somo la 8 kwa ajili ya mei 25, 2019 - fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto....

11
Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019

Upload: others

Post on 21-Jan-2021

3 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia

Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019

Page 2: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia
Page 3: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia

MATATIZO MAALUMU

Kutokuwa na watoto

Kulea kama Mzazi mmoja

KUWAELIMISHA WANAO

Kanuni za elimu

Lengo la elimu

Pale lengo lisipofikiwa

Mara tu baada ya kuwaumba Adamu naHawa, Mungu aliwatia moyo kuwa wazazi: “Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, nakuitiisha.” (Mwanzo 1:28).

Mara nyingi mtoto hukuzwa na babaanayejali pamoja na mama anayejali. Japokuwa, haiwezekani kwa kila jambo.

Wajibu wa mzaziunahusisha kuwaelimishawanaye, ili waje wawe raiawa Mbinguni.

Page 4: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia

Kuna kesi nyingi katika Biblia ya wanawake ambaowalitamani sana watoto lakini hawakupata; Kwamfano: Rebeka, Raheli na Hana. Mungu aliyasikiamaombi yao (Mwanzo. 30:1; 1Samweli. 1:27).

Ibrahimu na Sara, na Zakaria na Elizabeti ni mifanoya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupatawatoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi yamtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13).

Mungu husikia maombi, ingawa daima hajibu kwanjia unazozitarajia.

Baadhi ya wana ndoa wanaamua kutokuwa na watoto. Wengine hupendelea kurithi watoto na huwapatia maishabora kwa ajili ya badae.

Ni lazima tuumie sana kwa ajili ya wale wanaotaka kuwawazazi lakini hawawezi.

Page 5: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia

Kuna mifano mingi katika Biblia yawaliotarakiwa (Mwanzo 21:14), waliolea pekeyao (Mwanzo 38:24) na akina mama wajane (2 Falm 4:1).

Hii hufanya malezi ya watotokuwa magumu. Mzazianapokuwa mmoja ni lazimaamwamini Mungu ambayeanasema: “Sitakupungukiawala sitakuacha.” (Yoshua 1:5)

Siku za leo, mazingirakama hayo yanawezakuwasukuma akina babana akina mama kuleawatoto wao wakiwahawana wenzi.

Sisi ni Kanisa, hivyo ni lazima tuwape msaada nakuwasaidia hao kaka na dada (Yakobo 1:27).

Page 6: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia

KANUNI ZA ELIMU“Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; naweuwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumbayako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.” (Kumbukumbu la

Torati 6:6-7)

Kila mtoto ni tofauti: nafasi ya kuzaliwa, mwenendo, jinsia yake, na mengine. Kwaiyo, kila mzazi anahitajihekima ya Mungu kuelimisha watoto wao.

Kanuni za elimu zimeorodheshwa katika Kumbukumbula torati 6:4-9. Kufuata kanuni hizo ni ufunguo wa kukuzawatu wawajibikaji na raia wa ufalme wa Mungu. Wazazini lazima:

WamtambueMungu (fg. 4)

Wampende Mungukwa mioyo yao

yote, kwa akili, nakwa roho (fg. 5)

Wahifadhi Nenolake (fg. 6)

Wamwelezee(Mungu) kwawatoto wao

(fg. 7)

Page 7: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia

Unawezaje kuzitumia kanuni hizo? Kwa kufanya yafuatayo:

Kuvutia / Kuongea(fg. 7)

Maelekezo rasmi: Kujifunza Biblia katikanyakati maalumu( mfano. Ibada ya familia)

Maelekezo yasiyo rasmi: Kufundisha mosomoyatokanayo na maisha ya kila siku

Kuyafunga / Kuyaandika

(fg. 8-9)

Kuunganisha ukweli na vitendo vyako(mkono) na mawazo yako (akili)

Ukweli lazima uonekane kwa uwazi kwenye(miimo ya nyumba yako) na kwenye

(malango) ya maisha yako

KANUNI ZA ELIMU“Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; naweuwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba

yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.” (Kumbukumbu la torati 6:6-7)

Page 8: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia

“Kwa maana nimemjua ya kwambaatawaamuru wanawe, na nyumbayake baada yake waishike njia ya

BWANA, wafanye haki na hukumu.” (Mwanzo 18:19a)

Lengo la wazazi wa Kikristo lazima liwekwamba watoto wao wawe wana na bintiza Mungu walio wazuri, kwa kuvutiaupendo wa Mungu kwao ili washirikishaneumilele pamoja.

Neno la Mungu linaeleza namna yakumwelimisha mwanao ili kufikia lengohilo:

Kuonya kwa wema (Wakolosai 3:21)

Kufundisha sheria ya Mungu (Zaburi 78:5)

Kutoa mfano (Mwanzo 18:19)

Kusimamia nyumba yako vizuri (1 Timotheo 3:12)

Kumrudi (Mithali 29:17)

Page 9: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia

Biblia inayo mifano ya wazazi waliowalea watoto wao kwa uaminifu, na mifano ya wazaziwalioonyesha upendeleo, kukosa marudi au kuwa na dhambi dhahiri zilizofanya elimu kuwa

ngumu kwa watoto wao. Hebu tujifunze kutoka kwenye hii mifano.

Isaka (Mwanzo 25:28)

Eli (1 Samweli 3:13)

Samweli (1 Samweil 8:3)

Daudi (1 Wafalme 1:6)

Manase (2 Wafalme 21:6)

Enoko (Mwanzo 5:21-27)

Ayubu (Ayubu 1:5)

Isaya (Isaya 8:18)

Mordekai (Esta 2:7)

Eunike (2 Timotheo 1:5)

Page 10: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia

Pale mtoto anapoacha imani na kukataa kanuni ambazowazazi wake walimfundisha, nani wa kulaumiwa?

Ni rahisi kuwalaumu akina baba kwa kutowaleawatoto wao vizuri. Japokuwa, mtoto wao anawezakuwa amefanya maamuzi mabaya ingawa wazazi waowalifanya kila kitu kwa usahihi.

Watoto wana akili zao wenyewe na hatimayewanawajibika kwa Mungu kwa matendo yao. Kuwamzazi mzuri ni uchaguzi wetu; kwa jinsi gani watotowetu wanageukia chaguzi zao.

Mtoto anapoasi, wazazi ni lazima waendelee kuwapamoja na kuweka mipaka sahihi.

Tunahitaji maombi ya dhati, upendo na uvumilivu. Daima kuwa upande wao pale wanapopambana dhidiya Mungu. Kumbuka namna Mungu anavyowapenda.

Page 11: Somo la 8 kwa ajili ya Mei 25, 2019 - Fusteroya wana ndoa ambao walikata tamaa juu ya kupata watoto. Japokuwa, Mungu aliwapa zawadi ya mtoto (Mwanzo. 21:2; Luka. 1:13). Mungu husikia

“Je; Wazazi, mnafanya kazi kwa jitihada

zisizochosha kwa niaba ya watoto wenu? Mungu

wa mbinguni huziandika juhudi zenu, kazi zenu

za dhati, na kukesha kwenu. Husikia maombi

yenu. Kwa uvumilivu na huruma mlee mtoto

wako kwa ajili ya Bwana. Mbingu yote

inavutiwa na kazi yako. Malaika wa nuru

wataungana na wewe pale unapojitahidi

kuwaongoza watoto wako kwenda mbinguni.

Mungu ataungana na wewe kuzitunuku jitihada

zako za kufanikisha. Kristo kwa furaha

huitukuza familia ya Kikristo; kwa kuwa

familia hiyo ni ishara ya familia ya mbinguni.”

E.G.W. (The Review And Herald, "Words to Parents", January 29, 1901)