hadithi za kitabu cha mormoni alma …...alma anabatiza watu wengi mtu mmoja aliyeitwa alma...

1
76 Liahona HADITHI ZA KITABU CHA MORMONI VIELELEZO NA APRYL STOTT Abinadi alikuwa nabii. Alifundisha watu kumwamini Yesu na kuacha kufanya matendo mabaya. Mfalme muovu aitwaye Nuhu alikasirishwa na Abinadi. Nuhu hakutaka kutubu. Alma Anabatiza Watu Wengi Mtu mmoja aliyeitwa Alma alimwamini Abinadi. Alitoroka na kujificha mbali na mfalme mwenye hasira. Alisikitika kwa kufanya matendo mabaya, na alitubu, kama vile Abinadi alivyokuwa amefundisha.

Upload: others

Post on 01-Jan-2020

55 views

Category:

Documents


2 download

TRANSCRIPT

Page 1: HADITHI ZA KITABU CHA MORMONI Alma …...Alma Anabatiza Watu Wengi Mtu mmoja aliyeitwa Alma alimwamini Abinadi. Alitoroka na kujificha mbali na mfalme mwenye hasira. Alisikitika kwa

76 L i a h o n a

H A D I T H I Z A K I T A B U C H A M O R M O N I

VIEL

ELEZ

O N

A AP

RYL

STO

TT

Abinadi alikuwa nabii. Alifundisha watu kumwamini Yesu na kuacha kufanya matendo mabaya. Mfalme muovu aitwaye Nuhu alikasirishwa na Abinadi. Nuhu hakutaka kutubu.

Alma Anabatiza Watu Wengi

Mtu mmoja aliyeitwa Alma alimwamini Abinadi. Alitoroka na kujificha mbali na mfalme mwenye hasira. Alisikitika kwa kufanya matendo mabaya, na alitubu, kama vile Abinadi alivyokuwa amefundisha.