Transcript
Page 1: DCB FLYER SHARES share 2018.pdf · Fursa hii ni adimu, haitokei mara kwa mara, mara ya mwisho, ilikuwa 2012. BEI YA HISA? Tsh 265 sawa na punguzo la asilimia 22 (au Tsh 75) kutoka

Benki ya kizalendo yenyemafanikio makubwa.

MILIKI BENKI, NUNUA HISA ZA DCB

DCB BANK: Changamkia fursa, wekeza DCB

TSHS

KWA KILA HISA265

HEAD OFFICEDCB House, Magomeni Mwembechai,Morogoro RoadP.O. Box 19798, Dar es Salaam.Tel: +255-22-2172201Fax: +255-22-2172199Email: [email protected]

UHURU BRANCHJunction of Uhuru & LumumbaMnazi Mmoja, Uhuru RoadP.O. Box 19648 Dar es Salaam.Tel: +255-22-2180693;Fax: +255-22-2180259Email: [email protected] MAGOMENI BRANCHDCB House, Magomeni Mwembechai,Morogoro RoadP.O. Box 80489, Dar es Salaam.Tel: +255-22-2170667Fax: +255-22-2170754Email: [email protected]

TABATA BRANCHTabata Old Dampo AreaP.O. Box 1972, Dar es Salaam.Tel: +255-22-2171632Fax: +255-22-2171633Email: [email protected]

TEMEKE BRANCHJunction of Temeke/Evereth Rd.P.O. Box 45590, Dar es Salaam.Tel: +255-22-2856279Fax: +255-22-2856278Email: [email protected]

UKONGA BRANCHAviation House, Banana Area, Nyerere/Kitunda Road JunctionP.O. Box 40841, Dar es Salaam.Tel: +255-22-2842146Fax: +255-22-2843147Email: [email protected]

CHANIKA BRANCHChanika RoadP.O. Box 41070, Dar es Salaam.Tel: +255-736-502629Fax: +255-736-502629Email: [email protected]

MABIBO EXTERNAL BRANCHGarage Area along Mandela R.dP.O. Box 5427, Dar es Salaam.Tel: +255-737-217787/8Fax: +255-736-502866Email: [email protected]

DODOMA BRANCHLAPF Building, Makole.P.O. Box 2935, Dodoma.Tel: +255-262963460/2 Fax: +255-262324517Email: [email protected]

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0659077000 / 0737169891/ 0737044898 au barua pepe [email protected] au tembelea tovuti yetu www.dcb.co.tz au tembelea tawi lolote la DCB au wakala yoyote wa soko la hisa la Dar es Salaam.

* Bei ya soko la hisa ni shilingi 340, thamani ya hisa inaweza kupanda au kupungua, vigezo na masharti kuzingatiwa.

Page 2: DCB FLYER SHARES share 2018.pdf · Fursa hii ni adimu, haitokei mara kwa mara, mara ya mwisho, ilikuwa 2012. BEI YA HISA? Tsh 265 sawa na punguzo la asilimia 22 (au Tsh 75) kutoka

NINI KIMEJIRI? Benki ya DCB imeanza rasmi kuuza hisa Tarehe 12 Novemba, 2018.

NANI ANAWEZA KUNUNUA? Uuzaji hisa unawalenga wanahisa waliopo, wawekezaji wapya na umma wa watanzania kwa ujumla.

WAPI NAWEZA KUNUNUA? Kwenye tawi lolote la benki ya DCB au kwa mawakala wa soko la hisa la Dar es Salaam (DSE).

KWANINI TAARIFA HII NI MUHIMU? Fursa hii ni adimu, haitokei mara kwa mara, mara ya mwisho, ilikuwa 2012.

BEI YA HISA? Tsh 265 sawa na punguzo la asilimia 22 (au Tsh 75) kutoka bei iliyopo katika soko la hisa (DSE) ambayo ni Tsh 340.

WANAHISA WATAPATA FAIDA GANI? 1. Watanunua hisa kwa bei pungufu chini ya ile ya

soko.2. �amani ya hisa inaweza kuongezeka na kumpatia

mwanahisa faida zaidi.3. Watapata gawio kila mwaka kulingana na utendaji

wa benki.

KIPI KIWANGO CHA CHINI CHA HISA? Kiwango cha chini cha umiliki ni Tsh 26,500 sawa na hisa 100.

HISA ZITAUZWA KWA MUDA GANI? Hisa zitauzwa kuanzia tarehe 12 Novemba hadi 3 Disemba 2018.

IJUE DCB• Ilianzishwa miaka 17 iliyopita na inamilikiwa na

manispaa za Dar es Salaam, taasisi za umma na wananchi wa kawaida.

• Benki ya kwanza kuorodheshwa kwenye soko la hisa mwaka 2008.

• Imetoa gawio kwa wanahisa wake kwa miaka 11 mfululizo.

• Benki ya kwanza kufanikiwa kukua kutoka community bank kuwa benki kamilifu ya biashara.

• Benki imepata tuzo mara tano mfululizo kwa uwasilishaji bora wa mahesabu yaliyokidhi vigezo vya kimataifa.

• Imekuza matawi kutoka moja hadi manane na mawakala zaidi ya 1,000.

• Imekuza idadi ya wateja kutoka 6,530 hadi 156,376 katika miaka 17.

• Inahudumia kupitia utoaji mikopo ikilenga zaidi wajasiriamali wadogo, wa kati, wafanyakazi wa taasisi za serikali na binafsi pamoja na wananchi wa kawaida.

• Benki yenye mfumo madhubuti na wa kisasa wa teknolojia ya kidigitali.


Top Related