo, fanya PSAT ili

kuhitimu kwa mashndano ya udhamini wa

kitaifa. Wanafunzi wanaofanya PSAT au ACT

ASPRE huwa na fursa ya kupata alama za juu

kwa SAT au ACT kuliko wale wasiofanya.

Daraja la 11/12 Chukua kozi za alama mbili au za Uwekaji wa Juu ikiwezekana ili kupata alama ya

chuo ukiwa bado sekondari.

Angala na mshauri wako kujua kuhusu udhamini unaopatikana. Hakikisha umeweka

ombi mapema na kwa udhamini kadha invyowezekana. Usijiweke kikomo kwa udhamini wa

kienyeji pekee.

Fanya fikra ya kuchukua masomo ya matayarisho ya SAT/ACT. Jisajili na kuchukua jaribio la ACT

an/au SAT, katika mwaka wako mdogo lakini sio baada demani katika mwaka wako wa baadaye.

Jaza FAFSA (Maombi huria ya Usaidizi wa Ushirikisho wa Wanafunzi) mapema

katika masika kwa mwaka wako wa baadaye.

Tuma ombi kwa chuo wakati wa demani katika mwaka wako wa baadaye.

Ikiwa unapanga kufuatilia mafunzo ya kiufundi au kuingia nguvu hai baada ya kuhitimu, tazama habari kwenye

- ukurasa wa Rasilimali Nguvu kazi au tembelea Uangalizi wa Hali halisi Texas kwenye

www.texasrealitycheck.com/. BR16-130-03

Page 8: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

with a bachelor's degree earn 84 percent over their lifetime a high school graduate more* than a high school graduate?

students can earn college credit while still in high school by taking Advanced Placement courses and earning high scores on the AP tests or by enrolling in and passing dual credit courses?

students ranked in the Top 10 percent of their graduating class from an accredited public or private Texas high school may be eligible for automatic admission to a Texas public university if they have completed the Distinguished Level of Achievement?

Mwongozo wa vifaa vya Mahafali ya Wakala wa Elimu wa Texas

Taarifa – Rasilimali ya Chuo kikuu

Rasilimali

Mpango Msingi wa Sekondari na Mapendekezo http://tea.texas.gov/graduation-requirements/hb5.aspx Mwaka wa 2013, Bunge la Texas lilipitisha mswada wa nyumba wa tano na kutengeneza Mpango Msingi wa Sekondari. Ukurasa huu wa tovuti unatoa mkusanyiko wa habari zikiwemo:

• Ulinganisho wa kando kwa kando wa Mpango Msingi wa Sekondari na mipango ya awali ya

uhitimisho

• Maswali yanayoulizwa sana kwa Mpango Msingi wa Sekondari • Kanuni Iliyoidhinishwa ya Mpango Msingi wa Sekondari — Dabari kamili kuhusu mpango wa kiserikali wa kuhitimu

Linganisha Chuo cha TX www.comparecollegetx.com

Linganisha Chuo cha TX ni nyenzo ya rununu, iliyotengenezwa kusaidia wanafunzi na

wazazi kujua zaidi kuhusu vyuo vikuu vya umma vya Texas na vyuo vya jamii/ufundi.

Je, wajua...

*Kituo cha Elimu na Nguvu Kazi, “ Payo ya Chuo: Elimu, *Kazi, Mapato

ya Maisha,” Agost 2011. Chuo kikuu cha Georgetown

BR16-130-03

mhitimu wa juu zaidi katika kila sekondari ya umma

ya Texas hupata cheti kutoka kwa Wakala wa Elimu ya Texas ambayo inaweza kutumika kama udhamini wa kusimamia gharama ya masomo katika chuo au chuo kikuu chochote cha umma Texas?

tuition mapato

eligible

Page 9: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

training

many of the high-demand jobs1 will require somepostsecondary education?

students attending community colleges or trade schools may also be eligible for state or federal _nancial aid?2

over their lifetime, high school graduates with a workforce certi_cate from a community or technical college earn 20 percent more3 than those with only a high school diploma?

that Texas public school students can earn a Performance Acknowledgement on their transcripts by earning a state-, nationally- or internationally-recognized credential for a speci_c professional occupation, such as certi_ed nurses’ aid certi_cation (CAN) or computer tech certi_cation (CTC) while in high school?

Mwongozo wa vifaa vya Mahafali ya Wakala wa Elimu

Taarifa – Rasilimali ya Nguvu kazi

Kazi Kama unapanga kuingia kazi moja kwa moja au katika mpango wa mafunzo ya ufundi kufuatia kuhitimu, bado unahitaji kumaliza masomo yako ya sekondari na kupata stashahada ya sekondari.

Bado ukiwa sekondari, utataka:

Kuangalia mapendekezo matano yanayotolewa chini ya Mpango msingi wa Sekondari

Kuamua sehemu yako ya mapendeleo.

Kumaliza pendekezo ulilochagua pamoja na mpango msingi unaohitajika kupata stashahada yako ya sekondari.

Kujua about kuhusu kazi zinazopatikana, na mafunzo yoyote yanayohitajika

baada ya sekondari au ya ufundi.

Kuvumbua fursa mpya za kazi.

Tafiti habari kuhusu mshahara na kazi, ngazi za elimu zinazohitajika na mahitaji ya mafunzo.

Tambua mapendeleo yako na uwezo; tumia rasilimali za soko la kazi kwenye

www.texasworkforce.org/customers/jsemp/career-exploration-trends.html.

Tafiti ni kazi zipi zilizo za haraka na matakwa makuu Texas kwenye

www.texascaresonline.com/hotshots/hotshotslists.asp.

Vyuo vya Jamii na Shule za Kazi

Tafuta mafunzo na vyeti vya kazi maalum au ujuzi kupitia vyuo vya jamii na shule za kazi na

vyuo kwenye www.texasworkforce.org/svcs/propschools/career-schools-colleges.html.

Je, wajua...

1 Tume ya Kazi nguvu ya Texas

2Pata ukweli kwenye www.collegeforalltexans.com au studentaid.ed.gov

3Kituo cha Elimu oNa Nguvu kazi, “Vyeti: Lango la kupata Kazi za Maana na Shahada za Chuo,” 3Juni 2012. Chuo Kikuu cha Georgetown

BR16-130-03

Page 10: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

®

Mwongozo wa vifaa vya Mahafali wa Elimu wa Texas

Mpango wa Mahafali– Faharasa

Mpango Msingi wa Sekondari Mpango msingi wa mafahali wa alama 22 kwa wanafunzi wa shule za umma za Texas.

Mapendekezo Sehemu za masomo maalum. Hizi sehemu ni:

• Sayansi, Teknologia, Uhandisi na Hisabati (STEM) • Biashara na Viwanda

• Sanaa na Sayansi ya Jamii • Huduma kwa Umma • Masomo ya nidhamu mbalimbali

Wilaya au mkataba unaoidhinisha pendekezo moja tu lazima uwe na idhinisho la Masomo ya nidhamu

mbalimbali.

Daraja ya Kwanza ya Kufuzu Hatua ya juu ya mafanikio ya elimu inayopatikana kwa kwenda zaidi ya mpango msingi wa sekondari.

Unahitaji jumla ya alama 26 za kozi, ikiwemo Aljebra II, alama ya Sayansi ya nne na pendekezo.

Mwanafunzi lazima apate jina hili ili astahili kuwa kwa asilimia 10 ya kiingilio otomatiki kwa chuo kikuu cha

umma cha Texas.

Uungamaji wa Utendaji Wanafunzi wanaweza kupata uungamaji wa ziada kwenye nakala zao kwa sababu ya utendaji

mahiri katika sehemu kama vile kozi za alama mbili na kuongea, kusoma na kuandika lugha zaidi

ya moja; katika uwekaji wa juu, shahada ya kwanza ya kimataifa, PSAT, ACT, ASPIRE , mitihani

ya SAT au ACT; or au kwa kupata cheti cha biashara au viwanda kinachotambulika na serikali,

taifa na mataifa.

Alama ya Kozi Kipimo cha kitengo kutunzwa kwa hitimisho fanisi la kozi. Hitimisho la kozi la muhula mmoja hutoa alama

nusu kwa mwanafunzi.

Cheti cha Nguvu kazi Cheti kinachotambulika cha kiserikali, kitaifa na kimataifa kinachoambatana na ubora wa maarifa na ujuzi

uliotambuliwa na shirikisho au chombo cha serikali kuwakilisha taaluma au kazi fulani na kuthamaniwa na

biashara na viwanda. Kwa mfano cheti cha muuguzi aliyedhibitishwa (CAN) au cheti cha huduma njema ya

magari (ASE) katika kiwanda cha magari.

STAAR Ukadirifu wa Utayari wa Elimu wa jimbo la Texas (STAAR) ni jaribio la kuwajibika la kiserikali linalopeanwa

kila mwaka kwa wanafunzi wa daraja la 3-8 na kwa kozi za sekondari.

EOC Mitihani ya mwisho ya STAAR ni majaribio ya kuwajibika ya serikali yanayopeanwa wakati wa wiki za

mwisho katika kozi ya sekondari. Zaidi ya kukidhi mahitaji ya kuhitimu, wanafunzi wanatakiwa kupita

mitihani ya mwisho wa kozi kupata stashahada kutoka kwa sekondari ya umma ya Texas. Mitihani hiyo

mitano hutolewa wakati mwanafunzi anachukua Kiingereza I na II, Bayolojia, Aljebra I na kozi za historia za

Marekani.

BR16-130-03

Page 11: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

Mwongozo wa vifaa vya Mahafali ya Wakala wa Texas

Dondoo Zangu

Siku Yangu ya Mahafali BR16-130-03

Page 12: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada

Texas Education Agency 1701 N.

Congress Avenue Austin, Texas 78701-1494

512 463-9734

tea.texas.gov

Kimetayarishwa na

Wakala wa Elimu wa Texas kwa ushirikiano na

Bodi Inayoratibu Elimu ya Juu ya Texas Na

Tume ya Nguvu kazi ya Texas BR16-1

Page 13: Mwongozo wa Kupanga Masomo ya Sekondari na …...mwaka wa shule 2014-15 au baadaye. Mpango huu uko na hadi sehemu nne: • Mpango wakfu wa alama 22 ambao ndio kiini cha mpango wa shahada