ibilisi, kama simba angurumaye - gospel truth...ukweli wa injeli | toleo 24 ibilisi, kama simba...
Post on 29-Oct-2020
34 Views
Preview:
TRANSCRIPT
Ukweli wa Injeli | Toleo 24
Ibilisi, Kama Simba Angurumaye
1 4
Usalama wa Milele 5-6
Swali na Jibu: Marejesho7
Je, Wajua?
Neno Linalofaa kwaMsimu Huu
8
Toleo 28
Mafundisho ya Biblia:Usalama wa Milele
Tahariri
3
wa maumivu ungesikika na mtu mmoja zaidi angepunguka kati ya wafanya kazi ambao wangefikakaziniasubuhiiliyofuata.Mwishokabisanihapobaadayawatuwengikuuawandiposimbahaowaliwezakuuawa.
MtumePetroanatukanyakwambatunahitajikuwa watu wenye kiasi na tuwe makini hukutukijuakwambashetaninisimbaanayenguruma.Shetani,kamasimbahaowawiliwaTsavoanajaribukufanyaWakristokuishikwawoganakufanyajuuchinikuua,kuiba,nahatakuangamizamaishayetuyakiroho.BasinijambomuhimukwambatuwemachonakujichunguzakwamakiniilitutambuewakatiambapoShetanianafanyakaziyake.Yeyeanajaribukuibafurahayetu,amaniyetu,naumojawetu.YeyeanatakatutenganishwekutokakwawatuwaMungu,tutenganishwenawaleambaowanawezakutusaidiailitupatenguvuzaidi,natutenganishwekutokakwawaleambaowanawezakutuungamkono.
Aduiyetuanafanyavitadhidiyetukutokapandembali-mbalimaishani,nayeyeanawavamiawatuwaMungukwavishindo.Yeyekwakwelihanaheshimanamtuyeyote.KamaweweunaishikwaajiliyaMungulengolaaduiyetunikukufanyakuwamwathiriwawake—maanakeuwemajeruhikatikavitahivivyakiroho.Aduiyetuanafanyavitadhidiyawatukatikamaishayaoyakibinafsi;anavamiandoazao,familiazao,nahatamakusanyikoyakanisa.Basihebutufunguemachoilitumtambueaduiyetuwakweli.Sasasiwakatiwakuingiwanahofunakujikunyatakutokananamavamiziyake.Badalayaketunahitajikumpingahukutukisimamawimakatikaimani!
Yesualiwaambiawanafunziwake“Kesheni,
Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze. Nanyi mpingeni huyo, mkiwa thabiti katika imani ...—1Petro5:8.
Hapomwakawa1898barabarayareliilikuwaikijengwakupitiaBondeKuulaUfaambalolimeeneatokaKenyahadiUganda.Kazinihumokulikuwanamaelfuyawatuambaowalishikirishwakatikaujenziwarelihiyonapiakulikuwanamahalikwingiambakokambizilisimamishwaambazondizozilikuwamalaziyawafanyikazihao.Lakiniwafanyakazihaowakaanzakutowekammojabaadayamwingine,napundesipundeikatambuliwakwamba kulikuwa na simba wawili wala watuwakutokabungalaTsavo.Simbahaowaliendeleakuletarabshakwamudawamiezitisa,nawakawauwawatuwenginakufanyamaelfuyawafanyikazikuishikatikahaliyawoga.Wafanyikazihaowakajaribukujengamipaka ya miiba kuzungukia kambi zao na piakuwashamiotousikuilikufanyasimbahaokuwanawoga,lakinisimbawenyewewaliwezakurukanakuvukamipakahiyo,amawakapitakwenyemianyayamipakayamiiba.Basisimbawangewavamiawatukwenyehemahizonakuwavutakuwapelekavichakaniambakomaranyingiwalisikikawakiwavunja-vunjawaadhiriwahaomifupahukuwakitoamigurumoyakushiba.Hebufikiriawogaambaohatakamaniweweungekupatakamaungetembeagizanihukuukijuakwambasimbamlawatualikuwaamejifichakwenyekichakakilichokuwakaribunawe.
Wakatimwingisimbahaowangesikikawakingurumahapokaribunamojayakambihizonahabarihiyoingesambaakutokakambimojahadinyingine:“Tahadharindugu,shetanianakuja!”Maramojamliomkubwa
“Shetani... anajaribu
kufanya Wakristo
kuishi kwa woga na
kufanya juu chini
kuua, kuiba, na hata
kuangamiza maisha
yetu ya kiroho.”
IBILISI, KAMA SIMBA ANGURUMAYE
(Inaendelea kutoka Ukurasa 1)
2 Ukweli wa Injili | Toleo28
Gazeti la Ukweli wa Injili ni jalida ambalo linatolewa kila robo ya mwaka kwa manufaa ya Kanisa la Mungu kwa ajili ya mafundisho na kwa ajili ya kuwahimiza Wakristo ili washike kweli za Biblia. Tutembelee katika tovuti yetu ya www.thegospeltruth.org na ujiandikishe ili uwe ukitumiwa notisi kwa njia ya barua pepe kila wakati jalida hili likiwa tayari ili uweze kupata toleo la kila kipindi. Gazeti hili la Ukweli wa Injili linachapishwa katika nchi nyingi ili lisambazwe katika nchi hizo. Kazi hii inawezekana kupitia kwa matoleo yanayotolewa kwa hiari. Pia wewe ukitaka unaweza kutumiwa risiti ya vile tumelipa ushuru kutokana na zawadi yako. —Mhariri, Michael Smith
Gospel Truth, P.O. Box 2042, Nixa, MO 65714 USAeditor@the gospeltruth.org
Mambo Ambayo
bibliaInafundisha Kuhusu...
Neno la Mungu2 Tim. 3:6, 2 Pet. 1:20-21, Mt. 24:35
Uhusiano wa UpendoMt. 22:37-40, Yn. 14:21-23, 1 Yoh. 4:7-21
TobaMdo. 3:19, 17:30, 2 Kor. 7:10
Uzao MpyaYn. 3:3-7, 2 Kor. 5:17, Rum. 6:1-4,Efe. 2:1, 5-6
Uhuru Kutokana na Dhambi1 Yoh. 5:18, Mt. 1:21, Yn. 8:11
Ujazo wa Roho Mtaka� fuMdo. 19:2, 15:8-9, 1:8
Utaka� fuLk. 1:73-75, Ebr. 12:14, 1 Pet. 1:15-16,Tit. 2:11-12, Rum. 6:22
Ufalme wa MunguLk. 17:20-21, Rum. 14:17, Yn. 18:36
KanisaMdo. 2:47, Efe. 4:4-6, 1 Kor. 12:12-13, Kol. 1:18
UmojaYn. 17:20-23, Gal. 3:28, Ufu. 18:2-4
Kanuni za KanisaMt. 28:19-20, 26:26-30, I Kor. 11:23-27, Yn. 13:14-17
Uponyaji wa KiunguLk. 4:18, Isa. 53:4-5, Yak. 5:13-16
Utaka� fu wa NdoaMt. 19:5-6, Lk. 16:18, Rum. 7:2-3, I Kor. 7:10-11
Urembo wa NjeI Tim. 2:9-10, I Kor. 11:14-15, Kum. 22:5
Mwisho wa Nyaka� 2 Pet. 3:7-12, Yn 5:28-29, 2 Kor. 5:10, Mt. 25:31-46
Kupenda AmaniLk. 6:27-29, 18:20
IbadaYn. 4:23-24, Efe. 5:19, 2 Kor. 3:17
Wajibu MkuuMk. 16:15
mwombe,msijemkaingiamajaribuni;rohoikoradhi,lakinimwilinidhaifu”(Mathayo26:41).Sisitungalikatikamwilinahatunabudikuyapatamajaribuwakatitungalitunaishiulimwenguni.Kwakwelibadohatujafikambingunindiposatunahitajikukeshanakuombailitusikosenjiayawokovunakurudiulimwenguni.Maombindiyosilanaambayoitatuwezeshakushindamavamiziyaaduiyetu.NayomiiliyetunidhaifusananashaukuletukwaMunguhalitoshikutulindakutokanananguvuzaaduiyetu.BasitunahitajikuwamachonakuendeleakutafutaneemananguvukutokakwakeBwanabila
kukoma.
YesualimwambiaPetrokatikaLuka22:31-31“Shetaniamewataka ninyi apate kuwapepetakamavilengano;lakini nimekuombea wewe ili imaniyakoisipungue;naweutakapoongokawaimarishenduguzako.”HatasasaShetaniangalianashaukuyakukupataWEWE!LakiniYesuanakwombeanakufanyasala kwa ajili yako akiwa katika mkono wa kuume wa Mungu.NazohabarinjemanikwambanguvuzakeMunguni kuu zaidi kuliko nguvu zaIbilisi.“Aliyendaniyenuni mkuu kuliko yeye aliye katikadunia”(1Yohana4:4).Kama wewe utasimama wima pamojanaMungukilasikuYeyeatakulindanakukupatia
usalamanakukupatianjiayakushindanguvuzaIbilisi,lakiniunahitajikuwamachonapiakuwamwangalifukatikamamboambayoutachaguakufanya,napiakwamaamuziutakayofanyamaishani.MwangawaNenolaMunguutadhihirishamipangoyaaduiyetu,nayeMunguatafanyanjiayasisikuwezakuepukakilajaribunakufanyanjiakatikakilabondenakilamlimaambaoutaletwanaaduiyetu.
HataingawatunahitajikuwawaangalifuhatunahajayakuishikwakumwogopaaduiyetuwakatiambaponguvuzakeKristozipojuuyetu.“Tazama,nimewapaamriyakukanyaganyokanange,nanguvuzotezayuleadui,walahakunakitukitakachowadhuru”(Luka10:17-19).Weweunauwezo(nakwakweliutaweza)kuyashindamavamiziyaaduiyetumradiukiendeleakudumishaimaniyakonakuamininguvuzakeYesuKristo.Wakativitahivivinaendelea,nawakatitukiendeleakumpingaibilisihukutukisimamawimakatikaimaniyetu,kunausalamamkubwakatikaneemayakutuokoa,ambayoinapatikanandaniyakeYesuKristo.NeemahiyoyatoshakutufikishahukoMbinguniambakondikonyumbanikwetutukiwasalamasalimini.■
“Shetani amewataka ninyi
apate kuwapepeta kama vile
ngano; lakini nimekuombea
wewe ili imani yako isipungue.”
(Inaendelea kutoka Ukurasa 1)
3Toleo28|www.thegospeltruth.org
TahaririBasi, limesalia pumziko la sabato kwa watu wa Mungu. Kwa maana yeye aliyeingia katika pumziko lake amepumzika mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyopumzika katika kazi zake. Basi, na tufanye bidii kuingia katika pumziko lile, ili kwamba mtu yeyote asije akaanguka kwa mfano uo huo wa kuasi.—Waebrania4:9-11
Somoletukatikarobohiiyamwakalinashughulikiaswalalakithiolojialausalamawamilele,swalaambalolinasemakwamba“ukiokoka,umeokokamilele.”Mafundishohayakuhusuusalamawamilele
nimojayakanunizakimsingizamafundishoyaUkalvini(Calvinism).NayomafundishoambayoyalikuwakinyumenahayoyaUkalvininiyaleyaUaminiani(Arminianism).KambihizimbilitofautizakithiolojiazimegawanyikakuhusiananamaswalayautawalawaMungu,upotevuwamwanadamu,uchaguziwaMungu,utakasowaKristo,neema,uwezowamwanadamuwakufanyauchaguzi,napiaswalalakuwanauvumilivumaishani.Maswalahayayoteyameshikamana,kwamaanautapatamojayaswalahizolinaguziayalemengine.Lakinikwasababugazetihilinindogomimisitawezakushughulikiamaanatofautitofautiambazozimetolewakatikamaandikoambayoyanashughulikiamaswalahaya,badalayakenimelazimikakushughulikiamaandikohayokwanjiayamojakwamojakwanjiayakimuhstasari.HataingawamimininaaminikwambamafundishoyaUaminianindiyoambayoniyakwelizaidikulikoUkalvini,mwongozomkubwanaunaofaazaidiniuleunalingananaMaandikoyenyewe,nahatunahajayakuongozwanamafundishofulaniyakithiolojiaambayoyametokananaushawishiwaainamojaaunyingine.Kusemakwelikunaukwelimdogomdogoambaounawezakupatikanakatikamafundishohayoyotemawilinamwanathiolojiaanayejaribukutafutatofauti(zote)zilizokokatikaitikadihizizotembilizaUkalvininaUaminianianawezakupotezanjia.
Fundisholinalosemakwamba“Ukiokoka,umeokokamilele”nidhanaambayokwakwelihaitokaninaMungu,napianiambayoinawezakufanyawatukujihisiusalamaambaosiowakweli.Hilinifundishoambalolinafunguamlangowawatukukubalidhambimaishanimwaohukuwakitumianeemakamamwavuliwakujifunika.HataingawamafundishohayahayalinganinaBibliakunayomaandikomengiyakimsingiambayoyanatumiwanaWanakalviniambayoniyamsaadamkubwawakumsaidiamtukuelewampangowaMunguwawokovukwanjiainayofaa.MunguamewaitawatotowakekuingiakatikamaishayautakatifuhukuwakijitenganadhambizakitabiaambazohumtenganishamwanadamunaMungu.KungalikunanafasikubwayamtukukuandaniyakeBwananakatikakutimizautakatifuwote.KamahatutakuwawaangalifuKanisalaMungulinawezakutiliamkazozaidiswalalamatendomemahivikwambawatuwataanzakujitambuanakujisikiasalamakutokananamatendoyaoyakibinafsikamaWakristo.Lakinihataingawamatendomemayanatokananawokovuwakweli,matendomemayenyewehayawezikumwokoamwanadamu,nakamwehayawezikudumishawokovuwetu.SisihuokolewakutokanananeemayaMungunakupitiakwautakasowadamuyakeYesu.KunausalamamkubwazaidiunaotokananamtukutambuakwambaMunguyukotayarikutusamehedhambizetunakuturudishakatikanjiayahakibadalayakututupanjeyake.Kwakwelimtukujihisikwambaanautakatifuwakibinafsinijamboambalohuwanimatokeoyamtuhuyokutiliamkazomatendomemakamachanzochautakatifuwake.
WokovunikaziyaMunguambayohutuwekahurukutokanananguvuzadhambi.WaalimuwausalamawamilelemaranyingihutiliamkazoukwelikwambawaleambaohawaaminiusalamawamilelehuwawanawekaudhaifunguvuzadamuyaYesunaneemayakeMungu.Lakinimimininaaminikwambakunaukwelimkuuzaidiambaomtuanawezakupatakwakutumiamaandikohayohayo.Je,siitakuwanikupatiadamuyaYesunaneemayakeMunguuwezozaidiikiwatutaaminikwambakupitiakwakesisihatutarudidhambini?KaziyetunikudumishaimanikwanguvuzakeMunguambazozinawezakutudumisha,napiakutiinenolakekupitiakwaneemayake,ambayondiyoinatuwezeshakutimizahayoyote.
NenolaMungulimesemawaziwazikwambawatuwanawezakutelezanakutokakatikaimaninakupotezauzimawamileleikiwawaohawatadumishaushirikawaonaMungu.Ndiposabasitunasemakwambamafundishokuhusuusalamawamilelesioyakweli;lakinihatahivyosisihatutakikufundishafundisholinginelauwongolakusemakwambakamwehatunausalamawamilele.UrembowawokovuuliowakwelinikwambakunapumzikoambalonilawatuwaMunguwakati(wao)wameachananakazizaozakibinafsi.MimininamshukuruMungukwambaninausalamawamilelekatikaupendonaneemayakeMungu.Basiwewehebufanyahudumayakohukuukiendeleakuwamwaminifu,nauchagueusalamaambaonimkuuzaidiyamambomengineyoteulimwengunihuu.
MichaelW.SmithAprili2019
kupotezauzimawamileleikiwawaohawatadumishaushirikawaonaMungu.Ndiposabasitunasemakwambamafundishokuhusuusalamawamilelesioyakweli;lakinihatahivyosisihatutakikufundishafundisholinginelauwongolakusemakwambakamwehatunausalamawamilele.UrembowawokovuuliowakwelinikwambakunapumzikoambalonilawatuwaMunguwakati(wao)wameachananakazizaozakibinafsi.MimininamshukuruMungukwambaninausalamawamilelekatikaupendonaneemayakeMungu.Basiwewehebufanyahudumayakohukuukiendeleakuwamwaminifu,nauchagueusalamaambaonimkuuzaidiyamambomengineyoteulimwengunihuu.
Tutembelee
www.thegospeltruth.org
ili kujiandikisha na
kupata jarida
za mbele.
4 Ukweli wa Injili | Toleo 28
I. Wokovu Unatokana na Neema Kupitia kwa ImaniA. Waefeso2:8-9Mmeokolewakwaneema
(Warumi5:1).B. Warumi7:25Munguhuokoakabisa.C. 2Wakorintho5:17ViumbevipyakatikaKristo.
II. Uzima wa Milele ni Kipawa cha MunguA. Yohana5:24Aaminiyeanaouzimawamilele(1
Yohana5:11-13).B. Yohana6:37-40AjayekwaYesukamwe
hatatupwanje.C. Warumi6:20-23MshaharawadhambinakaramayaMungu.
III. Usalama Ndani ya MunguA. Yohana10:27-29KondoowaKristokamwe
hawatapotea.B. Warumi8:35-39Hakunakitakachotutenganisha
naupendowaMungu.
IV. Mungu ni Mwaminifu KudumishaA. Yuda1:24Yeyeawezakutulindailitusijikwae(1
Petro1:5).B. 2Wakorintho1:22Munguhutiawatuwake
muhuri(Waefeso4:30).C. 1Wakorintho1:8-9Kuthibitishwahadimwisho.D. Wafilipi1:6Munguatakamilishakaziyake.
V. Maisha ya Kiroho Yakitolewa MfanoYohana15:1-11Mkristoanahitajikudumu,ndaniyakeKristo,ambayendiyeMzabibuwaKweli.
VI. Utakatifu Ni LazimaA. 1Wakorintho6:9-11Waovuhawataridhiufalme
waMungu.B. Waebrania12:14-15Fuateniutakatifundiposa
msiingieunajisi.
C. 1Yohana1:6KusemakwambatunaoushirikanaMunguhukutukiwatungaligizanibasitwasemauwongo.
VII. Ushahidi Unaoonyesha kwamba Mtu Anaweza Kupoteza Wokovu WakeA. Mathayo13:3-9Mfanowampanzi.B. 1Timotheo4:1Wenginewatajitenganaimani
(Matendo20:28-30).C. Wagalatia5:1,4Kuangukakutokakwaneema.D. 1Timotheo6:9-11Kufarakananaimani.E. Waebrania13:12-14KutokuaminihumfanyamtukujitenganaMungu.
F. 1Yohana1:8-9Msipotezekileambachotayarimshatenda.
G. Ufuno3:3-6Mavazimachafu.H. 2Petro2:20-22KunaswanaKushindwa.I. 1Wakorintho3:16-17Munguataangamizahekaluambalolimeharibika.Tazama pia:1Wakorintho9:27;2Petro3:17;Warumi11:21-23;2Timotheo2:17-19.
VIII. Wito wa Kuwa WaaminifuA. Wakolosai1:21-23Msigeuzwenakuachaimani.B. 1Wakorintho15:58Mwimarikenamsitikisike.C. Waebrania4:14Tuyashikesanamaungamoyetu(Waebrania3:14).
D. 1Timotheo6:12Shikauzimawamilele.
Tamati
Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima. —Ufunuo2:10b
Mwongozo wa Kujifunza BibliaSomo: Usalama wa MileleSomo la Biblia: Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani; Naye akisita-sita, roho yangu haina furaha naye. Lakini sisi hatumo miongoni mwao wasitao na kupotea, bali tumo miongoni mwa hao walio na imani ya kutuokoa roho zetu.—Waebrania10:38-39
Maana: Usalamawamilele,ambaokwajinalinginekwenyethiolojiayaKalviniunajulikanakama“kudumishwakwawatakatifu,”—amakwamanenoyanayojulikanasanaunajulikanakama:“ukiokoka, umeokoka milele,”nijamboambalolimetafsiriwakwanjiatofautitofauti.Lakinikwaundaniwakemafundishohayayanasemakwambakamakwakwelimtuamehuishwanakuzaliwamarayapilibasihakunajambololoteambalolinawezakubadilishawokovuhuo.BasiitikadihiiinasemakwambakamamtuamempokeaKristonakuokoka,basiKristoatadumishamtuhuyokatikawokovuwakenakamwewokovuhuohauwezikumponyokanahawezikamwekuupoteza.
Muhstasari:WokovuwamwanadamuunatokanananeemayakeMungu(pekeyake)nakamwehautokaninamatendoyamtu.MunguatakuwamwaminifukumdumishaMkristokatikaneemayakeambayohumwezeshakuishimaishamatakatifu.Wokovuniuhusianowaimaniambaoumetokananaagano;basiikiwamtuataamuakutokakwenyeimanihiyonaakaachakujitoakwaMungubasiuhusianohuoutakuwaumekatikanawokovuhumponyokamtuhuyo.Basihataingawausalamawamileleau“ukiokoka,umeokokamilele”nithiolojiayaupuzi,muuminianawezakupumzikakatikaneemayakeMungunakuwanausalamawamileleikiwayeyeataendeleakumfuataKristokwanjiayaimani.
5Toleo28|www.thegospeltruth.org
ametumianguzozaNenolaMungukujengamjengousiofaa.
Wokovu ni kwa Neema, Sio kwa Kazi za Mtu“Kwamaanammeokolewakwaneema,kwanjiayaimani;ambayohiyohaikutokanananafsizenu,nikipawachaMungu;walasikwamatendo,mtuawayeyoteasijeakajisifu”(Waefeso2:8-9).WokovuhautokaninamatendoyamtubalinikaziyaMungupekeyake,napianikipawachaneemayakeMungu,wakatimtuamewekaimaninatumainilakekatikaBwanaYesuKristo.WokovuwaYesunikamilinaYeyehuokoakabisa(Waebrania7:25).Kunapumzikokubwaambalomtuhupatakwakutambuakwambawokovuhaupatikanikutokana na wema wa kibinafsi bali unatokana na neemakubwayarehemazaMungu.Mafundishoambayohutumiwasanakufundishakuhusuusalamawamilelehuwahayafaikufanyahivyo;lakinihataingawamatendomemahuwanitundalaimaniyakweli,wokovuunapatikanakutokanananeema,nasiokutokananamtukustahili.InambidiMkristokuendeleakujitoleakwautakasowaKristoambaondiopekeeunafaa.WauminiwanawezakuwanauhakikakwambaneemayaMunguambayondiyoinaturudishiauhusianoambaombeleniulikuwaumevunjikainatoshakutudumishakatikauhusianohuo.
Matokeo ya Uwezo wa Kufanya UchaguziYohana6:37-40inasemakwambayeyoteyuleambayoanakujakwaYesuhatatupwanjenawaaminiowatakuwanauzimawamilele.AndikohilihalisemakwambamtuhawezikupotezaimaniyakebalilinanenakuhusukaramayauzimawamileleambayoinatolewakwawaleambaowanamwaminiBwanaYesu.BaadayekatikasurahiyotunasomakwambawengiwawanafunziwaKristowalirudinyumawasitembeenayetena.WanadamudaimahuwanauwezowakuamuakumtorokaMungu,nakwatendohilokuachawokovuwao.NayoYohana10:27-29inanakiliYesuakiwapakondoowakeuzimawamilelenakwamba“hawatapoteakamwe;walahakunamtuatakayewapokonyakatikamkonowangu.”Hakunamwanadamuaunguvuzozotezile zenye uwezo wa kututoa kutoka mkononi mwake balisisiwenyewendiotunawezakuibakipawachawokovuambaoMunguametukabidhi;kwamaana
Mpango wa WokovuMaswalikuhusuusalamawamilelenimenginamajibuyamaswalihayoyanaguziamaswalamenginemengiyakithiolojia.Hataingawakunamgawanyikomkubwakatiyawanathiolojianahataingawakunamaandikoambayo yanatumiwa kuunga mkono mielekeo ambayo nitofautikabisa,maandikoyenyewekwaujumlahayafundishiitikadiambazonitofauti.KwawingiBibliainatuhadithiampangomzuriwauhusianokatiyaMunguna mwanadamu ambao unatokana na angano na pia hutokananaimani.KwakwelimsimamowakeMunguniuleambaounalingananaNenolake,naYeyeatakuwanimwaminifukwawatotowake.Lakiniiliuhusiano
huouwemkamilifuinabidiwatoto wake waendelee katika uchaguziwaowakumfuataKristobilakuhesabugharamayake.Muuminianayeokokahuendeleakuwa na uwezo wa kufanya uamuzi wa kutoka kwenye imani yakenakurudikatikamaishayadhambi.Lakinikwakufanyauamuzihuowakibinafsimuuminihuwaameachananawokovunakupotezafaidazawokovuhuo.
Mafundisho ya Uongo Yanatoa Idhini kwa Mtu Kuendelea Kutenda DhambiWakatimwingimafundishokuhusuusalamawamileleyanajulikanakama:“ukiokoka,umeokokamilele.”Lakinimafundishohaya
hufunguamlangowawatukuendeleakutendadhambihukuwakijidaikwambawameokoka,napiayanawatumbukizawatukatikamchanganyikowakithiolojiawakudaikwambakamamtuatarudidhambinibasihakuwaameokokatangumwanzo.LakinimisimamoyotehiimiwilihailinganinaNenolaMungu.Hataingawamafundishoyausalamawamilelesiyakweli,kunakwelimuhimuambazozinapatikanakatikamafundishohayo.Basitunahitajikuwawaangalifuilitusimwagenjekwelimuhimu,etikwasababumtufulani
“Waumini
wanaweza kuwa
na uhakika
kwamba neema
ya Mungu
ambayo ndiyo
inaturudishia
uhusiano ambao
mbeleni ulikuwa
umevunjika
inatosha
kutudumisha
katika uhusiano
huo.”
UONGO ULIOKO KATIKA MAFUNDISHO YA
Kuna mgawanyiko mkubwa ulioko kati ya Wakristo kuhusu mafundisho ya usalama wa milele. Je, inawezekana mtu akishampokea Kristo akapoteza tena wokovu wake ama wokovu ni jambo la hakika hata kama mtu huyo atarudi dhambini?
USALAMA WA MILELE
(Endelea katika Ukurasa 2)
6 Ukweli wa Injili | Toleo 28
“Kama muumini
ataacha kudumu
ndani yake Kristo
uhusiano huo
hukatika na matokeo
yake ni maangamizi
ya milele badala ya
uzima wa milele.”
kondooambaoalinenakuwahusuniwaleambaohusikiasautiyakenakumfuata(ayaya27).Lakiniikiwakondoohaowatakomakumfuatakwahiariyaowenyewe,basikwauamuzi wao watakuwa wameondoka kutoka kwa usalama wamikonoyakeBaba.
Kunapumzikokubwalinalotokananaufahamukwambahakunachochotekileambachochawezakututenganisha
naupendowakeMungu(Yohana8:35-39).Uchaguziwetundio jambo la pekee ambalo huvunjauhusianowaimaninaupendowakatiRohowaMunguamerudishauhusianohuomahalipake.Matokeoyauchaguzihuokwakilammojawetuni:“Kwamaanamshaharawadhambinimauti;balikaramayaMunguniuzimawamilelekatikaKristoYesuBwanawetu”(Warumi6:23).
Mungu Anaweza Kutudumisha Ili TusiangukeMaandikomengihunenakuhusuuaminifuwaMungunauwezowakewa“kutulindailitusijikwae.”Munguhuwekawatuwakemuhuri(2Wakorintho1:22)nakuwadumishanahatakuwapausalamadhidiyauovuwaulimwengu,mradituwaowanadumishaimaniyaokwanjiayakumfuataKristo.Yesualitoamfanowauhusianohuokwanjiaya mfano wa mzabibu na matawi yake,mfanoambaohupatikanakatikaYohana15:1-11.Ikiwatawihalizaimatundamemabasi
tawihilohukatwanakutupwanje.Sisitumepewaamrikwamba“tudumu”katikaKristo.KamahatutadumundaniyakeKristobasitutatupwanjenakuchomwa.MatundayoteyawokovunautakatifuwotehutokananamtukudumundaniyakeKristo,kwamaanabilayeyehatuwezikufanyajambololote.KamamuuminiataachakudumundaniyakeKristouhusianohuohukatikanamatokeoyakenimaangamiziyamilelebadalayauzimawamilele.
BibliainasemadhahirikwambawaovuhawataridhiufalmewaMungu(1Wakorintho6:9-11).KamamtuamekiriimaniyakekwaKristonakuokokanabaadayeakarudikwenyematendoyakimwilibasiyeyehuwaamepoteakiroho.Waebrania12:14nayoinafundishakwambahatutawezakumwonaMungubilakuwawatakatifu.UtakatifuwakwelihutokakwaYesulakiniikiwatutamwachaYesubasihatutakuwawatakatifu,naikiwahatutakuwawatakatifuhatutawezakumwonaBaba.Mstariwa15unasema,“MkiangaliasanamtuasiipungukieneemayaMungu;shinalauchungulisijelikachipukanakuwasumbua,nawatuwengiwakatiwaunajisikwahilo.”BasinidhahirikwambaMkristoanahitajikuendelea
kukubalikaziyaneemayaMungumaishanimwake,asipofanyahivyobasimatokeoyakeyatakuwakukosanjianayeyekuingiaunajisi.Kusemakweliukwelihuoukokinyumenamafundishoyausalamawamilele.
Onyo Dhidi ya Kurudi NyumbaKunamaandikomengikatikaAganoJipyaambayoyanatuonyadhidiyakuachanjiayautakatifunaambayopiayanatoaushahidikwambainawezekanamtukupotezawokovuwakenaimaniyake.MfanowampanziambaounapatikanakaitkaMathayo13:3-9,unadhihirishaukwellikwamba watu wanaweza kuokoka kwa muda lakini majaribuyajapombeguiliyondaniyaoinafifiakwamaanahawakuruhusunenolaMungukupatamizizindaniyao.1Timotheo4:1inatukanyakwambakunawengineambao“watajitenganaimani,”napiaWagalatia5:1inatukanyakwambatunahitajikutahadharikwamaanakunahatariyakunaswa“tenachiniyakongwalautumwa.”Wayahudiambaowalirudikutumikiasheriabaadayakupokeawokovuwalikuwa“tayariwameangukakutokakwaneema”(mstariwa4).
1Timotheo6:9-11inasemakuhusuwaleambao“wamefarakananaimani.”NakatikaWaebrania3:12-14watakatifuwanakanywakuwamachoiliwasiondokekutokakwaMungukutokananamoyomwovuwakutokuwanaimani.IkiwamuuminiambayenihekalulaRohoMtakatifuatanajisihekaluhiloambalowakatimmojalilikuwasafibasiMunguataangamizahekaluhilo(1Wakorintho3:16-17).MungualipatiamakusanyikoyaKitabuchaUfunuomwekewakutubukwamaanawengiwaowalikuwawameangukanamavaziyaokuingianajisi.Nayo2Petro2:20-22inasemawaziwazikuhusuwaleambao walikuwa wameokoka lakini wakanaswa tena na inaonyeshajinsimwishowaowamileleutakuwambayazaidikwamaanawamegeukanakuachaukweli.
Msitolewe Kutoka kwa ImaniKunaushahidimwingiwamaandikoambaounaonyeshakwambahatabaadayawatukuokokakungalikunauwezowawaokuachaileimaniyaoyakwanzakatikaKristonakuondokakutokakwenyeujuziwaowawokovu.Ndiposamaranyingimitumewaliwahimizawatakatifunakuwaambia“Msigeuzwenakuachaimani”(Wakolosai1:21-23),“Mwimarikenamsitikisike”(1Wakorintho15:58),napiakwambawashike“uzimawamilele”(1Timotheo6:12).
MafundishokuhusuusalamawamileleyakokinyumenaukweliwaNenolaMungu.NguvuzaMunguzinatoshakutudumishailitusitendedhambinainatuwezeshakuishimaishamatakatifukwaneemayake.BasitunahitajikuwamachohukutukitegemeawemawadamuyakeKristobadalayakutegemawemawetuwakibinafsi,nakumtumikiaMungukwautakatifu.Yeyeanawezakutudumishakutokananauovuwotewakatitukiruhusuutakatifuwakekufanyakazikatikakilasehemuyamaishayetu.■
(Inaendelea kutoka Ukurasa 5)
7Toleo28|www.thegospeltruth.org
watu ambao wakati mmoja walipata ujuzi wa nguvu zaMunguambazozililetaneemayawokovumaishanimwao.Lakinimtuakisomamaandikohayokwaundanizaidiatapataukwelitofauti.Tambuakwambasababuiliyotolewakwaajiliyakusemakwamba“haiwezekanikuwafanyawapyawakatubu”nikwasababuhatasasawaowanamsulubishaYesutena.Je,itawezekanajewatu kuokoka ikiwa wanaendelea kukana nguvu za damu yake Yesu?Ikiwamtuamekana nguvu zaYesuambazohumtoadhambinibasihaiwezekaniyeye kufanywa upyampakahapoatakapofanyatoba.KamamtuataachakumsulubishaKristomaranyinginemaishanimwakena kukubali nguvu za damu yake basi kuna nafasi ya yeyekurudishiwauhusianowakenaBwana,naasiwetenawakuletaaibukwaKristo.Lakinimaandikohapahayanenikuhusuwaliorudinyuma,baliyanazungumziawatuambaowamekananakukataakabisadhabihuyakeKristoambayohuletautakaso.
VilevileWaebrania10:26inasemakwamba:“Maana,kamatukifanyadhambikusudibaadayakuupokeaujuziwailekweli,haibakitenadhabihukwaajiliyadhambi.”Andikohililikisimamapekeyakenikamalinaonyeshakwambahakunadhabihuyadhambikwayulemtuanayerudinyuma,lakinimaandikoyanayofuataandikohiloyanadhihirishamaanayamstariwa26:“Balikunakuitazamiahukumuyenyekutisha,naukaliwamotouliotayarikuwalawaowapingao.MtualiyeidharausheriayaMusahufapasipohuruma,kwanenolamashahidiwawiliauwatatu.Mwaonaje?HaikumpasaadhabuiliyokubwazaidimtuyulealiyemkanyagaMwanawaMungu,nakuihesabudamuyaaganoaliyotakaswakwayokuwanikituovyo,nakumfanyiajeuriRohowaneema?”(Waebrania10:27-29).Maandikohayoyanawekawazizaidisomoambalolinapatikanahapa.
HamnadhabihuyadhambiisipokuwadamuyakeYesu.Kamadhabihuhiyoitachukuliwakuwasiotakatifunaambayohaiwezikuletawokovubasihamnautakasomwingineaudhabihunyingineyadhambiambayoinawezapatikana.Kutakuwanaadhabukalikwawaleambaowalio-okokahalafuwakakataadamuyaagano.Basimaandikoyaliyopohapahayafundishikwambamwenyekurudinyumahawezikurudishwawokovuni,lakiniyanafundishakwambawokovuhauwezipatikanaikiwamwenyekurudinyumaataendeleakuikataadamuyakeYesukamanjiayawokovu.“Walahakunawokovukatikamwingineawayeyote,kwamaanahapanajinajinginechiniyambinguwalilopewawanadamulitupasalosisikuokolewakwalo”(Matendo4:12).Wakatimtualiyeikataainjilinakurudinyumaatakapobadilishamoyonakaulilakenakuikubalidhabihuyadamu,Munguatamwokoakwarehemananeemazake.■
Je, kulingana na Waebrania 6:4-6 na Waebrania 10:26-29 ni jambo lisilowezekana mtu ambaye alikuwa ameokoka hapo mbeleni halafu akaacha imani yake na kurudi dhambini kurudishwa wokovuni? LAhasha!Kwakwelisijamboambalohaliwezekanikwamuuminiambayeamerudinyumakurudiatenawokovuwake.JambolakimsingikatikainjiliniujumbewaupendomkuuwaMungukwamwanadamunatumainilakurudishiwauhusianokatiyaMungunamwanadamukupitiakwadamuyakeKristo.PetrowaPili3:9inatwambiakwambaMungu“hapendimtuyeyoteapotee,baliwotewafikilietoba.”Bwanahapendeleikwambamtuyeyotekupotezanafsiyake(milele);ndiposaYeyehufanyajuuchinikuhakikishajambohilokupitiakwanguvuzaRohoMtakatifuambazondizohumhakikishiamtudhambinakuvutawatuwotekujakwake.WitoambaoumetolewakatikaUfunuo22:17nikwamba,“Nayemwenyekiunaaje;nayeyeatakaye,naayatwaemajiyauzimabure,”namwitohuoumetolewahadikwaMkristoambayeamerudinyuma.MaranyingiAganolaKalelimedhihirishasifazakeMunguzakutoamsamahanakuonyeshajinsiYeyealivyokuwatayarikurudishataifalaIsraeliambalolilikuwalimeangukanakulirudishakatikauhusianoboranaye.HataingawakunaneemayamtukuishikamaMkristo(mshindi)maishani,iwapomtuatapotezawokovuwakekutokananadhambiyeyehatakuwaamepotezatumainikabisamradiawetayarikutubunakumtiiBwanaYesu.KusemakwelimwalikowakurudishiwauhusianonaMunguumetolewakwawatuwote.
HebutuchambuemaanayaWaebrania6:4-6na10:26-29kulingananaukweliambaoumetajwahapojuu.MaandikohayamawiliyaWaebraniayanafananakwamaananatafsiri.Waebrania6:4-6inasema:“Kwamaanahaowaliokwishakupewanuru,nakukionjakipawachambinguni,nakufanywawashirikawaRohoMtakatifu,nakulionjanenozurilaMungu,nanguvuzazamanizijazo,wakaangukabaadayahayo,haiwezekanikuwafanyaupyatenahatawakatubu;kwakuwawamsulibishaMwanawaMungumarayapilikwanafsizao,nakumfedhehikwadhahiri.”Kijuujuumaandikohayoyanawezakuonekanakamakwambayanasemawokovuhauwezekanitenakwa
8 Ukweli wa Injili | Toleo28
MKE WA MCHUNGAJI
Asilimia77%yaWamarekaniwotewanaaminikwambamtuhupatawokovuwakibinafsikutokananamatendomema.Asilimia52%wanasemakwambamatendomemahumsaidiamtukuhifadhimahalipakembinguni.Asilimia60%wanaaminikwambakifochaYesuKristomsalabaninidhabihuyapekeeambayoyawezakuondoaadhabuyadhambi.Habarihiiimenakiliwakutokakwautafitiunaojulikanakama:The State of American Theology, LifeWay Research, 2016.”
Asilimia65%ya“Wakristo”wotewanaaminikwambakunanjiatofautitofautizamtukufikaMbinguni.Habarihiiimenakiliwakutokakwautafitiujulikanaokama:The State of American Theology, LifeWay Research, 2016.
Tazama, mjakazi wako ni mtumwa wa kuwaosha miguu watumishi wa bwana wangu. —1Samueli25:41b
MajibuhayoyaAbigaeliwakatialipozwanaDaudikwaajiliyandoayanaonyeshajinsiAbigaelialikuwatayarikufanyahudumayakiwangochahaliyachini,hatakuwatayarikufanyautumishiwakuoshawatumiguu.KunawakewengiwawachungajiambaokilasikuhuishikulingananamanenohayoyaAbigaeli.Waohufanyakazibilamaliponahatabilakufanyamakeleleyakutakakutambuliwa,hukuwakitumikiawatuambaowamewazunguka.Maishayamkewamchungajiyanachangamotozaainaspeshelisananandiposayeyeanahitajikupewaheshimanakutukuzwakutokananamaishayakeyahudumanayakujitoleahapokanisani.WakewawachungajihuwanawajibumuhimukatikamwiliwaKristonawaowanastahilikupewaheshimakuu.
Mke(wakawaida)wamchungaji“anatarajiwa”kuwaamepangakilakitukanisanikikawalaini,aonekanewakupendeza,akaepalembelewakatiwaibada,awemchangamfunamwenyetabasamuusoni,awemkekamili,awenawatotoambaokamwehawatakuwanatabiambayanaambaoniWakristowakuigwa,awetayarikubadilishamipangoyakebilakunungunikakwamanufaayakanisa,naawenaushuhudaambaohauonyeshikwambaanachangamotoyakuishikamaMkristo,nahatakukosakudhihilishauwanadamumwingimaishanimwake.Jameni!Matarajiohayayotenichangamotolenyekuletamasumbufumengikatikamaishayamkewamchungaji,ambayetayarikaziyakekilawakatihuwaninyinginajuuyahayoyeyenimamamzazi.
Wakezawachungajiniwanadamunawanamahitajikamakilamtumwinginekanisani.Waohujihisikuwanaupwekenapiakujihisikwambahawananguvuzakufanyahudumawanayotarajiwakufanya.Waopiahujihisikwambawanatazamwanakilamtunakwambahatahawanamaishayakibinafsi.Kilawakatiwaohuwanamsukumowakutimizamatarajiomakuuyawashirikawakanisa.
Mkewamchungajiambayenimwaminifukwawitowakenimfanyikazimwenyebidiinaambayemajukumuyakenizaidiyakuwamkenamamawawatotowamchungaji.Yeyehuwapikiawagonjwa,anawafundishawatoto,anawaalikawageninyumbanimwake,anaandaamankuliyaJumapilijionikwaajiliyawageni,huwapawosianakuwaombeawaleambaowanamahitaji,hujibusimuzawalewanaompigia,napiakujibuwenyekumtumiaujumbemfupi,husafishanakurembeshakanisa,naanawakilishamumewekatikamajukumumbalimbali,nakadhalika.
Mojayakazingumusananayenyechangamotosanaambayomkewamchungajihufanyaniileyakuwarafiki,msiri,mwenyejukumulakusikilizamipangoambayomchungajiyukonayo.Yeyehusikilizamasumbufumakalinachangamotozinazomkabilimumewemchungaji.Yeyehuonawaziwazimaumivuambayowatuhumsababishiamchungaji.Yeyehutazamajinsiambavyomchungajihujikazakisabunikatikahudumulakinianachopatakutokakwawashirikanilawamatupu.YeyebasihufanyajuuchiniilikupatamsamahawaKristoiliawezekuendeleakupendanakuwatumikiawaleambaowanamdhurumumewekwamanenoyao.
Asilia80%yawakewawachungajihusemakwambawaohujionakwambawashirikawakanisahawathaminikaziyao.Basisasamimimwenyewenasemakwawakezotewawachungaji:asantenisanakwayoteambayomnafanya.Sisihatuwatarajiinyinyikuwawakamilifunatunatambuauwanadamuwenukamatunavyotambuauwanadamuwetuwenyewe.Asantenikwakuendeleakutumika.Asantenikwakutupendanakutuombeahatawakatiambapomatendoyetukwenusioyaupendo.Asantenisanakwakusimamanamumewakoambayenimchungajiwetu.Asantekwaajiliyaupendowenuwakiungunahatahudumayenu.Sisitunawapendanakufurahiakaziyenu!■
Neno Linalofaa kwaMsimu Huu
top related