s om la まも お守りはありますか - nhk · 2020. 1. 14. · ta⎤mu-san, nihongo ga...

15
©NHK WORLD-JAPAN 36 Tembelea NHK WORLD-JAPAN S o m o l a 11 お守 りはありますか ミーヤー Mi Ya この T シャツ、見 て。 Kono tii-shatsu, mi te. Tazama fulana hii. 「忍 にん じゃ 」って書 いてある。 “Ni nja” tte ka ite a ru. Imeandikwa “ninja.” タム Tam わあ、にんじゃ! Waa, ni nja! Wow, ninja! てん いん Mhudumu いらっしゃいませ。 Irasshaima se. Karibuni. タム Tam すみません。 Sumimase n. Samahani. お守 まも りはありますか。 Omamori wa arima su ka. Kuna hirizi za bahati? てん いん Mhudumu ちょっと・・・。ここにはありませんねえ。 Cho tto... Koko ni wa arimase n nee. Aah... Hatuna hirizi za bahati hapa. ミーヤー Mi Ya タム、お守 まも りはお寺 てら にあるよ。 Ta mu, omamori wa otera ni a ru yo. Tam, hekaluni zipo hirizi za bahati. タム Tam お寺 てら ですか。 Otera de su ka. Hekaluni? ミーヤー Mi Ya きましょう。 Ikimasho o. Twende. Msamiati お守 まも り hirizi omamori ある ipo / zipo a ru お寺 てら hekalu la kibuddha otera Mazungumzo ya leo Omamori wa arimasu ka Kuna hirizi za bahati?

Upload: others

Post on 09-Mar-2021

1 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN36 Tembelea NHK WORLD-JAPAN

Somo la

11 お守ま も

りはありますか

ミーヤーMi Ya

: この Tシャツ、見み

て。Kono tii-shatsu, mi⎤te.

Tazama fulana hii.

「忍にん

者じゃ

」って書か

いてある。“Ni⎤nja” tte ka⎤ite a⎤ru.

Imeandikwa “ninja.”

タムTam

: わあ、にんじゃ!Waa, ni⎤nja!

Wow, ninja!

店てん

員いん

Mhudumu: いらっしゃいませ。

Irasshaima⎤se.Karibuni.

タムTam

: すみません。Sumimase⎤n.

Samahani.

お守まも

りはありますか。Omamori wa arima⎤su ka.

Kuna hirizi za bahati?

店てん

員いん

Mhudumu: ちょっと・・・。ここにはありませんねえ。

Cho⎤tto... Koko ni⎤ wa arimase⎤n nee.Aah... Hatuna hirizi za bahati hapa.

ミーヤーMi Ya

: タム、お守まも

りはお寺てら

にあるよ。Ta⎤mu, omamori wa otera ni a⎤ru yo.

Tam, hekaluni zipo hirizi za bahati.

タムTam

: お寺てら

ですか。Otera de⎤su ka.

Hekaluni?

ミーヤーMi Ya

: 行い

きましょう。Ikimasho⎤o.

Twende.

Msamiati

お守ま も

り hiriziomamori

ある ipo / zipoa⎤ru

お寺て ら

 hekalu la kibuddhaotera

Mazungumzo ya leo

Omamori wa arimasu kaKuna hirizi za bahati?

Page 2: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN 37https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

Usemi wa Msingi

お守ま も

りはありますか。Omamori wa arima⎤su ka.

Kuna hirizi za bahati?Ukitaka kuuliza ikiwa duka lina kitu unachokitafuta, sema “[kitu] wa arimasu ka.” “Wa” ni kiunganishi cha mada. “Arimasu” ni kitenzi cha umbo la MASU kilichotokana na kitenzi “aru” ambacho kinaonesha uwepo wa kitu.

Tumia!

すみません。地ち

図ず

はありますか。Sumimase⎤n. Chi⎤zu wa arima⎤su ka.

はい、こちらです。Ha⎤i, kochira de⎤su.

Samahani. Kuna ramani? Ndiyo, hii hapa.

Jaribu!

すみません。~はありますか。Sumimase⎤n. ~wa arima⎤su ka.

Samahani. Kuna ~?

① 扇せ ん

子す

sensu kipepeleo cha kukunjika

② 忍に ん

者じ ゃ

の Tシャツni⎤nja no tii-shatsu

fulana ya ninja

Usemi wa ziadaいらっしゃいませ。Irasshaima⎤se.Karibu.

Ni salamu ya kukaribisha wateja wanapoingia dukani au migahawani.

Can-do! Kumuuliza mtu ikiwa ana kitu unachokihitaji

Page 3: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN38 Tembelea NHK WORLD-JAPAN

Mwongozo wa safari wa Mi Ya

Tuzunguke mitaa ya Asakusa!

Asakusa ni eneo maarufu la kitalii jijini Tokyo. Lango la Kaminarimon, lenye kandili kubwa ya rangi nyekundu ambayo hupaswi kukosa kuiona, ni sehemu ya kuingilia katika Hekalu la Sensoji. Barabara ya Nakamise imejitandaza kutokea hapo.

Maduka mengi yanayouza bidhaa za zawadi, vitamutamu na vitu vingine, yamejipanga kila pande za barabara hiyo. Mwishoni mwa barabara hiyo ni ukumbi mkuu wa hekalu hilo.

Lango la Kaminarimon

©Sensoji©Sensoji

Ukumbi Mkuu wa Hekalu la Sensoji

Barabara ya Nakamise

©Ganso Ningyouyaki Kimurayahonten©Sensoji

Ningyo-yaki, ama keki yenye umbo la mwanasesere

Majibu ① すみません。扇せん

子す

はありますか。 Sumimase⎤n. Sensu wa arima⎤su ka.② すみません。忍

にん

者じゃ

のTシャツはありますか。 Sumimase⎤n. Ni⎤nja no tii-shatsu wa arima⎤su ka.

Page 4: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN 39https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

Somo la

12 かわいいお守ま も

りですね

タムTam

: これ、かわいいお守まも

りですね。Kore, kawai⎤i omamori de⎤su ne.

Hii ni hirizi nzuri, sivyo?

ミーヤーMi Ya

: 本ほん

当とう

、かわいい。Hontoo, kawai⎤i.

Ndiyo, ni nzuri kweli.

タムTam

: これもいいですね。Kore mo i⎤i de⎤su ne.

Hii pia ni nzuri.

職しょく

員いん

Mhudumu: それは縁

えん

結むす

びのお守まも

りです。Sore wa enmu⎤subi no omamori de⎤su.

Hiyo ni hirizi ya "en-musubi."

800円えん

になります。Happyaku⎤-en ni narima⎤su.

Inagharimu yeni 800.

タムTam

: えんむす・・・。Enmusu...

En-musu…

ミーヤーMi Ya

: 縁えん

結むす

び。恋こい

人びと

ができるお守まも

り。Enmu⎤subi. Koibito ga deki⎤ru omamori.

En-musubi, ni ya bahati ya kupata mwenzi.

タムTam

: じゃあ、これをください。Ja⎤a, kore o kudasa⎤i.

Basi nipatie hii tafadhali.

Msamiati

かわいい nzurikawai⎤i

本ほ ん

当と う

 kwelihontoo

いい nzurii⎤i

それ hiyosore

縁え ん

結む す

び pata mwenzienmu⎤subi

~になる inagharimu ~~ni na⎤ru

恋こ い

人び と

 mpenzikoibito

できる patadeki⎤ru

じゃあ basija⎤a

Mazungumzo ya leo

Kawaii omamori desu neHii ni hirizi nzuri, sivyo?

Page 5: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN40 Tembelea NHK WORLD-JAPAN

Usemi wa Msingi

かわいいお守ま も

りですね。Kawai⎤i omamori de⎤su ne.

Hii ni hirizi nzuri, sivyo?Vivumishi huwekwa kabla ya nomino ambazo vinazivumisha, kama katika “kawaii omamori” yaani “hirizi nzuri.” Sentensi inaweza pia kuishia na kivumishi. Vivumishi vinavyoishia na “i,” kama vile “kawaii” yaani “nzuri,” vinaitwa vivumishi vya I.

Tumia!

見み

て、この Tシャツ。Mi⎤te, kono tii-shatsu.

おもしろいですね。Omoshiro⎤i de⎤su ne.

Tazama fulana hii. Hiyo inavutia, sivyo?

Jaribu!

【kivumishi cha I】ですね。【kivumishi cha I】 de⎤su ne.

Ni [kivumishi cha I], sivyo?

① 大お お

きいooki⎤i

kubwa

② 高た か

いtaka⎤i

ghali

Usemi wa ziadaこれをください。

Kore o kudasa⎤i.Nipatie hii tafadhali.

Sema hivi na oneshea kitu unachotaka katika mgahawa au duka.

Can-do! Kuelezea kuvutiwa kwako na kuelezea vitu -- Sehemu 1

Page 6: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN 41https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

Mwongozo wa safari wa Mi Ya

Mahekalu ya Shinto na ya kibuddha nchini Japani

Unaweza kuona mahekalu kote nchini Japani. Miungu ya Shinto kwa muda mrefu imekuwa ikiabudiwa kwenye mahekalu ya dini hiyo. Mahekalu ya kibuddha hutumiwa na dini hiyo. Mahekalu ya dini hizo ni maarufu miongoni mwa watalii pia. Yaliyo maarufu zaidi ni pamoja na Hekalu la Kibuddha la Sensoji na lile la Shinto la Meiji Jingu jijini Tokyo.

Hekalu la Shinto la Izumo Taisha katika mkoa wa Shimane, linajulikana kama eneo la visasili, na Hekalu la Todaiji mkoani Nara lenye sanamu kubwa ya Kibuddha pia linajulikana sana.

Lango la Helaku la Meiji Jingu

Hekalu la Izumo Taisha

©Zojoji

Hekalu la Zojoji

©Nara City Tourist Association /Tatehiko Yano

Sanamu kubwa ya Kibuddha katika Hekalu la Todaiji

Majibu ① 大おお

きいですね。 Ooki⎤i de⎤su ne.② 高

たか

いですね。 Taka⎤i de⎤su ne.

Page 7: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN42 Tembelea NHK WORLD-JAPAN

Somo la

13 雪ゆ き

が見み

たいです

はるHaru

: 日に

本ほん

には慣な

れましたか。Niho⎤n ni wa narema⎤shita ka.

Umeshazoea Japani?

タムTam

: はい。Ha⎤i.

Ndiyo.

はるHaru

: 日に

本ほん

でどんなことがしたいですか。Niho⎤n de do⎤nna koto⎤ ga shita⎤i de⎤su ka.

Unataka kufanya nini ukiwa Japani?

タムTam

: ええと、雪ゆき

が見み

たいです。Eeto, yuki⎤ ga mita⎤i de⎤su.

Aah, nataka kutazama theluji.

北ほっ

海かい

道どう

に行い

きたいです。Hokka⎤idoo ni ikita⎤i de⎤su.

Nataka kwenda Hokkaido.

ミーヤーMi Ya

: 北ほっ

海かい

道どう

! いいね。Hokka⎤idoo! I⎤i ne.

Hokkaido! Ni vizuri.

タムTam

: あと・・・友とも

達だち

に会あ

いたいです。A⎤to...tomodachi ni aita⎤i de⎤su.

Pia... Nataka kumwona rafiki yangu.

はるHaru

: おや?Oya?

Oh!

ミーヤーMi Ya

: 大だい

丈じょう

夫ぶ

? 顔かお

が赤あか

いよ。Daijo⎤obu? Kao ga akai yo.

Uko sawa? Uso wako umekuwa mwekundu.

Msamiati

日に

本ほ ん

 JapaniNiho⎤n

どんな ya aina ganido⎤nna

する fanyasuru

雪ゆ き

 thelujiyuki⎤

見み

る tazamami⎤ru

会あ

う onaa⎤u

Mazungumzo ya leo

Yuki ga mitai desuNataka kutazama theluji.

Page 8: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN 43https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

Usemi wa Msingi

雪ゆ き

が見み

たいです。Yuki⎤ ga mita⎤i de⎤su.

Nataka kutazama theluji.Ili kusema unachotaka kufanya, badili “masu” katika kitenzi cha umbo la MASU kuwa “tai.” “Mitai” ni umbo la TAI la “mimasu” (“miru” yaani “kutazama”). “Desu” mwishoni hufanya sentensi kuwa ya kiungwana. Ili kuashiria kitu unachotaka kufanya, tumia kiunganishi “o” au “ga.”

Tumia!

日本で何なに

がしたいですか。Niho⎤n de na⎤ni ga shita⎤i de⎤su ka.

ラーメンが食た

べたいです。Ra⎤amen ga tabeta⎤i de⎤su.

Unataka kufanya nini ukiwa Japani? Nataka kula tambi za ramen.

Jaribu!

~たいです。~ta⎤i de⎤su.

Nataka ku- ~.

① 金き ん

閣か く

寺じ

Ki⎤nkakuji Hekalu la Kinkakuji

行い

きます(行い

く)ikima⎤su (iku)

kwenda

② 浴ゆ か た

衣yukata

yukata

買か

います(買か

う)kaima⎤su (kau)

nunua

Usemi wa ziada大だ い

丈じょう

夫ぶ

?Daijo⎤obu?

Uko sawa?Usemi huo unatumika unapomjali mtu fulani. Namna ya kiungwana zaidi itakuwa “daijobu desu ka.”

Can-do! Kusema unachotaka kufanya

Page 9: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN44 Tembelea NHK WORLD-JAPAN

Nyumba za Kijapani

Ushauri wa Haru-san

Majibu ① 金きん

閣かく

寺じ

に行い

きたいです。 Ki⎤nkakuji ni ikita⎤i de⎤su.② 浴

ゆ か た

衣が買か

いたいです。 Yukata ga kaita⎤i de⎤su.

Chumba cha mtindo wa Kijapani

Chumba cha mtindo wa Kimagharibi

Magodoro ya futon

Nyumba za Kijapani zina vyumba vya mtindo wa Kijapani na mtindo wa Kimagharibi. Katika vyumba vya mtindo wa Kijapani, sakafu ni mikeka ya tatami iliyotengenezwa kwa mabua. Watu huketi kwenye mito ya sakafuni na kutumia meza zilizo chinichini na wanalala kwenye magodoro ya futon wanayoyatandika kwenye mkeka wa tatami moja kwa moja.

Vyumba vya mtindo wa Kimagharibi vina sakafu ya mbao au zulia, na watu mara nyingi hutumia meza na viti. Vyumba hivyo kwa sasa vimekuwa maarufu. Nyumba nyingi zinatumia mitindo yote miwili kwa pamoja.

Page 10: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN 45https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

Somo la

14 日に

本ほ ん

へ行い

ってみたいです

タムTam

: こんにちは。私わたし

はタムです。Konnichiwa. Watashi wa Ta⎤mu de⎤su.

Habari. Ninaitwa Tam.

悠ゆう

輝き

Yuuki: あ、ぼく、悠

ゆう

輝き

です。A, bo⎤ku, Yu⎤uki de⎤su.

Oh, naitwa Yuuki.

タムさん、日に

本ほん

語ご

ができるんですね!Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne!

Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani!

タムTam

: 少すこ

しだけです。Sukoshi dake⎤ de⎤su.

Kidogo tu.

ラジオで勉べん

強きょう

しました。Ra⎤jio de benkyoo-shima⎤shita.

Nilijifunza kwa kusikiliza redio.

悠ゆう

輝き

Yuuki: へえ。すごいですね。

Hee. Sugo⎤i de⎤su ne.Oh. Hiyo inavutia.

タムTam

: 日に

本ほん

へ行い

ってみたいです。Niho⎤n e itte mita⎤i de⎤su.

Ningependa kwenda Japani.

悠ゆう

輝き

Yuuki: ぜひ来

てください。Ze⎤hi ki⎤te kudasa⎤i.

Uje tafadhali.

ぼくが案あん

内ない

しますよ。Bo⎤ku ga anna⎤i-shima⎤su yo.

Nitakuonesha maeneo mbalimbali.

Msamiati

できる wezadeki⎤ru

少す こ

し kidogosuko⎤shi

だけ tudake

すごい inavutiasugo⎤i

ぜひ tafadhalize⎤hi

案あん

内ない

する onesha maeneo mbalimbalianna⎤i-suru

Mazungumzo ya leo

Nihon e itte mitai desuNingependa kwenda Japani.

Page 11: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN46 Tembelea NHK WORLD-JAPAN

Usemi wa Msingi

日に

本ほ ん

へ行い

ってみたいです。Niho⎤n e itte mita⎤i de⎤su.

Ningependa kwenda Japani.Ili kusema unachotaka kukifanya, tumia “[umbo la TE la kitenzi] + mitai.” “Itte” katika “itte mitai” ni umbo la TE la kitenzi “iku” yaani “kwenda.” Ukiongeza “desu” mwishoni mwa sentensi inafanya sentensi kuwa ya kiungwana. “~ mitai” inatumika kuelezea vitu ambavyo hujawahi kuvifanya kabla. (Tazama ukurasa 150-151)

Tumia!

日に

本ほん

で何なに

がしたいですか。Niho⎤n de na⎤ni ga shita⎤i de⎤su ka.

そうですね・・・。相す も う

撲を見み

てみたいです。So⎤o de⎤su ne... Sumoo o mi⎤te mita⎤i de⎤su.

Unataka kufanya nini nchini Japani? Aah... Ningependa kutazama mchezo wa sumo.

Jaribu!

~てみたいです。~te mita⎤i de⎤su.

Ningependa ku- ~.

① 富ふ

士じ

山さ ん

に登の ぼ

る(→登の ぼ

って)Fu⎤jisan ni noboru (→nobotte)

kupanda mlima Fuji

② 新し ん

幹か ん

線せ ん

に乗の

る(→乗の

って)Shinka⎤nsen ni noru (→notte)

kupanda treni iendayo kasi ya Shinkansen

Usemi wa ziada少す こ

しだけです。Sukoshi dake⎤ de⎤su.Kidogo tu.

Ni usemi wa unyenyekevu unaotumiwa wakati mtu anaposifia uwezo wako.

Can-do! Kuelezea matamanio yako

Page 12: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN 47https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

Sumo

Ushauri wa Haru-san

Inasemekana kwamba Sumo ni mchezo wa taifa wa Japani. Mshindi katika mchezo huo ni yule anayekuwa wa kwanza kumwangusha mwenzake au kumlazimisha mpinzani wake kutoka nje ya ulingo wa duara. Jinsi wanamiereka hao wakubwa kimwili wanavyojitupa kila mmoja kwa mwenzake inastaajabisha. Na ni vigumu kunasua macho yako kwenye mchezo huo mpaka umjue mshindi. Mashindano makubwa hufanyika mara sita kwa mwaka katika miezi witiri.

Baadhi ya vyumba vya sumo vinaruhusu mashabiki kutazama mazoezi ya asubuhi.

Mchezo wa sumo

Mazoezi ya asubuhi

Majibu ① 富ふ

士じ

山さん

に登のぼ

ってみたいです。 Fu⎤jisan ni nobotte mita⎤i de⎤su.② 新

しん

幹かん

線せん

に乗の

ってみたいです。 Shinka⎤nsen ni notte mita⎤i de⎤su.

Page 13: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN48 Tembelea NHK WORLD-JAPAN

Somo la

15 猿さ る

の温お ん

泉せ ん

までお願ね が

いします

運うん

転てん

手しゅ

Dereva: どちらまで?

Do⎤chira ma⎤de?Unaelekea wapi?

ミーヤーMi Ya

: 猿さる

の温おん

泉せん

までお願ねが

いします。Sa⎤ru no onsen ma⎤de onegai-shima⎤su.

Naelekea chemchemi ya majimoto ya nyani, tafadhali.

運うん

転てん

手しゅ

Dereva: はい、わかりました。

Ha⎤i, wakarima⎤shita.Sawa, nimeelewa.

こちらは初はじ

めてですか。Kochira wa haji⎤mete de⎤su ka.

Hii ni mara yako ya kwanza hapa?

ミーヤーMi Ya

: はい、初はじ

めてです。Ha⎤i, haji⎤mete de⎤su.

Ndiyo, mara ya kwanza.

猿さる

の写しゃ

真しん

を撮と

りに行い

きます。Sa⎤ru no shashin o to⎤ri ni ikima⎤su.

Naenda kuwapiga picha nyani.

運うん

転てん

手しゅ

Dereva: そうですか。

So⎤o de⎤su ka.Ahaa, hivyo?

今き ょ う

日は寒さむ

いから、Kyo⎤o wa samu⎤i kara,

猿さる

がたくさん温おん

泉せん

に入はい

ってますよ。sa⎤ru ga takusan onsen ni ha⎤itte ma⎤su yo.

Leo kuna baridi, hivyo nyani wengi wanaoga kwenye chemchemi ya majimoto.

Msamiati

どちら wapido⎤chira

猿さ る

 nyanisa⎤ru

温おん

泉せん

 chemchemi ya majimotoonsen

お願ね が

いする ombaonegai-suru

初は じ

めて mara ya kwanzahaji⎤mete

寒さ む

い baridisamu⎤i

Mazungumzo ya leo

Saru no onsen made onegai-shimasu Naelekea chemchemi ya majimoto ya nyani tafadhali.

Page 14: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN 49https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

Usemi wa Msingi

猿さ る

の温お ん

泉せ ん

までお願ね が

いします。Sa⎤ru no onsen ma⎤de onegai-shima⎤su.

Naelekea chemchemi ya majimoto ya nyani, tafadhali.Ili kumwambia dereva wa teksi mahali unakoelekea, sema “[mahali] made onegai-shimasu.” “Made” ni kiunganishi kinachomaanisha “hadi/kuelekea” na kinaonesha mahali unakoelekea. “Onegai-shimasu” ni umbo la MASU la kitenzi “onegai-suru” yaani “tafadhali.” Inaweza kutumika wakati wa kutoa ombi. (Tazama Ongeza maarifa)

Tumia!

どちらまでですか。Do⎤chira ma⎤de de⎤su ka.

空くう

港こう

までお願ねが

いします。Kuukoo ma⎤de onegai-shima⎤su.

Unaelekea wapi? Naelekea uwanja wa ndege, tafadhali.

Jaribu!

~までお願ねが

いします。~ma⎤de onegai-shima⎤su

Naelekea ~, tafadhali.

① 東と う

京きょう

スカイツリーTookyoo Sukai-tsuri⎤i

Tokyo Skytree

② このホテルkono ho⎤teru

hoteli hii

Ongeza maarifa

Jinsi ya kutumia “onegai-shimasu”Chekku-a⎤uto, onegai-shima⎤su. Kuondoka, tafadhali.Koohi⎤i, onegai-shima⎤su. Kahawa, tafadhali.Okaikee, onegai-shima⎤su. Bili, tafadhali.

Can-do! Kumwambia dereva wa teksi mahali unakoelekea

Page 15: S om la まも お守りはありますか - NHK · 2020. 1. 14. · Ta⎤mu-san, Nihongo ga deki⎤run de⎤su ne! Tam-san, unaweza kuzungumza Kijapani! タム Tam :少 すこ

©NHK WORLD-JAPAN50 Tembelea NHK WORLD-JAPAN

Teksi nchini Japani

Ushauri wa Haru-san

Viwanja vingi vya ndege, vituo vya treni, hoteli na maeneo ya kitalii yana vituo vya teksi. Mlango wa nyuma wa abiria hufunga na kujifungua wenyewe. Dereva atafungua na kufunga kwa kutumia rimoti. Nauli huonekana kwenye mita. Hakuna haja ya kutoa bahashishi.

Alama ya kielektroniki kwenye kioo cha mbele itaonesha herufi za Kanji zenye maana ya “inapatikana.” Wakati wa usiku, kama taa kwenye kibango kilicho juu ya bodi ya teksi itawaka, hiyo inamaanisha teksi haina mteja.

Majibu ① 東とう

京きょう

スカイツリーまでお願ねが

いします。 Tookyoo Sukai-tsuri⎤i ma⎤de onegai-shima⎤su.② このホテルまでお願

ねが

いします。 Kono ho⎤teru ma⎤de onegai-shima⎤su.

Alama ya “inapatikana”

©Nikko

©Nihon Kotsu ©Daiichi Koutsu Sangyo

©Nihon Kotsu