somo la 3 - multiplicationnetwork.org

30
Revised March 20, 2019 SOMO LA 3 KITABU CHA MWEZESHAJI KOZI YA “JUKUMU LA KUJIZIDISHA” Kupanda Makanisa Yenye Afya

Upload: others

Post on 24-Jan-2022

6 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

RevisedMarch20,2019

SOMOLA3

KITABUCHAMWEZESHAJI KOZI YA“ JUKUMULAKUJIZIDISHA” KupandaMakanisaYenyeAfya

www.multiplicationnetwork.org 2

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

www.multiplicationnetwork.org 3

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

www.multiplicationnetwork.org 4

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

JUKUMULAKUJIZIDISHAMasomoyaKupandaMakanisaYenyeAfya

HudumayaMtandaowaKujizidishaMakanisaZaidi/MakanisayenyeNguvu

Hakimiliki©2015

MasomohayayamafunzoyaupandajikanisanimjumuishowakoziyaAbridgedOmeganamafunzoyaKupandaMakanisaYenyeAfyayaMtandaowaHudumayaKujizidisha.MNMimepataruhusayakuwekawazikazihiiitumiwenakanisakutokakatikaKituochaMafunzoyaUpandajiwaMakanisanaHudumazaUlimwengu.Unaruhusiwanakutiwamoyokuzalishanakusambazamasomohayakwamuundowaainayoyoteyatakavyotolewakwamba:(1)utambue/ushukuruchanzo(2)onyeshaikiwamarekebeshoyamefanyika,(3)usitozegharamazaidiyaileyakuzalisha,na(4)usizalishenakalazaidiya1,000.KoziyaOMEGA:MafunzoyaVitendoyaKupandaKanisaHakimiliki©2000,2006UnitedWorldMission.MasomohayamwanzoniyalimilikiwanaAllianceforSaturationChurchPlantingnakuandaliwanahuoubiakwakushirikiananaHudumayaPeterDeynekaRussian,Mradi250.Kamaungependakuyarushamasomohayakwenyemtandaoaukamaumedhamiriakutumiazaidiyailivyotajwahapojuu,tafadhaliwasiliananaUnitedWorldMission,ATTN:JayWeaver/Omega,9401-BSouthernPineBlvd.,Charlotte,NC28273-5596,auomega_course@alliancescp.ord.Tafsirinamatoleokatikamazingirayakopiayanaruhusiwa.TunamshukuruDr.JerryWoffordnaDr.JeffHalekwamchangowaousiowezakulipwakatikakuandaamasomohaya.GaryTejanaJohnWagenveld,wahaririwaKaziyaKujizidisha

www.multiplicationnetwork.org

www.multiplicationnetwork.org 5

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

PENDEKEZOLAMUUNDOWASIKU1WAMAFUNZOYASOMOLA3

UTANGULIZIWASOMOLA3 2:00

IBADA 2:15

KUTOATAARIFA 2:30

KIPINDICHAKWANZA MUNGUANANIONYESHANINI:SHIRIKISHAUTAFITIWAKO 3:00

MAPUMZIKO 4:00

KIPINDICHAPILI

MUNGUANANIONYESHANINI:SHIRIKISHAUSHUHUDAWAKONAUZOEFUWAKOWAKUTEMBEAKATIKAMAOMBI 4:15

KIPINDICHATATU MPANGOWANGUMKUUWAKUPANDAKANISA:MAONO 5:15

CHAKULACHAMCHANA 6:15

KIPINDICHANNE MPANGOWANGUMKUUWAKUPANDAKANISA:DHIMA/KAZI 7:15

KIPINDICHATANO MPANGOWANGUMKUUWAKUPANDAKANISA:MAADILI 8:15

MAPUMZIKO 9:15

KIPINDICHASITA MPANGOWANGUMKUUWAKUPANDAKANISA:MKAKATI 9:30

KUFUNGA 10:30

MWISHOWASIKU 10:45

www.multiplicationnetwork.org 6

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

FAHAMUMAONOYAMUNGUSOMOLA3LengolaKujifunza:

Ø Washirikiwatawezakuelezeakwamanenoyaowenyewekazinatofautikatiya(a)kauliyamaono(b)kauliyadhima(c)kauliyamaadiliyamsingi,na(d)mkakatiwakupandakanisa

Ø Washirikiwataanzakuendelezakauliyamaono,kauliyadhima,kauliyamaadiliyamsingi,namkakatiwakupandakanisakulingananakuanzakwakanisajipya.

Ø KwakutumiaMpangowaVitendoSomola4,washirikiwatarudiamaonoyao,dhima,maadiliyamsingi,namkakatinawachungajiwao,wakisaidiananauongoziwakanisa,nawenginewatakaojumuishwakatikaupandajiwakanisa(kwausahihi).

AngalizokwaMwezeshaji:Ingawa“Sehemuya5:MpangoWanguMkuuwaKupandaKanisa:Maadili”yamepangiwasaanzimakwenyeratibayasomo,inawezakuhitajidakikakama30hivi.UkubwawakaziutamalizikakwenyeMpangoKaziwaMpandaKanisaSomola4.Unawezakutumiamudamwinginewaziadakwakadiriyauhitaji,kwamfano,kurudiamasomoyaliyopita,kufundisha,maombikatikakikundividogo,kutoamaswalinachangamotowalizonazowashiriki,aukuwaruhusumapema.UtanguliziwaSomola3(dakika15)NenolaMuwezeshajilaUtangulizi(dakika2)

• Kuwakaribishawashirikikwanamnayakirafiki,kiukarimunakwakufurahi.• Waongozewashirikikwamaombimafupiyapamoja,iwekesikuwakfukwautukufu

waMunguShughuliyakuanzia:Utangulizi(dakika5)Kilamtukwenyekundiameambiwaanadakikambilizakufikiriaswalinakuliulizakwawatuwenginekwenyekundi.Kwakadiriswalilitakavyokuwabora,ndivyoubunifunamwitikioutakavyoongezekanautaupokea.Baadayakilammojakufikiriaswali,wakaribishewasimamenawaambiewawaulizeswaliwatuwengikwakadiriwatakavyowezakwadakikambili.Andikamajinayakilamtunajibulake.Baadayadakikambili,liambiekundilikaechininauwakaribishewatuwajekushirikishabaadhiyavituwalivyojifunzakumhusukilammoja.UtanguliziwaMaono,Dhima,Maadili,naMkakati(dakika8)

www.multiplicationnetwork.org 7

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

• Andika ubaoni maneno haya au kwenye kipande cha karatasi kilichobandikwaukutani:Maono,Dhima,Maadili,naMkakati.

• Ulizakundimaswalihaya:

1) Nikwanamnaganiungeelezeamaanayadhanahizi? 2)Nikwanamnaganizinatofautiana? 3)Maono,Kazi,Maadili,naMkakativinafanyaninikatikakupandakanisa?

• Sema,“Leotunaendakuangaliakwapamojaumuhimuwamaono,dhima,maadili,namkakatiwa kupanda kanisa.Mitazamohii ni njia za vitendo kwa kanisa kuelezealenyeweninaninakwanini linafanyakile linachofanya.Kwakifupi,mitazamohiiinaelezea asili ya kanisa na kazi zake. Tunapopanda kanisa, tunatumia kanuni yakimisiolojia (inayohusiana na umisheni), kwa hiyo tunaenda kuanza kuangaliamaono, dhima, maadili, na mkakati kwa ibada fupi iliyo kwenye misingi yakimisiolojiayakupandamakanisayenyeafya.”

www.multiplicationnetwork.org 8

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

IBADAMISINGIYAKIMISIOLOJIAKWAMAKANISAYENYEAFYA(DAKIKA15)MaelekezoyaMwezeshaji:WaambiewajitoleekusomakwasautivifunguvyaBibliakwakila msingi wa theolojia kwa kazi ya kanisa. Ongoza kundi kugundua kila kanuni yakimisiolojiakutokakatikavifunguvilivyosomwanakujazasehemuzilizowazizakufananakwenyemadaftariyaoyakazi.Shughuliyakuanzia(dakika2)Waambie washiriki washirikishe mawazo yao kwenye sababu za kupanda makanisamapya.Waambiewasikilizewaonenikipikatiyahayayaliyotajwakwenyesehemuhii.IbadayaKujifunzaBiblia(dakika13).KANUNIYA1|VileKanisaniLILIVYO(kiini/asiliyake).

Soma:1Petro3:9-12;Waefeso4:24;1Wakorintho12:12-13Waulizewashirikininini tumejifunzakuhusukanisa/WatuwaMungukatikavifunguhivi. Sema,“Kanisa,jamiiiliyoumbwanaMungukuwawatuwake,pianiwakalawakuibadiliupya jamii na uumbaji. Kanisa nimtumpya aliyeumbwa ndani ya Yesu Kristo, kuwakamaMungukatikahakiyakwelinautakatifu.KanisanimwiliwaKristo,ulioungananaRohowakekuwafamiliamoja.”KanisanijamiimpyailiyoumbwandaniyaKristoYesu,kuwakamaMungukatikahakiyakwelinautakatifu.KanisanimwiliwaKristo,uliounganishwanaRohowakekatikafamiliamoja.

KANUNIYA2|VileKanisaLINAVYOFANYA(kazi/kusudilake).

Soma:Matendo6:1-7,Matendo11:19-26na12:25Uliza:Kanisalinafanyaninikatikamistarihii?

www.multiplicationnetwork.org 9

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

HUFANYA–VILE–LILIVYO–LINACHOFANYA–MUUNDO–TAASISI–LINAPANGA–KUJIUNDA

Sema, “Kile ambacho kanisa linafanya kiko kwenyemsingiwa kanisa ni nini. KanisalinatangazaufalmewaMungukatikaYesuKristo; linawasilisha Injili katikamazingirafulani; na kushiriki katika kazi/misheni yaMungu.Hapa tunaona kwambakujengwakwa Mkristo kunaenda bega kwa bega na kazi yake ya kutangaza, kutumika nakuhudumia. Vifungu hivi vinatukumbusha kwamba kanisa ni watu wa Mungu waliokazini. Kanisa HUFANYA kulingana na lenyewe LILIVYO. Kama mbwa anavyobwekasababunimbwa,kanisalinafanyadhima/mishenikwasababunikanisa.”Kileambachokanisalinafanyakikokwenyemsingiwakanisaninani/vilelilivyo

KANUNIYA3|KanisaLINAPANGAkileLINACHOFANYA(muundowake/taasisi).

SomaMatendo6:1-4.UlizanamnaambavyowanafunziwaliamuakupangakaziSema, “Mwisho, linajisimamia na kujipanga lenyewe kulingana na mazingira nampangokaziwakeilikutekelezakusudilake.Kanisalinatoamuundokatikakazizakeilikukamilisha kazi lililopewa na kufanya. Likiongozwa na Roho Mtakatifu, kanisahupanga, hutendea kazi, hutathmini na kubadilika kulingana na dhima yake. Kanunimuhimuhapanikwambaikiwakanisalitaelewaasilinakusudilake,litapangiliataasisiyakeilikukamilishadhimayake.”Kanisa linapanganakujiunda lenyewekulingananamazingirayakenamkakatiwakewakaziilikutimizakusudilake.

KUTOATAARIFA:(DAKIKA30)Maelekezo:

• Kwakutumiafomuyataarifaifuatayo,waongozewashirikikushirikishashughulizaozakupandamakanisatokawalipokamilishaSomola2.

• Sherehekeaushindi;watiemoyowaleambaoinawezekanawamekatatamaa.Kadirimudautakavyoruhusu,mnawezakuhitajikuombeanakilammojakwenyevikundividogokulingananauzoefuhuuwakupandamakanisa.

• Jibuswalilolotekuhusumchakatowataarifa

www.multiplicationnetwork.org 10

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

ABCZAMPANDAKANISATAARIFAYAMWEZITAARIFAZAKAWAIDA

BINAFSIVIKUNDIVIDOGO|Kiwangochachiniwafuasi2wapyanakiongozimmojaMAOMBIUNAYOHITAJI1. ______________________________________________________________________________________________________2. ______________________________________________________________________________________________________3. ______________________________________________________________________________________________________SHUHUDA______________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

MWEZIWATAARIFA

JINALAMPANDAJI

KANDAYAMPANDAJI

MRATIBUWAKANDA

USIMAMIZIWAMAHUDHURIOYAVIKAO NDIYO HAPANA

WATUWAPYAWALIOFIKIWAWATUWALIOFIKIWAKWENYEMAZINGIRAYAKUPANDAMAKANISAKULETAINJILIWAONGOFUWAPYAWAFUASIWAYESUWATUWAPYAWALIOBATIZWAWATUWALIOSHIRIKIKWENYESAKRAMENTIYAUBATIZOVIONGOZIWAPYAKATIKAMAFUNZOWATUWANAOFUNDISHWAUONGOZINAWAPANDAJI

VIKUNDIVIDOGOVIPYAVIKUNDIVILIVYOANZISHWAMWEZIHUUWASHIRIKIWAPYAKATIKAVIKUNDIVIDOGOWATUWAPYAWALIOSHIRIKIKATIKAVIKUNDIVIDOGOMWEZIHUUVIONGOZIWAPYANAKIKUNDIVIONGOZIWAPYANAKIKUNDICHINIYAUSIMAMIZIWAMPANDAJI

www.multiplicationnetwork.org 11

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

KIPINDICHA1MUNGUANANIONYESHANINI:KUSHIRIKISHAUTAFITIWAKO(dakika60)Sema, “Katika Somo la 1, uliambiwa ukamilisheMpangoKaziwa Somo la 4:Mpango ‘Z’wako.KatikaSomo la2uliambiwauchunguzemaeneoambayounampangowakupandakanisa. Maswali haya matatu katika kipengele hiki yanakupatia mchakato wa kuanzakufanyautafitiwaawali.Kablahatujaendakwaundanikwenyesomolautafiti,hebutuwenamudawakutoataarifayakilemlichopatakatikakazihii”.MaelekezoyaMwezeshaji:

• Mpe kila mtu dakika 15 za kushirikisha matokeo ya kazi yake kwa kutumiamuundo wa Mpango Kazi wa Somo la 3 kutoka katika Somo la 2 ukiwagawakatikamakundiyawatuwatatu.Muundoumetolewachinikwaajiliyamsaadazaidi.

• Zungukiakilakundikuangaliashughulizao.• Kama kuna watu ambao hawakumaliza kazi, panga kuzungumza nao binafsi

wakati wa mapumziko. Waambie wafanye mpango wa kukamilisha kazi yaokablayakipindikijachochamafunzo.

• Tumiadakika15zamwishozakipindikufanyamuhtasariwakazinakundizima.• MuonekanowaMuundo:taarifayakilamtulazimaiwekwamakadirioyadakika

10-15naiwenataarifazifuatazo:

1. SehemuyaKwanza–Taarifazaawalizilizokusanywa(dakika5-6)Elezeamaeneouliyokusudia

• Ulikusanyaje taarifa zako (kutembelea, kufanya usaili usio rasmi, kufanyauchunguzi/ramani,utafitiwamaktaba,n.k.)?

• Jadili tatizo lolote kubwa au magumu wanayokutana nayo na namnawanavyoyatatua.Ungefanyaninichatofautiwakatiujao?

2.SehemuyaPili–KuchunguzaTaarifa(dakika5-8)Anayekumbushautoajiwataarifalazimaazingatiematokeoyatafitizenu.Utoajiwataarifalazimaujibumaswalimuhimuyafuatayo:

www.multiplicationnetwork.org 12

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

• Ni taarifa ipi iliyokuvutia zaidi ulipofahamu kuhusu eneo ulilokusudia na watuwanaoishihapo?

• Jekunataarifayoyoteiliyokushangaza?• Nikituganihaswaulichojifunzakitakachokusaidiakutengenezampangowakowa

kupandakanisakatikaeneoulilokusudia.• Ni jamboganimoja lamuhimuambalokwakupandakanisaulithibitishakwamba

ulikwishafahamunieneolamavuno?• Ni kitu gani kipya chamuhimuumekigundua ulipopanda kanisa eneo lamavuno

ambachohukukifahamukabla?• NifursaganizamlangouliowaziwaInjiliumezipata?• Nivikwazoganiumekutananavyonaninamnaganiutavivuka?• Niutafitiganiwandanizaidiunaohitajikuufanyailikuendelezauinjilistishirikishi

nampangowakupandakanisakatikaeneoulilokusudia.

www.multiplicationnetwork.org 13

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

KIPINDICHA2MUNGUANANIONYESHANINI:SHIRIKISHAUSHUHUDAWAKONAUZOEFUWAKUTEMBEAKATIKAMAOMBI(Dakika60).Maelekezo ya Muwezeshaji: hii ni taarifa ya shuhuda na mpango kazi wa maombiyatakayoendakatikaSomola3kutokakatikaSomola2.

• Wagawewashirikikatikamakundiyawatuwatatuwatatu.• Waambie kila mmoja ashirikishe ushuhuda wake binafsi ule uliorudiwa na

kushirikishwahadharanitokakipindikilichopita.• Kwenyehayomakundimadogo,waambie kilammoja ashirikishemtuuzoefuwao

wakusimuliawatuushuhudawaobinafsinamaombiyakutembeakatikamaeneowaliyokusudia.

• Zungukiakilakundikuangaliamjadalawao.• Kamakunawatuambaohawakumalizakazi,pangakuzungumzanaobinafsiwakati

wa mapumziko. Waambie wapange kumaliza kazi kabla ya kipindi cha mafunzokinachofuata.

• Tumiadakika15zamwishowakipindikufupishakazikwenyekundikubwa(lote).

www.multiplicationnetwork.org 14

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

MAELEZO-MUNGU-SURA-KUIFIKIA

KIPINDICHA3MPANGOWANGUMKUUWAKUPANDAKANISA:MAONI(Dakika60)NAMNAYAKUTENGENEZAKAULIYAMAONOMaelekezoyaMwezeshaji:Tumiamasomoyaliyohapochinikutoautanguliziwawazolakauliyamaono.Ongozakundikukamilishashughulizinazofuata.KauliyamaononimaelezorahisinayakuelewekayanamnaunavyoaminiMunguanatakakundilakoliwe.Nilazimaisemesuranzimakwaujumlayakundilakokatikahalikamilifulakiniijikitevyakutoshakuwalengawatukatikautendajihalisi.Pia,lazimaielezeehaliunayotendakaziilikuifikia,sioileambayoimeshakamilika.Iliuwezekuendananaeneolakoulilokusudia,KauliyakoyaMaonoinatakiwaiakisikileulichojifunzakwenyeutafitiwako.

MIFANOMINNEYAKAULIYAMAONO(DAKIKA15)I. “TutakuwakanisalililojaaRohoMtakatifu,linalokualikimfananiaKristo.”II. “TutakuwanuruyaKristokwenyegizalajamiiyetu.”III. “Tutakuwajamiiya imani ing’aayokwahakinatumaini laKristokatikakusanyiko

letu,jiji,nasehemunyinginezaulimwengu.”IV. “Tutakuwa kusanyiko la haki na imani, tukitumikia waliopotea vivyo hivyo na

waaminiwenzetukatikajamiiyetu,dini,naulimwengunikote.”TambuakwambakilakauliyamaonoinaakisikileambachoMunguametufundishakatikaNeno lakekuhusuKanisa lake linatakiwa liweje.Pamojanahivyo,kaulihazifananikatikautendajikamakaulizamaono.I.KAULIYAKWANZAinaelezekakamanenoambalolingewezakuwakwelikwakiasikwasasa,namwendelezounaotarajiwakwamudawaziada.Hainaupekeemaalumwakazizakundiauhudumakatikamwelekeowaninichakufanya.II.KAULIYAPILIhainamfumoamaumbona inawezakuwayakwelimudawowotekwanjiatofauti.Tena,haitajitabiazakundiwalakiwangochautendajikihuduma.

www.multiplicationnetwork.org 15

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

III.KAULIYATATUkwakiasi fulani imekamilika,kamainavyoelezeatabiazakundi(hakinatumainikatikaKristo)nawapiwatakapohudumu(kusanyiko,jiji,nasehemunyinginezaulimwengu). Tabia na kufikiwa kwa huduma, vyote nimisingi yamwelekeowa nini chakufanya.IV. KAULI YA NNE imekamilika zaidi. Inazungumza tabia za kusanyiko, wapokeaji wahudumawanaokusudiwa,nakufikikakimwilikwahuduma. KanunihizizinaelezekawazinayaliyomoniyaKibiblia.SHUGHULI(DAKIKA45)

1. Katika vikundi vidogo vidogo au watu wawili wawili, orodhesha maneno kadhaayanayolielezeakusanyikolakojipyakamavilelilikuwasawakulingananakanunizakibiblia–namnaunavyoaminiMunguanatakaliwe!Baadhiyamanenoyanatakiwayawe: haki, uaminifu, upendo, furaha, huruma, ukarimu, n.k. haya manenoyanaelezea tabia za kusanyiko. Orodhesha maneno haya yanayoelezeka kwakutumiakilanenokukamilishasentensi:

Munguanatakatuwe…__________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

2. Kisha,orodheshaunaaminiutamhudumiananikwakukamilishasentensihii

Munguanatakatumhudumie…(nani?)__________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

3. Mwisho, orodhesha kazi ambazo kusanyiko lako jipya litakuwa likifanya wakati

likiwakatikahalinzuri.Hizizinawezakuwakaulimbiu.Baadhiyamifanoni:

• PelekaInjiliulimwenguni• Hudumiarikazotekatikajamiiyetu• Washirikawotekujihusishanauanafunziwakiroho• Nguvuyakiuchumikukuasikuzote•

Unawezakuorodheshakazihizikwakukamilishasentensihii:

www.multiplicationnetwork.org 16

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

4. Tutaelezeaviwangovyetukupitia…___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

5. Sasa, jadili na mwenzako au kikundi kidogo maneno uliyochagua kuelezea tabia

halisi za kusanyiko, watu ambao kanisa litawahudumia, na kauli mbiu zionyeshekanunizavitendozakusanyikolako.Chaguatatumuhimuzaidikwakilaorodhanauziandike.___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

6. Mwisho,andikakauliyamaonoambayohutumiamanenomuhimuyanayoelezeka,

wapokeajiwahuduma,nakaulimbiuyakazi(unawezakutumiamfanowatatuauwannewakauliyamaonokamasomo.)___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

Shirikishakundikubwakauliyamaonouliyoandika.Shirikiananakundikubwakuhakikishakwambamanenoyakoyanaelewekanayanazungumziamawazoyakokwausahihi.

7. Angaliamanenoyaliyoshirikishwa,naandikakauliyamaonoyamwishohapa.___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

8. Nivifunguganikwenyebibliavinavyobebahayamaono?

___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

9. Rekebisha kauli ya maono ili iwe rahisi na ya kueleweka. Ni kwa namna gani

www.multiplicationnetwork.org 17

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

utazungumzia haya maono kwenye timu ya kuzindua na kuwakaribishakuyaasili/kuyamilikimaonokuwayao?Kusanyikolitahitajininikuelewanakuaminiililiwezekuendeleanamaonohaya?Utalisaidiajekusanyikokufanyahivi?______________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

Chakulachamchana(dakika60)

www.multiplicationnetwork.org 18

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

MAONO-DHIMA–NAMNA-VITENDO-VITENDO

KIPINDICHA4MPANGOWANGUMKUUWAKUPANDAKANISA:DHIMA(Dakika60)MaelekezoyaMwezeshaji:TumiamasomoyaliyokohapochinikutoautanguliziwawazolaKauliyadhima.Ongozakundikukamilishashughuliinayofuata.NAMNAYAKUTENGENEZAKAULIYADHIMARudiakuangalia&WazoJipya(dakika15)MarejeoKAULIYAMAONOnimaelezomafupinayakuelewekakuhusukileunachoaminikuwaMunguanatakakusanyikolakoliwe.MAONOyanahusuKUSANYIKOlitakuwaNINANIDhanaMpyaKAULIYADHIMAnimuhtasariwaNAMNAkanisaLITAKAVYOYAFANYAMAONOKUWAHALISI.KAULIYADHIMAinazungumziavitendoambavyovitasababishamaoniyatokee.KAULIYADHIMAINAHUSUVITENDO.Ili uweze kuendana na eneo lako ulilokusudia, Kauli yako ya Dhima lazima iakisi kileulichojifunzakatikautafitiwako.I. Dhima ya Kanisa la LivingWater ni kuiishi Injili ya Yesu Kristo kupitia kuabudu

Utatu Mtakatifu wa Mungu, kuhubiri Neno, kuwahudumia majirani zetu, kufuasawaaminikuanziawatotohadiwakubwa,naushirikawafamiliayaMungu.

II. KatikaKanisalaNewLifeCommunitytutakuwanuruyaKristokupitia:

• KumwabuduMunguwakwelikatikaRohonaKweli(Yohana4:24)• Kuhubiri Neno la Mungu kwa namna ya kueleweka ndani na nje ya kanisa.

(Mathayo28:18-20)• Kuhudumiamajirani na familia zetu, waliowekewamipaka, na waliosahaulika

katikajamiiyetukwaupendowaKristo(Marko12:31)• Kukuakatikaimaninakusaidiawenginekukua(2Petro3:18)

www.multiplicationnetwork.org 19

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

• KuwahudumianduguzetuwakiumenawakikekwaupendowaKristo(Warumi

12:10,13)

SHUGHULI(DAKIKA45)

1. Makusanyikohaya yanaendakufanyanini, kulingananamifanoya kauli zadhimazilizohapojuu?___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

2. Nakilikauliyamaonoyakusanyikolakohapochini(ulichoandikakwenyesehemuyakaziya1)___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

3. Kanisalakolinatakakumfikianani?

___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

4. Ni namna gani kusanyiko lako litafikia maono yake kwa kuwafikia hawa watu?

Utafanyaninikutekeleza?Orodheshakazihalisi:___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

Tunapendekezakwambakilakauliyadhimazihusishekazitanomuhimuzakanisa:

• MahubirinaUinjilisti• Elimunauanafunzi• Huduma• Ushirika• Kuabudu

www.multiplicationnetwork.org 20

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

5. Kauliyadhimalazimaisemenamnamaonoyatakavyofikiwa.Hakikishaunahusisha

namnaambavyovitendokatikakauliyadhimavitasababishamaonoyatokee(kwanguvuzaMungu!).Rekebishakauliyakoyadhimanauiandikehapa.____________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

6. Niandikogani laBiblia linalobebashughulizilizoorodheshwakatikakauliyakoya

dhima?____________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

7. Shirikishakauliyakoyamaononakauliyakoyadhima(ikiwepomsingiwakewa

biblia)kwenyekundikubwanauziandikehapa.__________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

www.multiplicationnetwork.org 21

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

MPANGOKAZIWASOMOLA4

Shirikishamaonoyakonakaziyakokwamchungajinakanisalinalokusaidia.Kablayakurudikwenyesomola4,shirikishakauliyamaononakauliyakoyadhima(nipamojanamisingiyakekwenyebiblia)pamojanatimuyakuzindua,kanisamamanayuleunayejifunzakwake(kiongoziwako).Unawezakumuombamchungajiahubirimtiririkowajumbekutokakatikakazitanomuhimuzakanisakuandaakusanyikokuelewanakuishikakaziyake.Utakapowasilisha kauli ya maono na kauli ya dhima, waulize washirika ikiwawamekubaliana nazo na kuwa tayari kuziunga mkono. Wakaribishe washirika wajitoekufanyakaziyakuzitekelezakwapamoja.Ikiwa timu ya kuzindua na kanisa mama hawakukubaliana na maono na dhima kamailivyoelezewanaviongozi,itakuwangumusanakufanyahudumanamabadilikomuhimuilikufikia maono kupitia utendaji kazi. Mpanda kanisa, viongozi wa kusanyiko, timu yakuzindua lazimawawajibike ili kufikiamakubaliano yamaono na utendaji kazi kabla yakufanyiakazimabadilikoyamuhimuyoyote.

www.multiplicationnetwork.org 22

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

KIPINDICHA5MPANGOWANGUMKUUWAKUPANDAKANISA:MAADILI(Dakika60)Maelekezo yaMwezeshaji:Tumiamasomo hapo chini kutoa utangulizi wamawazo yaKauliyaMaadiliyaMsingi.Ongozakundikumalizashughuliinayofuata.NAMNAYAKUTENGENEZAKAULIYAMSINGIYAMAADILI(dakika15)Rudia&WazoJipyaRudiaMAONOyanaelezeaMunguanavyotakaUWE.DHIMAinaelezeakileMunguanachotakaUFANYE.DhanaMpyaMAADILI YA MSINGI yanaelezea NAMNA UTAKAVYOENENDA unapotekeleza DHIMA ilikufikiaMAONO.

MIFANOMIWILIYAKAULIYAMAADILIYAMSINGI:

1. MaadiliyaMsingiyaKanisalaRockofSalvation(yalivyoelezewakwavitendo)KamawatuwaMungu,tumejitoa:

• Kufanana na taswira ya Kristo kwamtu binafsi na kwa kundi (Warumi 8:29;

2Wakorintho3:18).• Kuisema kweli kwa upendo (Waefeso 4:15, 25, 29), katika kusahihisha na

kuonya,nakwauwazikwakuzingatiamaamuzinamasualayakiuchumi.• Kila mmoja kumhudumia mwenzie kwa upendo, kutambua karama ya kila

mmoja na kumpatia nafasi ya kuitumia (Warumi 12:1-8; 1Petro 4:10-11) nakuwafuasawatuwarikazotenavipawavyote(Kumbukumbu6:20&11:18-21;Mathayo28:18-20).

UWE–UFANYE–NAMNA–UTAKAVYOENENDA

www.multiplicationnetwork.org 23

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

MaadiliyaMsingiyaKanisalaLivingWater(elezeavitunavitendokwamaneno)KamajamiiyaWakristo,tunathamini:

• UwazinaumuhimuwakuhubirinenolaMungu(Mathayo28:18-20;2Timotheo

4:2)• Kuabudu kulenge Utatu Mtakatifu wa Mungu na siyo vipaumbele vyetu/

matamanioyetu.(Kumbukumbu5:6-10)• Hudumakwawahitajindaninanjeyakusanyiko(Marko12:31;Waefeso5:1-2)• Uanafunziuwekwawatukuanziawatotohadiwatuwazima(Mathayo28:18-20;

Kumbukumbu6:20&11:18-21)• Kuwafahamu na kuwahudumia ndugu zetu katika Kristo waume na wake

(Waefeso4:2,25-32)• Viongoziwatumishinawashirikawatakaotumiakaramazao(Mathayo20:25-28;

1Petro4:10-11)• Kuwajibikakatikauwakiliwarasilimali(Zaburi24:1)

KawaidaKauliyaMaadiliyaMsinginipamojanamaadili3-7.Kauliyamaadiliiwefupiiwezekukumbukwakwaurahisi.Maranyingishughulizilizotajwakatikakauliyamaadiliyamsingizimetajwakwenyekauliyadhima.Tofautinikwambakatikakauliyamaadiliyamsingi,shughulihizihuonyeshwakamamatokeoyatabiafulanimahsusi.Kwamfano,maadiliyamsingiyaKanisalaLivingWateryametajasiotu“kuabudu”baliainayakuabuduiliyomuhimu:kuabudukumlengeMungunasiyomatamanioyamwanadamu,ambayoinaonyeshatabiayahaki.Maadiliyamsingiyanatumikakamamatarajioyamsingiyakusanyikokwambaviongoziwataliongelea/kutoleataarifawakatiwakufanyamaamuzi,kutathminiviongozi,kuwahudumiawashirikan.k.MaadiliyoteyamsingishartiyawenamsingiwaKibiblia.Maadililazimayaungwemkononavifunguvyamaandikoaukanuniiliyofundishwakatikamaandiko.Tunashaurikwambamaadiliyakoyapangekwamtiririkowavipaumbele.Maranyingikuongozaipasavyokunahitajimtuaukusanyikokupambanuakatiyamaadiliyenyekipaumbele.Kuwekamaadilikatikamtiririkowakipaumbeleitasaidiakuongozaainahizizamaamuzi.Kwamfano,ikiwamaamuziaushughulizinazoungamkonomaadili#5zinahitajikukubaliananamaadili#1,basimaadiliyaliyowekewakipaumbeleyataonyeshakwambamaamuzinashughulizinazoungamkonomaadili#5zirudiwekufanyiwakazitena(aukwanamnanyingineziachwe)ilikwambakusanyikolibakikatikakweliyamaadiliya

www.multiplicationnetwork.org 24

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

muhimuzaidi.MPANGOKAZIWASOMOLA4KutengenezaMaadiliyaKanisaJipyaLililopandwa(dakika15)MaelekezoyaMwezeshaji:Somamaelekezoyakazinaujibuswalilolotekutokakwawashiriki.

1. Shughulikapamojanamchungajiwako,viongozikutokakanisalinalokuungamkono,nawashirikawakanisajipyalililopandwa(kamatayariunawashirika)kuendelezakauliyamaadiliyamsingi.Tunashaurikundiliwelawatu5hadi9.Gawanyawashirikikatikamakundiyawatuwatatuauwane.Katikakilakundi:

• SomaMAONOnaDHIMAyakotena.• Soma mifano miwili ya maadili ya msingi. Yanaweza kukupa mwongozo

utakapokuwaunafikiriamaadiliyamsingiyakusanyikolako.• Bainisha maadili ya muhimu yanayoungwa mkono kibiblia yatakayoakisi

mnavyotaka kufanya kama kusanyiko. (Katika muktadha wa kiutamaduni wakanisa lako,maadilimengine zaidi ya yale yaliyotolewa kamamfano hapo juuyatapaswakukaziwa.)

• Chaguamaadili 5-7 yamuhimu yatakayozungumzia namna kusanyiko lako naviongozi wake watakavyofanya katika miaka ijayo. Kuna maadili mengiyanayowezakutambuliwa–unatakiwauchaguelilemojalamuhimukabisakwaajili ya kusanyiko lako sasa hivi, yale yatakayoongoza na kubeba MAONO naDHIMAyako.

2. Waambie kila kundi lisome orodha ya maadili yao ya msingi. Angalia msingi wa

kibibliakwakilamaadili.

3. Kwa pamoja angalia maadili ya msingi 5-7 ambayo yanazungumzia jinsi Munguanavyotakakusanyikolenulifanyekatikamiakamitatuhadimitanoijayo.

4. Soma orodha ya maadili ya msingi mbele ya kusanyiko lako ikiwa ni pamoja na

misingiyakibiblia, ikielezeakwaniniumechaguakilamaadili.Waambiewashirikawashaurinakutoamawazo.Rekebishaorodhayamaadilikamanimuhimu,lakinihakikishamaadiliyamsingiyanasimamiakatikaNenolaMungu.

www.multiplicationnetwork.org 25

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

5. Toanafasi(kwamfano,hudumamaalumyakujitolea)kwawashirikawotewakanisakujitoleawenyewekuishikulingananahayamaadiliyamsingi.

6. UjiandaekushirikishakauliyakoyamaadiliyamsingiwakatiwaSomo la4.

Jiandaekujadilimchakato ambaoumeuhusishakuendelezaKauli yaMaadiliyaMsingi.

AndikaKauliyakoyaMaadiliyaMsingihapa:________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________

Mapumziko(dakika15)

www.multiplicationnetwork.org 26

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

UWE–UFANYE-UENENDE–VITENDOMAHUSUSI

KIPINDICHA6MPANGOWANGUMKUUWAKUPANDAKANISA:MKAKATI(Dakika60)MAREJEO&DHANAMPYA(DAKIKA15)MarejeoMAONOyanaelezeaMunguanavyotakaUWE.DHIMAinaelezeakileMunguanachotakaUFANYE.MAADILIYAMSINGIyanaelezeanamnaMunguanavyotakaUENENDE.WazoJipyaMKAKATI ni mkusanyiko wa vitendo mahususi ambavyo utavitimiza ili kukamilishaMAONOnaDHIMAyakowakatiukiyaishiMAADILIYAKOMSINGI.Sema, “Katika Somo la 1 ulipewa utangulizi wa Hatua Tano za Kupanda Kanisa naMzungukowaKupandaKanisa”.Waongoze warudie kuanzia Somo la 1 mafunzo ya Hatua Tano za Kupanda Kanisa naMzungukowaKupandaKanisa.Sema, “Muhtasariufuataoumejumuishamawazohayamawilikutoampangowamkakatiwa kupanda kanisa. Kazi yakoni kutafuta na kuandikamatendopekee 3 hadi 5 ambayoutayachukua kwa kila sehemu ya mkakati. Kama angalizo kwa Maono na dhima yako,mkakatiwakouakisikileulichojifunzakatikautafitiwako.”

www.multiplicationnetwork.org 27

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

MAENDELEOYAMKAKATIWAKUPANDAKANISAMKAKATIWANGUWAKUPANDAKANISA

A. Maombi1. _____________________________________________________________________________________2. _____________________________________________________________________________________3. _____________________________________________________________________________________4. _____________________________________________________________________________________5. _____________________________________________________________________________________

B. Uinjilisti

1. _____________________________________________________________________________________2. _____________________________________________________________________________________3. _____________________________________________________________________________________4. _____________________________________________________________________________________5. _____________________________________________________________________________________

C. Uanafunzi

1. _____________________________________________________________________________________2. _____________________________________________________________________________________3. _____________________________________________________________________________________4. _____________________________________________________________________________________5. _____________________________________________________________________________________

D. Ushirika(KukusanyikaPamoja)

1. _____________________________________________________________________________________2. _____________________________________________________________________________________3. _____________________________________________________________________________________4. _____________________________________________________________________________________5. _____________________________________________________________________________________

E. KukuzaUongozi

1. _____________________________________________________________________________________2. _____________________________________________________________________________________3. _____________________________________________________________________________________4. _____________________________________________________________________________________

www.multiplicationnetwork.org 28

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

5. _____________________________________________________________________________________

F. Kuabudu1. _____________________________________________________________________________________2. _____________________________________________________________________________________3. _____________________________________________________________________________________4. _____________________________________________________________________________________5. _____________________________________________________________________________________

G. Huduma

1. _____________________________________________________________________________________2. _____________________________________________________________________________________3. _____________________________________________________________________________________4. _____________________________________________________________________________________5. _____________________________________________________________________________________

H. Kujizidisha(Dhima)

1. _____________________________________________________________________________________2. _____________________________________________________________________________________3. _____________________________________________________________________________________4. _____________________________________________________________________________________5. _____________________________________________________________________________________

MPANGOKAZIWASOMOLA4BoreshaMkakatiwakowaKupandaKanisaUtakapopitianakuendelezaKauliyakoyaMaono,KauliyaDhima,naKauliyaMaadiliyaMsingipamojanamchungajiwakonakundilakuzindua,piashirikishanarekebishamkakatiwakokatikamchakatohuu.

www.multiplicationnetwork.org 29

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

KUFUNGANininikinachofuata?

• RudiaMipango Kazimitatu katika Somo la 4 (angalia sehemu ya 7,8 na 9 katikamuongozohuu).Jibuswalilolotelinalofanananayo.

• Waambie wajitolee kushirikisha majibu ya maswali yafuatayo kwa maneno yao

wenyewe:

1. KauliyaMaononinini?(angaliakipindicha3)2. KauliyaDhimaninini?(angaliakipindicha4)3. KauliyaMaadiliyaMsingininini?(angaliakipindicha5)4. MkakatiwaKupandaKanisaninini(angaliakipindicha6)

• Waambiewashirikiwashirikishe jambo jipyawalilojifunzakatikamafunzoambalo

linaletamwamko,linatiamoyo,aulinalowapamotishakamawapandamakanisa.

• MwambiekilamshirikiaamuemalengoyakeyaKupandaKanisakwamwezihuu.

• Imbeniwimbowakuabudupamojanamfungekwamaombiyabarakakwaajiliyahawawapandamakanisa.

Angalizo kwa Mwezeshaji: Kama una muda wa ziada kwa sababu kipindi cha 5 chamafunzohayahakitachukuadakika60zote,unawezakutumiamudawowotewaziadakwakadiri ya uhitaji, kwa mfano, kwa kupitia masomo yaliyotangulia, mafundisho, maombikatika vikundi vidogo, kushughulikia maswali na changamoto walizo nazo washiriki, aukuwatawanyamapema.MpangoKaziwaSomola#4:kupitiaorodha

Ø Boreshanashirikishakaulizamaononadhima(angaliaKipindicha3nacha4)Ø Boreshanashirikishakauliyamaadili(angaliaKipindicha5)Ø Shirikishanapitiamkakatiwakowakupandakanisa(angaliaKipindicha6)Ø Fanyiakazimalengoyakoyakupandakanisakwamwezihuu(angaliaKufunga)

www.multiplicationnetwork.org 30

MULTIPLICATIONNETWORK|FACILITATOR’SMANUALMODULE3

MALENGOYAKUPANDAKANISAKWAMWEZIHUU

WATUBINAFSI

Watuwapyauliowafikia

Waongofuwapya

WatuWapyaWaliobatizwa

Viongoziwapyakatikamafunzo

MAKUNDIMADOGO

Makundimadogomapya

Washirikiwapyakatikamakundimadogo

Viongoziwapyanamakundimadogo