Transcript
Page 1: Magonjwa ya Akili ni Nini na kisaikolojia kupita kiasi … · 2019. 5. 12. · vyombo vya habari • Kuhisi kuwa mtu anatumia mawazo yake kufanya mambo Fulani • Kuhisi harufu ambayo

Magonjwa ya Akili ni Nini na husababishwa na Nini?• Magonjwayaakilinimatatizoya

ubongoambayohumfanyamtukuwanahisia,fikiranamatendotofautinayaleyanayotarajiwanajamii na kushindwa kukabiliananachangamotozamaisha.

• Magonjwa ya akili yanawezakusababishwa na sababu zakibaiologiaaukisaikolojia;

Sababu za kibiologia• Kurithi vinasaba kutoka kwa

wazazi.• Magonjwayamudamrefukama

degedege,malaria kali, UKIMWInk

• Matumiziyadawazakulevya

Sababu za kisaikolojia• Majanga, ubakaji, uvamizi, ajali,

utekaji nyara, kukosa elimu,kukosaajirank

• Kufiwa,kutengana,talaka,ugoni,kufungwa

• Kufukuzwakazi,kukosamishahara,kustaafukazink.

• Kutokufanya vizuri kwenyemasomo na Kufukuzwa chuo/shule

• Matatizoyanayowaathiriwatoto

kisaikolojia8 Kunyanyaswakingono8 Kupigwanakutengwa8 Kutothaminiwa8 Kutokupatamatunzostahiki

Dalili za Magonjwa ya Akili ni Zipi?Magonjwa ya akili yapo ya ainanyingi na dalili zake zinatofautianakatiyaugonjwamojanamwingine.

Dalili za Kihisia• Kusikia sauti ambazo watu

wenginehawazisikii• Kuona vitu ambavyo watu

wenginehawavioni• Kuhisikufuatiliwanawatu• Wivuuliopitiliza• Kuhisi mawazo yake

yanajulikana na watu wengineau yanazungumzwa kwenyevyombovyahabari

• Kuhisi kuwa mtu anatumiamawazo yake kufanya mamboFulani

• Kuhisi harufu ambayo watuwenginehawaisikii

• Kuhisi maisha hayana thamaninakuonaborakufakulikokuishi

Dalili za Kimwili • Kukosafurahaaukuwanafuraha

kupitakiasi• Kuwa na wasiwasi au woga

kupitakiasi• Kupunguzakuongeaaukuongea

kupitakiasi• Hasirazaharakanakufikiahatua

ya kudhuru watu au kuharibuvitu.

• Kuwanamsongowamawazo• Kujitenga na watu na kupenda

kukaamwenyewemudamwingi• Kutokuwanaariyakufanyakazi

aukufanyakazinyingikwawakatimmojabilayakuzikamilisha

• Kutokuonyeshahisiayoyoteusonimwake[furahaauhuzuni]

• Kutokujijali usafi na muonekanowake

• Mwilikukosanguvuaukuhisimwiliunanguvusanakupitakiasi

• Kukosa usingizi au kulala usingizisanakupitakiasi

• Kukosahamuyakulaaukuwanahamusanayakula

• Kutokutulia (kuhamanika) aukutuliasehemumojamudamrefubilayakujisogeza

• Maumivu sehemu mbalimbaliza mwili ambayo vipimo vyahospitalihavionyeshitatizololotelakimwili.

Page 2: Magonjwa ya Akili ni Nini na kisaikolojia kupita kiasi … · 2019. 5. 12. · vyombo vya habari • Kuhisi kuwa mtu anatumia mawazo yake kufanya mambo Fulani • Kuhisi harufu ambayo

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:Kituo cha Afya-Chuo Kikuu cha DSM

Simu: 2410500–8 Ext. 2006Direct: 2410014

Barua pepe: [email protected]: http://www.udsm.ac.tz

Dalili za Kiakili • Kukosaumakiniwashughulizake

zakilasiku• Kusahaukwaharakaaukupoteza

kumbukumbu• Kukosauwezowakupambanua

mambokwamitazamotofauti• Kutokujali• Kuwanaimanizisizozakawaida

kamavile;8 KuwamtumaarufuauNabii8 Kupokea taarifa kutoka

kwenye redio au mitandaoyasimu

8 Imaniyakuwasiliananawatumaarufu

8 Kuamini kuwa na nguvu yaziadakutokanjeyamwili

8 Imani kuwa kuna watuwanamfuatilia/ wanatakakumdhuru

• Mawazo yake hayana mtiririkounaoeleweka.

Matibabu ya Magonjwa ya AkiliMatibabu ya magonjwa ya akilihutoafautiana kati ya ugonjwammojanamwingine• Elimu kwa jamii kuhusiana na

magonjwa ya akili ni kitu chamuhibu sana katika kuzuiakujirudiaaukupataugonjwawa

akili,juuyamatibabunamsaadaanaohitajimgonjwailikuendeleanamaishayakeyakilasiku.

• Kupatiwa uchunguzi mapemaili apatiwe tiba sahihi na yamapema

• Tiba ya kisaikolojia (kujitambuaaliko, anapotaka kuwa nakuamua kufanya mabadilikokwa kutegemea uwezo wakemwenyewe

• Tiba kimwili kutumia dawa zahospitali

• Matibabu kwenye nyumba zaupatajinafuu(SoberHouses)

• Ushirikiano kati ya mgonjwafamilia na wataalamu wa tibahuletamafanikiomakubwasanakatikamatibabu.

• Kutokutumiamadawayakulevyaikiwanipamojanavilevi

• Patamudamrefuwakupumzika• Fanyamazoezi• Usijitengenajamii• Kujibidisha kwenye shughuli za

kuletakipato


Top Related