jamhuriyamuungano wa tanzania halmashauriya...

5
JAMHURIYAMUUNGANO WA TANZANIA HALMASHAURIYA WILAYA YASERENGETI Mkoa waMara Simu Na. 028-2985686 Fax Na. 0732 985 771 E-Mail:[email protected] Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W), S.L.P. 176, MugumufSerengeti Tarehe 21/1112018 MAREKEBISHO NA MARUDIO YA ZABUNI NA: LGA/063/2018-0191W 101 Kwa ajili UJENZI,UENDESHAJI NA UREJESHAJI W A VIBANDA VY A BIASHARA KA TIKA STENDI YA MABASI MUGUMU SERENGETI 1. Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti imeamua kuanzisha mradi wa kuimarisha ubora wa utoaji wahuduma za kijamii na kiuchumi mjini Mugumu Serengeti kwa kujenga stendi mpya ya mabasi na maegesho ya magari ya mizigo. Lengo la mradi huo ni kujenga stendi ya kisasa ili kuendana na kasi ya ukuaji wa Mji wa Mugumu na viunga vyake. Mji ambao ukuaji wake unachochewa na Biashara ya Utalii na Kilimo. Kwa sasa Mji wa Mugumu una eneo dogo linalokidhi mahitaji ya Stendi ya Mabasi yote yanayoanzia au kupitia Mji wa Mugumu kuelekea maeneo mengine ndani na nje ya Wilaya. 2. Katika kutekeleza mradi huo Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti inatafuta mtu, Kikundi au kampuni itakayetoa fedha au vifaa vya ujenzi baada ujenzi kuendesha na kurejesha Kibanda au vibanda vya Biashara. Katika zabuni hii Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti itajulikana kama mwenye malil mpangishaji (Landlord) na Mwombaji yeyote atakayekidhi vigezo vya Zabuni hii atajulikana kama rntu/kampuni (Mpangaji (tenant)). 3. Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, inakaribisha maombi ya Zabuni ya mtu/ kampuni ya kujenga, kuendesha na baada ya muda wa miaka kumi (10) kuisha kurejesha kwa mwenye mali (Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti) kibanda/vibanda cha biashara kilichopo/vilivyopo Mugumu Stendi Mpya. Na mpangaji/mbia au warithi wake wanaweza kuendelea kuwa wapangaji kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa upangaji na sheria zilizopo. 4. Mtu/Kampuni atakayeomba nafasi yakujenga, atatakiwa kujenga kwa kutumia mchoro na makadirio ya ujenzi (BoQ) yaliyoambatanishwa kwenye nyaraka za Zabuni. Watu/ kampuni mbalimbali, zenye sifa na uwezo wa kufanya kazi hii kwa niaba ya Halmashauri wanakaribishwa kuomba zabuni hii. a) KW AMBA, pande zote zimekubaliana kuwa mpangaji atatoa fedha za kujenga kibanda kimoja/vibanda kwa idadi ya vibanda alivyopata kwa gharama ya shilingi milioni tatu na 1

Upload: others

Post on 24-Dec-2019

50 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

JAMHURIYAMUUNGANO WA TANZANIAHALMASHAURIYA WILAYA YASERENGETI

Mkoa waMaraSimu Na. 028-2985686Fax Na. 0732 985 771E-Mail:[email protected]

Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W),S.L.P. 176,MugumufSerengeti

Tarehe 21/1112018

MAREKEBISHO NA MARUDIO YA ZABUNI NA: LGA/063/2018-0191W101Kwa ajili

UJENZI,UENDESHAJI NA UREJESHAJI WA VIBANDA VY A BIASHARA KA TIKASTENDI YA MABASI MUGUMU SERENGETI

1. Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti imeamua kuanzisha mradi wa kuimarisha ubora wa

utoaji wahuduma za kijamii na kiuchumi mjini Mugumu Serengeti kwa kujenga stendi mpya

ya mabasi na maegesho ya magari ya mizigo. Lengo la mradi huo ni kujenga stendi ya kisasa

ili kuendana na kasi ya ukuaji wa Mji wa Mugumu na viunga vyake. Mji ambao ukuaji wake

unachochewa na Biashara ya Utalii na Kilimo. Kwa sasa Mji wa Mugumu una eneo dogo

linalokidhi mahitaji ya Stendi ya Mabasi yote yanayoanzia au kupitia Mji wa Mugumu

kuelekea maeneo mengine ndani na nje ya Wilaya.

2. Katika kutekeleza mradi huo Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti inatafuta mtu, Kikundi aukampuni itakayetoa fedha au vifaa vya ujenzi baada ujenzi kuendesha na kurejesha Kibandaau vibanda vya Biashara. Katika zabuni hii Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti itajulikanakama mwenye malil mpangishaji (Landlord) na Mwombaji yeyote atakayekidhi vigezo vyaZabuni hii atajulikana kama rntu/kampuni (Mpangaji (tenant)).

3. Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, inakaribisha maombi ya Zabuni ya mtu/ kampuni yakujenga, kuendesha na baada ya muda wa miaka kumi (10) kuisha kurejesha kwa mwenyemali (Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti) kibanda/vibanda cha biasharakilichopo/vilivyopo Mugumu Stendi Mpya. Na mpangaji/mbia au warithi wake wanawezakuendelea kuwa wapangaji kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa upangaji na sheri azilizopo.

4. Mtu/Kampuni atakayeomba nafasi yakujenga, atatakiwa kujenga kwa kutumia mchoro namakadirio ya ujenzi (BoQ) yaliyoambatanishwa kwenye nyaraka za Zabuni. Watu/ kampunimbalimbali, zenye sifa na uwezo wa kufanya kazi hii kwa niaba ya Halmashauriwanakaribishwa kuomba zabuni hii.

a) KW AMBA, pande zote zimekubaliana kuwa mpangaji atatoa fedha za kujenga kibandakimoja/vibanda kwa idadi ya vibanda alivyopata kwa gharama ya shilingi milioni tatu na

1

laki sita fedha za Kitanzania (Tshs 3,600,000/=) kwa kila kibanda chenye ukubwa wa(mita 3x3). Ujenzi wa kibanda/vibanda utazingatia ramani iliyothibitishwa na Mhandisiwa Wilaya na baada ya ujenzi kukamilika mpangaji atapewa utaratibu na kuelekezwanamna ya utumiaji na ulipaji wa kodi na kutumia Kibanda hicho kwa Masharti na kishabaada ya mud a uliotolewa wa miaka kumi kutoka mwaka wa fedha (2018/2019 hadi202812029) kumalizika kibanda hicho itachukuliwa kuwa kimerejeshwa au vibanda hivyovimerejeshwa kwa Mpangishaji.

b) KWAMBA, Pande zote zinakubaliana kuwa ardhi ni mali halali ya Mpangishaji, nakwamba Mpangaji atakuwa na haki ya kutumia fedha zakel vifaa kulingana na gharamaza kibanda/vibanda kwa ajili ya ujenzi wa vibanda hivyo ambavyo vitajengwa katikaardhi ya Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti. Halmashauri imekusudia kujenga vibandakwa kuwashirikisha wananchi na baada ya kukamilika Mpangaji atakabidhiwa kibandakwaajili ya kukitumia kwa mud a ulioainishwa kwa kulipa gharama ya kodi ya pangoiliyoainishwa katika mkataba huu na ambayo itatozwa katika kibanda/vibanda vya Stendimpya ya mabasi kwa kuzingatia bei ya soko.

Mpangishaji anatoa agano kwa Mpangaji:

1. Kwamba, Mpangishaji atajenga kwa kufuata ramani pamoja na michoro kwa viwango

vilivyomo kwenye michoro/ramani husika (Standard Specifications) iliyoandaliwa na

Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti.

2. Kwamba, Mpangaji atafuata masharti yaliyopo kwenye ramani kujenga kibanda chenye

ubora wa hali ya juu na kuhakikisha kuwa Mpangaji anakabidhiwa kibanda kilichojengwa

kwa ustadi na kwa kuzingatia mud a uliokubalika.

3. Kwamba, Mpangishaji kupitia mhandisi wake wa ujenzi na Majengo atakuwa ndiye

msimamizi na mfuatiliaji wa shughuli zote za ujenzi kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa

kushirikiana na mpangaji.

4. Kwamba, mud a wa makubaliano uliowekwa kwa pande zote kukubaliana, hautaongezwa

wala kupunguzwa na Mpangishaji hataweza kubadilisha masharti ya mkataba huu kwa

namna yoyote mpaka muda ukamilike.

5. Kwamba, endapo mpangaji atashindwa kukamilisha utoaji wa fedha au vifaa vya ujenzi

ndani ya miezi mitatu atakuwa amevunja mkataba na mpangishaji ataingia mkataba na mtu

mwingine na fedha ya Mapangaji wa awali haitarejeshwa na itatumika kama fidia kutokana

2

na Mpangaji kuvunja au kukiuka masharti ya mkataba huu na mpangaji hatalipwa fidia

yoyote ile.

6. Kwamba, Gharama za ujenzi wa Kibanda kwa kufuata ramani ya mpangishaji na makisio ya

Ujenzi (BoQ) yaliyofanywa kitaalam haitazidi fedha za Kitanzania Milioni tatu na laki sita

tu (Tshs. 3,600,000/=) kwa kibanda chenye ukubwa wa (mita 3x3).

7. Kwamba, Mpangaji akishindwa kukamilisha masharti ya ulipaji gharama za awali za ujenzi

wa kibanda hicho Mpangishaji hatamkabidhi mpangaji huyo kibanda na badala yake atapewa

mtu mwingine bila kutoa fidia yoyote kwa gharama za awali alizokwisha tumia mpangaji wa

awali ambaye ameshindwa kukamilisha utaratibu.

8. Kwamba, gharama za ujenzi ikitokea zikazidi mpangishaji atampa taarifa ya maandishi

mpangaji kabla ya kuamua au kuchukua hatua yoyote ili aweze kushiriki katika utoaji wa

fedha iliyoongezeka kwa mujibu wa uthibitisho wa utalaam wa wahandisi wa Ujenzi wa

Halmashauri.

9. Kwamba, Mpangishaji Kupitia kwa Mhandisi wake wa Ujenzi au Afisa mwingine wa

Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti atajitahidi kuhakikisha kuwa anasimamia shughuli zote

za ujenzi na ukamilishaji wa kibanda/vibanda kwa wakati.

10. Kwamba, Mpangaji atapewa muda wa kutumia na kuendesha kibanda kilichojengwa kwa

usimamizi wa Halmashauri pindi kitakapokamilika.

11. Kwamba, Kodi ya pango kwa kibanda cha ukubwa wa (Mita 3x3) itakuwa ni shilingi elfu

hamsini fedha za Tanzania (50,0001=) ambapo mpangaji atatakiwa kumlipa mpangishaji kiasi

cha shilingi za kitanzania elfu ishirini (20,0001=) kwa mwezi kwa muda wa miaka kumi

mfululizo malipo hayo yatakuwa na lengo la kumuwezesha mpangaji kurejesha gharama za

ujenzi na baada ya muda huo mpangishaji atakuwa na haki ya kupandisha kodi kulingana na

bei ya soko ya wakati huo.

12. Kwamba, Mpangaji atakuwa na haki ya kuendelea kutumia kibanda alichopangishwa hatabaada ya muda wa miaka kumi (10) kuisha ili rnradi tu awe na uwezo wa kulipa kodi yapango na awe tayari kuzingatia masharti mengine yote ya kisheria yanayotolewa na Serikalikwa kuzingatia Sheria zilizopo.

3

13. KWAMBA, Mpangaji atalazimika kufuata taratibu zote za kuendesha biashara halali ikiwani pamoja na kupata Leseni ya Biashara, Namba ya Utambulisho wa mlipa kodi (TIN) nanyaraka nyingine zote za kisheria zinazomruhusu kufanya biashara husika ndani ya Mamlakahusika kwa gharama zake mwenyewe.

14. Kwamba, Kila mpangaji atalazimika kuambatisha nakala ya leseni yake ya Biashara, nakalaya Cheti cha Mlipa Kodi (TIN) na kubandika picha yake kwa kila nakala ya mkataba.

15. KWAMBA, baada ya muda wa makubaliano kumalizika Mpangaji ataomba kwa maandishikwa Mpangishaji ahuishe au aendelee kumpangisha kama atahitaji kuendelea kwa mashartimapya ya Mpangishaji. Ikiwa Mpangaji hataomba kupangishwa baada ya muda wa mkatabakuisha, Mpangishaji atamuondoa na kuweka Mpangaji mwingine.

16. KWAMBA, Mpangaji atahakikisha kuwa anatumia Kibanda kwa uangalifu na uaminifumkubwa na kukitunza bila kukiharibu na kufuata kanuni zote za afya na usalama na kutumiakibanda kwa matumizi yaliyokusudiwa ya biashara aliyoruhusiwa kisheria na si vinginevyo.

17. KWAMBA, Mpangaji atalazimika kulinda, kuhifadhi na kutunza mazingira yoteyanayozunguka kibanda ili kuhakikisha kuna usalama wa kutosha wakati wote.

18. KWAMBA, Halmashauri itakuwa na haki ya kusitisha mkataba na kumdai mpangajimalipo ya fidia kutokana na kusimamishwa kwa mkataba huu endapo mpangajiatabainika kuwa ameahidi kutoa, au ametoa, au amekubali kutoa kwa mtu yeyotezawadi yoyote au upendeleo wa aina yoyote kama kishawishi au zawadi kufanya aukumpendelea au kutomkubali mtu yeyote kuhusiana na mkataba wa Halmashauri aukama vitendo hivyo vitakuwa vimefanywa na mtumishi yeyote aliyeajiriwa naye aukwa niaba yake iwe mzabuni anafahamu au hafahamu atakuwa ametenda kosa chiniya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007.

19. Mtu/ Kampuni yenye nia ya kufanya kazi hii inaweza kutembelea eneo la mradi lililopo Kataya stendi kuu Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuanzia saa 1:30 hadi saa 9:30 Alasiri,siku za wiki kuanzia Jumatatu hadi Jumapili.

MASHARTI YA JUMLA NA MAALUMU KW A W AOMBAJI WOTE1. Mwombaji awe raia ,.Mtanzania11. Mwombaji asiwe na deni lolote analodaiwa na Serikali au Halmashauri ya Wilaya ya

Serengeti.

4

111. Mwombaji awe na uwezo wa kifedha (Financial capacity) kutekeleza kazi hii kulipaHalmashauri shilingi za Tanzania milioni tatu laki sita (3,600,000) tu au kutoa vifaa vyaujenzi vyenye thamani ya kiasi tajwa vya ujenzi wa kibanda kirnoja.

IV. Mara baada ya Mwombaji kukamilisha ujenzi ndani ya mud a unaokubalika kiasi chaShilingi za Kitanzania Elfu ishirini (20,000) zitalipwa kila mwezi kwa rnuda wa miakakumi (10) mfululizo na mabadiliko ya bei ya kibanda yatabadilika kulingana na bei yasoko ya upangishaji kulingana na muda kama atakavyoriadhia mpangishaji.

v. Waombaji wenye Makampuni waambatanishe nyaraka zote muhirnu za Kampuni pamojana wasifu wa Kampuni husika (Company Profile).

VI. Nyaraka za maombi haya zinapatikana kwa kuleta barua ya maombi iliyopitishwa naMtendaji wa Kata husika ambako mwombaji anayotokea na malipo ya fedha Taslimuisiyorudishwa (non - refundable fee) ya shilingi za Tanzania Elfu hamsini (50,000) tukwa kila kibanda atakachoomba na mwombaji anaruhusiwa kuornba vibanda visivyozidiviwilitu. Malipo yote yalipwe kwa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Serengeti kupitiaIdara ya Fedha S.L.P.176, Mugumu.AlC NO.30201200071 Halmashauri ya Wilaya yaSerengetii liyoko Benki ya NMB Mugurnu.

20. Zabuni zote ziwasilishwe kwenye sanduku la Zabuni lililopo katika Ofisi ya MkurugenziMtendaji Wilaya ya Serengeti au ziturnwe kwa kinakilishi maalurnu (registered mail) ilizifikekabla ya tarehe na muda wa mwisho wa uwasilishwaji Zabuni naziturnwe kwa :-

Katibu wa Bodi ya ZabuniHalmashauri ya Wilaya ya SerengetiS.L.P.176,MUGUMU/SERENGETI

21. Mwisho wa kupokea Zabuni hii ni siku ya Jumanne tarehe 04/12/ 2018, saa sita (6:00)mchana. Mara baada ya hapo zabuni zitafunguliwa kwenye ukurnbi wa Mikutano waHalmashauri ya Wilaya ya Serengeti. Waombaji au wawakilishi watakaribishwa kuhudhuriaufunguzi, juu ya Bahasha iandikwe Zabuni Namba na Jina la Zabuni na isifunguliwe kabla yasaa saba (7:00) rnchana tarehe 04/ 11/2018.

22. Zabuni zilizochelewa, Zabuni za kielekroniki ambazo hazikupokelewa na hazikufunguliwana hazikusomwa mbele ya hadhara kwenye sherehe ya ufunguzi hazitakubaliwa walakufanyiwa tathimini.

IMETOLEW ANA:

Eng. Jurna HamsiniMKURUGENZI MTENDAJI (W)

,,·t· ·"'l .,..•..~.~ MTENOAJI (W)I~H\""o(\"~~r..\'\i~~ \ViI

riALMASHAURI VAW!lAVA VA StRENGETI$. L P 176

MUGUMiJ/SfRE GETI