ninapendezwa kue- - ukweli juu ya konokono!

20
Mradi BEATRA/CRSN-Lwiro Kitabu cha ujuzi n˚ 1 Juni, 2002 Ujuwe: Ninapen- dezwa kue- • Konokono ambazo zaleta magonjwa • Samani za konokono katika mazingira Ukweli juu ya konokono! Kimechapwa na mradi BEATRA, uhusiano kati ya Centre de Recherche des Sciences Naturelles (CRSN-Lwiro) na Field Museum, Chicago, Amerika • Konokono zilizo chakula Kufwatana na utafiti wa: Dr. Bajope Baluku

Upload: others

Post on 17-May-2022

6 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Mradi BEATRA/CRSN-LwiroKitabu cha ujuzi n˚ 1

Juni, 2002

Ujuwe:Nina

pen-

dezwa

kue-

• Konokono ambazo zaleta magonjwa

• Samani za konokono katika mazingira

Ukweli juu ya konokono!

Kimechapwa na mradi BEATRA, uhusiano kati ya Centre de Recherche des Sciences Naturelles (CRSN-Lwiro)

na Field Museum, Chicago, Amerika

• Konokono zilizo chakula

Kufwatana na utafiti wa: Dr. Bajope Baluku

Page 2: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Konokono ni kitu gani? Konokono ni myama mdogo sana

Ni myama wa kwanza kuishi duniani (tangu myaka ma milioni)

Tazama mfano ya babu kale wa kono-kono. Amekwisha geuka jiwe! Babu huyo anaweza patikana katika jimbo la Kivu!

Watu wameanza kuishiduniani

1

2

Tangu milioni mia moja ya myaka Tangu milioni moja ya myaka Siku hizi

1

Page 3: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Wanaishi shambani na msituni

Sud-Kivu

Bulinus

Biomphalaria

Konokono waanoishi ndani ya maji

Konokono wa nchi kavu

AchatinaChatina

Gros Petits

Kuna mitindo inne ya konokono katika jimbo la Kivu ya kusini (Sud-Kivu)

2

Page 4: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Konokono ni kitu gani?Konokono wanaishi nchi kavu pia ndani ya maji

Shamba

msitu

mtoni

tingitingibangui

Konokono wana mafaa ndani ya mazingira kwani wanakuwa chakula kwa wanyama wengine

3

3

4

Page 5: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Konokono wanaweza kuambukiza magonjwa kwa mtu.

Konokono wanalind

a

vitoto vya mchango

unaoleta ugon

jwa ya

bilarziozi!

Mitino mbili ya Konokono ambao wakua kilalo ya kuambukiza bilharziozi kwa mtu wanaishi majini

Biomphalaria

Bulinus

4

Page 6: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Mikroscopi: Ni chombo watafuti hutumia kwa kutazama vijidudu na wanyama

wadogo mnoo

Nenepesho X 1000

S Bilarziozi ni ugonjwa gani? Yoo! mnyoo ndogo sana anayeuweza wa kupenya

mwilini na kuangamiza watu!

Anaishi ndani ya konokono

Sababu ya udo

go

wake, inaoneka

na

tu kwa njia ya

mikroskopi

Hiyi mnyoo ina unene wa kich-wa cha shindano

5

Page 7: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

6

Schistosoma

Tazama hapo mchango dume pamoja na mchango dike anayejaa mayayi mengi!

Kuna michango ndogo ambayo ina ingia ndani ya tumbo letu kiisha tunapata ugonjwa. Ni vema tupate mafasiriyo mengi juu ya michango hiyo ili tuweze kuepuka hatari ya magonjwa!

Bilharziozi ni ugonjwa gani?

Page 8: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Ni ugonjwa am-bao hushambulia tumbo.

Bilarziozi ni ugonjwa gani?

Kuvimba tumbo ni alama moja kubwa ya ugonjwa huo.

Ugonjwa wa bilarziozi hushambulia njia ya mkojo

kwa mume na mke

Alama za ugonjwaNjia ya tumbo

Kuhara

7

Ubovu wa tumbo

Page 9: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Tumbo lake lajaa maelfu ya mayayi

Sasa tutazame namna ugonjwa wa bilharziozi unaanza na tuangalie nafasi kubwa ya konokono.

Mambo yote yanaanza pamoja na mtu anayeambukizwa .

8

Matumbotumbo yake pia yanaambukizwa

1

Page 10: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Tazama jee mayayi yanain-gia majini wakati mavi yasambaazwa chini!! mnyoo

yapata nafasi ndani

ya

2 34

minyoo ndogo sana yatoka

ndani ya mayai

Konokono

majum

aa 3

-4

56

9

Projet BEATRA, Centre de Recherche en Sciences Naturelles (CRSN-Lwiro) et The Field Museum, Chicago USA.

Cycle de vie du schistosome

Mayai yaiva nakupasuka

Minyoo ndogo hiyo inauweza wa kutoboa ngozi na kupenya ndani ya mwili

Utembeapo majini

Page 11: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Kumbe ugonjwa wa bilarziozi unatushika wakati tupo majini

Mlango wa kuingilia

1

2

710

Mayai yaiva nakupasuka

Minyoo ndogo hiyo inauweza wa kutoboa ngozi na kupenya ndani ya mwili

Page 12: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Mkaguo kuelekea uambukizo wa bi-

Maisha ya mnyoo wa Shistozoma

Yote yaanza wakati mgonjwa moja anacha-fua maji kwa mavi

Mgonjwa wa bilarziozi anain-giza mavi ndani ya maji

mayayi yanaingizwa hapo majini

1 2

3

46

katika yayi kunapa-tika mnyoo ndogo Baadaye ya kuzaliwa

Inamezwa na konokono na kiisha ma-juma 3 ao 4, mnyoo un-aingia majini

Na ugonjwa unakamata mtu mwing-ine na vile vile

11

Projet BEATRA, Centre de Recherche en Sciences Naturelles

5 Mnyoo unapenya ngozi ya mtu katika maji

Page 13: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

• Epuka kunawa ao kutembea ndani ya maji isiyotembea. Mnyoo ndogo unaoshambulia mtu huogopa maji yenyi ku tililika mno.• Epuka kunawa mahali penyi maji yafunikwa kwa kivuli.

Kwa kuepuka ugonjwa wa bilarziozi:

12

Projet BEATRA, Centre de Recherche en Sciences Naturelles (CRSN-Lwiro) et The Field Museum, Chicago USA.

Page 14: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Unaweza uguwa tu kama mwili una ingia majini yenyi kujaa minyoo.

13 Kumbuka! Usiogope kunywa maji.Bilarziozi haiambukizwi kwa maji.

Huwezi ugua hata ukivaa kwa mavazi yaliofua ndani ya maji yenyi minyoo

Page 15: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

14

Kila sehemu ya mwili ndani ya maji machafu

muda wa dakika 15

dakika 15!

Njia moja kwa kuugua bilarziozi ni kuingia majini yenyi minyoo na kubaki ndani zaidi ya muda wa dakika kumi na tano...

Ukumbuke!

Projet BEATRA, Centre de Recherche en Sciences Naturelles (CRSN-Lwiro) et The Field Museum, Chicago USA.

Page 16: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Projet BEATRA, Centre de Recherche en Sciences Naturelles (CRSN-Lwiro) et The Field Museum, Chicago USA.

15

Oh! Konokono ni tamu!

Tazama jinsi ya kutayari-sha

Ni kwepesi kupika konokono kwa chakula ndani ya jamaa

Page 17: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Projet BEATRA, Centre de Recherche en Sciences Naturelles (CRSN-Lwiro) et The Field Museum, Chicago USA.

Kaanga konokono ndani ya mafuta na utolee chakula hiyo kwa jamaa.

16Kwa kupika konokono kwa chakula nyumbani!

Ondoa kwanza kinyumba cha ko-nokono!

Page 18: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

17 Kinyumba cha konokono cha weza pia kuwa chakula yenyi samani sana –– Inajaa kalisiumna madini.

Unatokosha nda-ni ya maji

Kiisha unasagaa kwa kupata unga. Changaa ndani ya chakula.

Hata kinyumba kin

a

mafaaa!

Page 19: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

18Pia lisha kuku zako kwaunga inayotayarishwa toka kinyumba cha kono-kono!

Unawezalisha kuku zako kwa mitindo yote ya kono-

• Tokosha konokono muda wa dakika 30.• Kausha kwa jua.• Saga • Tolea chakula hiyo kwa kuku

Projet BEATRA, Centre de Recherche en Sciences Naturelles (CRSN-Lwiro) et The Field Museum, Chicago USA.

Page 20: Ninapendezwa kue- - Ukweli juu ya konokono!

Kwa kupata mafasiriyo zaidi:

kitabu cha ujuzi No. 1Juin, 2002

Tunahitaji

kujua

Jifunzeni mambo yote ambayo yagusa mazingira ya Sud-

CRSN LWIRO

Projet BEATRA, Centre de Recherche en Sciences Naturelles (CRSN-Lwiro) et The Field Museum, Chicago USA.

chap

a la

kwan

za

Dr. Bajope BalukuCentre de Recherche en Sciences Naturelles

(CRSN-Lwiro) Bukavu, KivuRépublique Démocratique du Congo

Msaidizi na utafsiri:

Aliyetunga na kucha:

Msaada: The John D. and Catherine T. MacArthur Foundation

Dan Brinkmeier

Michelle ReillyNathan Strait

Katika

kis

wahi

li ch

a Co

ngo