21.b – malkia

Post on 22-Mar-2016

266 Views

Category:

Documents

5 Downloads

Preview:

Click to see full reader

DESCRIPTION

Chapta 21– Malkia: Ukora za mother

TRANSCRIPT

Aki kina Scarfacewanaezaje

iba pipes za maji na hao pia wanateseka maji

iki-lost…Vile maji yaku-buy ni expe! Hii risto ya maji

ni serious.

Wacha ni-text DJ B nimwambie vile

hata kwetu tulikuwa na shida ya maji zamani…

Ukora za mother!

12

13

14

15

KESHOYE...

Aki kina Scarface wanaezaje iba pipes za maji

na hao pia wanateseka maji iki-lost…Vile maji ya ku-buy

ni expe! Hii risto ya maji ni serious.

Wacha ni-text DJ B nimwambie vile

hata kwetu tulikuwa na shida ya maji zamani…

Baadaye nyumbani...

16

Sasa,ni risto yangu

Mayuts, hii risto ya majini important sana! Lazima u-report hizi issue kwa

Area Water Companyya mtaa yako.

DJ B umesema ukweli.Mayuts wamechanuka na

risto ya maji mtaani. Cheki comments zenye zilikuwa kwa Fan Page yako Facebook juu

ya wizi wa pipes!

PATA NUMBER ZA WATER COMPANYYA AREA YAKO KWA SHUJAAZ.FM CHAPTA 19!

MULIKENI WEZI!!

sms3008maji

TUMA

SMS KWA 3008 NA VIEW

S ZAKO UKIANZA NA NENO MAJI

17

top related