33 - shujaazfm - 33
DESCRIPTION
Chapta 33 ya Shujaaz. Ma risto kibao!TRANSCRIPT
woooi!!
cheki!
eh! si huyo ni knight?
twende tumsaidie!
ako poa?
knight... nini mbaya?
na-feelvizii... naumwa na kichwa na kila pahali... nasikia kizunguzungu...
12
eh, na kweli...cheki hii place nevnye ni safi. na services ni chap chap! hii place ni
ya wase wa majuu, hatutaweza!
acheni wasiwasi...
cheki hizi ndio rates
zetu.
haya! hizi prices ni poa kwa services tuna-get hapa! tunahudumiwa
chap chap na hakuna ma-line!
tuko na nurse atamfanyia
blood test halafu wamuhudumie.
usiwe na wasiwasi, hapa amefika!
psst! maya! naeza ongea nawe kando kiasi?
24