somo la 3 kwa julai 20, 2019 za maisha yetu, na kuja pamoja kukua kiroho tukiwa na muumba na...

9
Somo la 3 kwa Julai 20, 2019

Upload: others

Post on 04-Feb-2020

15 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: Somo la 3 kwa Julai 20, 2019 za maisha yetu, na kuja pamoja kukua kiroho tukiwa na Muumba na Mkombozi wetu. Mungu ameanzisha Sabato ... sheria kali ambazo zisingeweza kumponyesha mgonjwa

Somo la 3 kwa Julai 20, 2019

Page 2: Somo la 3 kwa Julai 20, 2019 za maisha yetu, na kuja pamoja kukua kiroho tukiwa na Muumba na Mkombozi wetu. Mungu ameanzisha Sabato ... sheria kali ambazo zisingeweza kumponyesha mgonjwa

Mojawapo ya maagizo ya”sheria ya uhuru" (Yakobo2:12) ni kutunza Sabato.

Sabato inatuweka huru nakazi, upweke, msongo… Inatufanya tuwe namahusiano huru naMuumba na Mkomboziwetu. Inatufundisha piakumtumainia Mungu, kujizoeza usawa na kujaliwagonjwa na wahitaji.Jinsi gani tuitunze Sabato?

Kwa nini tuitunze Sabato?

Ni nani wanatakiwa kutunza Sabato?

Kipi halali kufanyika siku ya Sabato?

Je, nchi inatunza sabato?

Page 3: Somo la 3 kwa Julai 20, 2019 za maisha yetu, na kuja pamoja kukua kiroho tukiwa na Muumba na Mkombozi wetu. Mungu ameanzisha Sabato ... sheria kali ambazo zisingeweza kumponyesha mgonjwa

“AKisha itakuwa siku ya sita, ya kwamba watayaandaa hayowatakayoleta ndani, nayo yatakuwa ni mara mbili kuliko

wayaokotayo kila siku.” (Kutoka 16:5)

Waisraeli hawakuitunza Sabato wakati wakiishi kamawatumwa Misri. Mungu alitaka kuwakumbusha juu yaSabato kwa ya vitendo (Kutoka 16):

1. Aliwapa kwa kutuma ”mkate toka mbinguni" (v. 4).2. Aliwahimiza wamtumainie Yeye kwa kuokota

sehemu ya siku hiyo pekee yake (f. 4).3. Alifanya muujiza kila juma kuwafundisha kuitunza

siku ya saba. Hawakuihitaji kufanya kazi kwa ajili yamahitaji yao siku ya Sabato (f. 6, 23).

Mana ambayo ilitunzwa na wasio watiifuiliharibiwa na mabuu.

Sehemu mara mbili ya mana ambayohaikuharibiwa na mabuu iliwafundishakuifurahia Sabato pamoja na Mungu.

Page 4: Somo la 3 kwa Julai 20, 2019 za maisha yetu, na kuja pamoja kukua kiroho tukiwa na Muumba na Mkombozi wetu. Mungu ameanzisha Sabato ... sheria kali ambazo zisingeweza kumponyesha mgonjwa

“Kwa sababu Muumba wako ni mume wako; Bwana wa majeshi ndilo jina lake; naMtakatifu wa Israeli ndiye Mkombozi wako; Yeye ataitwa Mungu wa dunia yote..”

(Isaya 54:5)

Kutoka 20:8-11 inatuhimiza

kukumbuka uwezawa Mungu wauumbaji, na

kupumzika Sabato kama Yeyealivyofanya

(Mwanzo 2:2)

Kumbukumbu5:15-15

Inatuhimizakukumbuka uwezo

wa Mungu waukombozi. Aliwaokoa

Waisiraeli naAnatuokoa nasi

kutoka dhambini

Sabato ni wakati ambaotunaweza kupumzisha shidaza maisha yetu, na kujapamoja kukua kiroho tukiwana Muumba na Mkomboziwetu.

Mungu ameanzisha Sabato kama ishara maalum kwawale wanaotakakumwamudu kwa jinsiAnavyotaka Aabudiwe(Ezekieli 20:12).

Page 5: Somo la 3 kwa Julai 20, 2019 za maisha yetu, na kuja pamoja kukua kiroho tukiwa na Muumba na Mkombozi wetu. Mungu ameanzisha Sabato ... sheria kali ambazo zisingeweza kumponyesha mgonjwa

Faida ya pumziko la Sabato linajumuisha kila mmoja. Bila kujali umri, jinsia au hadhi kwenye jamii. Hata Wanyama wanatakiwa kupumzika siku ya Sabato.

Ni lazima kuwaalika wanaokaa kwenye miji yetu wafurahie Sabato pia.

Utunzaji wa Sabato unaondoa kila aina yavikwazo vya kijamii, kunamfanya kilammoja kuwa sawa. Hii ni ukumbusho waukombozi (Wagalatia3:28).

Sabato inatuhimiza kuacha kujifikiria sisi wenyewe na kuanza kuwajali wengine, nahasa wale wahitaji.

Page 6: Somo la 3 kwa Julai 20, 2019 za maisha yetu, na kuja pamoja kukua kiroho tukiwa na Muumba na Mkombozi wetu. Mungu ameanzisha Sabato ... sheria kali ambazo zisingeweza kumponyesha mgonjwa

“Ndipo Yesu akawaambia, Nawauliza ninyi, Je! ni halali sikuya Sabato kutenda mema, au kutenda mabaya; kuponya rohoau kuangamiza?” (Luka 6:9)

Jibu kwa swali la Yesu ni dhahiri: “Ni halali kufanya mema siku yaSabato.” (Matayo 12:12).

Mafariasayo waliijaza Sabato nasheria kali ambazo zisingewezakumponyesha mgonjwa siku yaSabato. (Luka 13:14).

Mfano wa Yesu uko wazi; kuwasaidia waliovunjika mioyo nakufanya matendo yenye rehema nahuruma siku ya Sabato ni halali. Kuna mifano saba ya waliopnywasiku ya sabato iliyoonyeshwakwenye vitabu vya Injili.

Mtu mwneye mkonoumepooza(Mt. 12:9,10)

Mtu mwnye pepo mchafu(Mk. 1:21-28)

Mama wa mke wake na Petro (Lk. 4:38-39)

Mwanamke alikuwaamepinda (Lk. 13:10-17)

Mtu mwenye ugonjwawa safura (Lk. 14:1-6)

Mtu aliyepooza pale Bethzatha (Jn. 5:1-18)

Mtu aliyezaliwa kipofu(Jn. 9)

Page 7: Somo la 3 kwa Julai 20, 2019 za maisha yetu, na kuja pamoja kukua kiroho tukiwa na Muumba na Mkombozi wetu. Mungu ameanzisha Sabato ... sheria kali ambazo zisingeweza kumponyesha mgonjwa

“Mahitaji ya maisha yanapashwa kushughulikiwa,

wagonjwa lazima wajaliwe, mahitaji ya wahitaji lazima

yapelekwe. Mungu hatamani viumbe vyake kuwa na

maumivu hata ya muda mfupi ambayo yangeweza

kuponywa siku ya Sabato au siku nyingine yoyote.

Kazi ya mbingu haikomi, na hivyo hatukakiwi

kupumzika kutenda mema. Kazi zetu ndizo amri

inatukataza kuzifanya siku ya pumziko ya Bwana.

Kufanya kazi kwa ajili ya maisha lazima iachwe, hakuna

kazi za starehe za ulimwengu au faida amabazo ni halali

siku hiyo. Lakini Sabato haitakiwi kuitumia kizembe….

[Mungu] anatutaka sisi kuweka pembeni kazi zetu za kila

siku, na kujitoa kwa masaa matakatifu kwa ajili ya

pumziko la kiafya, kwa kuabudu na matendo

matakatifu.”

E.G.W. (The Story of Jesus, cp. 11, p. 74)

Page 8: Somo la 3 kwa Julai 20, 2019 za maisha yetu, na kuja pamoja kukua kiroho tukiwa na Muumba na Mkombozi wetu. Mungu ameanzisha Sabato ... sheria kali ambazo zisingeweza kumponyesha mgonjwa

Nchi iliachwa bila kulimwa, bila kupandwa au kuvuna, kila mwaka wa saba – Sabato ya nchi - , mwaka mojakwa kila majuma saba ya miaka — Yubile. (Walawi 25)

Wana wa Israel walitakiwa kuwa na tumaini kwaMungu kuwa atawabariki kwa njia maalum wakati wawa miaka sita kama alivyofanya wakati wa mana (f. 21).

Wakati sa Sabato ya nchi, walitakiwa kuchangia pamojana wahitaji. Hakuweza kuvuna wala kutunza mazaoyaliyokuwa mashambani.

Sabato inatuhimiza kuachakujijali kulikopitiliza sisiwenyewe, na pia “kutafutakwanza ufalme wa Munguna haki Yake.” (Matayo 6:33)

Page 9: Somo la 3 kwa Julai 20, 2019 za maisha yetu, na kuja pamoja kukua kiroho tukiwa na Muumba na Mkombozi wetu. Mungu ameanzisha Sabato ... sheria kali ambazo zisingeweza kumponyesha mgonjwa

“Mungu ni mwingi wa rehema. Matakwa yake ni ya

busara, kulingana na wema na rehema ya tabia Yake.

Lengo la Sabato lilikuwa kuwa wanadamu wote

waweze kufaidika. Mwanadamu hakuumbwa awe

sawa na Sabato, kwa kuwa Sabato iliwekwa baada

ya uumbaji wa mwanadamu, ili ajipatie mahitaji

yake. Baada ya Mungu kuumba dunia kwa siku sita,

Alipumzika na kuitakasa na kuibariki siku ambayo

Aliyoacha kufanya kazi zake zote ambazo Aliumba

na kuzifanya. Akaitenga siku maalumu kwa ajili ya

mwanadamu kupumzika katika kazi, kusudi

kwamba, atazame dunia na juu mbinguni, ili aweze

kutafakari kwamba Mungu aliumba vyote hivi kwa

siku sita na kupumzika siku ya saba; na kwamba

aweze kutazama ushahidi wa kuonekana wa hekima

isiyo na mwisho ya Mungu, moyo wake ujazwe na

upendo na kicho kwa Muumba wake.

E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 2, cp. 71, p. 582)