habari na matukio.pdf
Post on 17-Nov-2015
258 Views
Preview:
TRANSCRIPT
-
Home About Contact
Tuesday, September 16, 2014
WAZUNGU WACHANJA MBUGA PEKUPEKU POSTA JIJINI DAR
KARIBUNI SANA
Karibuni sana wasomaji wa
blog hii wote kutoka pande
zote za dunia muweze kupata
HABARI NA MATUKIO. Poleni
sana na mihangaiko ya
kutafuta riziki. Ni Matumaini
yangu bado mnakaza buti
kuyakabili haya Maisha kwani
hauna budi kufanya hivyo,
usipojikaza Kiume Maisha
yataendelea kuwa magumu
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
1 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Licha ya kuwepo kwa madimbwi ya maji yaliyochanganyikana na maji taka kutokana na mvua
zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam , raia hao wa kigeni ambao hawakufahamika
wanatoka taifa gani walinaswa na kamera ya mtandao wa habari za jamii.com wakipita maeneo
ya posta mpya jirani na jengo la IPS wakiwa pekupeku jambo ambalo ni hatari kwa afya zao.
Hata hivyo haikuweza kufahamika mara moja walikokuwa wakienda.
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya madhehebu kutoka nje ya nchi ambayo
waumini wake hawavai viatu kutokana na imani zao.
(Picha na mtandao wa habari za jamii).
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
Milele. Wapenzi wasomaji
wangu kama unatukio lolote
naomba nitumie kwenye
e-mail hii;
cathbert39@gmail.com. Blog
yetu inapatokana katika simu
yako ya mkononi. Usikubali
kupitwa ni wakati wa
Digitali...
CATHBERT KAJUNA
Please Like us
Tutafute Kwenye Facebook
Kajunason BLOG- CathbertAngelo.
Watu 3,373 wamependezwa naKajunason BLOG - Cathbert Angelo.
Programu-jalizi la jamii la Facebook
PoaPoa
On Twitter
ETISALAT'S MOBILE BABY
kajunason.blogspot.com/2014/09/etisal
Cathbert Angelo
@KAJUNASONBLOG
ETISALAT'S MOBILE BABY
fb.me/3n5bXFNzi
Cathbert Angelo
@KAJUNASONBLOG
NAUKALA NDIMA WALIPANIA
TAMASHA LA HANDENI
KWETU
kajunason.blogspot.com/2014/09/naukal
Cathbert Angelo
@KAJUNASONBLOG
59m
59m
3h
Tweets Follow
Tweet to@KAJUNASONBLOG
KUMBUKUMBU
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
2 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
ETISALAT'S MOBILE BABY
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
NAUKALA NDIMA WALIPANIA TAMASHA LA HANDENI KWETU
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KUNDI la ngoma za asili lenye kupendwa na
wengi jijini Dar es Salaam linalojulikana
kama Naukala Ndima, limejipigia debe
likisema lina hamu kubwa ya kufanya kazi
ya maana katika tamasha la Handeni Kwetu,
litakalofanyika Desemba 13, mwaka huu
wilayani Handeni, mkoani Tanga.
Pichani ni Mkurugenzi wa kundi hilo, Fadhili
Lugendo maarufu kama Koka Star
anayecheza tumbo wazi akiwajibika.
Tamasha hilo linalosubiriwa kwa hamu na
mashabiki wa matukio makubwa ya sanaa na
burudani linafanyika kwa msimu wa pili,
baada ya kuzinduliwa rasmi mwaka jana
Desemba 14 na kuhudhuriwa na wengi.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam,
Mkurugenzi wa kundi hilo, ambaye ni
miongoni mwa wasanii wa ngoma za asili,
Fadhili Lugendo, maarufu kama Koka Star,
alisema kuwa wamelipania tamasha hilo kwasababu wanafahamu linavyopendwa na wengi
mkoani Tanga na Tanzania kwa ujumla kutokana na kuandaliwa vizuri.
Alisema kuwa tamasha la mwaka jana lilikuwa zuri na kuwapatia mafanikio makubwa kutokana
na mikataba mingi waliyoipata, ukiwapo ule unaohusisha wao na televisheni ya CTN iliyowapa
haki ya kurusha vipindi vya utamaduni wa Tanzania.
Baada ya kusikia waandaaji wa tamasha hilo wamejipanga tena kufanya tukio hilo mwezi
Desemba mwaka huu, tunapata shauku ya kuomba na sisi tuwe miongoni mwa makundi kutoka
nje ya mkoa wa Tanga tutakaoshiriki.
Nikiwa kama msanii wa ngoma za asili natambua matamasha makubwa kama haya ndio
yanayoweza kutangaza sanaa yetu pamoja na kukuza utamaduni wa Mtanzania, hivyo endapo
tutapewa mwaliko wa kuelekea Handeni, hakika tutafanya kazi ambayo haitasahaulika,
alisema.
Naukalanda Ndima ni miongoni mwa makundi kutoka nje ya Handeni, mkoani Tanga yaliyopata
CNN
HABARI MOTOMOTO
FAHAMU
VYAKULA
VINAVYOONGEZA NGUVU ZA
KIUME
Ukweli ni kwamba ndoa nyingi
za Kikristo zinavunjika
kutokana na tatizo hili. Je,
hakuna haja ya kuitisha
mjadala wa kitaifa? Taifa letu...
DIAMOND APIGA
SHOW KALI,
HUKU WEMA
SEPETU AKITIA
AIBU UKUMBINI
Msanii wa
Muziki wa kizazi kipya Ommy
Dimpozzz akifanyiwa
mahojiano mara baada ya
kuwasili kwenye tamasha la
Diamond Are Forever lililof...
KUMRADHI KWA
PICHA KALI:
MACHANGUDOA
WANAOFANYA
BIASHARA YAO
SINZA
WAKAMATWA
Mgambo wa Jiji la Dar es
Salaam wakitekereza
majukumu yao ya kuwakamata
watu wanaokiuka misingi na
maadili ya Mtanzania. Mgambo
wa jiji l...
MATUKIO YA
KUUNGUA KWA
MOTO MSIKTI
WA MTAMBANI,
KINONDONI
JIJINI DAR LEO
MSIKITI wa Mtambani uliopo
Kinodnoni B, Jijini Dar es
Salaam leo umeungua kwa
moto ikiwa ni mara ya pili
tokea ilipoungua Agosti 14,
2014...
AJALI YAUA ASKARI
MAGEREZA MKOA WA
SINGIDA, WENGINE WATATU
WAFA KWENYE MATUKIO
TOFAUTI
Askari Magereza Ramadhan
Mussa (54) enzi za uhai wake.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
WATU wanne wamefariki dunia
Mkoani Singida kati...
ASKARI CPL
RIZIKI
ALIYEGONGWA
NA DALADALA
ANAENDELEA
VIZURI
Hali ya Askari wa usalama
barabarani, aliyejulikana kwa
jina la Riziki, WP 2806 Cpl
Riziki, aliyegongwa na daladala
aina ya DCM wakati aki...
YANGA YAIBUKA KIDEDEA
TAIFA, YAIKANDAMIZA 3-0
AZAM FC NA KUTWAA NGAO
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
3 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
fursa ya kuonyesha sanaa yao mwaka jana kwenye tamasha hilo linaloandaliwa chini ya Mratibu
wake Mkuu Kambi Mbwana.
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
CHAZ BABA NUSURA AMUUE MKEWE KWA MAKONDE
Stori: Shakoor Jongo
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Mbwana Chaz Baba anadaiwa
nusura amtoe roho mkewe wa ndoa, Rehema Sospeter Marwa baada ya kumpiga na kitu
kizito kichwani mpaka kushonwa nyuzi ishirini.
Mke wa ndoa wa 'Chaz Baba', Rehema Sospeter Marwa akiwa na majereha kichani.
MANENO YA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho kipo karibu na wanafamilia hao (jina
limehifadhiwa), usiku wa Alhamisi iliyopita, kikiwa maeneo
Stori: Shakoor Jongo
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Mbwana Chaz Baba anadaiwa
nusura amtoe roho mkewe wa ndoa, Rehema Sospeter Marwa baada ya kumpiga na kitu
kizito kichwani mpaka kushonwa nyuzi ishirini.
MTAA KWA MTAA BLOG
MAKAMU WA
RAIS DKT.
BILAL
AFUNGUA
MKUTANO
WA TATU WA
AFRIKA KUHUSU MASUALA
YA USIMAMIZI WA KODI
2 minutes ago
MICHUZI
MAKAMU WA
RAIS DKT.
BILAL
AFUNGUA
MKUTANO
WA TATU WA
AFRIKA KUHUSU MASUALA
YA USIMAMIZI WA KODI
6 minutes ago
JIACHIE
Benki ya
Exim yaingia
ubia
kuongeza
ufanisi katika
udhibiti wa
majanga
36 minutes ago
YA JAMII
Mshambuliaji wa
Yanga Mrisho
Ngasa, kushoto
akimtoka beki
wa Azam FC,
Erasto Nyoni katika mchezo wa
Ngao ya Hisani uliofanyika leo
kwe...
UZINDUZI WA
VIDEO YA 'KIPI
SIJAKISIKIA'
NA 'TATU
CHAFU' ZA
PROFESSA J
WAPOKELEWA KWA
SHANGWE, DAR
Nguli wa Muziki wa Kizazi
kipya, Joseph Haule a.k.a
Professa J jana aliweza
kufanya vyema katika uzinduzi
wa video zake mbili, 'Kipi ...
MBUNIFU WA
MAVAZI WA
KIMATAIFA
SHERIA NGOWI
AKUTANA NA
RAIS JAKAYA
KIKWETE IKULU JIJINI DAR
ES SALAAM
Mbunifu wa mavazi wa
kimataifa Sheria Ngowi (kulia)
akibadilishana mawazo na Rais
Jakaya Kikwete IKULU Leo
Jijini Dar es Salaam alipomte...
HOYA YA MDAU:
KWA TREND HII
YA BOT; UCHUMI
WA TANZANIA
ULALE MAHALI
PEMA PEPONI
Siungi mkono hoja ya Benki
kuu (BOT) kufuta noti ya
Sh.500/= na kuifanya sarafu.
Huu ni wendawazimu mkubwa
katika sekta ya uchumi "...
JIUNGE NA KAJUNASON
BLOG
BLOGS
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
4 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Mke wa ndoa wa 'Chaz Baba', Rehema Sospeter Marwa akiwa na majereha kichani.
MANENO YA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho kipo karibu na wanafamilia hao (jina
limehifadhiwa), usiku wa Alhamisi iliyopita, kikiwa maeneo ya Kinondoni jijini Dar
kilishuhudia ugomvi huo baada ya kwenda kuangalia nani anamshushia kipondo
mwenzake.
Chanzo kilisema baada ya kufika, ndipo kiligundua kuwa, mwanamuziki huyo ndiye
aliyekuwa akimpa kipondo mke wake.
Dah! Kiukweli kile si kipigo cha kumpiga mke, hasira bwana ni kitu cha ajabu sana. Chaz
anatakiwa kujiangalia sana, kilidai chanzo hicho.
MKE AFUNGUKA EI TU ZEDI
Baada ya taarifa hiyo, juzi Ijumaa Wikienda lilimtafuta mwanamke huyo ili aeleze nini
kilitokea hadi mumewe kutaka kumkatishia maisha.Nakumbuka siku ya tukio nilikuwa
supermarket maeneo ya Mwananyamala A (jijini Dar) nikinunua unga wa ulezi wa mtoto,
ghafla Chaz alitokea, akaniamuru niingie kwenye gari alilokuwemo, tukaondoka kuelekea
nyumbani.
M.P
From London
Fashion Week
SS 2015
2 hours ago
NEWS, RELATIONSHIP,
HEALTH AND FASHION
REVEALING:
LADY GAGA
LEFT LITTLE
TO
IMAGINATION IN A
SEE-THROUGH TUNIC
DRESS AS SHE WENT OUT
IN ISTANBUL, TURKEY ON
MONDAY
2 hours ago
MAISHA NA MAFANIKIO
NIMEKUMBUKA SANA
KWETU LUNDO/NYASA
2 hours ago
Mdimu's Blog
JENGO LA
GHOROFA
MOJA
LINAPANGISHWA MKOANI
DODOMA
2 hours ago
Rural and Urban
BABA MWEMA
NI YULE
ANAYEIJALI
FAMILIA KWA
VITENDO
3 hours ago
WAZALENDO 25 BLOG
JITHAMINI,
JIAMINI
,JIONGEZE
:WAKAZI WA
TABORA
WAKIRI
WAZI KUWA MASOKO NDIO
CHANGAMOTO YAO KUBWA
KATIKA SHUGHULI ZAO ZA
UJASILIAMALI
3 hours ago
LUKAZA
MWATHIRIKA
WA MABOMU
MBAGALA
ALIPWA
HUNDI YA
SHILINGI
1950 TU.
3 hours ago
WELCOME TO MY
WORLD OF BEAUTY,
STYLE, FASHION &
CURRENT AFFAIRS
WAREMBO
MISS
TANZANIA
WAJIFUA
GYM
KUIWEKA
MIILI YAO SAFI
3 hours ago
g sengo
WAKAZI WA
TABORA
WAKIRI
WAZI KUWA
MASOKO
NDIO
CHANGAMOTO YAO KUBWA
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
5 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Rehema Sospeter Marwa akionesha majeraha aliyoyapata mkononi.
Tulipofika maeneo ya Kinondoni, pale Meridian ndipo niliposhtukia naanza kupigwa.
Nakumbuka nilipigwa hadi nikaishiwa nguvu mpaka akatokea rafiki wa Chaz, Hassan
Kisanora na kuniokoa, nikakimbilia nyumbani, alisema mwanamke huyo.
CHAZ ATOWEKA, ARUDI NA SAMAKI MKUBWA
Akiendelea kuzungumza, mke huyo alisema: Siku hiyo Chaz aliondoka na hakurudi
nyumbani mpaka alfajiri. Aliporudi aliniambia amekuja na samaki mkubwa, yuko kwenye
friji huku akisahau kuwa amenikosea na anatakiwa kuniomba msamaha.
Sikumjibu, ndipo alipochukua kitu kizito na kunipiga nacho kichwani, baada ya hapo
damu nyingi zikaanza kunitoka hadi puani, niliishiwa nguvu na kupoteza fahamu.
Nilipokuja kuzinduka nilikuwa hospitali kwa Dk. Mvungi, Kinondoni. Licha ya kwamba
nampenda sana lakini alitaka kuniua, hata sijui kisa.
Majeraha aliyoyapata baada ya kipigo kutoka kwa mume wake.
KATIKA SHUGHULI ZAO ZA
UJASILIAMALI
4 hours ago
Bukoba
CHECK OUT
YALIYOJIRI
HARUSI YA
RUGA BARUTI
& IRENE
KAYUGA
13 hours ago
BongoCelebrity
WATCH: Professor Jays
Official Videos For Kipi
Sijasikia And Tatu Chafu
15 hours ago
Burudan Mwanzo -
Mwisho
DVD MPYA
KUTOKA
SUPER D
BOXING
COACH AND
PROMOTION
MAYEATHER VS MAIDANA 2
16 hours ago
HANDENI KWETU
Naibu Waziri wa Nishati na
Madini akizungumza
18 hours ago
SUFIANIMAFOTO
*ASKARI WA
USALAMA
BARABARANI
AGONGWA
NA DCM
MBAGALA
19 hours ago
Father Kidevu
KICHAPO
CHA AZAM
JANA NI
MATOKEO YA
MAWASILIANO MABOVU:
KAVUMBAGU
1 day ago
SEIF KABELELE
HES BACK YALL KIPI
SIJASIKIA OFFICIAL VIDEO-
PROFESSOR JAY
FEATURING DIAMOND
PLATNUMZ
1 day ago
Dina Marios(dm)
MABINTI WA
PRESIDENT
OBAMA
1 day ago
MATUKIO UK
SHERIA
NGOWI
NDANI YA
IKULU
4 days ago
SOKA ZONE
LIVERPOOL
WANT MARIO
BALOTELLI
TO SIGN A
GOOD-CONDUCT CLAUSE
TO SEAL 16MILLION
ANFIELD MOVE
3 weeks ago
Activities, Events,
Entertainments and Hot
World News
WAKINA DADA MPO NA
KINA KAKA? EBWANA
MZIGO MPYA UMEINGIA ..
PITIA HAPA CHEKI KISHA
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
6 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
MADAI YA KUSHANGAZA; NDANI YA MIEZI TISA KICHAPO MARA 16
Katika kuweka mambo zaidi hadharani, mwanamke huyo aliyebahatika kupata mtoto
mmoja na mumewe, alikwenda mbele zaidi kwa kusema kuwa, tangu afunge ndoa na
Chaz miezi tisa iliyopita, ameshachezea kichapo mara kumi na sita hivyo amechoka
kufanywa ngoma.Nimechoka kufanywa ngoma na Chaz, ndoa ina miezi tisa tu nishapigwa
mara kumi na sita kati ya hizo nimezimia mara saba kama vipi bora afanye utaratibu
anirudishe kwetu, alimalizia kusema.
'Chaz baba' akiwa na mke kanisani siku ya ndoa yao.
CHAZ BABA, IJUMAA WIKIENDA
Baada ya kupata maelezo ya mke, Ijumaa Wikienda lilimsaka kwa njia ya simu Chaz
mwenyewe ili azungumzie ishu hiyo ya mkewe kudai alimpiga ambapo alipopatikana
alifunguka hivi:
Ni wivu tu kaka! Unajua mke wangu ana wivu mkali sana, alianza kunipiga yeye mimi
ndiyo nikamrudishia, hakukuwa na sababu nyingine yoyote zaidi ya wivu, alisema Chaz
bila kufafanua.
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJIWAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJIMADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh, Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo
ANGUSHA
ODA YAKO
BEI POA.
4 weeks ago
Kuni News Blog -
Mwanza Habari
NKWABI NA
WASIFU
WAKE,
KWAHERI,
DAIMA
TUTAYAISHI
NA KUYAENZI MEMA ULO
TUACHIA.
2 months ago
TANGA RAHA BLOG
5 months ago
BONGO STAR LINK
NAWASHUKURU SANA KWA
KUTEMBELEA DJCHOKAblog
SINCE 2009
9 months ago
8020 fashions.4 ur
fashions & Lifestyle.
TUNAHAMA
1 year ago
THE MBONI SHOW
OFFER KABAMBE
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
7 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
uliovuta hisia za wanakijiji wengi.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi
Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen
Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara
ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa
mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha Lwamgasa
mkoani Geita,hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa
Nishati na Madini,Mh Stephen Masele.Mradi huo Umefadhiliwa na Benki ya Dunia na Serikali kwa
kushirikiana na Wawekezaji wakubwa wakiwemo Geita Gold Mine na African Barrick Gold
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
8 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Mkuu wa Wilaya ya Geita ,Mh.Omary Mangochie akiwakaribisha wageni waalikwa mbalimbali
waliofika kwenye uzinduzi huo.
VIDEO CLIP NA MICHUZI JR-LWAMGASA-GEITA
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
ASKARI CPL RIZIKI ALIYEGONGWA NA DALADALA ANAENDELEA
VIZURI
Hali ya Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 Cpl
Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza
majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu, hali yake inaendelea vizuri.
Kwa mujibu wa Askari ambaye hakupenda jina lake litajwe aliiambia Kajunason Blog
kuwa afande huyo anapatiwa matibabu hospitali ya Muhimbili na hali yake inaendelea
vizuri.
"Mimi nimetoka kumjulia hali, kwakweli alikuwa amepoteza fahamu ila kwasasa
anaendelea vizuri maana alikuwa ameshazinduka,"alisisitiza Askari huyo ambaye
hakutaka jina lake litajwe.
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
9 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
KATIBU MKUU UTUMISHI ATOA SOMO KWA WATUMISHI RSMWANZA
1.KATIBU MKUU UTUMISHI GEORGE YAMBESHI ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA RS
MWANZA.
BWANA SAID KITINGA, AKITOA MCHANGO WAKE WAKATI WA KIKAO HICHO.
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
10 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
DANNY TEMBA, AKIMSIKILIZA KATIBU MKUU UTUMISHI WAKATI WA KIKAO NA WATUMISHI WA
SEKRETARIETI YA MKOA WA MWANZA HIVI LEO.
PATRICK KIGERE, AFISA MANUNUZI SKRETARIETI YA MKOA WA MWANZA AKITOA MOJA YA KERO
ZINAZO WAKABILI.
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
11 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
KIKAO CHA KATIBU MKUU UTUMISHI NA WAFANYAKAZI KATIKA SEKRETARIETI YA MKOA WA
MWANZA.
KATIBU MKUU UTUMISHI GEORGE YAMBESHI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WATUMISHI WA
SEKRETARIETI YA MKOA WA MWANZA.
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
12 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
KATIBU MKUU UTUMISHI GEORGE YAMBESHI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WATUMISHI WA
SEKRETARIETI YA MKOA WA MWANZA. (PICHA NA AFISA HABARI WA RS MWANZA)
---
Na Atley Kuni- Afisa habari Mwanza.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi George Yambeshi, amewataka watumishi wa Umma wa
Sekretarieti ya mkoa wa Mwanza kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, kanuni na miongozo
iliyopo ili kuleta tija katika ufanisi wa kazi zao.
Ameyasema hayo wakati alipokutana na watunishi wa sekretarieti ya Mkoa wa Mwanza kwenye
ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mwanza hii leo alipokuwa ziarani mkoani humo kwa shughuli za
kijamii na kuamua kutumia fursa hiyo kukutana na watumishi hao.
Yambeshi amesema kama watumishi wa umma ni lazima kuzingatia miiko inayo ongoza utumishi
wa umma huku akitolea mfano wa mavazi nadhifu kwa watumishi na yasiyo na utata kwa watu "
kama watumishi wa ni vema kuzingatia miiko inayo tuongoza" alisema na kuongeza. kuwa suala
la kuvujisha siri za serikali ni suala lisilo kubalika hivyo moja ya sifa ya mtumishi wa umma ni
lazima ajue kutunza siri.
Katika hatua nyingine Katibu Mkuu huyo ameonya watumishi wa kuacha kuchanganya mambo ya
siasa mahali pa kazi" Ndugu zangu haikazwi kuwa mwanachama wa chama cha siasa lakini sio
vema mtumishi kufanya masuala ya siasa mahali pa kazi kwani kufanya hivyo ni kwenda
kinyume na taratibu za utumishi wa umma.
Mbali na masuala la siasa na uadilifu katika kazi ,pia katibu Mkuu huyo ametumia fursa hiyo,
kusilikiliza kero mbali mbali za watumishi hao ikiwapo suala la kodi kubwa, mikopo kwa
watumishi pamoja na kukosekana kwa baadhi ya miundo ya kada mpya za utumishi serikialini.
Awali akimkaribusha katibu Mkuu kiongozi kuzungumza na watumishi hao wa Skretarieti ya
Mkoa wa Mwanza, Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bwana Ndaro Kulwijila,
alimuelezea kuhusu hali halisi ya watumishi katika mkoa wa Mwanza huku akitoa kilio chake
kwa Katibu Mkuu huyu juu ya utofauti Mkubwa wa mishahara baina ya watumishi waliopo
kwenye wakala wa serikali na wale wa serikali kuu.
Hata hivyo katika majibu yake Katibu Mkuu huyo aliahidi kushughulikia changamoto zote zilizo
jitokeza katika kikao hicho na kuzipatia ufumbuzi kwa kadri itakavyowezekana.
Katibu Mkuu Utumishi ndiye mkuu wa masuala ya Utumishi wa umma katika Serikali ya jamahuri
ya Muungano wa Tanzania.
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
13 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Monday, September 15, 2014
AIRTEL YAZINDUA XPRESS SHOP MJINI DODOMA
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt Rehema (kati) akikatata utepe kuashiria kulizindua rasmi duka la
Airtel Dodoma lililopo barabara ya Mkuu mkoani humo, anaeshuhudia wakwanza kulia ni
mkurugenzi wa airtel huduma kwa wateja Bi, Adriana Lyamba na Meneja biashara wa Airtel
Dodoma Bw, Stephen Akyoo wakwanza kushoto, Airtel imefanya uzinduzi wa duka hilo jana
baada ya kuzindua maduka mengine katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha Mwanza Mbeya na
Mtwara. Maduka mengine ya Morogoro, Bukoba na Zanzibar pia yanatarajiwa kuzindulia mwezi
huu.
Meneja mauzo wa Airtel Mkoa wa Dodoma Bw Stephen Akyoo akiwa na wafanyakazi wengine wa
Airtel Dodoma akitoa maelezo mafupi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi
kuhusiana na muonekano wa duka jipya la Airtel Dodoma lililopo barabara ya Mkuu muda mfupi
kabla ya mkuu wa mkoa huyo kuzindua duka hilo jana.
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
14 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Kati kati ni Mkuuu wa mkoa wa Dodoma Dkt Rehema nchimbi akiwa na Mkurugenzia wa huduma
kwa Mteja Airtel Bi Adriana Lyamba (shoto) na Meneja wa Duka hilo mkoani hapo Bi Elida kulia
wakikata keki iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya uzinduzi wa duka jipya la Airtel mtaa wa Mkuu
mjini Dodoma jana.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi akiongea na wananchi na wanahabari hawapo
pichani wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Airtel mkoani Dodoma barabara ya mkuu Jana,
Airtel ilizindua duka hilo kwa dhumuni la kuendelea kutoa huduma bora kwa wateja wake
nchini.
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
15 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Wafanyakazi wa Airtel mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya Airtel
kufungua Duka jipya mkoani hapo mtaa wa Mkuu jana.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imefungua duka lake la Dodoma kufatia ukarabati
uliokuwa unafanyika wa kuliweka duka hilo kuwa la kisasa zaidi ili kuweza kuendelea
kuwapatia wateja wake huduma bora zaidi.
Uzinduzi wa duka hilo ulifanywa na mkuu wa mkoa wa dodo dkt Rehema Nchimbi ambapo
amewapongeza Airtel kwa mpango kabambe wa kuboresha maduka yake nchini pamoja na duka
la Dodoma.
Akiongea wakati wa uzinduzi huo Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma kwa wateja Bi Adriana
Lyamba alisema,"Leo tunazindua rasmi duka hili lenye muundo mpya lililopo katika barabara ya
Mkuu hapa Dodoma ikiwa ni moja kati ya mikakati yetu ya kuongeza ufanisi katika utoaji wa
huduma zetu na
kupunguza msururu wa wateja wanaoingia dukani hapa kupata huduma
mbalimbali.
Kwa kupitia duka hili wateja wetu watafurahia huduma zetu za pesa mkononi za Airtel Money
,internet na kuweza kununua muda wa maongezi pamoja bidhaa zikiwemo simu za mkononi na
vifaa vya huduma za mawasiliano na huduma nyingine nyingi.
Sasa wateja wetu wanauhakika wa kupata huduma bora kwa haraka zaidi kupitia duka hili.
Tutaendelea kutoa huduma za kibunifu zenye uhakika na zenye ubora wakati wote kupitia
mtandao wetu bora na mpana ulioenea zaidi nchini. Lengo letu ni kuhakikisha tuwapatia wateja
wetu uzoefu tofauti
katika huduma zetu na kufikia matarajio yao. aliongeza Lyamba.
Kwa Upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh, Dkt Rehema Nchimbi alisema" nawapongeza
sana Airtel kwa juhudi hizi za kuboresha utoaji wa huduma za mawasiliano kwa watumiaji
nchini. Sote tunatambua mawasiliano ni nyenzo muhimu katika kuunganisha jamii na kuendesha
shughuli za kibiashara na kiuchumi nachukua fulsa hii kuwaomba wakazi wa Dodoma watumie
vyema nafasi hii kupata huduma bora zitakazorahisisha uendeshaji wa Shughuli zao
mbalimalbali za kila siku".
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO CHAKANUSHAKUFANYA MGOMO
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
16 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMATAIFA
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada
ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu
Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA kwa kumchagua tena
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
17 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
kushika nafasi ya mwenyekiti
Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu
wa Chadema Dr Wilbrod Slaa
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa
Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa furaha muda mfupi baada ya kushinda usiku
huu
Muasisi wa Chadema Mzee Edwin Mtei akimpongeza Profesa Abadallah Safari baada ya kushinda
nafasi ya Makamu wa Mwenyekiti wa Chadema Bara.Picha na Habari na CHADEMA
---
MATOKEO YA UCHAGUZI
*MWENYEKITI
Mh Freeman Mbowe amepata kura 789
Mh Ester Matiko amepata kura 20
*MAKAMU BARA
Prof. Abdallah Safari amepata kura 775
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
18 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Hakuwa na Mpinzani
*MAKAMU ZANZIBAR
Mh Said Issa Mohamed amepata kura 645
Mh Hamad Yusuph amepata kura 163
Mhe Freeman Aikael Mbowe Amechaguliwa Tena kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa
kupata kura 789 sawa na asilimia 97.3 ya kura zote. Aliyeshinda nafasi ya Makamu mwenyekiti
Bara ni Profesa Abdallah Safari kwa kupata kura 775 sawa a asillimia 95 na nafasi ya Makamu
mwenyekiti Zanzibar ameshinda Mh Saidi Issa Mohamedi kwa kupata kura 645 sawa na asilimia
79.
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
UZINDUZI WA VIDEO YA 'KIPI SIJAKISIKIA' NA 'TATU CHAFU' ZA
PROFESSA J WAPOKELEWA KWA SHANGWE, DAR
Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza kufanya vyema
katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na 'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es
Salaam. Uzinduzi huo uliweza kuhudhuriwa na wasanii mbali mbali ambao walikuja kumpa
support.
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
19 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
20 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
21 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
22 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Red Carpet nayo iliweza kunoga.
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
23 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
24 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
25 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
26 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
27 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
28 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Mzuka ulipopanda.
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
29 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
30 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Msanii Professa J akitoa burudani.
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
31 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Dj akifanya yake.
Wazee wa Chadema nao walikuwepo,
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
32 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
33 of 34 9/16/2014 2:27 PM
-
Older Posts
Msanii Professa J akizindua video zake.
Posted by Cathbert Kajuna 0 comments
Home
Subscribe to: Posts ( Atom )
Idadi ya Watu
HABARI NA MATUKIO http://www.kajunason.blogspot.com/
34 of 34 9/16/2014 2:27 PM
top related