shule inatangaza nafasi za masomo ya pre-form one ambayo ... · mbozi, mkoa wa mbeya, kilomita nane...
TRANSCRIPT
Shule inatangaza nafasi za masomo ya Pre-Form One ambayo
yataendeshwa kuanzia tarehe 15/09/2014 hadi tarehe 12/12/2014 na
masomo ya form one kwa mwaka 2015. Fomu zimeanza kutolewa
katika maeneo yafuatayo:-
Songwe Sunrise secondary school.
Makao makuu ya kanisa la Uinjilisti Mbalizi Mbeya Tanzania.
Chuo cha Sayansi za Jamii Ifisi.
Pia unaweza kupata fomu za kujiunga na shule kwenye tovuti ya
shule ambayo ni www.mec-tanzania.ch/songwe sunrise
secondary school.
KWA MAWASILIANO
ZAIDI
Mkuu wa shule Songwe Sunrise Secondary School
P.O.Box 219 Mbeya, Tanzania Simu: +255755115278
[email protected] www.mec-tanzania.ch/songwe sunrise secondary school
UMTUMIKIE MUNGU NA KUWAHUDUMIA WATU
KARIBU
Ukumbi mkubwa na wa
kisasa
Darasa la Kompyuta
Maabara
MABWENI NA CHAKULA
Shule ina mabweni mazuri na ya kisasa kwa wavulana na wasichana na pia inatoa chakula bora kwa wanafunzi.
Shule inamilikiwa na Kanisa la Uinjilisti Mbalizi chini ya
ujenzi na usimamizi wa Mch. Markus Lehner akishirikiana na
makamu wake Tito Nduka. Shule ina walimu wa kutosha
wenye sifa stahiki katika masomo yote wakiongozwa na mkuu
wa shule Mwl. John Mahali.
Mwl. John Mahali
Mkuu wa shule
Mch. Markus Lehner
Mkurugenzi wa maendeleo na msimamizi
wa ujenzi wa shule.
UONGOZI NA MASOMO
Masomo ya sayansi
Mathematics, Chemistry, Physics, Biology na Computer
MASOMO YANAYOFUNDISHWA
KARIBU SONGWE SUNRISE SECONDARY SCHOOL
Songwe Sunrise Secondary School ni shule ya bweni na
kutwa yenye kufundisha masomo ya kidato cha kwanza
hadi cha nne na cha tano hadi cha cha sita. Inamilikiwa na
Kanisa la Uinjilisti Mbalizi lenye makao yake makuu
Mbalizi Mbeya Tanzania. Shule imesajiliwa na Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi, namba ya usajili ni S4752 na
kituo cha mtihani cha Baraza la Mitihani Tanzania ni
namba S5236.
Shule inapatikana katika kijiji cha Songwe wilaya ya
Mbozi, mkoa wa Mbeya, kilomita nane (8) kutoka ulipo
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe (Songwe
International Airport). Shule ipo kandokando ya barabara
kuu iendayo Tunduma.
Ili kufika shuleni unatakiwa kutumia magari yanayoelekea
Tunduma kutokea Mbeya. Kwenye barabara hiyo shule ipo
karibu na kituo cha mabasi cha Festoni hapo kipo kibao cha
shule yetu kitakachokuongoza mahali shule ilipo.
Madarasa mazuri na yenye nafasi ya kutosha
MAZINGIRA YAKUFUNDISHIA
Shule ina mazingira mazuri na majengo yakutosha kufundishia kama vile:-
Jengo la utawala
Tito Nduka Makamu mkurugenzi.
Masomo ya sanaa
Civics, English, Kiswahili Geography na Historia
Masomo ya biashara
Commerce na Book keeping
B. KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2015
A. PRE-FORM ONE MWAKA 2014
Masomo yanayofundishwa ni:
-Kiingereza
-Kiswahili
- Na masomo mengine kwa muundo wa baseline.