freemason thang

5
UTAWALA WA FREEMASONS KATIKA BIBLIA TAKATIFU Somo 1 UTAWALA WA FREEMASONS KATIKA BIBLIA TAKATIFU ALFAJIRI, kuamkia Jumamosi, Desemba 30. mwaka 2006,mtawala wa nchi uliko Mto mkubwa, Frati,Saddam Hussein, akanyongwa kwa kamba hadi kufa. Mahali walipomnyonga, panaitwa Camp Justice; walimnyonga kwa makosa ya ubinadamu,huko Kaskazini mwa Baghdad. Saddam alinyongwa mbele ya Wairak wachache, na dunia ilishuhudia tukio hilo katika televisheni; akina Mouwafik al- Rubaie,Mshauri wa Usalama wa Irak, alikuwepo Camp Justice. Nataka msomaji atambue jambo muhimu na la msingi sana. Kwamba, Marekani kuivamia Irak na kumpindua Saddam Hussein mwaka 2003, wakang‟oa sanamu yake jijini Baghdad, ilikuwa kutimiza unabii muhimu sana. Sababu zote walizosema juu yake kwamba alikuwa na silaha za kuangamiza,ulikuwa umbeya mtupu- mengi wanayosema Marekani dhidi ya viongozi wanaohitilafiana nao ni uongo tu; utaona hapa chini. Ilikuwa kuashiria kuanguka kwa Dola lenye nguvu huko Mashariki, na kando ya mito miwili ya Tigris na Euphrates.Lilikuwa jambo muhimu katika historia ya dunia. Kunyongwa kwa Saddam mbele ya kamera za televisheni,ilikuwa kuwaambia magamngwe wachache wasiotii mamlaka za Magharibi,kwamba dawa yao ni kitanzi,risasi na kifo! Siku ya mauti yake,Saddam alikabidhi kitabu chake cha Koran alichokumbatia kifuani, akasali, wakamsomea sababu za kifo chake kwamba aliwaua Washia 148 huko Dujail mwaka 1982; akakubali kusalimu amri na kufa kistaarabu! Ndivyo zilivyokoma enzi za Saddam ambazo wao waliziita, The Dark Period. Gaddafi naye ameuliwa baada ya kusalim amri,akapigwa risasi huku akiomba msamaha,utadhani aliwakosea hao wauaji peke yao! Feburuari mwaka jana, ikatangazwa kwamba Osama bin Laden ameuliwa huko Pakistan,juzi tukaona kwenye televisheni nyumba aliyoishi ikabomolewa na matingatinga,ili mahujaji wasifululize kwenda kuhiji mahali hapo! Naam. Juzi tukatazama katika televisheni,ya kwamba eti mwaka 1988 huko Lockerbie, Scotland, siyo maofisa Usalama wa Libya, akina Megrahi waliolipua ile ndege ya Marekani ya Pan American Airways! Nilimwona Al-Megrahi katika kitanda cha mauti anapougulia maumivu ya Saratani baada ya kuachiwa huru akisema, alifungwa kwa uonevu tu-Hao ndiyo Marekani Bwana!

Upload: joseph-abraham

Post on 16-Feb-2016

69 views

Category:

Documents


0 download

DESCRIPTION

ulimwengu

TRANSCRIPT

Page 1: Freemason Thang

UTAWALA WA FREEMASONS KATIKA

BIBLIA TAKATIFU

Somo 1 UTAWALA WA FREEMASONS

KATIKA BIBLIA TAKATIFU ALFAJIRI, kuamkia Jumamosi, Desemba

30. mwaka 2006,mtawala wa nchi uliko Mto mkubwa, Frati,Saddam Hussein,

akanyongwa kwa kamba hadi kufa.

Mahali walipomnyonga, panaitwa Camp Justice; walimnyonga kwa makosa ya

ubinadamu,huko Kaskazini mwa Baghdad.

Saddam alinyongwa mbele ya Wairak wachache, na dunia ilishuhudia tukio hilo katika

televisheni; akina Mouwafik al-Rubaie,Mshauri

wa Usalama wa Irak, alikuwepo Camp Justice. Nataka msomaji atambue jambo muhimu na

la msingi sana. Kwamba, Marekani kuivamia

Irak na kumpindua Saddam Hussein mwaka 2003,

wakang‟oa sanamu yake jijini Baghdad, ilikuwa

kutimiza unabii muhimu sana. Sababu zote walizosema juu yake kwamba alikuwa na silaha za kuangamiza,ulikuwa

umbeya mtupu- mengi wanayosema Marekani

dhidi ya viongozi wanaohitilafiana nao ni uongo tu; utaona hapa chini.

Ilikuwa kuashiria kuanguka kwa Dola lenye nguvu huko Mashariki, na kando ya mito

miwili ya Tigris na Euphrates.Lilikuwa jambo

muhimu katika historia ya dunia.

Kunyongwa kwa Saddam mbele ya kamera za

televisheni,ilikuwa kuwaambia magamngwe wachache wasiotii mamlaka za Magharibi,kwamba dawa yao ni

kitanzi,risasi na kifo!

Siku ya mauti yake,Saddam alikabidhi kitabu chake cha Koran alichokumbatia kifuani,

akasali, wakamsomea sababu za kifo chake kwamba aliwaua Washia 148 huko Dujail

mwaka 1982; akakubali kusalimu amri na kufa kistaarabu!

Ndivyo zilivyokoma enzi za Saddam ambazo

wao waliziita, The Dark Period. Gaddafi naye ameuliwa baada ya kusalim amri,akapigwa risasi huku akiomba

msamaha,utadhani aliwakosea hao wauaji peke

yao! Feburuari mwaka jana, ikatangazwa kwamba

Osama bin Laden ameuliwa huko Pakistan,juzi

tukaona kwenye televisheni nyumba aliyoishi ikabomolewa na matingatinga,ili mahujaji

wasifululize kwenda kuhiji mahali hapo! Naam. Juzi tukatazama katika televisheni,ya

kwamba eti mwaka 1988 huko Lockerbie, Scotland, siyo maofisa Usalama wa Libya, akina

Megrahi waliolipua ile ndege ya Marekani ya

Pan American Airways! Nilimwona Al-Megrahi katika kitanda cha mauti

anapougulia maumivu ya Saratani baada ya kuachiwa huru akisema, alifungwa kwa

uonevu tu-Hao ndiyo Marekani Bwana!

Page 2: Freemason Thang

Hata Syria watashinda,maana imeandikwa Marekani na washirika wake wataushinda

Ulimwengu,kwa kuwa husaidiwa na Freemasons, Illuminanti na Ibilisi

mwenyewe,Mfalme wa Dunia hii. Dola la Kisovieti(USSR) lilishashindwa kusimama kijeshi kama dola kuu la dunia,

akina Mikail Gorbachev walishajikabidhi

Washington kitambo-Urusi imebaki kwa akina Putin watu

dhaifu. Nataka nikwambie msomaji. Dikteta wa

zamani wa Yugoslavia,Slobodan Milosevic aliondoka

kitini mwa enzi kwa „Nguvu ya Umma‟ mwaka

2000, akamwachia kiti Vojislav Costunica huko Serbia ya sasa.

Marekani na washirika wake walimpeleka Milosevic huko Hague kujibu mashitaka ya

uhalifu wa vita na haki za binadamu. Amini usiamini,ndani ya kampeni kali ya Haki za

Binadamu, Ibilisi anaongoza harakati dunia nzima=haki za mashoga, haki za akina

mama hata kuwachapa makonde akina baba, kampeni

za kunyimana unyumba, n.k Watawala wa nchi za „Mrengo wa Kushoto

waliopinduliwa na Marekani,ni wengi sana akina Noriega huko Amerika Kusini.

Korea Kaskazini,haitashambuliwa tena kijeshi.

Bada ya kifo cha Kim Jong Il, akaingia mtoto,”Chekechea” Kim Jong Un katika siasa za

Ulimwengu, bila shaka Korea itaacha kutengeneza Nyuklia kwa kupewa mafuta na

fedha taslim,na itaachana na kuabudu miungu

yao na kujiunga na „Dini Maalum‟ basi,hakutakuwa na maneno tena.

Tatizo ni Iran. Juma lililopita,tuliona kitisho cha

vita huko Iran ikizidi kuishupalia Israeli na kukomaza shingo yake kukabiliana na Marekani

na Washirika wa Magharibi. Tumejifunza katika makala zilizotangulia

kwamba Marekani na washirika wake na Israeli, Vatican wanaandaa mfumo mpya wa

utawala na ibada(Soma Ufunuo wa Yohana 17:1-17).

Mataifa yenye nguvu duniani, yatakuwa yanabeba mgongoni mwake madhehebu Fulani

ya kidini,ambayo kila mtu analazimika kuyakubali mafundisho yao na falsafa yao

ya kumpinga Mungu muumbaji. Turejee katika unabii wa Ufunuo wa Yohana

13:1-10.Kuna wasomaji wananiuliza Dini itabadilikaje na kuwa mamlaka ya siasa?

Ufalme wa mwisho duniani, baada ya Marekani kuitiisha dunia nzima kwa kushirikiana na

iliyokuwa dola ya Rumi, ni ule unaomkufuru

Mungu. Kumkufuru Mungu ni binadamu kujiita Mungu; ni mamlaka ya ibada,kuabudu dini

Fulani na mtu Fulani anayesema yeye siyo mwakilishi wa MUNGU tu,bali ni Mungu.

Shetani mwenyewe ataipa dini hii mamlaka yake (Ufunuo13:2).Freemasons,Illuminanti

wataipa nguvu Marekani na washirika wake,Ulaya

na Israeli, watampa mfalme wa kidini mamlaka yao

yote na viti vyao vya enzi na uwezo mwingi na

dunia itashangaa kwa mamalaka na uwezo wake.

Page 3: Freemason Thang

Katika Unabii wa Biblia,mnyama ni ufalme,mamlaka Fulani na siyo mtu binafsi.

(Danieli 7:17),mnyama huyu anayezungumzwa

na manabii Yohana na Danieli atainuka Ulaya,mahali palipokaliwa na watu wengi tangu

zama za Yohana mwaka 96 AD. Marekani na washirika wake, wakipewa

nguvu na nguvu za giza za Ibilisi, Freemasons,Illuminanti n.k watampa

mamlaka yao mfalme ajaye, baada ya Marekani

kuitiisha dunia na kuondoa demokrasia kwa Sheria – NEW World Order (Ufunuo 13:13).

Ajenda ya hawa wote ni kumpinga Mungu muumbaji wa dunia. Tabia ya ufalme huu

ujao duniani imezungumzwa vizuri kabisa. Ufalme huu wa Ufunuo 13:2 UNASEMWA

kwamba ulikuwa mfano wa CHUI, huyu chui

alikuwa na miguu ya DUBU, kichwa chake kilikuwa cha SIMBA na aliwabeba madikteta 10

ambazo ni mihimili 10 za mataifa ya Ulaya leo,

katika eneo lile la dola ya Rumi ya kale. Turejee katika ndoto ya Mfalme Dikteta Nebuchadnezzar, zama za Nabii Danieli

katika sura ya Pili na Saba ya kitabu cha Danieli.

Kuna historia ya dunia,zamani hata siku hizi. Nabuchadnezzar alioneshwa njozi kwamba

baada yake kungekuja falme nyingine nyingi.

Kwa mhtasari, sura ya saba ya kitabu cha Danieli,tunaambiwa kwamba mnyama SIMBA ni

ufalme wa Babeli(603-538 BC). Ufalme huu wa Babeli (siku hizi Irak)

ulipinduliwa Oktoba 13,mwaka 539 na Cyrus The

Great, unaweza kusema Koreshi. Ufalme wa Pili baada ya

Nebuchadnezzar,ulikuwa UMEDI na UAJEMI

waliunda serikali ya mseto, na wanafananishwa na DUBU aliyejiinua upande mmoja wa

mshirika wa utawala huu wa mseto.Wakawashinda

wafalme watatu ndizo mbavu tatu mdomoni mwa dubu huyu mkali, ulianza kutawala 538 hadi 331 BC.

Ufalme unaofananishwa na CHUI ni Ugiriki ya

sasa iliyoitwa Uyunani. Siku hizi Ugiriki ni dhaifu inayochangiwa fedha na ukanda wa Euro

zone, ili wasifilisike. Ugiriki ilianza kutawala

dunia mwaka 331 wakati wa Alexanda Mkuu, wakaja kupinduliwa na Rumi Oktoba

13,mwaka 168 BC.

Dola ya Rumi inafananishwa na MNYAMA wa ajabu!! Alikula na kuponda kwa mkono wa

chuma, na ulianza kutawala dunia Januari 22 mwaka 168 BC hadi kupinduliwa na

kugawanyika katika falme ndogo 10 za Ulaya leo, na nitazitaja. Ulikuwa mwaka 476 AD.

Dola hii ilitawala kwa karne zaidi ya sita. Soma

pia Danieli 2:41. Baada ya hapa,tumeona akina Napoleon

Bonaparte ,Julius Caesar, Adolf Hitler na wenzao

wakijaribu kuiunganisha Ulaya,na dunia nzima wakashindwa vibaya.Tumeona vita vya

dunia juma lililopita.

Sasa, tutazame tabia za falme hizi nne za Nabii

Page 4: Freemason Thang

Danieli ambazo yule Mfalme wa Ufunuo 13:1-10

ana nasaba nazo. Mfalme wa Ufunuo 13 ana fanana na CHUI,

ana tabia ya ufalme wa Ugiriki ama Uyunani. Tunawajua Wagiriki, sifa yao ni

FALSAFA.Wale “Great Thinkers” wametokea Ugiriki.

Socrates, Plato, Aristotle(384-322, BC) hawa wametuachia

maarifa ya sayansi. Masomo kama Biology, Chemistry, Geology, Zoology, Physics,

Psychology, Astronomy n.k yametoka kwao. Kwa hiyo, Mfalme huyu wa Ufunuo 13:1-10 ana

vaa „ngozi‟ tabia za CHUI-Ugiriki, sayansi,usomi,falsafa,ujanja ujanja.

Wagiriki, wanajulikana kwa academy zao na ibada ya masanamu. Eti kulikuwa na miungu 391

iliyoishi katika kilele cha Mlima Olympus. Socrates akaipinga hiyo miungu,akasema

kulikuwa na Mungu mmoja Mbinguni, wakampa sumu ainywe baada ya kukataa kutubu.

Socrates alikufa kwa kuipinga miungu ya mlima

Olympus! Yako mengi Ugiriki, michezo ya Olimpiki hiyo

itakayochezwa London Juni mwaka huu,na mbio

za Marathon. Siku nyingine nitaandika juu ya hili,leo niliache.

Mfalme ajaye atakuwa na mwenendo kama Ugiriki, ataleta maarifa na falsafa na ibada

ya miungu nitakayotaja kitambo. Atakuwa na miguu(mwendo) kama wa

UMEDI na UAJEMI, serikali ya mseto iliyoanzisha

duniani SHERIA.Sheria za kwanza zimetungwa

na Wamedi na Wajemi na hazikubadilika (Danieli 6:15,17)na pia ibada ya sanamu

iliyomtupa Danieli katika tundu la samba wakali

wenye njaa. Mfalme huyu atakuwa na kinywa kama na kinywa kama SIMBA, atanena kama

BABELI, kutengeneza masanamu na kulazimisha kila

mtu kuyasujudia. Masanamu ni kinyume cha Amri ya

Pili ya Mungu. Danieli 3 na 6 KUNA HADITHI ya Ibada

ya masanamu. Mfalme wa Ufunuo 13:1-10 atakuwa na

tabia za Rumi ya kale. Tuujadili kidogo ufalme wa

Rumi. Ibada ya sanamu na miungu iliyorithiwa kutoka

Babeli,Umedi, Misri,Ugiriki n.k. Baadhi ya miungu ya Rumi, Aphrodite ambaye ni

VENUS. Mfumo wa sayari,nyota na mwezi viliabudiwa

na Warumi. Mars ndiye Ares kwa Wagiriki, Artemy ndiye Diana, chimbuko la

kumwabudu Bikra Maria siku hizi. Athena, Saturn,Pluto,Mercury,Uranus,Zeus ndiye

Jupiter kiongozi wa miungu-orodha ni ndefu.

Kila mungu alipewa siku maalum ya ibada. Saturday, ni kwa ajili ya mungu Saturn, Sunday

ni siku ya mungu Jua yaani Sun‟s day! Ibada ya jua ni Mithras, Isis wa

Misri,Demeter wa Ugiriki,orodha ya miungu ni ndefu. Mfalme huyu wa Ufunuo 13:1-10 atapewa

mamlaka na shetani, atapewa kiti chake cha enzi

na uwezo mwingi, soma fungu la pili. Sasa, Urusi

Page 5: Freemason Thang

ama Iran watatawala wapi dunia? Tumejifunza kuhusu „donda la

mauti‟kupona Feburuari 10 mwaka 1929 na kwamba

utawala huu uliwahi kutiwa jeraha Feburuari 11 mwaka

1798 wakati wa maasi ya Wafaransa. Dunia nzima itashangaa kuona mfalme ajaye

anasujudiwa kama Mungu kwa lazima na hakuna demokrasia tena na uhuru wa dini- Religious Liberty.

Ufalme wa kidini utaongoza dunia na kutoa amri(sheria kali) wale wasiosujudu sanamu

wauawe ufunuo 13:15,17. Sitafsiri unabii kama nipendavyo,tusome Danieli 7:17 hadi 24.

Mnyama huyu atamkufuru Mungu-kumkufuru

Mungu ni mwnadamu kujiita Mungu Danieli 17:17,18 NI „Pembe Ndogo‟ ya Danieli ambayo ni

mamlaka hii ya ufunuo 13:1-10. Pembe yenye

macho(Intelligence) na mdomo wa kumkufuru Mungu yaani utawala wa dini.

Mataifa ya Ulaya yanayosemwa kuwa ni vichwa

saba yaani falme saba ni Anglo-Saxons (Uingereza),Alemanni(Ujerumani),Visigoths (Hispania),Franks

(Ufaransa),Lombards(Italia),Suevi(Ureno) na

Heruli, Ostrogoths na Vandali, walipinduliwa na utawala wa 538 hadi 1798 AD, YAANI

MIEZI 42, SIKU 1260, Wakati nyakati mbili na nusu

wakati. Usikose toleo lijalo uone AJENDA YA SIRI ya

Ulaya,Marekani kuunda Dola la mseto wa dini na

serikali duniani kwa ufadhili wa Freemasons,Illuminanti na Ibilisi.