11 kutokujua kusoma na kuandika; chanzo ni nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (naibu...

32
1 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? 11

Upload: others

Post on 05-Feb-2020

25 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1

Kutokujua Kusoma na Kuandika;Chanzo ni Nini?

11

Page 2: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi
Page 3: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

Kutokujua Kusoma na Kuandika;Chanzo ni Nini?

Page 4: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

Mtayarishaji:Edwin Mashasi

WachangiajiVicent Mnyanyika

Nyanda ShuliAbraham Lazaro

Annastazia RugabaBenedicta Mrema

Rosemary Mwenda

Timu ya WahaririRobert Mihayo

Elizabeth MissokiaElisante Kitulo

WasaniiNoah David Yongoro

Simon Regis Maro

Mchapishaji©HakiElimu 2012SLP 79401, Dar es Salaam, TanzaniaSimu: (255 22) 2151852 au 3Faksi: (255 22) 2152449Barua pepe: [email protected]: www.hakielimu.org

ISBN: 978-9978-18-035-6

Unaruhusiwa kunakili sehemu yoyote ya kijitabu hiki kwa minajili isiyo ya biashara. Unachotakiwa kufanya ni kunukuu chanzo cha sehemu iliyonukuliwa na kutuma nakala mbili za chapisho kwa HakiElimu.

Page 5: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

i

Taifa lolote duniani ili lipige hatua kimaendeleo linahitaji kuwekeza katika elimu bora ambayo watu wake watatumia maarifa, ujuzi, na uzoefu walioupata shule kuboresha maisha yao na taifa kwa ujumla. Lakini taifa linalokuwa na watu wasiojua kusomoa na kuandika linajipalilia kufa, kwa sababu watu wake watakuwa hawana uwezo wa kuzalisha katika nchi hivyo kugeuka tegemezi au watumwa.

Miaka ya 1980 Tanzania ilikuwa ni moja ya nchi ambazo watu wake wengi walikuwa wanajua kusoma na kuandika. Kwa mujibu wa taarifa ya serikali kiwango cha kujua kusoma na kuandika nchini kimeshuka kutoka asilimia 89.4 kwa mwaka 1986 hadi ku�kia asilimia 69 kwa mwaka 2010 miongoni mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi 5,000 waliojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2012 hawajui kusoma na kuandika (Mwananchi 09 Aprili 2012).

Ni aibu katika karne hii ya sayansi na teknolojia kuwa na jamii ya watu wasiojua kusoma na kuandika. Kwa nini tume�ka hapa? Tume�ka hapa kwa sababu serikali imetelekeza maboresho ya sekta ya elimu kuanzia ngazi ya kisera, mipango, vipaumbele na utekelezaji wake umekuwa wa mashaka. Shule zimekuwa na changamoto nyingi ikiwemo wingi wa wanafunzi darasani, ukosefu wa vitabu, masomo mengi kwa wanafunzi wa madarasa

ya awali na darasa la kwanza, uchache wa walimu, maslahi duni, wazazi kutofuatilia kwa ukaribu maendeleo ya watoto wao shuleni na nyumbani, mazingira mabovu ya ufundishaji na uzembe wa kamati za shule kusimamia maendeleo ya shule na ya wanafunzi. Aidha wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika wamekuwa wakifaulu kujiunga na kidato cha kwanza, ni kitu ambacho ni cha kustaajabisha zaidi.

Ili nchi yetu ipige hatua katika maendeleo na kupunguza umasikini, serikali inapaswa kutimiza wajibu na ahadi zake za kuboresha elimu, kwa kuboresha mazingira ya wanafunzi kujifunza na walimu kufundisha, kila shule ipatiwe vitabu ya ziada na kiada vya kutosha, nyumba za walimu, masomo yapunguzwe kwa wanafunzi wa madarasa ya chini, fedha za ruzuku zipelekwe za kutosha na kwa wakati. Wazazi wanapaswa kujenga utamaduni wa kufuatilia, kusimamia na kuthamini maendeleo ya watoto wao shule na nje ya shule. Na pia kukomesha suala la walimu wakuu kufanya udanganyifu kutaka wanafunzi wafaulu hata kama hawana uwezo wa kufaulu.

Chapisho hili linalenga kuonesha jinsi gani suala la kusoma na kuandika limekuwa changamoto kubwa katika nchi yetu. Ni matumaini yetu kuwa mtatumia kijarida hiki kutafakari, kujadili na kuiwajibisha serikali na pia wazazi kuwajibika katika kusimamia, kufuatilia na kutathmini maendeleo ya watoto wao.

TAFAKARI. CHUKUA HATUA

Utangulizi

Page 6: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

ii

Hatua unazoweza kuchukua kama mwananchi wa kawaida

• Ifahamishe Kamati ya Maendeleo ya Shule kuhusu tatizo la wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika – Unaweza kutoa maoni yako katika mikutano ya kamati ya shule kwenye mikutano ya kijiji au bodi/kamati ya shule unaweza kuibua na kuchangia mijadala kuhusu uboreshaji wa elimu kwa njia mbalimbali

• Kuwapa walimu taarifa juu ya uwepo wa wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika- Unaweza kufanya hivi kwa kuwatumia walimu taarifa kwa njia ya simu au barua juu ya tatizo la wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika. Pia unaweza kuwahamasisha walimu kutafuta mbinu za kuwasilisha maoni yao.

• Hamasisha wazazi watambue umuhimu wa wanafunzi kujua kusoma na kuandika - Unaposhiriki kwenye mikutano ya kijiji au bodi/kamati ya shule unaweza kuhamasisha wazazi kutafuta fursa za kutambua umuhimu wa kujua kusoma na kuandika ili waweze kutoa michango yao katika kuboresha elimu yetu.

• Hamasisha wanafunzi watambue umuhimu wa kujua kusoma na kuandika na malengo yake- Unaweza kuwapatia wanafunzi taarifa kwa njia mbalimbali kama mikutano ya shule kuhusu maana na malengo ya kujua kusoma na kuandika.

• Tuandikie – HakiElimu ni shirika la hiari linalowezesha jamii kuleta mabadiliko mbali mbali katika elimu na demokrasia. Tunaamini kila Mtanzania anaweza kuchochea elimu bora.

Tafakari. Chukua hatua

ii

Page 7: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

11

Page 8: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

22

Page 9: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

33

Page 10: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

444

Page 11: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

55

Page 12: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

66

Page 13: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

77

Page 14: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

88

Page 15: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

99

Page 16: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1010

Page 17: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1111

Page 18: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1212

Page 19: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1313

Page 20: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1414

Page 21: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1515

Page 22: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1616

Page 23: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1717

Page 24: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1818

Page 25: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

1919

Page 26: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

20

Orodha na Anwani za Wizara na Asasi muhimu za Serikali 1 Mkurugenzi, Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano, Ikulu. SLP 9120, Dar es Salaam

2 Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. SLP 3448, Dar es Salaam

3 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi SLP 9121, Dar es Salaam

4 Wizara ya Fedha na Uchumi SLP 9111, Dar es Salaam

5 Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana SLP 1422, Dar es Salaam

6 Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu SLP 2645, Dar es Salaam

7 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) SLP 4865, Dar es Salaam

8 Katibu Mkuu, O�si ya Waziri Mkuu SLP 1923, Dodoma, SLP 3021,Dar es salaam,

9 O�si ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa SLP 1923, Dodoma

10 O�si ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma SLP 2483, Dar es Salaam

11 Mkurugenzi, O�si ya Makamu wa Rais (AZISE) SLP 5380, Dar es Salaam

12 Mfuko wa Maendeleo wa Jamii (TASAF) SLP 9381, Dar es Salaam

Page 27: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

21

Orodha na anwani za vyombo vya habari

Chombo cha habari Namba ya faksi Namba ya simu Sanduku la posta

BBC, Dar es Salaam 2127911 2127911/5 79545 Dar es SalaamBusiness Times 2150987; 2115025 2118378/9 71439 Dar es SalaamChangamoto 2126502 2126602 12137 Dar es SalaamClouds FM 2124649 2123919 31513 Dar es SalaamDaily News 2135239; 2112881 246074; 2110595 9033 Dar es SalaamDTV/CTN/ Channel 10 2113112 2116342 19045 Dar es SalaamEast Africa Radio 2775915 2775916 21122 Dar es Salaam

Global Publishers Limited 2773356 2773357 7534 Dar es SalaamHabari Leo 2135239; 2112881 2110595; 2123063; 2127491/3 9033 Dar es Salaam

Ikulu 2113425 2116913 9120 Dar es SalaamITV / Radio One 2775915 2775916 31042 Dar es SalaamKulikoni 2110478 2110462/3 479 Dar es SalaamMaelezo hall 2113814 2122771 9142 Dar es SalaamMajira 2150987 2118377/9 71439 Dar es Salaam

Mtanzania 2460030; 2123186 2461459; 2460029 78235 Dar es SalaamMwanaHalisi 2760560 2760560 67311 Dar es SalaamMwananchi 2450881; 2450886; 2450873 2450875-6/8 19754 Dar es Salaam

Page 28: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

Orodha na anwani za vyombo vya habari

Chombo cha habari Namba ya faksi Namba ya simu Sanduku la posta

Nipashe 2700146 2700735/7 31042 Dar es SalaamRadio Mlimani 2700239 2700236 4067 Dar es SalaamRadio Uhuru 2182369 2181700 9221 Dar es SalaamRai 2460030; 2123186 2461459; 2460029 78235 Dar es SalaamRaia Mwema 2401311 2401310 8560 Dar es SalaamTBC - Radio 2865577 2860760/5; 2865564/74 9191 Dar es SalaamStar TV/Radio Free Africa 028-2500713; 2666681 028-2503262; 2666834 1732 Mwanza na 6404 Dar es SalaamTanzania Daima 2126234 2126232 15261 Dar es Salaam�e African 2460030; 2123186 2461459; 2460029 4793 Dar es Salaam�e East African 2115566 2119657/8 8101 Dar es Salaam�e Citizen 2450881; 2450886; 2450873 2450875/8 19754 Dar es Salaam�e Express 2182659 2182665 20588 Dar es Salaam�e Guardian 2773582 2700735/7 31042 Dar es Salaam�is Day 2110478 2110462/3 479 Dar es SalaamTBC - TV 2700011 2700466; 2700062,32 31519 Dar es SalaamVictoria FM 028-2622944 028-2622091;0755 -205875 942 MusomaVoice of Tabora 2123338 0773-361371; 0733-361371 84 TaboraWapo Radio 2851245 2851265 76837 Dar es Salaam

Page 29: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

23

Toa maoni yako kuhusu kitabu hiki:

Tarehe ya kupokea kitabu hiki ……………………………………

Jinsi Mme / Mke

Umri Kiwango cha Elimu

7 – 14 Elimu ya Msingi 15 – 19 Elimu ya Sekondari 20 – 30 Chuo 31 – 40 Zaidi ya 41

1. Kitabu hiki kina habari muhimu? Ndiyo Hapana Kiasi2. Kitabu hiki kina manufaa? Ndiyo Hapana Kiasi3. Kitabu hiki kinaeleweka kiurahisi? Ndiyo Hapana Kiasi4. Kitabu hiki kinavutia? Ndiyo Hapana Kiasi5. Kitabu hiki kimeandikwa vizuri? Ndiyo Hapana Kiasi6. Umependa michoro ya kitabu hiki? Ndiyo Hapana Kiasi

Umependa nini kwenye kitabu hiki?

Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini?

Page 30: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

24

Kitabu hiki kinawezaje kuboreshwa?

Unategemea kutumiaje kitabu hiki?

Baada ya kusoma kitabu hiki umechukua hatua gani?

Ukimaliza kujaza fomu hii itume kwa: HakiElimu, Uchapishaji, SLP 79401, Dar es Salaam.

Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini?

Page 31: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi
Page 32: 11 Kutokujua Kusoma na Kuandika; Chanzo ni Nini? kusoma na... · mwa vijana na watu wazima (Naibu Waziri wa Elimu Mh Philip Mulugo, Bungeni, 15 Februari 2011). Serikali imebaini wanafunzi

26

Kuwawezesha wananchi kubadilisha elimu, ndani na nje ya shule; kuathiri utungaji na utekelezaji madhubuti wa sera; kuchochea majadiliano ya umma na mabadiliko ya kijamii yenye ubunifu;

kufanya uta�ti, uchambuzi na uhamasishaji wa sera, na kushirikiana na wabia ili kuendeleza ushiriki, uwajibikaji, uwazi na haki za kijamii.

SLP 79401 • Dar es Salaam • TanzaniaSimu: (255 22) 2151852 au 3 • Faksi: (255 22) 2152449

[email protected] • www.hakielimu.org

Kuhusu kijitabu hiki

Ukuaji na ustawi wa taifa lolote duniani linahitaji misingi imara na madhubuti ya upatikanaji wa elimu bora ambayo ni chachu ya maendeleo. Lakini kwa Tanzania hali imekuwa tofauti sana katika uendeshaji na utolewaji wa elimu nchini. Mojawapo ya changamoto inayoikumba sekta ya elimu ni kuwa na ongezeko la wanafunzi wanaohitimu darasa la saba bila ya kujua kusoma na kuandika kiasi cha kuendelea na masomo ya sekondari. Lengo la kijitabu hiki ni kuchangia mjadala unaoendelea wenye lengo la kulitafutia ufumbuzi tatizo hili. Je, wewe unasemaje kuhusu tatizo hili? Lina athari gani kwa mwelekeo wa elimu na maendeleo ya nchi? Je, hatua gani zichukuliwe kulikabili?Soma kijitabu hiki na jadiliana na ndugu, ra�ki na jamaa zako. Ushiriki wako kwenye mchakato wa kuboresha elimu ni muhimu. Tafakari. Chukua hatua ya kuboresha elimu ili kuleta maendeleo ndani ya jamii na nchi yako!