arusi ya buldoza
TRANSCRIPT
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
72
Arusi ya Buldoza
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
72
1
Arusi ya Buldoza
2
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
72
Uhalisia Mazingaombwe
UhalisiajabuMbatiah
“Istilahi hii inatumiwa kuelezea mkondo wa uandishi ambapo
mazingira, matendo na matukio ya kifantasia husawiriwa kwa kuiga
mtindo wa uhalisia, yaani kwa kuyaeleza kwa njia ya moja kwa
moja kana kwamba ni mambo ya kawaidaia… Uhalisia wa
kimaajabu huhusishwa zaidi na nchi zinazoendelea kutoka bara la
Afrika, Marikani ya Kusini na Asia.”3
“Dhana hii huhusishwa na waandishi wa Marekani ya Kusini
au hata nchi zinazoitwa ulimwengu wa tatu.”4
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
03
“Yale mambo ambayo hutokea pale ambapo mandhari na
matukio ya kihalisi yanavamiwa na jambo ambalo ni la ajabu mno na
ni vigumu kuaminika.”5
Nagona
1990Mazingile1991Kezilahabi
Babu Alipofufuka2001Sadiki Ukipenda
2002Hadithi ya Buldoza2005
Dunia yao2006Said A. Mohamed
Bina-Adamu2002Mayai Waziri Wa Maradhi
2004 Wamitila
Kufikirika1946
Kusadikika19511960
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
03
Kurwa na DotoMzimu wa watu
wa kale1969
Kinjeketile1971Mashitani
Senkoro
“Uhalisiamazingaombwe katika fasihi ya Kiswahili: Istilahi mpya,
mtindo mkongwe”6
Evans
M. MbuthiaP. I. Iribemwangi
“An Analysis of Stylistic Trends in Published Kiswahili Short Story
Genre”
“The dichotomy between oral literature and written literature
does not always hold. This is because written literature has borrowed
many aspects from oral literature such as character types; that is the
use of animal characters some of whom have super human powers.
Some critics have classified some of the stories following this style
as falling in the category of magic narratives .”7
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
07
8
“(Dhana hii) Hutambulishwa na sifa mbalimbali. Sifa hizi ni za
kuyaeleza matukio ya kifantasia au ya kiajabu au kichawi kwa
namna ya moja kwa moja, kwa maana inayoyafanya yaonekane
kama ya kawaida tu. Mpaka uliopo kati ya mambo yanayoweza
kupatikana katika ulimwengu halisi na yasiyowezekana huwa mdogo
sana.”9
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
00
10
Njozi /FantasiaUhalisiafifi
Njozi
/Fantasia
“Hii ni dhana inayotumiwa kuelezea kazi ya kifasihi ambayo ina sifa
ambazo zinakiuka uhalisi.”11
Uhalisiafifi
“Lengo hasa la mkondo huu ni kuusawiri uhalisi tofauti na uhalisi wa
kimantiki”12
Mwangi
“Uhalisiajabu umefungamana na sanaajadi kama vile visasili.
Visasili ni hadithi zinazoeleza asili ya watu na matukio fulani. Matukio
hayafuatani kimantiki kama ilivyo kawaida. Mtindo wa baadhi ya tanzu za
fasihi simulizi hutumika. Jambo hili hufanywa kwa kumpeleka msomaji
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
03
kwenye safari ya hali na matukio ya kikweli na yanayowezekana. Aidha,
wasanii hutumia mbinu ya ukumbukaji, mbinu rejeshi, mtiririko wa urazini
na ujenzi wa wahusika wenye nafsi mbili.”13
“Uhalisiamazingaombwe ni mtindo wa kifasihi unaokutanisha uhalisi
na mambo ambayo kwa kawaida si ya kiuhalisi. Mambo hayo ni kama
sitiari ambayo inasubiri kupasuliwa ili tuzikute humo taswira na ishara
zinazowakilisha uhalisi. Kwa maana hiyo basi, Uhalisiamazingaombweni
makutano ya uhalisi wa kawaida na uhalisi uliojificha katika sitiari.”14
WafulaNjogu
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
03
“Hali za kushangaza na kuogofya huwasilishwa kama kwamba ni za
kawaida. Katika uhalisiajabu ndoto na uhalisi vinachanganywa. Pamoja na
haya, mipaka yote huvujwa. Hata wakati nao pia hausongi.” 15
Mwangi
MjakaKilua
(1) Wanjiru, Mwangi Jedidah, op.cit, p. 14.
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
03
“Arusi ya Buldoza si hadithi niliyoiandika mwanzo kamwe. Kusema
kweli nimeiandika mwaka 2002 na wala haijapata kusomwa idhaani.
Lakini imepata heshima katika mkusanyo huu kuja mwanzo, kwani anuani
yake ni yenye mnaso wa kuweza kuzisimamia hadithi zote za mkusanyo
mzima. Tena imepata nafasi ya kutumika kama anuani kwa sababu ya
mtindo wake wa Uhalisiamazingaombwe, mtindo unaozidi kuwa maarufu
katika fasihi ya Kiswahili. Na kwa hivyo hadithi hii inawakilisha kielelezo
cha kubadilika kwangu.”16
2002
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
02
Mtoni141996
19902000
17
“Nje, sondo linarindima, la ndovu kumla mwanawe! Wanawake
wanatupa viuno vyao visivyo mifupa chini, baada ya kuvirusha juu kutoa
moshi na mvuke na kisha kuvibwaga ardhini, na baadaye hao - kwa
uchawi - huvizoazoa na kuvibandika na kuanza kuvisuka tena.”18
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
02
“Kijumba cha mawe kizuri kimevikwa kofia ya bati. Cha fahari
kubwa kwa Mjaka na fahari katika mazingira haya kilimochipua!
Kakijenga kwa kucha na meno na kukitomea kwa mate ya mchwa. Leo
ndiyo leo na leo ndiyo hivyo tena, kimejaa kelele zinazong'ong'a na
kuvuma kama mzinga wa nyuki badala ya kichuguu cha mchwa. Mara
nyingine kelele zilipanda juu kuvuka ng'ambo hai kwenda dunia ya wafu
kuwaamsha wahenga kuja kushiriki arusi ya kinying'inya chao.”19
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
02
“Kijumba cha Mjaka kimeinamishwa. Tayari kimeshayeyukia
vijumba vingine. Tayari kimeshatambaa na kushikana na vibanda vingine
vyote. Kila kitu kimeingia kwenye mlolongo wa tafrija, na mlolongo
umeshakuwa mlizamu mmoja unaomwaga maji pande mbili: ingia toka,
pishapisha, sumilesumile, hebu nipite, hebu nipishe…”20
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
33
“Kijumba cha Mjaka kimeinamishwa”21
“Cha fahari kubwa kwa Mjaka na fahari katika mazingira haya
kilimochipua!”22
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
33
“Kiteremko cha kijani kilichofumbatwa na machaka na vichaka
kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu
inayosimama cheni kwenye shwari au kuyumbayumba na kuwayawaya
makuti yake wakati wa upepo ama dhoruba. Na mbele ya pale, upeo wa
Bahari ya Hindi usio mwanzo wala mwisho, yenye kubadilisha mandhari
yake yenyewe na mandhari ya kila kitu katika ujirani wake - na tabia yake
isiyoaminika kama mwendawazimu.”23
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
37
“Amegotama anagusa mbingu na huko hupata nafasi ya kuzungumza
na vizuu vya wahenga wake. Navyo humwasa, humkanya, humkaripia au
humsifu kwa hatua aliyochukua.”24
“Mara nyingine kelele zilipanda juu kuvuka ng'ambo hai kwenda
dunia ya wafu kuwaamsha wahenga kuja kushiriki arusi ya kinying'inya
chao.”25
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
30
Pemba26
Unguja
“Naye Mjaka akajitwika jukumu kwa ari na nia. Akafanya kazi
kama mwehu. Akajikosesha raha. Akajinyima wakati na usingizi.
Akajifunga kiguu na njia.”27
Akajifunga
kiguu na njia
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
33
“Juu ya kilele cha kijilima ndipo ukomo unapomfikisha anapokuwa
na mshawasha na wasiwasi ndani ya moyo wake. Ameshafika hapo mara
milioni moja katika maisha yake, tokea kusuhubiana napo. Anapapenda.
Anapapenda kwa mengi.”28
“Amegotama anagusa mbingu na huko hupata nafasi ya kuzungumza
na vizuu vya wahenga wake. Navyo humwasa, humkanya, humkaripia au
humsifu kwa hatua aliyochukua.”29
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
33
“Aaa, Kilua! Mwanamke mpya kwelikweli! Uzuri wake mnato wa
asali na utajiri wa sifa zake ukoko wa malai. Miaka yote hii amemtingisha
na kumsukasuka na kumtisha Mjaka kwa harakati za mapenzi. Njoo, siji!
Njoo, siji! Na hatimaye kaja! Kaja kwa njia ya ajabu. Kawaacha matajiri
wakubwa, wafanya biashara wazito na wanasiasa watishaji. Kaja kwa
Mjaka aliyejenga kijumba kizuri kwa mate ya mchwa! Kaja bila ya hofu
ya ukalimoto wa wazee wake wala woga wa masimango ya dunia. Ama
kweli mwanamke huyu mpya anayethammi mapenzi badala ya kwasi na
fedha. Nani mwingine zaidi yake?”30
Kilua
31
“Ilikuwa harufu ya kilua”32
kilua
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
33
“Alipelekea mkono akakata kikonyo cha ua la kilua, akakipandisha
kikonyo puani pake na kujaza tena mapafu yake pumzi tele. Kisha
'fyyyyu', alitoa pumzi za raha nje. Mirindimo ya tutu, kinganga, msondo na
sauti za nyimbo za wanawake zilizopaa juu hewani kutoka nyumbani
kwake zilimfuata hapo alipo na kumwingia masikioni na moyoni
waziwazi.33
Matalai ShamsiBiti
“Hakutaka kufikiri vyovyote vingine kuliko Kilua, kuliko arusi ya
yeye na Biti Matalai Shamsi.”34
35
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
32
“Wanatuvunjia nyumba na kutupiga kwa sababu sisi tunaunga
mkono chama cha haki.”36
“Mtibuko wa ndani kwa ndani kwenye nafsi yake sasa umemsimamia
waziwazi usoni pake Mjaka. Kwa hakika umekuwa ukimsimamia namna
hii karne nzima ya maisha yake. Ila leo ndindindi umeinuka wima
kumchagiza. Umeshafika unapotaka kutua?Labda sasa utapoa na
kupumzika!
"Kuna kupoa na kupumzika katika dunia hii?" Alijibu kinywa kipana
Mjaka.
Aaaa, sijui! Sauti yake ya ndani kwa ndani ilimwambia.”37
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
32
1
2
3
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
32
4
Mtoni
5
6
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
33
2002
1619 WWW.kotobarabia.com1462015
6
2002
11995
82003
BAKIZA, Kamusi la Kiswahili Fasaha, Kenya, Oxford
University press, 2010.
Mbatiah, Mwenda, Kamusi ya Fasihi, Kenya, Nairobi, Standard
Textbooks, 2002.
Mbuthia, Evans M. & Iribemwangi, P. I., “An Analysis of
Stylistic Trends in Published Kiswahili Short Story Genre”,
Journal of Education and Practice, Vol.5, No.8,2014,Online:
http://www.iiste.org/Journals/index.php/JEP/article/view/11638/1
1981
Mohamed, Said A., “Arusi ya Buldoza na hadithi nyingine”
Kenya, Nairobi, Longhorn Publishers, Chapa cha Kwanza 2005.
Njogu, K & Wafula,R.M., Nadharia za Uhakiki wa Fasihi,
Nairobi. Jomo Kenyatta Foundation, 2007.
Senkoro F.E.M.K., “Uhalisiamazingaombwe katika fasihi ya
Kiswahili: Istilahi mpya, mtindo mkongwe”, Kioo cha Lugha,
Vol.5, No.1, 2007,Tanzania, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
TATAKI. Idara ya Kiswahili.
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
33
Wamitila K.W., Kamusi ya Fasihi Istilahi na Nadharia, Kenya,
Nairobi, East African Education Publishers Ltd, 2003.
Wanjiru, Mwangi Jedidah, Uhalisia Na Uhalisiajabu Katika
Riwaya Mpya Babu Alipofufuka (Said Ahmed Mohamed Na
Watu Wa Gehenna (Tom Olali), Tasnifu Hii Imetolewa Ili
Kutosheleza Baadhi Ya Mahitaji Ya Shahada Ya Uzamili Katika
Idara Ya Isimu Na Lugha, Chuo Kikuu Cha Nairobi, 2013.
1
،2002دباد القاهرة، دار سن
1619WWW.kotobarabia.com م.14/6/2015بتاريخ
282003256
(3) Mbatiah, Mwenda, Kamusi ya Fasihi, Kenya, Nairobi, Standard Textbooks, 2002, uk.60.
(4) Wamitila K.W., Kamusi ya Fasihi Istilahi na Nadharia, Kenya, Nairobi, East African Education Publishers Ltd, 2003, uk.274.
5 F.E.M.K. Senkoro, “Uhalisiamazingaombwekatika fasihi ya
Kioo cha Lugha, Vol.5, ”,Kiswahili: Istilahi mpya, mtindo mkongwe
, TATAKI. Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania, Chuo 8,No.1, 2007, p.
Idara ya Kiswahili.
(6)Ibid, pp. 1-10.
7 Evans M. Mbuthia & P. I. Iribemwangi, “An Analysis of Stylistic
Trends in Published Kiswahili ShortStory Genre”, Journal of
Education and Practice, Vol.5, No.8, 2014, p. 41. Online:
http://www.iiste.org/Journals/index.php/JEP/article/view/11638/11981
3082015
8
6
2002182
(8) Wamitila K.W., op.cit, p.274.
9 2426.
(10) Wamitila K.W., Op.cit, p.170.
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
37
(11) Ibid, p.273. (12) Wanjiru, Mwangi Jedidah, Uhalisia Na Uhalisiajabu Katika Riwaya
Mpya : Babu Alipofufuka (Said Ahmed Mohamed )Na Watu Wa Gehenna (Tom Olali), Tasnifu Hii Imetolewa Ili Kutosheleza Baadhi Ya Mahitaji Ya Shahada Ya Uzamili Katika Idara Ya Isimu Na Lugha, Chuo Kikuu Cha Nairobi, 2013, uk. 14.
13 F.E.M.K. Senkoro, op.cit, p.8,
(14) Njogu, K & Wafula,R.M., Nadharia za Uhakiki wa Fasihi, Nairobi. Jomo Kenyatta Foundation, 2007, pp.113, 114.
(15) Wanjiru, Mwangi Jedidah, op.cit, p. 14.
16 Mohamed, Said A., “Arusi ya Buldoza na hadithi nyingine” Kenya,
Nairobi, Longhorn Publishers, Chapa cha Kwanza 2005. P. x.
(17) http://www.tzaffairs.org/1996/09/politics-mkapa-mrema-amour-
hamad/
1292015 .
18 Mohamed, Said A., op.cit, p. 1.
19 Ibid, p. 2.
20 Ibid, p. 1.
21 Ibid.
22 Ibid, p. 2.
23 Ibid, p. 4.
24 Ibid.
25 Ibid, p. 2.
26
492015
27 Ibid, p. 3.
28 Ibid, p. 4.
29 Ibid.
30 Ibid. p.3.
مصطفى محمد يوسف ظواهر دلالية مشتركة
30
(31) BAKIZA, Kamusi la Kiswahili Fasaha, Kenya, Oxford University
press, 2010, uk. 170.
32 Mohamed, Said A., Op.cit, .p. 6.
33 Ibid.
34 Ibid., p. 4.
(35) Bertoncini, E.Z., Outline of Swahili Literature: Prose fiction and drama, Leiden-
Boston, E.J.Brill, 1989, p 20.
36 Mohamed, Said A., Op.cit, p. 8.
37 Ibid. p. 2,3.