11.b - malkia

6
mmmm... sasa nita-doo career gani nikiwa m-bigi? Aii... kuna choice nyingi! sina idea! vipi ma-fans? niko na maujanja za ku-make cheddas... manze nyinyi huni-inspire vi-major! Malkia Ajanjaruka! 9

Upload: well-told-story

Post on 06-Mar-2016

319 views

Category:

Documents


6 download

DESCRIPTION

Chapta 11 - Malkia: Malkia Ajanjaruka!

TRANSCRIPT

mmmm...sasa nita-doo career gani nikiwa m-bigi?

Aii... kuna choice nyingi! sina idea!

vipi ma-fans? niko na maujanja za ku-make cheddas... manze nyinyi huni-inspire vi-major!

Malkia Ajanjaruka!

9

Ulipokuwa mtoi ulikuwa unataka kufanya nini na life yako?Nilikuwa nataka kuwa mechanical engineer, but haiku-work out. Nikaanza kufanya makibarua nikilipwa 300 per day. Nikaona naweza get more huko nje nje. Niliamua nianze works yangu juu employment haikuwa inanisaidia sana.

Unafanya ujanjez gani ndio uongeze dooh kwa bizna yako?Jioni after nifunge shop, na-deliver bidhaa kwa customers wengine wenye wame-make orders.

Challenge yako biggie kwa hii works ni gani? Kwa story za fashion, kuna compe na mambo hu-change faster. Ukizubaa una-lose customers.

We hu-like nini?Na-like music! Nimekuwa nikiimba since nikuwe mtoi. Naendaga choir practice Buru Church jioni.

Una dreams gani kwa future yako?Dream yangu ni kuwa na biashara kadhaa ile mimi mwenyewe nasimamia.

Unaweza advise aje mavijana wale wameshindwa ni career gani wata-choose? Kama ni kitu unapenda kufanya, afadhali uanzie na hiyo kwa sababu hata kama haitakuingizia chapaa faster, ukiendelea kufanya na bidii, chapaa itaingia na ways zitafunguka.

Unafanyaje shughuli zako through the day?Mimi hurauka morning ya 6 a.m. Naenda shops za tao ama Kariokor kutafuta stock. Naendaga na bike yangu kutoka Umoja estate, so na-save dooh coz silipi fare ya matatu. Nikimaliza ku-shop, naenda kwa stall yangu Huwa nafungua shop saa nne morning, then napanga shop ikae smarter. Afternoon nakuaga busy sana. Shop inafungwa by saa moja jioni.

Subject yako favourite chuo ilikuwa? Nilikuwa na-like Sciences na English.

Na uli-clear chuo ukiwa how old?Nilikuwa 18.

Na sasa, ulianzishaje stall yako mtaani, ukaanza kuwa vendor na kuuza bidhaa za watoi na madem? Kwanza nilifanya works kwa cousin yangu. Alikuwa na shop ya kuuza toys na stuff za beauty. Kwa ile chapaa nilikuwa na-get hapo, nika-save 8K. Pia nilikuwa member wa self-help group, na huko nikachukua loan ya 15k. Hivyo ndio nilianza bizna.

Cheki story ya Tony Ongaria. Cheki story ya giks.

Giks aligrow eastlands, Nairobi na yeye ni huuza bidhaa

kwa stall yake. Hii job unaionaje?

10

Uipokuwa mtoi, ulikuwa unataka kufanya nini na life yako?Nilikuwa nataka kuwa pilot. But haikuwa rahisi coz ku-join colle ya ma-pilot lazima mtu a-qualify na grades fulani. Na sikuweza.

Subject yako favourite chuo ilikuwa? Biology.

Ulimada chuo ukiwa how old ?Nilikuwa 19.

Ulianzishaje biz ya ku-collect garbage mtaani? Maboys walikuwa jobless na tulikuwa tumesota. Nilikuwa nimemada kampo na sik-get works. Kulikuwa na garbage collector mtaani na tukaona pia sisi tunaweza anzisha yetu. Tuli-make flyers ya kuji-advertise tukapea wasee mtaani. Waka-respond poa na tukagawana hao yenye mtu ata-collect takataka. Pia tukaelewana njia ya ku-share income.

Nini hukufurahisha?Nikiambiwa na customer mtaani job yangu ni poa, ni encouraging. Mtaa ikiwa clean huwa nabambika!

In a day, mnapangaje job? Weekdays, huwa naenda Inda baru ya ku-offload mabati. Sato, huwa narauka 6.30 am ndio ni-supervise garbage collection. Mimi na mabeste zangu tume-employ ma-boy na tuna-collect garbage kwa keja 100.

Challenge yako biggie kwa hii works ni gani? Transport ni blanda! Wasee wa kanjo ndio hu-provide transport ya kupeleka garbage Dandora dumpsite. Tunawategemea coz wako cheap. Time zenye wanakosa ku-come, inatubidi tutafute other means of transport na ni expe tu sana.

Uko na advise gani kwa mayuts wenye hawajui career yenye wanataka ku-do?Sio poa kuchagua wera. Kuwea jack-of-all trades saa zile unatafuta specialty yako. Nurture job yako, itakusaidia ku-grow-isha talents zako.

Cheki story ya Tony Ongaria.

Tony hakungoja achorwe works kwa kampu.

Pia wewe unaeza chanuka kama Tony u-make initiative ya ku-

create employment.

11

Ukiwa mtoi, ulikuwa una-dream kufanya nini ukikuwa m-bigi?Nilitamani kufanya kuwa cabin crew juu ya dooh na ku-travel place mob. Nilitaka kuwa successful.

Subject gani uli-like sana chuo??Nilikuwa napenda English.

Ulimada chuo ukiwa how old?Nilimada chuo nikiwa 19 then nikaenda colle nika-do Public Relations.

Sasa, ilikuwaje ukakuwa Caterer tena?Mother yangu alikuwa na restaurant. Nikiwa 10 years old, nilikuwa namsaidia kupika na ndio nilianza ku-like story za catering. Food ya first yenye nilipika ilikuwa chapo; ilikuwa tamu!Vile time ilienda, nili-manage ku-save 50k nikatumia ku-buy chaffing dishes, vijiko, masufuria na jiko.

Unafanyaga ujanjez gani time zenye biz iko down?Kama sina event ya kupikia, huwa na hire out chaffing dishes zangu.

Una-face challenge gani kwa career yako?Ni hard sana ku-transport food juu lazima ui-pack vizuri ndio isimwagike, kwanza food zenye zina supu. Food kama ugali, rice, mukimo huwa zinawekwa kwa sufuria na kufunikwa na foil paper. So, food zina supu, naziweka kwa pots kubwa.

Una-like ku-do nini sana?Napenda kupika! Food hunibamba most ni kuku, na na-like kuipika. Pia na-like kusaidia wasee wako less fortunate.

Una dream gani?What are your dreams and ambitions?One day, na-hope nita-make bizna yangu ikuwe biggie na ijulikane poa.

Kwa msee mwenye hajui anataka ku-do career gani, utam-advice nini? Amua kitu unataka ku-do. Jiamini na ufanye kitu umeamua bila wasiwasi. Unaweza anza bizna na kitu yoyote yenye uko nayo na soon utakuwa juu!

Cheki story ya betty njeri

Huyu ni Caterer. Ana-run biz ya kupika

kwa ma-wedding, bridal showers na events

zingine. Hii ni moja ya jobs msee anaweza

kujianzia.

Cheki story ya jamlick butali.

12

Jamlick, ebu tu-show ulikuwa unataka ku-choose career gani ukigrow?Nilikuwa nime-like sana art and design.

Favourite subject yako ilikuwa gani?Drawing, Design na French.

Wacha! Na uli-clear chuo ukiwa how old ? Nikitoka high school nilikuwa 18 , na nikimada university nilikuwa 24.

Ilikuwaje ukaamua kuwa Interior designer? Nilikuwa nataka kufanya architecture kampo but nika-realise kuna vitu mob ningeweza kufanya instead. Nikasomea interior design. Nilipomaliza niliandikwa works kiasi halafu baadaye nika-quit ndio nianzishe kampuni yangu ya interior design.

Noma! Kwa day moja unakuwaga na shughuli gani?By 5.30 a.m nakuaga nishaamka. Nafanayga job kwa desk yangu mpaka 9.30 am then naenda kucheki sites. Baadaye huwa ninafanya supervision na inspections mpaka 5 pm.

Kwa mayuts wenye saa hizi hawajui ni job gani wata-do, unaweza kuwa-advise nini? Jiamini kwa kitu una-do. Kila kitu ni bidii, unaweza achieve anything, bora ukuwe na bidii. Lazima uanze ukiwa down, baadae uta-get kitu.

Challenge yako biggie kwa hii works ni gani? Hii company ni small n shida biggie huwa ni story za dooh. Kuna clients hawa-pay vipoa sana especially ama ni mara yao ya first.

Nini hukufurahisha maishani? Nikimaliza job huwa nabambika . Tena, nikiona client ako satisfied huwa nafurahi…kulipwa baada ya job pia huwa inani-jazz.

Una dreams na ambitions?Nataka hii bizna yangu i-grow mpaka nje ya Kenya na ijulikane vifiti.

Cheki story ya jamlick butali.

Yeye ni Interior Designer. Yeye hu-

design makeja, mahoteli, pharmacies na offices. Kama Jamlick ame-make, pia wewe unaweza make,

kwani!?

13

hey... labda naeza kuwa chef!

alkia unafanya nini ukizubaa hapo?

unafaa upikie uncle yako!!m

Maze when I was young, I admired a certain old man who was a mechanic.Diz inspired me n I enquired watI was 2do to achieve

this goal.Diz became ma dream n aftaku-hustle, I made it 2 eldy poly wea Ituk mechanical engineering. Am now com4table wid ma career in mechanical engineering n am planning 2 get a degree in de same

profession.Guyz, believe in what u wanna do n definatelyyou will makeit. Am currently providing 4ma parents who saw me thru colle n paying 4 ma

bro skulfees. This is what am trying to say: You can make it if u wanna!

Eric Odundo – Mechanic

Mafans, cheki story ya huyu fan wa Shujaaz FM mwenye

ame-realize dream yake!

14