viwavi wakivamia na kuathiri mazao. inafanya nini?€¦ · wanaotafuna mimea pamoja na kanga mbili...

2
KONTO 5 EC ni nini? I INAFANYA NINI? Konto inafanya kazi kama sumu tumbo au kwa mguso upesi kudhibiti wadudu kwanza kwa kuwafukuza, kuwakosesha hamu ya kula na kuua. Hii ina maana kuwa wadudu waliodhurika hapohapo wanaacha kushambulia mazao, na uvamizi mpya unazuiwa na Konto. Konto ina uwezo wa kudhibiti viwavi aina nyingi wanaotafuna majani na matunda; mbu wa korosho; chawa na inzi weupe wanaofyonza utomvu wa mimea na kusambaza magonjwa ya virusi; panzi wanaotafuna mimea pamoja na kanga mbili wanaofyonza utomvu wa mazao. Konto 5 EC ni kiuadudu yeyevu cha wigo mpana mithili ya pareto chenye kiambato amilifu lambdacy- halothrin kwa kudhibiti wadudu waharibifu wa mazao ya bustani, ufuta, korosho, tumbaku, nafaka na mazao ya matunda. Viwavi wakivamia na kuathiri mazao. kibaruti panzi Ufuta ulioathirika Mbu wa korosho

Upload: others

Post on 19-Oct-2020

3 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • KONTO 5 EC ni nini?

    I

    INAFANYA NINI?Konto inafanya kazi kama sumu tumbo au kwa mguso upesi kudhibiti wadudu kwanza kwa kuwafukuza, kuwakosesha hamu ya kula na kuua. Hii ina maana kuwa wadudu waliodhurika hapohapo wanaacha kushambulia mazao, na uvamizi mpya unazuiwa na Konto.

    Konto ina uwezo wa kudhibiti viwavi aina nyingi wanaotafuna majani na matunda; mbu wa korosho; chawa na inzi weupe wanaofyonza utomvu wa mimea na kusambaza magonjwa ya virusi; panzi wanaotafuna mimea pamoja na kanga mbili wanaofyonza utomvu wa mazao.

    Konto 5 EC ni kiuadudu yeyevu cha wigo mpana mithili ya pareto chenye kiambato amilifu lambdacy-halothrin kwa kudhibiti wadudu waharibifu wa mazao ya bustani, ufuta, korosho, tumbaku, nafaka na mazao ya matunda.

    Viwavi wakivamia na kuathiri mazao.

    kibaruti panzi Ufuta ulioathirika Mbu wa korosho

  • NAMNA YA KUTUMIAKonto ni lazima izimuliwe na maji kabla ya kupiga shambani kwa kutumia bomba shanta au treka mara uharibifu wa wadudu ukionekana au wadudu wenyewe wanapoonekana.

    Kwa ufanisi wa Konto katika kudhibiti viwavi ni muhimu kuhakikisha kuwa inapigwa mapema wakati viwavi wakiwa wachanga kabisa kabla ya kujikoboa mara ya pili.

    Viwavi wakisha kujikoboa mara ya pili hawadhibitiwi kwa ufanisi na waliojikoboa mara ya tatu hawatad-hibitiwa kabisa. Ni muhimu kukagua shamba lako mara kwa mara kujua hali ya viwavi kabla kupiga Konto.

    KIASI CHA KUTUMIA

    MAZAO WADUDUKIASI CHA KONTO (ML) KWA

    HEKTA LITA 15 MAJIMBOGAMBOGA, NAFAKA,

    MAHARAGWE,Viwavi, Vithiripi, Inzi weupe na

    Panzi,150 - 400 20 - 50

    KOROSHO, MICHUNGWA, MIEMBE

    Mbu wa korosho na Viwavi. MILILITA 5 KWA LITA 1.5 MAJI KWA MTI MMOJA (TUMIA BLOWER)

    UFUTA Viwavi, Vithiripi, Panzi na vibaruti

    150 - 400 20 - 50

    MARA BAADA YA KUONA MASHAMBULIZI. RUDIA KILA

    BAADA YA SIKU 7

    ILANIKonto yaweza kufanya mwili na macho kuwasha na inaweza kusababisha chafya mfululizo kwa watu wenye mzia. Hizi ni athari mpito na inashauriwa kufuata tahadhari zote za kinga na matumizi ya viuatilifu.

    Imethibitshwa na TPRI. Imesajiliwa na kusambazwa naMEGAGENERICS LIMITED, P.O. BOX 38000, DAR ES SALAAM Email: [email protected]

    MiembeUfuta Nyanya Matikiti

    Konto haitadhibiti Viwavi walofikia hatua hii ya ukuaji