ngano rukwa...kilimo •wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha...

20
NGANO RUKWA

Upload: others

Post on 05-Nov-2020

5 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

NGANO RUKWA

Page 2: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Aina za teknologia za nganozilizosambazwa Mkoani Rukwa kutoka ARI

-Uyole

Mbegu bora

Juhudi, Sifa, Merina, Ngoli, Shangwe

• Zinazaa vizuri (3.5 -5.5 tons/ha)

• Zinawahi kukomaa kulinganisha na nyingine

• Zinavumilia magonjwa

• Zinavumilia ukame

Page 3: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Kutu ya ngano

Page 4: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183
Page 5: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Wakulima wa Mawenzusi wakichagua mbeguza kwenye majaribio walizoziona zinafaa

Page 6: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Teknologia …

• Matumizi sahihi ya mbolea(appropriate fertilizer combinations and placement)

• Muda muafaka wa kuandaa shambana kupanda

• Utunzaji bora wa zao la ngano

• Kilimo hifadhi (conservation agriculture)

Page 7: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Matumizi ya ripper

Page 8: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

JUNGARU

• Jukwaa la wakulima wa ngano (JUNGARU)

• Kuwaleta pamoja wadau wengine waliokokwenye mnyororo wa thamani wa zao la ngano

• Mwaka 2015/2016 wakulima walikopeshwambolea ya kupandia na kukuzia ngano kupitiajuhudi za Mkuu wa Mkoa

• Waliotumia mbolea na kufuata utaalamumavuno yaliongezeka sana gunia 15 – 18 kwaekari

Page 9: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Mafunzo ya wakulima na wataalamu wakilimo

• Wakulima na wataalamu wamekuwawakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole.

• Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima327 (wanaume 183 na wanawake 144) walipata mafunzo

• Kati yao 327 walinunua mbegu bora nakutumia mbolea kwa kufuata maelekezokwenye mashamba yao

Page 10: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183
Page 11: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Shamba darasa (Demonstration plots)

• Mashamba darasa yalifanyika kwenye wilayaza Kalambo, Sumbawanga Manispaa, Sumbawanga vijijini na Nkasi

• Baadhi ya vijiji ni kama Msanzi, ipanga, Ulinji, Mawenzusi, Msandamuungano, Milundikwa, Kipande n.k

Page 12: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183
Page 13: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183
Page 14: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Field day - Ulinji

Page 15: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Uzalishaji wa mbegu karibu na wakulima

• Jumla ya Hektari 40 za shamba karibu nawakulima zilipandwa mbegu za ngano

• Vikundi vya wakulima nao walipanda hektari4 za mbegu chini ya uangalizi wa wataalamuwa kilimo wa Mkoa, wilaya na vijiji husikawakishirikiana na watafiti wa ARI-Uyole naTOSCI

Page 16: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183
Page 17: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Motisha kwa vikundi vilivyofanya vizuri

Page 18: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Wakulima waliopta mafanikio

Page 19: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183
Page 20: NGANO RUKWA...kilimo •Wakulima na wataalamu wamekuwa wakiendelea na mafunzo ya kilimo bora cha ngano kupitia ARI-Uyole. •Kwa mwaka 2015/2016 Jumla ya wakulima 327 (wanaume 183

Mwamko wa wakulima

• Wakulima wa ngano wapatao 208 kutokawilaya ya Nkasi walionyesha nia ya kuunganapamoja ili walime kilimo cha ngano kwamkataba kwa ajili ya Kampuni ya KalamboRanch