ch 32 - shujaaz fm

32

Upload: well-told-story

Post on 29-Mar-2016

287 views

Category:

Documents


9 download

DESCRIPTION

Comic ya month ya October ndio hii. CH 32 mara dat dat!!

TRANSCRIPT

Kumbe ni ukweli, nyinyi ni jirani

walaghai?

Walaghai? Sisi walaghai? Si wewe huongezea watu wetu bei ya bidhaa?

Kwendaaa Huuuko!!!

Umejaza ujinga!!!

Tumeisha! Wuuu- u! Saidieni!

Watoto wameangukiwa!

Wooiiii! mungu wanguuu!!!!!

I K

MISUWATU

na ni

USIWAHI KUNIONGELESHA TENA!

WAREMBO KAMA WEWE NI VICHWA NGUMU SANA!

NAENDA KUTAFUTA MSICHANA MWENYE HUWA

HAOGI!

DAN, KWANI NIME-DO? SI TUONGEE

KAMA WATU WAZIMA? VITU GANI HIZO UNASEMA

SASA?

POLE, SIFA...

MARIA KIM, SASA NITA-DO? NINAMPENDA

SANA!AH, J.K.,

NILIMSHOW SIMTAKI TENA. SIJUI ANALIALIA NINI. WASICHANA NA KULIALIA!! MIMI NIKO

FITI!

I FEEL GOOD! TARA TARA TARA

TAA!!

KWELI?

THANKS MZEYA! NINAACHANA NA SIFA LEO LEO!

KAZI YANGU NI KUSAIDIA WATU TU. LAKINI LAZIMA

UCHOTE!

BAADAYE...

BAADAYE kwa sifa...kwa hang out ya ma-boys...

I THINK INAFAA UJARIBU KUONGEA NA YEYE VIPOA.

MISUNDERSTANDINGS HU-HAPPEN WATU WASIPOKUWA NA COMMUCA-

TION POA.

i feel...i feel...

ah, hi place ina vumbi inafanya

machozi itoke...

dan, i think

itakuwa poa uongee na

sifa...

nakubaliana na wewe, maria kim. nikienda kuongea

na yeye si utanipeleka?

jaribu ku-communicate na

yeye vizuri, am sure hii stori itakuwa poa.

you are right. si-feel poa vile

nili-do. hata sikusikiza anything alikuwa anasema.

nitapanga kum-meet tuongee.

poa. ukitaka naeza

come na wewe.

FEEL OD! TARA RA TARA TAA!!

haya! maria kim! sikujua pia una-come! sasa

sifa?

dan, sijui nili-do nini, am sorry...

no, mimi ndio niko sorry. nilisikiza advice

ya fala...

mkiongea pamoja ita-solve mashida nyingi. j.k. na mimi

tutawasaidia kuongea mkituhitaji.

hiyo jioni...