mfumo na maelezo ya kina ya mpango wa kimataifa wa viwango … · 2017-12-14 · wanakamati wa...
TRANSCRIPT
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
1
VYAKULA
VINYWAJI
Mfumonamaelezoyakinayampangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)
Imetafsiriwanakikundichawatanzaniawanaojishughulishanataalumayalishe:AliceG.Temu,PhD,RegisteredDietitian,GoldenLifeManagement,CanadaAgnesC.Kihamia,MSc.,NutritionSpecialist,NORCAP/UNICEF,Afghanistan
PeterS.Mamiro,PhD,Nutritionist&FoodScientist,SUA,Tanzania
Juni2017
UTANGULIZI
Mpango wa kimataifa wa viwango vya chakula kwa wenye matatizo ya kumeza “The International
VYA KAWAIDA
VYEPESI SANA
LAINI NA UKUBWA WA TONGE LA
KUNG’ATA VILIVYOSAGWA NA VITEPE
VYEPESI
VIZITO KIDOGO
VIZITO KIASI
VIZITO SANA VYA
MAJIMAJI
VILIVYOPONDW
A
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
2
DysphagiaDietStandardisationInitiative(IDDSI)”ulizinduliwamwaka2013kwamadhumuniyakuanzishaistilahinaufafanuzimpyawakimataifakuelezeaurekebishajiwauepesiwavyakulanauzitowavinywajivinavyotumiwanawatuwalionamatatizoyakumezawaumriwowote,katikampangiliowahudumayeyote,nautamaduniwowote.
Miakamitatumfululizoyakaziiliyofanywanakamatiyakimataifayaviwangovyavyakulakwawatuwenyematatizoyakumeza,imetoanakalayamwishoyamfumowaviwangovyavyakulakwawatuwenyematatizoyakumezaambaounahatuazaviwango8,kuanziahatuayachinimpakajuu(0-7).Viwangohivyovinatambulikakwakutumianamba,maandishinarangi.
NakalahiiinatoamaelekezoyaviwangovyotevyaIDDSIkwaundanizaidi.Vielelezivinadhihirishwananjiarahisizavipimoambazozinawezakutumiwanawatuwenyematatizoyakumeza,wahudumu,madaktari,wataalamuwahudumazachakula,amaviwandakuthibitishaviwangovyavyakulavinavyofaa.
NakalahiiinabidiisomwepamojananakalazanjiazaupimajiwaIDDSI,uthibitishajiwaIDDSI,nanakalazamaswaliyanayoulizwamarakwamara(http://iddsi.org/framework/).
Kamatiya IDDSI inapendakutambuahamunaushirikianowa jumuiyayakimataifa, ikiwanipamojanawagonjwa, wahudumu, wataalamwa afya, viwanda, vyama vya wataalam na watafiti. Pia tunapendakuwashukuruwadhaminiwetukwamsaadawaowahalinamali.
Tafadhalitembeleatovutihiiwww.iddsi.orgkwamaelezozaidi
KamatiyaIDDSI:
Wenyeviti:PeterLam(Kanada)naJulieCichero(Australia); Wanakamati:JiansheChen(China),RobertoDantas(Brazili),JaniceDuivestein(Kanada),BenHanson(Uingereza),JunKayashita(Japani),CarolineLecko(Uingereza),MershenPillay(ZAF),LuisRiquelme(Marekani),SoenkeStanschus(Ujerumani),CatrionaSteele(Kanada).
Wanakamatiwazamani:JoeMurray(Marekani)
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)nichombokinachojitegemeanasikwaajiliyakupatafaida.IDDSIinashukuruidadikubwayamashirikanaviwandakwamsaadawakifedhanakadhalika.WadhaminihawajashirikishwakatikakubuniwalakutengenezamfumohuuwaIDDSI.
UtengenezajiwaIDDSI(2012---2015)IDDSIinapendakutambuanakushukuruwadhaminiwafuataokwamsaadawaowahalinamalikuwezeshautengenezajiwamfumowaIDDSI:
• NestléNutritionInstitute(2012---2015)• NutriciaAdvancedMedicalNutrition(2013---2014)• HormelThick&Easy(2014---2015)• Campbell’sFoodService(2013---2015)• apetito(2013---2015)• Trisco(2013---2015)• FoodCareCo.Ltd.Japan(2015)• FlavourCreations(2013---2015)• SimplyThick(2015)• Lyons(2015)
UtekelezajiwamfumowaIDDSIunaendelea.IDDSIinashukurusanawadhaminiwotewanaosaidia
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
3
utekelezaji.http://iddsi.org/about---us/sponsors/
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
4
Maelezo/Tabia
• Kinatiririkakamamaji• Mtiririkowaharaka• Unawezakunywakwanjiayaainayeyoteya
chuchu,kikombe,aumrijaipasavyokulingananaumrinauwezo
Mantikiyamumbileinayofaakwakiwangohikichawororo
• Uwezowakumuduvimiminikavyaainazotekwausalama
Njiayaupimajihttp://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/IDDSIFlowTest*UpimajiwamtiririkowaIDDSI
Kimiminikakinatiririkakupitianchayabombalasindanolamililita10ndaniyasekunde10bilakuachamabaki(angaliamaelekezoyaupimajiwamtiririkowaIDDSI*).
0 VYEPESI SANA
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
5
Maelezo/Tabia
• Kizitokulikomaji• Kinahitajijuhudikidogokunywakulikokimiminika
chepesisana• Kinatiririkakwenyemrija,nchayabombala
sindano,chuchu• Sawanauzitowamaziwayachupayawatoto
wachangaMantikiyamaumbileinayofaakwakiwangohikichauzito
• Zaidisanakinatumikakwawatotowodogokamakinywajikinachomiminikataratibulakinikinapitakwenyechuchu.Kutiririkakwenyechuchukuzingatiwekulingananakesinakesi
Njiayaupimajihttp://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/IDDSIFlowTest*UpimajiwamtiririkowaIDDSI
• Kimiminikakinatiririkakupitianchayabombalasindanolamililita10nakuachakiasichamililita1–4ndaniyasekunde10(rejeamaelekezoyaupimajiwamtiririkowaIDDSI*).
1 VYEPESI
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
6
Maelezo/Tabia
• Kinatiririkakutokakwenyekijiko• Kinanyweka,kinamiminikaharakakutokakwenyekijiko,lakini
taratibukulikokinywajichembamba• Juhudiinahitajikakunywakinywajichauzitohuukwakutumia
mrijawakawaida(mrijawakawaidawenyemzingowainchi0.209aumilimeta5.3)
Mantikiyamaumbileinayofaakwakiwangohikichauzito
• Kamavinywajivyepesivitatiririkakwaharakavidhibitiwekwausalama,vinywajivizitokidogosanavinatiririkakwamwendomdogokidogo
• Inafaaikiwauwezowakuzungushaulimiumepunguakidogo
Njiayaupimajihttp://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/IDDSIFlowTest*UpimajiwamtiririkowaIDDSI
• Kimiminikakinatiririkakupitianchayabombalasindanolamililita10nakuachakiasichamililita4–8ndaniyasekunde10(rejeamaelekezoyaupimajiwamtiririkowaIDDSI*).
2 VIZITO KIDOGO
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
7
Maelezo/Tabia
• Vinawezakunywewakutokakwenyekikombe• Juhudiinahitajikakunyonyakutokakwenyebomba
lamrijawakawaidaaumrijampana(mrijampana=inchi0.275aumilimeta6.9)
• Haviwezikunyonywa,kupangwawalakufinyangwakwenyesahani
• Haviwezikuliwakwakutumiaumakwasababukitadondokakupitiamianyakatiyamenoyauma
• Vinawezakuliwakwakutumiakijiko• Havihitajimchakatowamdomowalakutafunwa-
vinawezakumezwamojakwamoja• Vyepesibila‘vipande’(mabonge,nyuzinyuzi,
vipandevyamagandaaungozi,chembechembezamifupamwororoaumfupamigumu)
Mantikiyamaumbileinayofaakwakiwangohikichauzito
• Kamaulimihauwezikumuduvinywajivizitokidogo(Kiwangocha2),KiwangohikichaVyaMajimaji/VizitoKiasikinawezakufaa
• Kinachukuwamudazaidimdomoni• Kinahitajijuhudikuzungushaulimi• Wenyemaumivuwakatiwakumeza
Njiayaupimajihttp://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/andhttp://iddsi.org/framework/food-testing-methods/IDDSIFlowTest*UpimajiwamtiririkowaIDDSI
Kimiminikakinatiririkakupitianchayabombalasindanolamililita10nakuachakiasichazaidiyamililita8ndaniyasekunde10(rejeamaelekezoyaupimajiwamtiririkowaIDDSI*).
Jaribiolakudondoshamatoneyamtiririkowavyakulakwauma
• Kinadondokataratibukupitiamianyakatiyamenoyauma• Menoyaumahayaachialamasafi• Kinasambaakamakikimwagwakwenyeeneolililosawasawa
Jaribiolakugeuzakijikojuuchini
• Kinamwagikakwaurahisikutokakwenyekijikowakatikimegeuzwajuuchini,hakinganganiikwenyekijiko
Jaribiolavijitivyakulia • Vijitivyakuliahavifaikwawororohuu
Jaribiolakidole
• Haiwezekanikushikasampuliyachakulahikikwakutumiavidole.Hatahivyo,ukikishikachakulahikikinapenyakiurahisikatiyakidolegumbanavidolevinginenakuachaalamazamabakiaumnatokwenyevidoleulivyotumiakukishika.
Ainayavyakulamaalumau Orodhayavyakulavifuatavyoinawezakufaakatikakiwangocha3cha
3 VYA MAJIMAJI VIZITO KIASI
3
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
8
mifanomingine(Orodhahiihainakikomo)
UpimajiwaIDDSI:• Chakulachakwanzachamtotomchanga(ujiwamcheleama
matundayaliyosagwa)• Mchuzi• Majimatamuyamatunda
JaribiolaumakupimamtiririkowaIDDSI:
Kinadondokataratibukwamatonekupitiamianyakatiyamenoyauma
MAJIMAJIVIZITOKIASI
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
9
Maelezo/Tabia
• Kwakawaidahuliwakwakijiko(kwaumainawezekanapia)
• Haviwezikunywewakwakikombe• Haviwezikunyonywakwamrija• Havihitajikutafuna• Vinawezakuvutwa,kupangwaaukusongwa• Vinatiririkataratibukwendachinilakinihakiwezi
kumwagika• Vinaangukakutokakwenyekijikokikiinamishwa
chininakinaendeleakushikiliasurayakekwenyesahani
• Hakunamabonge• Havinati• Sehemuyamajihaitenganinasehemungumuya
chakula
Mantikiyamaumbileinayofaakwakiwangohikichauzito
• Kamaudhibitiwaulimiumepunguakwakiasikikubwa,kiwangohikikinawezakuwarahisikumudu
• KinahitajinguvukidogoyakuinuaulimikulikokwavyakulaVilichosagwanaVitepe(kiwangocha5),LaininaUkubwawaTongelaKung’ata(kiwangocha6)naVyaKawaida(kiwangocha7),lakinizaidikulikoVyaMajimaji/VizitoKiasi(kiwangocha3)
• Hakihitajikung’atawalakutafuna• Kuongezekakwamabakinihatarikamakinanata• Chakulachochotekinachohitajikutafunwa,kukusanywana
kutengenezatongehakifai• Wenyemaumivuwakatiwakutafunaaukumeza• Wenyemapengo,menobandiayasiyotoshavizuri
Njiayaupimajihttp://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/andhttp://iddsi.org/framework/food-testing-methods/IDDSIFlowTest*UpimajiwamtiririkowaIDDSI
• Hakunamtiririkoaumatonekupitianchayabombalasindanolamililita10baadayasekunde10(rejeamaelekezoyaupimajiwamtiririkowaIDDSI*).
4 VILIVYOPONDWAPONDWA VIZITO SANA
4
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
10
Jaribiolamgandamizowauma
• Menoyaumayanawezakuachaalamayamichiriziyaumbolaumajuuyausowachakulana/aukubakinaalamayamgandamizokutokakwenyeuma
• HakunamabongeJaribiolakudondoshamatonekwauma
• Sampuliinakaakamamlima/rundojuuyauma,kiasikidogokinawezakupitakatiyamianyayamenoyaumanakuundakitukamamkia,lakinihakiwezikupitakatiyamianyayamenoyaumaaukuendeleakudondoka
Jaribiolakugeuzakijikojuuchini
• Kinadondokakwaurahisikutokakwenyekijikokikigeuzwajuuchini,hakigandikwenyekijiko
Jaribiolavijitivyakulia
• Vijitivyakulia• havifaikwawororohuu
Jaribiolavidole• Haiwezekanikushikasampuliyavyakulahivikwavidole.Hata
hivyo,wororohuuunatelezakwaurahisikatiyakidolegumbanavidolevinginenakuachaalamayamabakiyachakula
Viashiriakuwasampulininzitosana • Hakidondokikutokakwenyekijikokikigeuzwajuuchini
Vyakulamaalumuaumifanomingine
Ainazifuatazozinawezakuwazinafaakwakiwangocha4chaIDDSI:• Vilichopondwapondwavinafaakwawatotowachanga(kwamfano,
nyamayakusaga,ujimzito)
IDDSIJaribiolakuangushamatonekwauma:
Jaribiolakugeuzakijikojuuchini:Chakulakinabakinaumbolakekwenyekijiko;sioimaranahakinati;chakulakidogokinabakikwenyekijiko
KiasikidogokinawezakupitanakuundakitukamamkiachiniyaumaHakiundidonge,hakipiti,hakitiririkiwalakuendeleakudondoka
kupitiamianyayamenoyauma
Kinakaakamamlimaaulundojuuyauma
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
11
Maelezo/Tabia
• Vinawezakuliwakwakijiko• Maranyinginevinawezakuliwanavijitivyakulia,ikiwamtu
anawezakumudukutumiamikono• Vinawezakuchotwanakuumbwa(mfanowaumbolampira)
kwenyesahani• Laininavitepebilamajimajipembeni• Mabongemadogodogoyanayoonekanakwenyechakula
(ukubwawamilimeta2-4kwawatoto;milimeta4kwawatuwazima)
• Nirahisikusagamabongekwaulimi
Mantikiyamaumbileinayofaakwakiwangohikichauzito
• Havihitajikung’ata• Vinahitajikutafunwakidogo• Nguvuyaulimipekeyakeinawezakutumikakuvunjavipande
vidogolainivyawororohuu• Nguvuyaulimiinahitajikakusukumatonge• Wenyemaumivuauuchovuwakatiwakutafuna• Wenyemapengoaumenobandiayasiyotoshavizuri
Njiayaupimaji
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
Jaribiolamgandamizowauma
• Vikigandamizwanaumavipandevinapitakwaurahisikatikatiyamianyayamenoyauma
• Vinawezakusagwakwaurahisinamgandamizomdogowauma(shinikizohalitakiwikufanyaukuchawadolegumbakupaukakuwamweupe)
Jaribiolakudondoshamatonekwauma
• Sampuliiliyochotwainakaakamabongeaumlimakwenyeumanahaiwezikupitakwaurahisiaukuendeleakutiririkakatiyamianyayamenoyauma
Jaribiolakugeuzakijikojuuchini
• Kinamshikamanowakutoshakushikiliasurayakekwenyekijiko• Kijikokilichojaalazimakidondokekamakikigeuzwajuuchini,
kikigeuzwakwaupande,amakikitingishwakidogo;sampulilazimaiteremkekwaurahisinakuachachakulakidogosanakwenyekijiko,yaanisampulihaipaswikunata
• Kiasikilichochotwakinawezakusambaaamakushukakidogosanakwenyesahani
Jaribiolavijitivyakulia
• Vijitivyakuliavinawezakutumikakuchoteaaukushikiliawororohuuikiwasampuliinaunyevunaimeshikamananamtuanawezakumudukutumiavijitivyakulia
Jaribiolavidole
• Nirahisikushikasampuliyawororohuukwakutumiavidole;ndogolaini,chembezamviringozinawezakusagwakwaurahisikwavidole.Chakulahikikitapelekeahisiayaunyevunaalamayamajimajikwenyevidole.
5 VILIVYOSAGWA NA VITEPE
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
12
Vyakulamaalumuaumifanomingine:
NYAMA• Iliyosagwalainisanaaukukatwavipandevidogovidogosana,msagolaini
(vipandeukubwawamilimeta2-4)• Hutumikanamchuzimzitosana,laininaambaohaumiminiki• Kamawororohuuhauwezikusagwanakuwalainiinatakiwaupondwepondwe
SAMAKI• Iliyopondwakwenyesosiaumchuzilaininamzitosanausiomiminika
TUNDA• Hudumiatundalililopondwapondwa• Chujamajimajiyamatundayaziada
NAFAKA• Nzitosananalainiyenyemabongelaini(milimeta2-4)• Wororouliolainishwakikamilifu• Maziwaamamajiyeyoteyanatakiwayasitenganenanafaka.Chujamajiya
ziadakablayakuhudumiaMKATE
• Mkatewenyejeliauulioloanaambaounaunyevusananaumechovywakwenyejeli
• Usitumiemkatewakawaidawalamkatemkavuisipokuwakwaushauriwamtaalamuwamamboyamatatizoyakumeza
MCHELE• Siowakunataauwakuganda(hasamchelemfupi)nausiwenachembechembe
mojamojaambazozimetenganawakatiukipikwanakupakuliwa(haswamchelemrefu)
Tumianafasikatiyamianyayamenoyaumakuamuakamavipandevilivyosagwanisawaausisawana(kwawatotokiasichamilimeta2hadi4,milimeta4kwawatuwazima)
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
13
Maelezo/Tabia
• Vinawezakuliwakwauma• Vinawezakusagwa/kuvunjwavunjwakwamgandamizowauma,
kijikoauvijitivyakulia• Visuhavihitajikikukatavyakulahivi,lakinivinawezakutumika
kujaziaumaaukijiko• Kutafunakunahitajikakablayakumeza• Laininavitepebilakutofautishasehemuyamajimajinasehemu
ngumuyachakula• Vipandevyaukubwawakiwangochatongekufuatanana
uwezowakutafuna• Watoto,• Watuwazimavipandeukubwawamilimeta15=sentimeta
1.5
Mantikiyamaumbileinayofaakwakiwangohikichauzito
• Havihitajikung'ata• Vinahitajikutafunwa• Nguvuyaulimiinahitajikakuzungushachakulakwaajiliya
kutafunanakuwekachakulamdomoniwakatiwakutafuna• Ulimiunahitajikakuzungushatongekwaajiliyakumeza• Wenyemaumivuauuchovuwakutafuna• Wenyemapengoaumenobandiayasiyoyotoshavizuri
Njiayaupimaji
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/Jaribiolamgandamizowauma • Mgandamizokutokakwenyeumaulioshikwakwaupandeunaweza
kutumikakukatawororohuuvipandevidogovidogo• Wakatisampuliyachakulayenyeukubwawakidolegumba(kama
sentimeta1.5kwasentimeta1.5)inagandamizwakwakutumiamgongowaumakiasikwambakidolegumbakinapaukanakuwacheupe,sampuliinasagikanakubalikaumbo,nahairudiikatikaumbolakelaawaliwakatiumaumeondolewa
Jaribiolamgandamizowakijiko
• Mgandamizokutokakwenyekijikokilichoshikwakwaupandekinawezakutumikakukatawororohuuvipandevidogovidogo
• Wakatisampuliyenyeukubwawakidolegumba(kamasentimeta1.5kwasentimeta1.5cm)inagandamizwanamgongowakijiko,sampuliinapondekanakubadilikaumbo,nahairudiikatikaumbolakelaawaliwakatikijikokimeondolewa
Jaribiolavijitivyakulia • Vijitivyakuliavinawezakutumakuvunjawororohuukatikavipandevidogovidogo
Jaribiolavidole • Tumiasampuliyenyeukubwawakidolegumba(kamasentimeta1.5kwasentimeta1.5).Inawezekanakusagasampuliyawororohuukwa
LAINI NA UKUBWA WA TONGE LA
6
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
14
kutumiamgandamizowavidolekiasikwambakidolegumbanavidolevinginevinapaukakuwavyeupe.Sampulihaitarudiaumbolakelaawaliwakatiumeachakugandamiza.
Vyakulamaalumuaumifanomingine:
NYAMA • Nyamailiyopikwa,lainiisiyozidiukubwawasentimeta1.5kwasentimeta1.5• Kamahaiwezikuhudumiwakwawororohuuhauwezikatikaukubwawasentimeta1.5kwasentimeta1.5,
hudumiailiyosagwanayenyeunyevunyevuSAMAKI
• Samakiiliyopikwalainiyakutoshakuvunjwavipandevidogovidogokwauma,kijikonavijitivyakulia• Hakikishahakunamifupa
MSETO/MCHUZI/SOSI• Mchuzilazimauwemzito• Unawezakuwananyama,samakiamaembogambogakamabaadayakupikwanilainivipandehavizidi
ukubwawasentimeta1.5kwasentimta1.5• Hakikishahakunamabongemakubwa
MATUNDA• Tumiayaliyosagwa• Sehemuyakambakambayatundahaifai• Chujajuisiyaziada• Tathminiuwezowamtukulamatundayenyemajimengi(mfanotikitimaji)ambapojuisiinatenganana
sehemungumuyatundamdomoniwakatiwakutafunaMBOGAMBOGA
• MbogambogazilizopikwakwamvukeaukuchemshwazenyeukubwawaSentimeta1.5kwasentimeta1.5baadayakupikwa
• MbogambogazakukaangamaranyingihuwangumunasiolainiNAFAKA
• Nyororonayenyemabongelainiyasiyozidiukubwawasentimeta1.5kwasentimeta1.5inakubalika• wororoumelainishwakikamilifu• Majiyaziadalazimayakaushwe
MKATE• Hakunakutumiamkatempakamtuamefanyiwatathmininamtaalamuwamatatizoyakumezakuona
kwambainafaa,kwamisingiyamtubinafsiMCHELE
• Usiwenachembechembe/chenga,wakunataauwakuganda
• Ukuchawakidolegumbaunapaukakuwamweupe• Sampuliinasagwanahairudiisurayakeyaawaliwakatimgandamizoumeondolewaauwakatiumeacha
kugandamiza
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
15
LAINI NA UKUBWA WA TONGE
Ukuchawakidolegumbaunapaukakuwamweupe
Sampuliinasambaratikanakuharibika,nahairudiisurayakeyaawaliwakatimgandamizoumeondolewa
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
16
Maelezo/Tabia
• Vyakulavyakawaida,vyakulavyakilasikuvyamifumombalimbaliambayovinafaakimaendeleonakwaumrisawia
• Mbinuyeyoteinawezakutumikakwakulavyakulahivi• Vyakulavinawezakuwavigumu,vyakutafunikaamalainikiasilia• Ukubwawasampuliyangaziya7haunavipingamizi,kwahiyo
vyakulavinawezakuwanaukubwambalimbali• Vipandevidogoauvikubwakulikomilimeta8(Watoto)• Vipandevidogoauvikubwakulikomilimeta15sawana
sentimeta1.5(Watuwazima)Hakunavikwazovyawororokatikangazihii• Nipamojanavipandevigumu,vyakutafunika,vyenye
nyuzinyuzi,vikavu,auvinavyomeguka• Nipamojanavyakulaambavyovinambegu,nyuzinyuzindaniya
ngozi,magambaaumifupa• Nipamojanavyakulanavinywajivyanamnambiliamanamnaya
mchanganyiko
Mantikiinayofaakwakiwangohikichauzito
• Uwezowakung'atavyakulavigumuaulaininakutafunakwamudawakutoshakiasikwambakuundamshikamanolainikamatongeambalolikotayarikumezwa
• Uwezowakutafunavyakulavyamifumoyotebilakuchokakiurahisi
• Uwezowakuondoamfupaaumifupalainimdomoniambayohaiwezikumezwakwausalama
Njiayaupimaji
Haihusiani
VYA KAWAIDA
7
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
17
Maelezo/Tabia
• Vyakulaambavyovinaanzakamawororofulani(mfanokigumu)halafuvinabadilikakuwawororomwinginehasawakativinaunyevu(mfanomajiaumateyametumika),auwakatimabadilikoyahaliyajotoyametokea(mfanokupashajoto)
Mantikiyamaumbileinayofaakwakiwangohikichauzito
• Havihitajikung'ata• Vinahitajikutafunwakidogo• Ulimiunawezakutumikakuvunjavyakulahivimarajoto
linapobadilikaaukwakuongezaunyevu/mate• Inawezakutumikakwaajiliyakufuatiliamaendeleoauujuziwa
kutafunaupya(mfanomaendeleoyakutafunakwawatotonawalemavu,kujifunzatenakutafunabaadayakiharusi
Njiayaupimaji
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/Jaribiolamgandamizowauma • Baadayaunyevuaujotokutumika,sampuliinawezakuharibiwa
surakwaurahisinabilakurudiasurayakeyaawaliwakatiunapoachakugandamizanauma.
• Tumiasampuliyenyeukubwawaukuchawakidolegumba(makadirioyasentimeta1.5kwasentimeta1.5),Wekamajimililita1kwenyesampulinakusubiridakikamoja.Gandamizakwakutumiamgongowaumampakakidolegumbakipaukenakuwacheupe.Sampuliniyachakulachampitoikiwabaadayakuondoamgandamizowaumaauukiachakugandamizanauma:
• Sampuliimepondwanakusambaratikanahaionekanikatikasurayakeyaawali.
• Auimeyeyukakwakiasikikubwanahaionekanitenakatikasurayakeyaawali(mfanovipandechabarafu).
Jaribiolakugangamizanakijiko • Kamahapojuu,tumiamgongowakijikobadalayauma.
Jaribiolavijitivyakulia
• Tumiasampuliyenyeukubwawaukuchawakidolegumba(makadirioyasentimeta1.5kwasentimeta1.5),wekamajimililita1kwenyesampulinausubiridakikamoja.Sampuliinatakiwaivunjikekwaurahisikwakutumiavijitivyakuliakwakugandamizakidogo.
Jaribiolavidole
• Tumiasampuliyenyeukubwawaukuchawakidolegumba(makadirioyasentimeta1.5kwasentimeta1.5),wekamajikwenyesampulinausubiridakikamoja.Sampuliitasambaratikakabisakwakusuguasampulikatiyakidolegumbanakidolechakunyooshea.Sampulihaitarudiasurayakeyamwanzo.
Vyakulamaalumuaumifanomingine:Wororohuunipamojana,nasiotu:
VYAKULA VYA MPITO
Mpangowakimataifawaviwangovyachakulakwawenyematatizoyakumeza(IDDSI)namaelezoyakevimesajiriwana
CreativeCommons Attribution---Sharealike 4.0 International Licensehttps://creativecommons.org/licenses/by---sa/4.0/
10Oktoba,2016
18
• Vipandevyabarafu• Barafukamaimefanyiwatathmininamtaalamuwamamboyakumezanainafaa• Kipandechajeliyakijapaniyamafunzoyakumezaukubwawamilimeta1kwamilimeta15• Mkate(pianipamojanamkatewakushirikiwakidini)• Mkatewaunaotumikakushikiliabarafu• Baadhiyabiskuti• Chipsizaviazi–ainayakusagikatu(mfanoPringlesambazonichipsizilizotegenezwakwamchanganyikowa
ungawaviazinangano)• Biskuti• Chipsizenyeladhayasamakikamba
MifanomaalumuinayotumikakwawatotoauwatuwazimakudhibitimatatizoyakumezaVyakulavinavyopatikanakibiasharaambavyonivyawororowampitovimeonyeshwakatikapichahapachininipamojana,nasiotu:
• VeggieStixTM• CheetoPuffsTM• RicePuffsTM• BabyMumMumsTM• GerberGraduatePuffsTM• Mifanoyavyakulavyampito• Cheesepuffs• Wafers
Mifanoyavyakulavyampito• Cheesepuffs
• Wafers
Kipandechajeliyakijapaniyamafunzoyakumeza–tambuaukubwaumekatwawamilimeta1kwamilimeta15http://image.rakuten.co.jp/iryosyoku/cabinet/03511530/03511532/img59981825.jpg
UkuchawakidolegumbaumepaukakuwamweupeSampuliimesagwanakuvunjika,nahairudiisurayakeyaawalimgandamizoukiondolewaauunapoachakugandamiza

19
Ukuchawakidolegumbaunapaukakuwamweupe
Sampuliinasambaratikanakuharibika,nahairudiisurayakeyaawaliwakatimgandamizoumeondolewa