6.injili ni uweza wa mungu uletao wokovu kwa kila … · 2018. 8. 29. · 6.injili ni uweza wa...

8
6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (1) Rum 1:16-17 16 Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia. 17 Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake, toka imani hata imani; kama ilivyoandikwa, Mwenye haki ataishi kwa imani. Injili ni habari njema Ni uweza wa mungu uuletao wokovu, Wokovu ni ukombozi, kuwekwa huru, kulindwa na maovu, uponyaji, na roho iliyo sawa. Ndani ya wokovu unayapata hayo yote, wokovu inahusu kila eneo la mwanadamu, Mungu anakujali mzimz mzima.

Upload: others

Post on 11-Sep-2020

61 views

Category:

Documents


5 download

TRANSCRIPT

Page 1: 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA … · 2018. 8. 29. · 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (2) • AHADI ZA MUNGU INAKUPATIA URITHI INAYOFANYA

6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (1)

• Rum 1:16-1716 Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia. 17Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake, toka imani hata imani; kama ilivyoandikwa, Mwenye haki ataishi kwa imani.

• Injili ni habari njema

• Ni uweza wa mungu uuletao wokovu, Wokovu ni ukombozi, kuwekwa huru, kulindwa na maovu, uponyaji, na roho iliyo sawa.

• Ndani ya wokovu unayapata hayo yote, wokovu inahusu kila eneo la mwanadamu, Mungu anakujali mzimz mzima.

Page 2: 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA … · 2018. 8. 29. · 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (2) • AHADI ZA MUNGU INAKUPATIA URITHI INAYOFANYA

6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (2)

• AHADI ZA MUNGU INAKUPATIA URITHI INAYOFANYA NGUVU ZA MUNGU ZIFANYE KAZI KATIKA MAISHA YETU. • 2Petr 1:3-4

• Urithi huo tunaumiliki tunapoelewa maana ya neno la Mungu.

• Tunapopokea na kuishi ndani ya ahadi za Mungu nguvu za ahadi zinaanza kufanya kazi ndani yetu.

• Inatupatia nguvu ya kushinda ulimwengu.

• Hakuna sababu inayoweza kufanya wokovu ushindwe, maana wokovu ni nguvu ya Mungu kwa ukombozi wetu.

• Kwa kupitia dhabihu Yesu alimnyanganya shetani silaha zake, na kupitia neno, na kuamini neno la Mungu ushindi huo unakua hai ndani ya maisha yetu

• Kupitia ushindi huo Yesu akawa Bwana na jina lake limewekwa juu ya kila jini iliopo, na jina hilo kanisa limepewa haki ya kuitimia.

• 1Yoh 3:8 Yesu alikuja na akavunja na kuharibu kazi ya shetani, utawala wake ukavunjwa na umevunjika.

• Badala ya matendo ya shetani inayo uwa Yesu akaja na uhia uhai usiyo koma. Yoh 10:10

Page 3: 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA … · 2018. 8. 29. · 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (2) • AHADI ZA MUNGU INAKUPATIA URITHI INAYOFANYA

6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (3)

• INJILI NI NGUVU YA UKOMBOZI KATIK AKILA ENEO LA MAISHA • Yesu alijitoa kusudi tupate kitu kingine badala ya mauti, maisha na maisha

isiyo na kikomo

• Ni kweli kwamba kuzaliwa upya (kwa mara ya pili) ni zawadi iliyo kuu, lakini kuna sababu ya kugawa wokovu katika vipande?

• Is 53:1111 Ataona mazao ya taabu ya nafsi yake, na kuridhika.

• Kadiri tunavyokubaliana na upana na ukuu wa wokovu wetu, ndivyo pia sifa inavyo zidi kwa aliyetukomboa yaani Yesu mwana wa Mungu.

• Matunda, mazao, ni jinsi sisi tunavyokubaliana na neno la Mungu na kuishi kufuatana nalo. Mungu anapoona kwamba tunaliamnini neno lake na kuishi kufuatana na jinsi tunavyoamini anafurahi, anaridhika. Anaona matunda ya mateso yake, utawala wa Mungu unaonekana duniani.

Page 4: 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA … · 2018. 8. 29. · 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (2) • AHADI ZA MUNGU INAKUPATIA URITHI INAYOFANYA

6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (4)

• ZAWADI ZA MUNGU ZIMEKUSUDIWA ZITUMIKE. • Fikira mzazi ambaye anamnunulia mtoto wake keyboard, amefanya kazi na

amewka akiba hadi ameiweza.

• Mtoto wake anasema asante, lakini anaamua kuto kuitumia, na isitoshe anasema modeli yake siyo nzuri sana. Mtoto hoyo anaendela kupiga chupa katika kwaya…

• Bila shaka mzazi huo ataumia

• Hali kadhalika na Mungu anaumia wakati tunapoamua kutokutumia zawadi anayotupatia.

• Lakini hatuwezi kupokea kitu ambacho hatujui kwamba tumepewa. Tunahitaji kujifunza zaidi juu ya zawadi za Mungu. Hapo tutaelewa kwamba wokovu inahusu kila eneo la maisha.

• Kama hujaelewa thamani ya wokovu wako huwezi kuufaidi kikamilifu, Neno halijapandwa na uvunaji haupo

• 1Yoh 5:4 4Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu.

• Wakati imani inapopokea nguvu ya Neno uweso wa kushinda ulimwengu unazaliwa.

• Efe 6:16 Imai inakuwa ngao inayozima mishale ya yule mwovu.

Page 5: 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA … · 2018. 8. 29. · 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (2) • AHADI ZA MUNGU INAKUPATIA URITHI INAYOFANYA

6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (5)

• WAKATI WA INJILI NI SASA! • Shetani anapenda tutilie mashaka wokovu wetu, na ya kwamba haihusu kila eneo

la maisha yetu. Akifaulu anapunguza faida ya wokovu kwetu. Maana hatutaweza kutgemea muujiza katika eneo ambalo hatuamini unahusishwa na wokovu.

• Lakini 2Petr 1:3 inasema;3 Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe.

• Na Efe 1:3 inasema! 3 Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo; Kila eneo linahusishwa na wokovu.

• .Shetani atadai kwamba muda wa jambo fulani imepita, au haijafika • Lakini leo ni siku ya wokovu 2Kor 6:2 2 Kwa maana asema, Wakati uliokubalika

nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia; tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama, siku ya wokovu ndiyo sasa.)

• Rum 1:16, 16 Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.

• Rum 10:11-12 11Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika. 12Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao;

Page 6: 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA … · 2018. 8. 29. · 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (2) • AHADI ZA MUNGU INAKUPATIA URITHI INAYOFANYA

6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (6)

• YESU ALIKUFA ILI SISII TUISHI • Kazi yake ilikuwa mbadala ya neema kwetu • Alibeba adhabu kusudi sisi tupone

• Alichukua nafasi yetu kusudi sisi tupewe nafasi yake 2Kor 5:21 • Alichukua hukumu yetu ili sisi tupate amani Is 53:5

• Alichukua magonjwa yetu ili sisi tupone Is 53:4-5 • Alikufa ili sisi tupate kuishi Yoh 10:18

• Alidharauilwa, aliachwa na kufanywa kuwa mpweke kusudi sisi tukubalike, tupendwe na tushirike uwana wa Mungu Is 53:3

• Akawa maskini kusudi sisi tuwe matajiri 2Kor 8:9

• Alifanywa lawama kusudi sisi tupewe baraka ya Ibrahimu Gal 3:13-14 • Aliachilia nafasi yake katika utakatifu kusudi sisi tupewe nafasi kukaa naye katika

utawala wa mbinguni. Fil 2:7, Efe 2:6

• Kol 1:13 13Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;

• Efe 1:3 3 Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;

Page 7: 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA … · 2018. 8. 29. · 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (2) • AHADI ZA MUNGU INAKUPATIA URITHI INAYOFANYA

6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (7)

MBINGUNI HAKUNA DHAMBI WALA MAGONJWA – USHINDI WA YESU INATAWALA PALE. • Injili inahusu kila eneo la maisha yetu, hiyo ndiyo injili. Yesu alibeba mabaya ote

sisi tupewe maisha ya kutosheleza.

• Wapo wanaosema ushindi kamili utapatikana mbingunu ila hapa hapana.

• Ngao ya imani haihitajiki mbinguni - lakini hapa unamshinda shetani

• Tuko duniani na - imani inaushind dunia

• Kuna wanaosema kwamba msamaha unapatikana hapa laini uponyaji mpaka mbinguni lakini katika Isa 53:4-5 tunasoma kwamba alibeba magonjwa yetu..

• Zab 103:3 inasema anakusamehe makosa yote na kukuponya magonjwa yote!

• Yesu alipotembea hapa duniani aliwasamehe watu dhambi zao na kuwaponya Mk 2:9-12

• Kama uponyaji ulikuwa wa muda mfupi (wakati wa Yesu) hapo hata msamaha ni wa wakati mfupi… Kama ni hivyo kazi ya Yesu msalabani ulikuw ahauna maana kabisa na Bibilia haielezi hivyo, inatangaza kwamba ushindi wake ulituletea uweza wa kusihi katika utawala wa Mungu na kumiliki ahadi za Mungu kupitia imani!

Page 8: 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA … · 2018. 8. 29. · 6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (2) • AHADI ZA MUNGU INAKUPATIA URITHI INAYOFANYA

6.INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA KILA AAMINIYE (8)

• UNYENYEKEVU NI KUKUBALI AHADI ZA MUNGU KAMA UKWELI.

• Unyenyekevu ni kukubali kazi aliyotufnayia Mungu.

• Kukataa na kutafuta sababu za kutokuamini ni kiburi

• Tunapokubali, tunamuinua Mungu, tunaacha kuzingatia jinsi tulivyo na tunampa yeye sifa Yoh 3:16 , Kol 1:13

• Tunamwamini Mungu kwa ajili ya ahadi zake, ahadi zake zote!

• Kuna hatari moja inayoweza kutokea, na ni kujiona sisi si kitu. Hiyo siyo kweli!

• kwa upande mmoja sisi si kitu, lakini ndani ya Kristo sisi ni kila kitu!