the registered trustees of water …6 the registered trustees of water technicians fund (mfuko wa...

16
1 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND C/o Water Development & Management Institute; P.O Box 35059 Dar es Salaam, Tel: +255 (0)22-24100410; Mobile: +255 0718 432360 Email: [email protected]; website: www.rtwtf.or.tz 11 th April, 2016 CALL FOR LOAN APPLICATIONS FOR STUDENTS ENROLLED AND NEW STUDENTS TO BE ENROLLED The Registered Trustees of the Water Technicians Fund (RTWTF) is inviting students enrolled and new students applying to be enrolled at the Water Development and Management Institute (WDMI) for Basic Technicians Certificate and Diploma Courses to apply for loans for the 2016/2017 academic year. The specific criteria of students who qualify for the loans are in the operational guidelines for 2016/2017. Interested students should READ and familiarize themselves with the requirements prior to making the application. Forms are available at The Registered Trustees of the Water Technicians Fund (RTWTF) website www.rtwtf.or.tz and Water Development and Management Institute (WDMI) website www.wdmi.ac.tz as from 18 th April 2016 Latest by 30 th August 2016 before 1600Hrs. Completed application forms along with the loan agreements should be addressed to: THE CHAIRPERSON, WATER TECHNICIANS FUND, P.O BOX 35059. DAR ES SALAAM. For any enquires, contact the RTWTF office at WDMI Premises Ubungo, University Road- DSM from 0830Hrs to 1500Hrs Monday-Friday.

Upload: others

Post on 23-Mar-2020

1 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

1

THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND

C/o Water Development & Management Institute; P.O Box 35059 Dar es Salaam,

Tel: +255 (0)22-24100410; Mobile: +255 0718 432360

Email: [email protected]; website: www.rtwtf.or.tz

11th April, 2016

CALL FOR LOAN APPLICATIONS FOR STUDENTS ENROLLED AND NEW STUDENTS TO BE ENROLLED

The Registered Trustees of the Water Technicians Fund (RTWTF) is inviting students enrolled and new students

applying to be enrolled at the Water Development and Management Institute (WDMI) for Basic Technicians

Certificate and Diploma Courses to apply for loans for the 2016/2017 academic year.

The specific criteria of students who qualify for the loans are in the operational guidelines for 2016/2017.

Interested students should READ and familiarize themselves with the requirements prior to making the

application.

Forms are available at The Registered Trustees of the Water Technicians Fund (RTWTF) website www.rtwtf.or.tz

and Water Development and Management Institute (WDMI) website www.wdmi.ac.tz as from 18th April 2016

Latest by 30th August 2016 before 1600Hrs.

Completed application forms along with the loan agreements should be addressed to:

THE CHAIRPERSON,

WATER TECHNICIANS FUND,

P.O BOX 35059.

DAR ES SALAAM.

For any enquires, contact the RTWTF office at

WDMI Premises Ubungo,

University Road- DSM

from 0830Hrs to 1500Hrs Monday-Friday.

Page 2: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

2

THE REGISTERED TRUSTEES OF THE WATER TECHNICIANS FUND

GUIDELINES AND CRITERIA FOR ISSUANCE OF STUDENT LOANS AND GRANTS FOR 2016/2017 ACADEMIC YEAR

BACKGROUND

The Registered Trustees of the Water Technicians fund was registered in March 2013 with the sole purpose of

providing loans to students enrolled at the Water Development and Management Institute.

According to the RTWTF handbook, eligible students who secure admission in the Water Development and

Management Institute may seek loans from RTWTF to meet part of, or all costs of their education.

Section 5.1 of the RTWTF handbook states that eligible students:

Are Tanzanians.

Have been admitted to the Water Development and Management Institute (WDMI) or

continuing students of WDMI who have successfully passed the examinations necessary to enable them

to advance to the following year.

Have completed and submitted the WTF’s student Loan Application Forms.

Are unable to finance their studies at WDMI.

Meet other student Loan Eligibility Guidelines as maybe issued by the Board of WTF from time to time

On the strength of above criteria, the board are hereby issuing Guidelines and Criteria to prospective loan

applicants and the public at large to guide the whole process of application and issuance of loans for 2016/2017

academic year.

ELIGIBILITY FOR LOANS FOR 2016/2017 ACADEMIC YEAR

Eligible students for loans in 2016/2017 academic year must meet the following conditions:-

i) Must be a Tanzanian.

ii) Must have applied for a loan.

iii) Must have been admitted into the Water Development and Management Institute for a basic

Technician Certificate course or a Diploma Course.

iv) Must be a continuing student who has passed the examinations necessary to enable him/her to

advance to the next year or stage of study.

v) Must be a person who is not fully funded by other organizations or sources.

vi) Must not be employed.

vii) Female students in need are highly recommended to apply

TESTING SYSTEM, LOAN ITEMS AND AMOUNT TO BE FINANCED

The Board of Trustees may provide loans to cover either all items or any of the items stipulated under section

2.3 of the RTWTF handbook.

Page 3: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

3

Testing System

The Board is introducing a system to make the loan issuance process Simple, Transparent and Fair.

The Testing System considers School Fees paid in O – level (amount and financier) as indication of applicant’s

ability to contribute to the costs of education.

In addition, the system shall make adjustments to cover for Loan applicants with special socio-economic

disadvantages such as Orphanage, Disability (of Parents/applicants) and students with Single parents.

Under the Testing System, the Tuition Fee and shall be paid directly to the WDMI, whereas the remaining

amount shall be paid to the student once a semester.

Number of Students to be Granted Loans

In view of limited funds available to issue as loans, the Board in 2016/2017 academic year shall issue loans to a

limited number of applicants as per allocated budget.

Candidates, who are able to meet costs for education, are strongly advised not to apply for loans from the fund.

Applicable Tuition Fee Rates

Tuition Fee for applicants approved for loans in 2016/2017 academic year shall be pegged to the equivalent

tuition fees paid in WDMI advisory board.

Tuition Fee

The Board may provide tuition fee loans with a ceiling of TSH 1,070,000/-.

Tuition fee funds shall be paid directly to the WDMI but the student borrower shall have to acknowledge receipt

of the funds by signing on a copy of the payment list issued by the Board. It will be the responsibility of the

WDMI to obtain the signatures of the students on the Tuition Payment lists and submit the same to the Board

within sixty (60) days after receipt of the funds.

Field Practical/Teaching Practical Work expenses

The Board may provide Field Practical Training/Teaching Practical (FPT) loans at the rate of TSH 7,000 per day up

to a maximum of 70 days in a year.

Meals

The Board may provide loans for Meals at the rate of TSH 6,000 per day while on campus for theoretical

instructions in the academic year.

Accommodation

The Board may provide loans for Accommodation at the rate of TSH 200,000/- per year while on campus for

theoretical instructions in the academic year.

Page 4: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

4

OTHER CONDITIONS ON ISSUANCE OF LOANS

Interest of Loan Issued

For the purpose of retaining the value of loans issued as well as making the loan scheme sustainable, all loans

issued beginning 2014/2015 shall bear Interest rate equal to 6% (six) percent, per annum.

Loan Repayment

Loan repayment shall start one year after the student has completed their studies at WDMI

List of Candidates admitted into Water Development and Management Institute

To ensure compliance and enforcement of quality issues, only candidates in the official admission lists approved

by WDMI shall be considered for loans.

Mode of Application

The Board has prepared application forms and candidates wishing to apply for loans for the 2016/2017

application cycle are advised to apply, appropriately sign the same, attach the necessary documentations and

submit to the RTWTF office at WDMI Building or mail to:-

The Chairperson,

The Registered Trustees of the Water Technicians Fund,

c/o WDMI

P.O. Box 35059,

DAR ES SALAAM.

Applicants are advised to maintain a copy of the application form and the receipt before mailing the application

for subsequent tracking purpose of the application form.

Loan Application Fees

All applicants must pay non-refundable one-off application fee of TSh 15,000.00 through the organisation’s bank

account;

Name: Registered Trustee of Water Technicians Fund

Number: 0150316425200

Bank: CRDB

Branch: Mlimani City

Page 5: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

5

Application Deadline

Loan Applications will be received until 30 August, 2016; Application lodged beyond this date shall not be

honoured.

Mode of Disbursement of Approved Loans

In order to expedite disbursement of approved loans and minimize the possibility of wastage arising from

disbursing loans from the Board directly to the students bank accounts, all loans shall be paid through WDMI.

WDMI upon being satisfied that the student loan beneficiary has passed all the necessary examinations allowing

him/her to advance to the next level of study or has reported and Registered shall remit to the student bank

account the amount of loan so far received from the Board.

PUBLICATION OF SUCCESSFUL CANDIDATES

A list of Candidates and awarded amounts for eligible loan applicants shall be posted on the RTWTF Website,

WDMI’s notice boards and website as and when the process of testing is completed.

THE BOARD CHARIPERSON

THE REGISTERD TRUSTEES OF THE WATER TECHNICIANS FUND

Page 6: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

6

THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND

(MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI)

C/o Water Development & Management Institute; P.O. Box 35059 Dar es Salaam,

Tel: +255 (0)22-24100410; Mobile: +255 0718 432360

Email: [email protected]; website: www.rtwtf.or.tz

Index: Form no.

STUDENTS LOAN APPLICATION FORM 2016/2017

(Maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa ngazi ya cheti na Stashahada)

Jina Kamili(Full Name):………………………………………………………………………...

Jinsia (Sex): ... ……………………………………………………………………... ..

Tarehe ya kuzaliwa (Date of Birth): ………………………………………………

Mahali ulipozaliwa (Place Birth): …………………………………………….. .

Mkoa ulikozaliwa (Birth Region): ………………………………………………..

Uraia (Nationality): ………………………………………………………………..

Kazi ya mzazi/mlezi (Parent/Guardian Occupation) : ………………………………

Namba ya simu ya mkononi (Mobile Phone): …………………………………….

Barua Pepe (E-mail): ……………………………………………………………….

Namba ya usajili (WDMI Registration number): …………………………………

Mwaka wa Masomo (NTA level): ………………………………………………….

Anuani ya Kudumu (Permanent address): ………………………………………….

…………………………………………………………………………………………

MAELEZO BINAFSI NA ANWANI YA MWOMBAJI (APPLICANT’S PERSONAL DETAILS)

Page 7: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

7

Elimu kabla ya kujiunga na Stashahada (Pre Diploma Education History)

Shule ya Sekondari Kidato cha 4 (O- Level Secondary School): ………………………………….

Namba ya Mtahiniwa (Form Four Index): ………………………………………………………….

Shule ya Sekondari Kidato cha 6(A- Level Secondary School): ……………………………………

Namba ya Mtahiniwa (Form Six Index): …………………………………………………………….

Tiki mojawapo kati ya sababu zifuatazo:

1. Naomba mkopo kwa ajili ya:

A Ada

Chakula

Malazi

IPT

Mengineyo (elezea) ..................................................................

2. Ufadhili wa masomo ulionao sasa:

Binafsi

Serikali

Shirika

Ufadhili mwingine (elezea) ....................................................

Tiki mojawapo kati ya sababu zifuatazo:

1. Sababu za kuomba mkopo huu

Wazazi wote wawili hawapo hai na hana msaada mwingine wowote wa kujilipia

Mzazi mmoja hayupo hai na hana msaada mwingine wowote wa kujilipia

Wazazi wote wapo ila hawana uwezo

Sababu nyingine (elezea)

MAELEZO YA ELIMU YA MWOMBAJI (EDUCATIONAL BACKGROUND)

SABABU ZA KUOMBA MKOPO

MAHITAJI YA MKOPO

Page 8: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

8

viii) Awe raia waTanzania.

ix) Awe ameomba mkopo

x) Awe amechaguliwa kujiunga na Chuo cha Maendeleo na Usimamizi wa Maji

(WDMI)kusomea astashahada au stashahada ya kozi zinazotolewa na chuo hicho

xi) Awe mwanafunzi wa WDMI anayeendelea, ambaye amefaulu mitihani yake yote

inayomruhusu kuendelea na masomo yake kwa mwaka unaofuata

xii) Awe mtu ambaye hajapewa msaada wa kimasomo kutoka kwenye vyanzo vyovyote vingine

xiii) Asiwe mwajiriwa

Mimi .......................................................ninatamka kuwa maelezo yaliyotolewa kwenye maombi haya

kwa njia ya tovuti, ambayo sehemu yake yamechapwa hapa, kuwa ni ya kweli kwa kadri ya ufahamu

wangu. Ninatamka pia kwamba ninafahamu kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yangu endapo

itabainika kwamba maelezo niliyoyatoa sio sahihi ama yanapotosha.

Jina Kamili la Mwombaji: ___________________ Tarehe: ___________ Sahihi:_____

UTHIBITISHO WA MWOMBAJI (APPLICANT’S DECLARATION)

MASHARTI YA MKOPO KWA MWAKA 2016/17

Page 9: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

9

MAOMBI HAYA YATAKUWA BATILI ENDAPO HAYATAPITISHWA NA SERIKALI YA

KIJIJI/MTAA

ANGALIZO: Kiongozi yeyote wa Serikali ya Kijiji au Mtaa atakayethibitisha maombi haya ya

mkopo, ambaye ama kwa kujua au uzembe akashuhudia taarifa za uongo zilizojazwa na

mwombaji na Wazazi wake atakuwa na hatia ya jinai na anaweza kutozwa faini isiyozidi shilingi

Milioni moja na laki tano (1,500,000) au kifungo kisichozidi miezi sita au vyote kwa pamoja.

Kughushi ni kosa la jinai na mtu anayegushi au kushuhudia makosa kama hayo atashitakiwa

mahakamani.

Tunathibitisha kuwa tumekagua na kuhakiki maelezo yaliyotolewa katika fomu hii pamoja na yale ya

mdhamini na maoni yetu ni kama ifuatavyo (kata isiyohusika)

1. Muombaji ni mkazi wa Kijiji/Mtaa wetu :

Ndiyo ....... Hapana.....

2. Wazazi/Walezi wa muombaji ni wakazi wa Kijiji/Mtaa wetu:

Ndiyo ....... Hapana……………..

3. Mwanafunzi huyo analipiwa ada na:

……………………………………………………………………………………………….

4. Taarifa za Wazazi ni/si sahihi……………………………………………..

5. Tunapendekeza/Hatupendekezi maombi haya ……………………………………………

Muhuri wa Serikali ya Kijiji/Mtaa

UTHIBITISHO WA SERIKALI YA KIJIJI/MTAA KUHUSU MAELEZO YA MWOMBAJI

Page 10: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

10

Na. CHEO JINA KAMILI SAHIHI TAREHE

1. MWENYEKITI

WA MTAA ____________________ ____________ ____________

2. AFISA MTENDAJI

WA KATA ____________________ ____________ ____________

3. MJUMBE WA

NYUMBA 10 ____________________ ____________ __________

4. Taarifa kuhusu Muombaji ni sahihihi: Ndiyo…………. Hapana …………………

5. Taarifa kuhusu Wazazi/Walezi wa Muombaji ni sahihi: Ndiyo………… Hapana…………

6. Namba ya simu ya Mwenyekiti wa Kijij/Mtaa: .....................................................

7. Namba ya simu ya Mtendaji wa Kijiji/Mtaa: ........................................................

8. Mwenyekiti wa mtaa/Afisa Mtendaji wa Kata/Mtaa yuko tayari kuisadia WTF katika kufuatilia

uhakika wa taarifa za Muombaji:

Ndiyo………… Hapana…………

9. TAARIFA MUHIMU KWA MWOMBAJI WA MKOPO HUU:

Mkopo huu utatozwa asilimia sita (6%) kwa mwaka kama gharama ya kuhifadhi thamani ya fedha

(value retention fee) zitakazokopeshwa ambazo zitalipwa pamoja na marejesho ya mkopo. Riba na

mkopo wa mwanafunzi itaanzwa kulipwa baada ya mwanafunzi kumaliza masomo na atapewa muda wa

mwaka mmoja kama nafuu ndipo aanza kulipa mkopo. Endapo mwanafunzi atashindwa kulipa mkopo

huu kwa muda wa miaka miwili mfululizo baada ya muda wa kulipa mkopo , Bodi ya mkopo

itashirikiana na chuo cha maendeleo na usimamizi wa maji na kumpelekea mahakamani

Cheo.................................................................. Jina..............................................................

Sahihi..................................Mahali..................................................Tarehe....................................

Muhuri wa Serikali ya Kijiji/Mtaa

Page 11: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

11

Orodha ya Viambatanisho (List of Attachments)

Tafadhali ambatanisha nakala za vivuli vilivyothibitishwa na wakili/hakimu (certified copies) na

nyaraka zifuatazo ili kuthibitisha maelezo yako

1. Cheti cha kuzaliwa (Birth Certificate)

2. Cheti cha matokeo ya mtihani ya kidato cha 4 (Form 4 certificate)

3. Cheti cha matokeo ya mtihani ya kidato cha 6 (Form 6 certificate) kama unacho

4. Endapo mzazi/wazazi hawapo hai, cheti cha kifo (in case of deceased parent, death certificate)

5. Endapo mwanafunzi au mzazi ni mlemavu, Barua ya uthibitisho ya Daktari au ustawi wa jamii (if

parent/applicant is disabled, Doctor’s letter/social welfare)

6. Endapo mzazi ni mstaafu. Barua ya kustaafu (If parent is retired, official letter of retirement)

7. Pasi ya kusafiria au kitambulisho cha mpiga kura au kitambulisho cha Mzanzibari mkazi cha

mdhamini (Guarantors Passport or voter’s Registration Card)

Page 12: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

12

1. Wahusika wa Mkataba huu

Mkataba huu ni kati ya Board of The Registered Trustee of the Water Technician Fund, yenye

anwani hapo juu, ambayo ndani ya Mkataba huu itajulikana kama “Bodi” na

...............................................................................................ambaye namba yake ya mtihani wa

kidato cha Nne ni ........................................ na ambaye katika Mkataba huu atajulikana kama

Mwanafunzi au Mkopaji

2. Kanuni na Masharti

2.1 Mkataba wa mkopo huu utasainiwa kila mwaka wa masomo. Nyongeza au

mafungu ya mkopo ambayo Mkopaji atapewa kila mwaka kwa pamoja yatakuwa sehemu ya

Mkataba huu

2.2 Kiasi cha fedha atakachokopeshwa Mwanafunzi kwa mujibu wa Mkataba huu,kitakuwa ni

zile fedha zitakazopelekwa moja kwa moja kwenye akaunti ya Benki ya Mwanafunzi na kile

kiasi kitakacholipwa taslimu moja kwa moja kwa Mwanafunzi kupitia Chuo cha maendeleo na

usisamizi wa maji , na fedha ambazo zitalipwa moja kwa moja kwenye akaunti ya Chuo cha

maendeleo na usimamizi ambazo zitaendelea kulipwa ama kwa Mwanafunzi ama kwa chuo

zikihusishwa na gharama za masomo ya Mwanafunzi.

2.3 Mkopo kwa ajili ya ada ya mafunzo italipwa moja kwa moja katika Chuo cha maendeleo na

usimamizi wa maji

2.4 Mkopo unaohusu gharama za Mwanafunzi za moja kwa moja utapelekwa kwenye akaunti ya

benki ya Mwanafunzi kwa awamu ama atapewa Mwanafunzi kupitia Chuo cha maendeleo na

usimamizi wa maji

2.5 Akaunti ya mwanafunzi iliyo katika kumbukumbu za Bodi haitabadilishwa isipokuwa kwa

maombi ya Mwanafunzi ambayo yamepitishwa na Chuo cha maendeleo na usimamizi

2.6 Mwanafunzi anawajibu wa kujulisha Bodi kuhusu mabadiliko yoyote yale yanayoweza

kupelekea kuathiri utoaji au urejeshwaji wa mkopo kwa namna yoyote ile. Mwanafunzi pia

anawajibu wa kuipatia Bodi taarifa nyingine zozote zile zinazohusiana na mkopo wake pale

atakapotakiwa kufanya hivyo na Bodi

MKATABA WA MKOPO KWA MWANAFUNZI – 2016/2017

Page 13: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

13

2.7 Kutokana na mkopo utakaokopeshwa na Bodi. Mwanafunzi anawajibika wakati wote wa

kipindi cha masomo yake kuheshimu na kutii sheria ndogo za Chuo cha maendeleo na usimamizi

wa maji, Kanuni na maelekezo yatolewayo mara kwa mara na Chuo cha maendeleo na

usimamizi yamejumuishwa katika Mkataba huu kwa marejeo (by reference)

2.8 Bodi inaweza kusitisha mkopo kwa Mwanafunzi:

a) Kama Mwanafunzi atafukuzwa au kushindwa kuendelea na masomo kwa kutofaulu katika

Chuo cha maendeleo na usimamizi wa maji

b) Kwa maombi ya Mwanafunzi

c) Kama atapuuzia masomo katika Chuo cha maendeleo na usimamizi wa maji

d) Kama Mwanafunzi atashindwa kuzingatia makubaliano yaliyopo katika kifungu cha 2.8

hapo juu

e) Kama Mwanafunzi atakataa kusaini marejesho (returns) za fedha alizolipwa au alizolipiwa

kupitia chuoni

f) Kama mwanafunzi atafariki

g) Kwa sababu nyingine yeyote itakayoonekana na Bodi inafaa

h) Kama mwanafunzi atakuwa ameshajilipia ada au malipo yoyote yaliyoainishwa na mkopo

2.9 Endapo itabainika kwamba Mwanafunzi ametoa taarifa za udanganyifu kwa kudhamiria au

vinginevyo na taarifa hizo zikapelekea Mwanafunzi kupewa mkopo na Bodi, Bodi itasitisha

kumpatia Mwanafunzi sehemu ya mkopo uliyobakia na kiasi chochote cha mkopo

kitakachokuwa kimetolewa atatakiwa kukirejesha chote kwa mara moja. Pamoja na kurejesha

kiasi chote cha mkopo alichokopeshwa Mwanafunzi kwa mkupuo, Bodi pia itamchukulia

Mwanafunzi husika hatua za kisheria

2.10 Mkopo utaanza kurejeshwa mwaka mmoja baada ya kuhitimu, lakini Mwanafunzi yuko

huru kuanza kulipa muda wowote baada ya kuhitimu

2.11 Kutokana na masharti ya sheria iliyoanzisha Bodi na masharti madogo katika kanuni za

mikopo. Mkopo utarejeshwa kwa mafungu kila mwezi au wote kwa pamoja au kwa njia

nyingine yoyote ya malipo inayofaa kama itakavyoelekezwa na Bodi

Page 14: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

14

2.12 Bodi itatoa taarifa kuhusu kiasi cha mkopo alichokopeshwa Mwanafunzi kwa kila mwaka

wamasomo na jumla ya kiasi kilichoonyeshwa katika taarifa hiyo itakuwa ndicho kiasi

anachodaiwa mwanafunzi mpaka mwaka husika. Taarifa hiyo itachukuliwa kuwa sahihi

mpaka pale itakapothibitika vinginevyo

2.13 Bodi itakuwa huru kumkopesha kiasi chochote itakachoona kinafaa kulingana na kozi

atakayosoma na matokeo ya uhitaji wa Mwanafunzi kama itakavyothibishwa na Bodi

2.14 Mkopo huu utatozwa asilimia sita (6%)kwa mwaka kama gharama ya kuhifadhi thamani ya

fedha (value retention fee) zitakazokopeshwa ambazo zitalipwa pamoja na marejesho ya mkopo

2.15 Bodi itakuwa na mamlaka ya kuthibitisha taarifa zinazomhusu mkopaji zilizowekwa katika

maombi haya kutoka katika mamlaka yoyote

2.16 Bodi itakuwa na mamlaka ya kuomba na kupokea matokeo ya mitihani moja kwa moja

kutoka Chuo cha maendeleo na usimamizi wasa maji (WDMI) ili kuwezesha upangaji wa

mikopo ya masomo kwa mwaka unaofuata.

Page 15: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

15

Matamko

Sehemu hii itashuhudiwa na Wakili au Hakimu

1. Tamko la Mwanafunzi

Jina kamili:………………….........................................................

Anwani ya Posta: ……………………………..

Kijiji/Mtaa: …………………… Kata/Shehia: …………………………………..

Wilaya : ……………………….. Mkoa: ………………………………………….

Barua pepe: …………………......................... Namba ya simu ya Mkononi: …………………

Mimi............................................. Niliye mwanafunzi mkopaji, bila shinikizo lolote na nikiwa na akili

timamu nimesoma na kuelewa na kukubali kanuni na masharti ya mkataba huu nikishuhudiwa na

aliyesaini hapa chini

Sahihi (ya mwanafunzi):_____________________ Tarehe:_________________

2. Tamko la Mdhamini (lazima awe mzazi au mlezi wa mkopaji)

Jina Kamili: ………………………… Anwani ya Posta: ……………………………..

Kijiji/Mtaa: …………………………. Kata/Shehia: …………………………………..

Wilaya : ……………………………… Mkoa: ………………………………………….

Barua pepe: …………………………. Namba ya Simu ya mkononi: ………………….

Namba ya kitambulisho cha mpiga kura au Pasi ya kusafiria (Jaza kwa mkono)

Mimi.................................................... nikiwa na akili timamu bila kulazimishwa, kurubuniwa, ama

kushurutishwa na mtu yeyote yule, nathibitisha kwamba nimesoma, kuelewa na kukubali Kanuni na

Mashariti ya Mkataba huu.

Sahihi: ………………………………….. Tarehe: ……………………………………

Page 16: THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER …6 THE REGISTERED TRUSTEES OF WATER TECHNICIANS FUND (MFUKO WA MIKOPO WA MAFUNDI SANIFU WA MAJI) C/o Water Development & Management Institute; P.O

16

3. Ushuhuda wa wakili/Hakimu/Mwanasheria

Imetiwa sahihi na ____________________________________ (Jina la mkopaji) ambaye

ninamfahamu auametambulishwa kwangu na __________________________ ambaye

ninamfahamu

Jina Kamili la Wakili/Hakimu/Mwanasheria:_____________________________________

Sahihi: ………………………………….. Tarehe: ……………………………………

Muhuri:

Maelekezo Mengine

1. Andika Jina lako na namba ya usajili na mwaka wa ngazi unayosomea nyuma ya picha kisha

bandika panapostahili

2. Tuma fomu iliyosainiwa, kuwekwa picha na viambatanisho vingine ofisi ya RTWTF-Registered

trustees of Water technician fund (Hakikisha kuwa fomu yako imepokelewa ofisini)

3. Hakikisha umetoa nakala (copy) ya fomu iliyosainiwa pamoja na viambatisho vyote kabla

hujaituma Bodi

4. Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni 30 August 2016

5. Hakikisha umelipa ada ya maombi ya sh. 15,000/= kupitia benki ya CRDB:

Jina la akaunti: Registered Trustee of the Water Technician Fund

Benki: CRDB

Namba ya Account: 0150316425200

vinginevyo maombi yako hayatashughulikiwa