2. kifaa cha msingi - koinonia-education.com · kifaa cha msingi 1 • malengo mawili tunapotafuta...
TRANSCRIPT
KIFAA CHA MSINGI 1• Malengo mawili tunapotafuta kuelewa maandiko:
• 1. Mungu alikuwa na ujumbe gani wakati ule kwa watu wale • 2. Mungu ana ujumbe gani wakati huo kwetu
• Ndani ya Biblia yetu kuna vitabu ya aina mbali mbali. • Tunahitaji kufahamu namna ya kufanya kazi na kila aina ya kitabu • Tunahitaji kutofautisha mashauri, kanuni na mifano. • Cha kufuata na cha kujihami nayo…..
• Kwa bahati nzuri kuna taratibiu za kufuata • Tutaangalia hizo taratibu kwanza sasa lakini pia tunapoangalia
aina zote za vitabu. • Pia tutaangalia vifaa vya kutusaidia katika kazi hii
KIFAA CHA MSINGI 2• Kazi ya kwanza Exegeses (utafiti wa maandiko)
• 1. Mazingira ya kihistoria yalikuwaje? • Muda na mazingira ni muhimu kufahamu • Kwa nini yanaandikwa?
• 2. Uhusiano ya maandishi • Jinsi neno tunalolisoma linahusiana na maneno mengine • Maana au ”point” ya andiko ni nini? • Mawazo ya mwandishi kabla na baada ya andiko ”letu” • Ni mafundisho (dogma) au mfano (kielelezo)
• 3. Kufahamu maana ya mwandishi kwa walengwa wake. • Mfano 2Kor 5:16b
KIFAA CHA MSINGI 3• Kazi ya pili Hermeneutics (maana ya maandiko kwetu)
• Kama utaweza kufahamu vizuri maana ya ”hapa na sasa” lazima uwe umefanya kazi nzuri ya ”pale na wakati ule”. Maana ya sasa haiwezi kupinga maana au ujumbe wa wakati ule.
• Ukianza ”hapa na sasa” ni rahisi kufanya kosa ya kutafuta ”nguvu” y hoja yako kwenye maandiko ambayo yakichunguliwa huenda yatakuwa na maana nyingine na ile unayojaribu kuipigia debe…. • Mifano
• Ubatizo wa waliyokufa (Mormons) Msingi 1Kor 15:29 • Theologia ya kufaulu (Mkristo lazima afaulu katika kila
shughuli) Msingi 3Yoh 2
KIFAA CHA MSINGI 4• Vifaa vy akutumia:
• Biblia • Tafsiri zaidi ya moja ya Biblia ikiwa nyingi vizuri zaidi
• Kamusi ya Bibilia • Kitabu cha muongozo ya Biblia • Commentary ya Bibilia
• Sasa tutaanza kupitia aina za vitabu na kuangalia taratibu zinazotumika kwa kila sehemu. Tunaanza na masimulizi za Agano
la Kale