ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za … ya orodha... · uchaguzi mkuu wa mwaka...
TRANSCRIPT
‘
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA
TAARIFA YA ORODHA YA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO KATIKA JIMBO LA KALENGA; HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA; 2015
Mkurugenzi Mtendaji (W), Julai, 2015 P.o Box 108, Iringa. Tanzania. Tel General Line: 2702828 Direct Line: 2702585 Fax: 2701776/2700580/2701755
1
1.0 Utangulizi Taarifa hii imeandaliwa ikiwa ni kuonesha orodha ya tarafa, kata, Vijiji na Vitongoji kufuatia ongezeko la kata, vijiji na vitongoji lililofanyika mwaka 2014 katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2014 na hatimaye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. 2.0 Usuli
Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ilianzishwa chini ya Sheria ya Serikali za Mitaa Na 7 ya mwaka 1982. Wilaya ina eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 20,576, ambapo kati ya hizo, kilometa za mraba 9857.5 ni makazi ya watu na zilizobaki ni maeneo ya Mbuga za Hifadhi ya Taifa, Misitu, Milima yenye mawe au maji. Wilaya imepakana na Wilaya ya Mpwapwa (Mkoa wa Dodoma) kwa upande wa Kaskazini, Wilaya ya Kilolo upande Kaskazini Mashariki, Wilaya ya Mufindi upande wa kusini, Wilaya ya Chunya (Mkoa wa Mbeya) upande wa Magharibi na Wilaya ya Manyoni (Mkoa wa Singida) Kaskazini Magharibi. Angalia Ramani iliyoambatanishwa. Kutokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, Halmashauri ya wilaya ya Iringa ilikuwa na jumla ya watu 254,032 ambapo wanaume ni 123,243 na wanawake ni 130,789. Ongezeko la watu linakadiriwa kuwa ni asilimia 1.3 kwa mwaka. Makisio ya Idadi ya watu hadi kufikia Desemba 2015 Wilaya inakadiriwa kuwa na jumla ya watu 263,939. 3.0 Hali Halisi ya Vijiji na Vitongoji Kiutawala Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ina Tarafa 6 ambazo ni Kalenga, Idodi, Pawaga, Ismani, Mlolo na Kiponzelo, Kata 28, Vijiji 133, Vitongoji 747 na Kaya 60,160. Halmashauri ya ina Majimbo 2 ya Uchaguzi nayo ni Ismani na Kalenga ambayo takwimu zifuatazo zinaoneshwa katika jedwali lililopo hapa chini likionesha jina la tarafa, kata, kijiji na kitongojiali 1 Jedwali na 1: Mhutasari wa Vijiji na Vitongoji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
N IDADI YA TARAFA
IDADI YA KATA IDADI YA VIJIJI IDADI YA VITONGOJI
Kalenga 3 15 79 453
Ismani 3 13 54 294
Jumla 6 28 133 747
NB: (1) Takwimu zinazoonesha majina ya vijiji na vitongoji kwa Jimbo, Tarafa na Kata zipo katika
jedwali linalofuata. (2) Idadi ya watu katika Jimbo la Kalenga ni 150,679 x 1.3% = 1,959 x miaka 3= 5,877
(3) Hivyo kufikia mwaka 2015 Watu 150,679 + 5,877 = 156,556 (makadirio ya idadi ya watu waliopo katika Jimbo la Kalenga).
(3) Per capita GDP ya Wilaya ni Tshs. 274.8 Bilioni (4) Per capita GDP ya mtu ni Tshs. 1,031,508
2
Takwimu za per capita GDP ni za mwaka 2008 kwa kuwa Mkoa haujafanya bado zoezi la kupata Per capita GDP ya miaka ya karibuni. Zoezi hili kwa mujibu wa mkoa wa Iringa, linatarajiwa kufanyika katika mwaka wa fedha wa @015/16, na Halmashauri zimeweka bajeti kwa ajili ya zoezi hili litakalohusisha maafisa kutoka “National Bureau of Statistics – NBS pale fedha zitakapopokelewa.
3
HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA TAARIFA YA TARAFA, KATA, KIJIJI NA KITONGOJI
Jedwali 1: Takwimu za Jimbo la Ismani
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA
USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
1. ISMANI Kihorogota 1 Igula IR/KJ/ 11/05/75 1 Nyambala
2 Irogombe
3 Maganga
4 Madibira
2 Kihorogota IR/KJ/10 11/05/1975 1 Kihorogota
2 Mgugumbaro
3 Njiapanda
4 Mtaa wa DANIDA
3 Ngano IR/KJ/12 11/05/75 1 Lyaveya
2 Godown A
3 Godown B
4 Mwang’ingo
4. Mikongwi IR/KJ/39 11/5/75 1 Kwalupembe
2 Utili
3 Shule ya msingi
4 Kichangani
5 Ndolela IR/KJ/38 11/5/75 1 Ndolela
2 Kibaoni
3 Ubena
6 Ismani Tarafani
IR/KJ/38 11/5/75 1 Lwang’a
2 Lyanika
3 Lugolola
4 Mtiula
7 Uhominyi IR/KJ/702 1/07/2004 1 Uhominyi
2 Ubena
3 Tankini
8 Mikongwi IR/KJ/39 11/5/75 1 Yoahona
2 Kwalupembe
3 Utili
4 Shule ya msingi
5 Kichangani
Nyang’oro 9 Mawindi IR/KIJ/701 O7/2004 1 Kiona
2 Mawindi
3 Mjimwema
4 Majengo
5 Manyambuma
10 Chamdindi IR/KJ/43 11/5/75 1 Miegemano
4
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA
USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
2 Kipanga
3 Ukwega
4 Kibaoni
5 Chamdindi
6 Myowela
7 Nyakansilo
11 Mangawe IR/KJ/8 11/5/75 1 Holo
2 Kihesa
3 Stend
4 Mjimwema
5 Chengelela
12 Nyang’oro IR/KJ/11 11/5/75 1 Kibaoni
2 Ndevele
3 Kiya
4 Kibalali
5 Luheko
6 Ngowo
7 Mchinjoni
8 Mangawe
13 Ikengeza 1. Mseke A
2. Mseke B
3. Myomboni A
4 Myomboni B
5. Manyanambo A
6. Manyanambo B
7. Myowela
8. Mgiha A
14 Holo 1. Standi
2. Mkalasi
3. Mkakalanzi
4. Lugalo
Migoli 15 Migoli IR/KJ/702 1/07/2004 1 Nyerere
2 Migoli
3 Nyegele
4 Mbuyuni
16 Mtera 1 Mtera
2 Makonge
3 Majengo
4 Mtaa wa kati
5 Kenya
6 Mwanyengo
17 Makatapola IR/KJ/722 1 Makatapola A
5
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA
USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
2 Makatapora B
3 Bomalang’ombe
4 Chapuya
5 Mtundwa
18 Mbweleli 1 Kuba
2 Sinza
3 Chekechea
4 Mbweleli
5 Chamazala
19 Kinyali 1 Kinyali A
2 Kinyali B
3 Ladwa
4 Sweko
5 Mkombozi
20 Maperamengi
IR/KJ/705 1/07/2004 1 Kichangani
2 Mlazo
3 Majengo
4 Bandari
Izazi 21 Izazi IR/KJ/245 11/5/75 1 Ihanyi
2 Sokoni
3 Kiwanjani
4 Izazi-Madukani
5 Barabarani
6 Chekechekea
22 Mnadani IR/KJ/703 1/07/2004 1 Mjimwema
2 Mabati
3 Magungu
4 Mnadani
5 Kilambakitali
23 Makuka IR/KJ 1 Makuka A
2 Magombwe
3 Makuka B
4 Mondomela
5 Itemagwe
6 Majengo
7 Nyamahato
Malengamakali
24 Usolanga 1 Usolangakati
2 Kawemba
3 Ihumbiliza A
4 Ihumbiliza B
5 Ihumbiliza C
25 Makadupa IR/KJ/265 11/5/75 1 Makadupakati
6
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA
USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
2 Sokoine
3 Amani
26 Mkulula IR/KJ/131 11/5/75 1 Stendi A
2 Stendi B
3 Luhomelo
4 Kikuyu
5 Mpalagaga
6 Mbuyuni
7 Luganga A
8 Luganga B
27 Iguluba IR/KJ/490 11/5/75 1 Iguluba Kati
2 Msumbiji
3 Bomalang’ombe
28 Nyakavangala
1 Nyalavangala A
2 Nyakavangala B
3 Ngega
4 Nyakavangala C
29 Isaka 1 Isaka A
2 Isaka B
3 Idari
4 Makegeke
Kisinga 30 Kinywang’anga
IR/KIJ/36 11/5/75 1 Mjimwema
2 Mheza
3 Tuliani
4 Songambele
31 Igingilanyi IR/KIJ/40 11/5/75 1 Temeke
2 Ubena
3 Kilimani
4 Paradise
5 Ngongwa
6 Mnang’ana
32 Mkungugu IR/KIJ/7 11/5/75 1 Godown
2 Nyamahana
3 Madizini
4 Kigasi A
5 Kigasi B
6 Kigasi C
33 Matembo 1 Mtakuja
2 Soweto
3 Jangwani
34 Ilambilole IR/KIJ/41 11/5/75 1 Ilambilole A
2 Ilambilole B
7
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA
USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
3 Kihesa
4 Mnadani
5 Mbuyuni
6 Nazarethi
7 Mjimwema
8 Chalinze
35 Kising’a 1 Songambele
2 Motomoto
3 Mapambano
4 Chapakazi
5 Mkalamo
6 Winome
7 Mapinduzi
2. PAWAGA Ilolompya 36 Ilolompya IR/KIJ/537 11/5/75 1 Ilolompya
2 Maganga matitu
3 Mlimani
37 Magozi IR/KIJ/538 11/5/75 1 Magozi
2 Isengelele
3 Kimalanongwa
38 Luganga IR/KIJ/159 11/5/75 1 Kihesa
2 Motomoto
3 Sadani
4 Ukwega
5 Barabara mbili
6 Mawande
7 Mtakuja
8 Uwanjani
39 Mkombilenga
IR/KIJ/535 11/5/75 1 Chamamba
2 Mtakuja
3 Muungano
Itunundu 40 Itunundu IR/KIJ/228 11/5/75 1 Ikolongo
2 Kivukokalo
3 Kibwegele
4 Majengo
5 Mkwajuni
6 Changalawe
7 Isele
8 Mbuyuni
41 Kimande IR/KIJ/163 11/5/75 1 Mwatenga
2 Kikuruhe
3 Kimande
4 Igundambani
8
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA
USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
5 Mjimwema
42 Mbuyuni 1 Ndolela
2 Mbuyuni
3 Igodikafu
Mboliboli 43 Mboliboli IR/KIJ/184 11/5/75 1 Mjimwema
2 Mboliboli
3 Legezamwemdo
44 Mbugani 1 Mbugani
2 Uwanja wa ndege A
3 Uwanja wa ndege B
45 Mkumbwanyi
1 Mkumbwanyi
2 Mkwajuni
3 Midizini
Mlenge 46 Kisanga IR/KIJ/540 11/5/75 1 Lyambalyelu
2 Kilala
3 Magwagu
4 Mawindi
5 Kilangililo
6 Lyanika
7 Kisanga
47 Kinyika 1 Kinyika
2 Majengo
3 Ruaha
4 Mkwajuni
5 Mbuyuni
48 Isele 1 Isele
2 Kikuruhe
3 Chaliganza
4 Kisololoka
5 Mbigama
49 Magombwe 1 Kigani
2 Mlenge A
3 Mlenge B
4 Magombwe
5 Mbugani
3. IDODI Idodi 50 Idodi IR/KIJ/35 11/5/75 1 Msimbi
2 Ilamba
3 Mjimwema A
4 Mjimwema B
5 Mbuyuni A
9
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA
USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
6 Mbuyuni B
51 Tungamalenga
IR/KIJ/183 11/5/75 1 Ofisini
2 Mbuyuni
3 Mlimani
4 Darajani
5 Malunde
6 Zahanati
7 Kinyali
8 Msembe
52 Mapogoro IR/KJ/34 11/5/75 1 Mapogoro
2 Kisiwani
3 Rungemba
4 Kibaoni
5 Kitanewa
6 Idindiga
53 Kitisi IR/KIJ/704 1/07/2004 1 Kitisi
2 Nyamnango
Mahuninga 54 Makifu IR/KIJ/33 11/5/75 1 Mkanisoka
2 Makifu
3 Makambalala A
4 Makambalala B
5 Isanga
6 Mahove
55 Mahuninga IR/KIJ/175 11/5/75 1 Ufyambe
2 Majengo A
3 Majengo B
4 Kitalingolo
56 Kisilwa 1 Isukutwa
2 Misufi
3 Kisilwa
Mlowa 57 Malinzanga IR/KJ/181 11/5/75 1 Mtakuja
2 Ndorobo A
3 Ndorobo B
4 Mlowa
5 Majengo A
6 Majengo B
7 Matalawe
8 Malinzanga
9 Ikonongo
58 Nyamahana IR/KJ/270 11/5/75 1 Ipwazi
2 Mbuyuni
3 Mtakuja
10
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA
USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
4 Majengo
5 Mlambalasi
59 Mafuruto IR/KJ/269 11/5/75 1 Majengo
2 Mseketule
3 Kibuduga
4 Magoya
5 Muungano
Jumla Jimbo la Ismani
13 59 294
Jedwali 2: Takwimu za Jimbo la Kalenga
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
1.KIPONZELO
Lumuli 1 Isupilo IR/KJ/23 11/5/75 1 Isupilo
2 Makanyagio
3 Usambusi
4 Masumbo
2 Itengulinyi IR/KJ/248 11/5/75 1 Ipangani
2 Itengulinyi
3 Makanyigio A
4 Makanyigio B
5 Lukungita
3 Muwimbi IR/KJ/22 11/5/75 1 Muwimbi
2 Kibugumo
3 Ulete
4 Gezaulole
4 Lumuli IR/KJ/45 11/5/75 1 Kilimahewa
2 Kitemela
3 Kalengachwa
4 Kihesa
5 Vikula
11
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
6 Kibalali
7 Lugema
8 Uhupela
9 Kihata
Ifunda 5 Ifunda IR/KJ/246 11/5/75 1 Kibaoni A
2 Kilimahewa A
3 Kipera
4 Utibesa
5 Ulolage
6 Mgondo
6 Kibena IR/KJ/247 11/5/75 1 Isenuke
2 Lutitili
3 Kalonga
4 Ulyagwanda
5 Kitasengwa
6 Ubalanzi
7 Mibikimitali 1 Mibikimitali
2 Masimike
3 Ulangala
8 Udumka IR/KJ/489 1 Ikungu
2 Ofisini
3 Utulo
9 Bandabichi 1 Kibaoni B
2 Bandabichi
3 Ifunda sekondari
4 Kivalali A
5 Kivalali A
6 Kilimahewa B
7 Ihagaha
8 Mlafu
10 Mfukulembe
IR/KJ/170 11/5/75 1 Ugulumti A
2 Lyasa
3 Ndolela
4 Igulumti B
Wasa 11 Ihomasa IR/KJ/81 11/5/75 1 Mkondowa
2 Muungano
3 Vikula
4 Ihomasa
5 Lupande
12 Ufyambe IR/KJ/2 11/5/75 1 Lunguya
2 Lyamanga
3 Ikonongo
12
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
13 Wasa IR/KJ/50 11/5/75 1 Uhepwa
2 Nyamagola
3 Kastamu
4 Utiga
5 Nyakigongo
6 Itawi
14 Ikungwe IR/KJ/24 11/5/75 1 Tambalang’ombe
2 Ikungwe
3 Mkuta
4 Mkunzi
5 Makanyagio
15 Usengelindete
- - 1 Itimbo
2 Umwaga
3 Kigasa
4 Igula
16 Ulata 1 Ngonamwazi
2 Mwefu
3 Ulata
17 Mahanzi 1 Kibulilo
2 Mahanzi
3 Kitamba
Kihanga 18 Igangidung’u
IR/KJ/244 11/5/75 1 Isaka A
2 Shuleni
3 Mlimba
4 Luteni Juu
5 Mang’ula A
6 Mang’ula B
19 Kihanga IR/KJ/167 11/5/75 1 Muungano
2 Mkamila
3 Itovakami
4 Isoligona
5 Mpwapwa
20 Kidilo 1 Kidilo
2 Nzaganza A
3 Nzaganza B
4 Kinyang’ama A
5 Kinyang’ama B
21 Makombe IR/KJ/80 11/5/75 1 Ihanzu A
2 Shuleni
3 Makongomi
4 Ukeremi
13
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
5 Kihanga
6 Ihanzu B
22 Chamgogo 1 Chanagoro shuleni
2 Isaka B
3 Chamgogo
4 Iramba
5 Nyororo
Maboga 23 Makongati IR/KJ/269 11/5/75 1 Lukali
2 Ilembula
3 Luwinda
4 Lutemi
5 Kibaoni
6 Ilalasimba
7 Msasani
8 Lunguya
9 Ikonda
24 Magunga IR/KJ/488 11/5/75 1 Ihami
2 Mgongondele A
3 Mgongondele B
4 Nguvu kazi
5 Minyuva
6 Lugalo
25 Kiponzelo IR/KJ/162 11/5/75 1 Madukani
2 Siyovelwa
3 Ngongwa
4 Mjimwema
5 Msombe
6 Gendawuye
7 Shuleni
8 Mkwawa
9 Msalasi
10 Kanisani
11 Lumumba
2.MLOLO Mseke 26 Tanangozi IR/KJ/251 11/5/75 1 Kimwanyula
2 Sitesheni A
3 Stesheni B
4 Kanisani
5 Lunguya
6 Kilindi
7 Kihongolelo
27 Wenda IR/KJ/186 10/2/76 1 Wenda A
14
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
2 Wenda B
3 Wenda C
4 Wenda D
28 Ugwachanya
IR/KJ/25 10/2/76 1 Banavanu
2 Luholela
3 Igavilo
4 Winome
5 Njiapanda A
6 Njiapanda B
7 Mseke A
8 Mseke B
9 Isimila
10 Ulongambi
29 Mlandege 1 Mlandege A
2 Mlandege B
3 Maumbamatali
4 Gezaulole
Masaka 30 Sadani - - 1 Sadani A
2 Sadani B
3 Mkamila
4 Isele
5 Itubugu
31 Makota IR/KJ/706 - 1 Lihuu
2 Mang’ula A
3 Mang’ula B
4 Itikangombwe
5 Mpwapwa
32 Kaning’ombe
IR/KJ/186 - 1 Kasanga
2 Kitipwi
3 Myombwe
4 Kidagemsitu
5 Sekuse
6 Mduma
7 Maduma
Mgama 33 Mgama IR/KJ/253 11/5/75 1 Mgama A
2 Mgama B
3 Katenge A
4 Katenge B
5 Mbaramo
6 Kihesa
7 Isombe
8 Wangama
15
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
9 Msichoke
10 Mhagati
11 Wilolesi
12 Myombwe
34 Ibumila IR/KJ/1996 11/5/75 1 Ibumila A
2 Ibumila B
3 Mlandege A
4 Mlandege B
5 Gezaulole
6 Kipengele
7 Makete A
8 Makete B
9 Kilimanjaro
35 Ihemi IR/KJ/229 11/5/75 1 Kilimahewa
2 Igunda
3 Kifumbi
4 Mjimwema
5 Winome
6 Mfalanyaki
7 Kilimanjaro
8 Ihemi A
9 Njiapanda
36 Itwaga - - 1 Lyango A
2 Lyango B
3 Nunumala
4 Ikanavanu
5 Itwaga
37 Ilandutwa IR/KJ/168 11/5/75 1 Nyakatuli A
2 Nyakatuli B
3 Ndolela
4 Lugofu
5 Mayugi
6 Lugololelo A
38 Lwato 1 Kilewala
2 Lugololelo B
3 Lwato A
4 Lwato B
Lyamgungwe
39 Kikombwe IR/KJ/29 11/5/75 1 Igumula
2 Kikombwe
3 Isoliwaya
4 Nyanyamba
5 Iwawa
16
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
6 Mkwee
40 Igunda 1 Mlolo
2 Lukingi
3 Ilamba
4 Lumuma
41 Malagosi IR/KJ/252 11/5/75 1 Msombe
2 Kihawa
3 Otalisoli
4 Itovakami
5 Nzivila
6 Igangasenga
7 Ngongwa
8 Maumbamatali
9 Ibumila
10 Malagosi ofisini
42 Lyamgungwe
IR/KJ/28 11/5/75 1 Mtanangwe
2 Ulongambi A
3 Ulongambi B
4 Ulonge A
5 Igogi
6 Nyabula
7 Mita
8 Kihanga
9 Kimwaga
10 Ulonge B
43 Lupelwasenga
IR/KJ/541 11/5/75 1 Imalinyi
2 Mhegele
3 Ifiyavanu A
4 Ifiyavanu B
5 Igonitamwa
6 Ruaha
Luhota 44 Wangama - - 1 Itemagwa
2 Kilengelenge
3 Itwaga
4 Iganga
5 Inyororo
6 Idobogo
45 Tagamenda IR/KJ/26 11/5/75 1 Kitayawa
2 Kiswele
3 Ikaragalasi
4 Malulumo
5 Myombwe
17
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
6 Lufita
7 Kifufu
46 Kilambo IR/KJ/256 11/5/75 1 Igula A
2 Igula B
3 Madukani
4 Mseke A
5 Sekuse
6 Lusaula
7 Mseke B
8 Idotwe
9 Unyanye
10 Mbote
47 Nyabula IR/KJ/255 11/5/75 1 Ulande
2 Chumbu
3 Malendi
4 Nyabula Kati
5 Luhanga
6 Ilutila
7 Ukang’a
8 Mtowo
9 Udinde
10 Kihondo
48 Ikuvilo IR/KJ/264 11/5/75 1 Makongoma
2 Ikuvilo Kati
3 Ngelewala
4 Lwato
5 Kidodi
6 Mhepasi
7 Mdukwe
8 Lugala
9 Imalinyi
Magulilwa 49 Magulilwa IR/KJ/4 11/5/75 1 Godown A
2 Godown B
3 Godown C
4 Mifugo
5 Ilala
6 Mbavi
7 Kihesakilolo
8 Sekuse
9 Majengo
50 Ndiwili - - 1 Madukani
2 Kitanzini
18
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
3 Mivinjeni
4 Mtakuja
5 Matema
6 Migoli A
7 Migoli B
8 Msuluti A
9 Msuluti B
10 Malawi
51 Ng’enza IR/KJ/257 11/5/75 1 Masela
2 Mlevela
3 Kinyaminyi
4 Lutengelo
5 Muungano
52 Msuluti 1 Msukwa
2 Mwaya
3 Igunga
4 Mlowa
5 Milanzi
6 KihesaKilolo
53 Mlanda -IR/KJ/27 11/5/75 1 Ilembula
2 Mlanda A
3 Mlanda B
4 Msombe
5 Nyalawe
6 Ukang’a
54 Negabihi - - 1 Igeleke
2 Lutengeno
3 Isoliwaya
4 Kilimahewa
5 Muungano
3. KALENGA
Kalenga 55 Kalenga IR/KJ/234 11/5/75 1 Igawa
2 Wangi
3 Kidope
4 Mwambao
5 Ilundindembe
6 Lupuli
7 Maktaba
8 Galinoma
56 Tosamaganga
IR/KJ/464 11/5/75 1 TosaKilimani
2 Ipamba
3 Mabanda
4 Irangi
19
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
5 Unyangilwa
57 Isakalilo IR/KJ/232 11/5/75 1 Isakalilo A
2 Isakalilo B
3 Isakalilo C
Kiwere 58 Kiwere IR/KJ/45 11/5/75 1 Mwaya A
2 Mwaya B
3 Makondo
4 Chapakazi
59 Mfyome IR/KJ/166 11/5/75 1 Mgega
2 Malamba A
3 Malamba B
4 Msosa
5 Mtembo
6 Mhefu
60 Mgera IR/KJ/185 11/5/75 1 Luganga
2 Mlangali
3 Kidete
4 Mapinduzi
61 Kitapilimwa IR/KJ/171 11/5/75 1 Ikingo
2 Lugalo
3 Kinyamaduma
62 Itagutwa 1 Mlenge
2 Mapulupu
3 Kipengele
4 Itagutwa
Ulanda 63 Ibangamoyo
IR/KJ/177 11/5/75 1 Katenge
2 Mlandizi
3 Ibangamoyo
4 Henge
5 Mwika
64 Weru IR/KJ/237 11/5/75 1 Ipangami
2 Mseke
3 Kilangali
4 Magangwe
5 Imwagamapesa
65 Mwambao 1 Mwambao A
2 Mwambao B
3 Kilimahewa
4 Idete
66 Mangalali - - 1 Mangalali A
2 Mangalali B
20
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
3 Kitowo A
4 Kitowo B
5 Itunda A
6 Itunda B
7 Lukwambe A
8 Lukwambe B
9 Kikongoma
67 Kibebe - - 1 Kilolo
2 Lugung’unzi
3 Itamba
4 Ikanuwulime
5 Nyambila
6 Ikanumgunga
7 Lupange
68 Lupalama IR/KJ/492 11/5/75 1 Mlaga
2 Mwangata
3 Lupalamakilimani
4 Mjimwema
Nzihi 69 Nzihi -IR/KJ/46 - 1 Mjimwema A
2 Mjimwema B
3 Nzihi A
4 Nzihi B
5 Mazombe
6 Ihanzu
7 Mhanga
8 Mbega
70 Magubike IR/KJ/169 - 1 Kinyangama
2 Igangilonga
3 Kinyamasaula
4 Chelesi
5 Mtakuja
71 Ilalasimba - 1 Songambele
2 Igungandembwe
3 Kalangali
4 Ipangani
5 Ilalasimba
72 Kidamali - - 1 Kayungwa
2 George Friokosi
3 James Zan
4 Winome
21
TARAFA KATA Na KIJIJI NAMBA YA USAJILI
TAREHE YA USAJILI
Na KITONGOJI
73 Kipera - - 1 Ofisini
2 Kisombambone
3 Mifugo
4 Mbuyuni
5 Mlambalasi
6 Mburula
7 Mkola
8 Mkwata
9 Mkwawa
74 Nyamihuu IR/KJ/235 5/11/75 1 Igangimale
2 Chemchem
3 Isupilo
4 Makanyagio
5 Kilimahewa
6 Wilolesi
7 Mabatini
8 Isala
9 Majengo
10 Mbuyuni
11 Mlangali
Jumla Jimbo la Kalenga
15 74 453
Jumla Kuu (Ismani na Kalenga)
28 133
747