Download - HAJJ Swahili
HAJJ • A COLORING PICTURE• A HADITH • AN AYAH FROM QURAN• A STORY TO PONDER
(zamzam)• MORAL
HAJJ: THE ANNUAL PILGRIMAGE Waislamu wote kuwakusanya mara
moja kwa mwaka katika mwezi wa dhulhijja, kufanya Hijja katika nchi wa Mecca, Saudi Arabia.
Hijja is mmoja ya nguzo za furu e deen Hijja ni wajibu mara mmoja katika
maisha kwa wale ambao wanaweza kumudu
HAJJ: THE ANNUAL PILGRIMAGE• ALL MUSLIMS GATHER ONCE A YEAR IN THE MONTH OF DHULHIJJAH TO PERFORM HAJJ IN MECCA, SAUDI ARABIA.• HAJJ IS ONE OF THE PILLARS OF FUROO E DEEN• HAJJ IS WAJIB ONCE IN A LIFETIME TO THOSE WHO CAN AFFORD IT.
NAMAZ SAWM HAJJZAKAT
KHUMS JIHAD
AMR BIL MAROOF NAHI ANIL MUNKARTAWALLA , TABARRA
TAWAFSAIEE
ARAFAT MUZDALEFA
MINA
HAJJ MAP
“Na tangaza kwa watu Hija, watakuja kwa miguu na juu ya kila konda;ngamia; watakuja kutoka mbali” Hii ni kueleza kwamba siku za zamani watu walikuwa wanaenda kufanya hijja katika kila safari iwezekanavyo, kwasababu ni wajibu kwa muislamu.” 22: 27 Surat Al-Ĥaj (The Pilgrimage) - الحج سورة
And proclaim to the people the Hajj [pilgrimage]; they will come to you on foot and on every lean camel; they will come from every distant pass. 22: 27 Surat Al-Ĥaj (The Pilgrimage) - الحج سورة
ZAMZAM
ZAMZAM STORY
MAJI YA ZAMZAM
Shifa
Mtume Muhammad SAW:Sala iliyo faradhishwa kwa Allah ni sawa na kutimiza Hajj elfu moja na ‘Umrah elfu moja
ambazo ni sahihi na zilizokubalika.[Ref: B’al Anwaar J99 uk14]
Mtume Muhammad SAW:Kumzuia Muislam asitende matendo maovu ni sawa na
Allah swt kumlipa thawabu za Hija 70 zilizokubaliwa…
[Ref: Mustadrak AlWasailushShiah J11 Uk278]
MORAL :
ALL THOSE WHO CAN AFFORD MUST GO TO HAJJ ONCE IN A LIFETIME. OTHERS SHOULD LEAD PIOUS LIFE AND REFRAIN FROM HARAM TO GAIN SAWAB OF HAJJ.
MORAL :
Wale wote wanaoweza kumudu wanatakiwa kwenda Hijja mara mmoja katika maisha, wasioweza wanapaswa kuishi maisha ya Taqwa na kujiepusha na mambo ambayo ni marufuku katika dini ya islamu.
Mimi kuinua mikono yangu na kufanya dua kwa Mwenyezi mungu